Тёмный

🔴 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 193   
@MahenzoNzai
@MahenzoNzai Год назад
Wow Raya ni mwanamke bomba ❤❤❤❤alafu anajiamini nampenda adi basiii😘😘😘😘
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 5 месяцев назад
Raya umenifurahisha unawapenda wakwe zako, Mungu akubariki.
@SwaumuMussa-xp1zo
@SwaumuMussa-xp1zo Год назад
Nampenda sana uyu dada mvumilivu mno nataman Mungu anipe moyo kama wa uyu dada katk mahusiano yangu nampenda kwa meng mpk saut yake we ni mwanamke na nusu
@TonkariJobeSonya-yq3xq
@TonkariJobeSonya-yq3xq Год назад
Mwenyezi Mungu akupe moyo thabiti sawa na hitaji la moyo wako.........
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Год назад
Hongera ranya uko vizur sana my dear unajielewa mashallah ❤❤
@zamzamkabogota7510
@zamzamkabogota7510 Год назад
Kwanza mrembo mwenyw@Raya Mungu akutunzie ndoa yako mwaya
@liliansangali2156
@liliansangali2156 Год назад
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
@salsashmomy
@salsashmomy Год назад
Interview 😅😅😅pambeeee raya MashaAllah hongera Sana ❤❤❤❤❤❤nimeinjoi haichoshi kuisikilizaa
@Mimy_keys
@Mimy_keys Год назад
MashaaAllah RAYA ❤ Hongera Dada AKILI KUBWA 🎉 Eti Hajuwi Kupika 😂😂😂😂
@sashamotana3490
@sashamotana3490 Год назад
Love boss raya
@rehemasalum1987
@rehemasalum1987 Год назад
Akili mingi ❤️🥰🥰❤️
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Ogopeni Allah kuishi na mume bila ndoa wanawake wa kiislamu wacheni zinaa lakini alhamdulillah umefunga halal
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 Год назад
Dida jua Raya mtt wa kitanga so full malav'dave❤ ujavyo ndivyo tukupokeavyo
@صفوابنتسعيدباوافد
Banalba ni mtaratibu,,asahau Utu,,angekuwa Msanii mwingine angemtupa mbali sana
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 5 месяцев назад
Huna mdogo wako nimpe mtoto wangu, lakini itabidi awe Mkristo wa kiukweli. Kama kweli unafanya kama unavyoongea hongera mwanangu raya.
@Semenhahemed-lf5om
@Semenhahemed-lf5om Год назад
Ndio wewe ndio wewe Raya kwake uliyoipata namba kwa Barnaba mshipa haukutwangwi Raya ❤❤❤
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Nakupenda raya na hongera sana kwa ndoa allah awasimamie mdumu zaid mpate watto wema
@abialusekelo-nr8kf
@abialusekelo-nr8kf Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥wapi pete ya ndoa🔥🔥🔥🔥🔥tamba Ray
@anunuyahya8708
@anunuyahya8708 Год назад
Ma shaa allah Raya...Allah awalindeni na husda zawaja ...unamadini love❤❤
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 Год назад
DIDA UMEPATWA NA BUTWAAA 😂. MTOTO MDOGO KONKI ❤
@lonicamagupa3416
@lonicamagupa3416 Год назад
Raya Hana ubaya jamani mbona ni Binti mzuri tuu❤❤❤❤ uzuri wa raya ukweri ana busara Sana msikieni tuu anavyojibu 🥰🥰
@fatmabY-m5u
@fatmabY-m5u Год назад
si kweli mwanamme anaruhusiwa kuoa wake wa3 hadi wa4.hata kama ww wa kwanza unazaa kama utitiri ..kuoa wake mpaka wa4 ni sheria kwa wanaume wa kiislam .msipoteze watu kuwaaminisha eti mpka mwanamke uwe huna kizazi ..cjui huwezi kufanya mapenzi..au cjui unaumwa c kweli.
@arafakitta2223
@arafakitta2223 10 месяцев назад
Hiyo sheria kama uliambiwa lazima😏
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 5 месяцев назад
Kuoa wanawake wanne suna kwa mwanaume mwenye uwezo wa kiafya na uwezo wa kuwahudumia wake zake kwa uadilifu
@elizabethemanuel2027
@elizabethemanuel2027 Год назад
Ubarikiwe sana dada
@chany9950
@chany9950 Год назад
Nampenda sana laya jmn😘😘😘
@linahkweka5492
@linahkweka5492 Год назад
Raya mvumilivu pia anahekima nakupendaa❤
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Год назад
Mama yako raya kama mama yangu jamniii❤️
@aminajumanne3292
@aminajumanne3292 Год назад
Dada anajielewa sanaa had rahaaa❤❤❤❤❤
@ndarowesha5282
@ndarowesha5282 Год назад
Raya nakupenda sana
@yuwellsham-fv7fn
@yuwellsham-fv7fn Год назад
Uko vzr mdogo wng mungu awatunze siku zote
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Год назад
Raya wewe Ni Mpole Sanaa jamani uko vizuri kila la kheri karibu kwenye Chama
@ZakhiaWaheedy-uv8cy
@ZakhiaWaheedy-uv8cy Год назад
Nimekupenda bule kipenz unaongea vzur sana taratbu wanaokusema wivu tu hongera sana na ndoa yako enderea kumpenda tu mumeo
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 Год назад
Yaani hii mke wangu ya Barnabas,,imejua kunikosha,,yaani nimeirudia hapo hapo mara kibao
@neemamrisho7500
@neemamrisho7500 Год назад
Huyu dada mtangazaji nampenda ana nogesha interview 😁😁
@paulmwambije1077
@paulmwambije1077 Год назад
Boss wenu mondi ajifunze atafute mke mzuri kama Raya (mtoto wa mama kimbo).. Raya ana sifa zote za kuwa mke
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 Год назад
Interview nzuri hii💞
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي Год назад
Mashaallah 👏🏻👏🏻👏🏻
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 Год назад
Kila la kheir katika ndoa yko sister
@sophiayBakali
@sophiayBakali Год назад
Nimekupenda sn ❤️❤️❤️❤️❤️na nimependa meno yako raya kama kijitoto 🙏🙏🙏🙏
@fortunathajohn9745
@fortunathajohn9745 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@noelkipera6581
@noelkipera6581 Год назад
😂😂😂😂😂 didaaaa nimecheka wallah big up Raya the boss
@upendojoseph7912
@upendojoseph7912 Год назад
Mimi ni mwanamke ila raya nimempenda,
@nailaty
@nailaty Год назад
Mwanaume anaruhusiwa kuoa mke zaid ya mmoja ikiwa ana uwezo wa kiafya kifedha na awe anauweza uadilifu sio mke akiwa na matatizo
@kikiyene5685
@kikiyene5685 Год назад
Akili kubwa huyu Raya🎉
@lydi791
@lydi791 Год назад
Mungu akulingiye ndoa yako kwamana yote unaongeya maneno yanayo stahili kuwa Muke materiel
@mwanaherimatata8571
@mwanaherimatata8571 Год назад
Mara ya kwanza Nimecomment 😂😂😂 Nmekipenda kipindi
@NamaraRenatus
@NamaraRenatus Год назад
Nakupenda sana raya
@abubakarimunga
@abubakarimunga Год назад
Huyu dada Anauwezo mkubwa sana. Ameongea mambo makubwa mnooo. Najihisi ni mtu anaweza kuwasaidia wanawake kujua umuhimu wa kulinda familia zao.
@khamisjina8833
@khamisjina8833 Год назад
Sheria ya kiislamu haijasema hivyo Raya. Quran imesema wanaume waowe wanawake wawili, watatu , wanne na kama mwanamume atakuwa hana uadilifi basi mmoja anatosha. Na hekma yake ni kuwastiri wanawake mana ni wengi kiidadi kuliko wanaume na hiii pia inahekima ya kukuza nasabu(ukoo) na kuondosha uzalilishaji wa wanawake na watoto na mengine mengi. Ni haramu kuongeza au kupunguza katika dini tusipojuwa turudi darasani kwanza.
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 Год назад
Me sijaelewa kuanzana mahusiano 2016 mpaka 2023 ni miaka 9 au miaka saba au me ndio sijaelewa
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Год назад
😂😂😂😂hesabu imempita kushoto
@zenachuo2963
@zenachuo2963 Год назад
Hahhahhhhh mimwenyewe imebidi nihesabu
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Год назад
Alianza naye akiwa bado na mama Steve
@bellazara6448
@bellazara6448 Год назад
Raya nakupenda dada ❤❤❤❤❤
@ZainabuWaziri-vw3bp
@ZainabuWaziri-vw3bp Год назад
Mashallah
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 5 месяцев назад
Hahaha huyu Dida
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 5 месяцев назад
Kanaongea vzr
@hawaomary8486
@hawaomary8486 Год назад
Raya yupo km mm jmn mungu alinde ndoa yk
@AsiaPanduka-eh2uh
@AsiaPanduka-eh2uh Год назад
Dini hata kama huna tatizo sisi wanawake tupo wengi kuliko wanaume hivyo kama anauwezo, inaruhusiwa hata kama mkewe hana kasoro yoyote
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 5 месяцев назад
Kabisa
@elizabethemanuel2027
@elizabethemanuel2027 Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️
@shanaharuna217
@shanaharuna217 Год назад
Mashallah🎉🎉🎉 chukua maua yako❤❤❤
@yasminally1015
@yasminally1015 Год назад
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Allamdulirai Ishaalla Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Alaamdulirai Hasiallah waneema wakiil Il🥰VE Y🥰U S🥰 M Familien Besti Familien ❤❤❤
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Год назад
Ila kubali ulianza na barnaba akiwa na mama Steven
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Mkufu wa msalaba inna lillahi wainna inna lillahi rajiun
@agathaabogast4598
@agathaabogast4598 Год назад
Kwani unaua acha ushamba ayo mapambo nyoooooko
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Год назад
😅😅😅
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 5 месяцев назад
Acha ujinga urembo msalaba bac aende kanisani​@@agathaabogast4598
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Год назад
Sasa Muslim huyu kweli maana kavaa kamvaa yesu😢😢😢 msalaba
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Год назад
Sio kila msalaba unaouona unamwakilisha Yesu,,
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Год назад
Mungu wetu mmoja jmn dahaaaaa 🙌🙌🙌
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
​@@janetdundul3858sisi mungu wete hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anaefanana nae na yesu sio mungu ni mjumbe wake
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 5 месяцев назад
Nyie c mnasemaga yesu mungu ni mungu yupi wa kwetu sote na nyinyi wakiristo​@@janetdundul3858
@MercyJulius-e3h
@MercyJulius-e3h Год назад
Yuko vizur
@aishatest4451
@aishatest4451 Год назад
mashaallh 🥰🥰🥰🥰🥰
@rahimarahima8962
@rahimarahima8962 Год назад
Nakunyoa
@patrisiamakolonja
@patrisiamakolonja Год назад
Mwambie uyo alovaa jezi ya simba anywe soda ntakuja kulipa
@husnahusney
@husnahusney Год назад
Watanga kama wazazibar wanakua na somo zao wa kuwafunda
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 Год назад
Sheria za kislam hamzijui jaman msiziongelee mkitaka kufajamu jambo la kislam waulize waliowazid elimu
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 Год назад
hawa ndio wameishi kwa shida na raha sio wale eti miezi miwili kwa shida n raha dulla na naira
@hopesesilius6104
@hopesesilius6104 Год назад
Hongera mwanangu
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Zile ahadi za muende Paris mara Zanzibar!! Zmeisha ama 🤔 ilikuwa n nogesha sherehe tu!
@IreneIsack-qp9ns
@IreneIsack-qp9ns Год назад
Raha Jamani
@VictoriaKajembe-m1m
@VictoriaKajembe-m1m Год назад
Ver brigt upstears
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 Год назад
Uongo mbona mama yKo aliolewa mke wapili jamani acheni kututanganya nasheria hiyo haipo
@MwamvitaAlly-zs4oy
@MwamvitaAlly-zs4oy Год назад
My una confidence ya hatat
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Год назад
Sauti ya Raya vp unatatizo LA sauti. Au unakuwaga unapiga kelele Sana hadi sauti inaisha
@ombenjacob1112
@ombenjacob1112 Год назад
Waja😂😂😂😂😂
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Год назад
Ila we mdadaaa😂😂😂😂
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Год назад
M naipenda ya hv
@cheka480
@cheka480 Год назад
Anachokisema mdogoangu ni sahihi kabisa. ila usivae misalaba u r a muslim woman. Huwa tunaambiwa watu wa Tanga tunaroga haturogi ni how we handle our husband.
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Год назад
Sio misalaba yote ni ya Yesu, mingine ya jambazi aliyesulubishwa na Yesu. Mwache avae huo ni wa jambazi
@fortunathajohn9745
@fortunathajohn9745 Год назад
Binti mwenye akili 100 percent unajielewa huna shoo off
@Sppah697
@Sppah697 Год назад
Raya mwenyewe mdura mkubwa mbayaaaa
@lydi791
@lydi791 Год назад
Uyu Dada anakili nyingi sana
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 Год назад
izo nywele za juma nilijua pepkon zilizoungua
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Год назад
😂🤣
@till...m2585
@till...m2585 Год назад
😅😅😅😅
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah jamani watu😂😂😂😂✋️✋️✋️
@MariaRichard-dd4vh
@MariaRichard-dd4vh Год назад
😂😂😂😂Jamani
@JawahirSaid
@JawahirSaid Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Год назад
Juma limekushuka shuu,unajikaza tu😂😂
@rayasaid4099
@rayasaid4099 Год назад
Kwani huyu Raya muislamu jamni mbona kavaa kidani cha msalaba jamanii jamani nyieee tumuogopeni Allah
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 Год назад
Haipo sheria hiyo imeandikwa wapi mwanaume akiamua ameamua
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Год назад
Mpk raha umefundwa sn sn
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 Год назад
Sasa huyo kamsilimisha Barnabas lakini yeye anavaa misaraba ndio vp hivyo.
@rizikisaleh3133
@rizikisaleh3133 Год назад
misaraba yann
@khadijasaid7308
@khadijasaid7308 Год назад
Raya mdg wang unakosea kuvaa misalaba
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 Год назад
We mtako nn acha wivu msalaba umekufanya nn ?
@mishikalama5448
@mishikalama5448 Год назад
S n mapambo dini Ako nayo moyon sio shingon
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Год назад
​@@mishikalama5448moyo gani na dini gani kuishi miaka pamoja bila ndoa
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Год назад
Raya🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️🙌🙌🙌🙌
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
​@@reginardtibishubwamu1522acha shobo jinga niwewe mkafiri ndie anaetakiwa kuvaa msaraba sio Muslim
@SafiyaaaSofi-uy3nk
@SafiyaaaSofi-uy3nk Год назад
Raya natamaini nijuwe namba yako nikuletee udi uone udi wa omani
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Год назад
Didaaaa! Endelea kubinuka sarakasi
@lydi791
@lydi791 Год назад
😂😂😂😂Yani Dida Leo umekuwa commedy🤣🤣🤣
@hanialsaadi7394
@hanialsaadi7394 Год назад
Hapo kwenye kuongeza mke mmetudanganya et mpk mwanamke awe namatatizo siyo kweli😜😜😜
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy Год назад
Mbona misalaba shingoni tena Raya???
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Год назад
Ila hiki kipindi jmn😅😅😅😅😅😅😅
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Год назад
Didaaaa unanivunja mbavuuuuu😂😂😂😂
@khamisjina8833
@khamisjina8833 Год назад
Ila Raya ameingia kwenye dini ya Amani(Kiislaam) hivyo ana Amani Hadi wake wanne kusema wewe una future mwengine ajue hana future ujue una wake wa tatu wamebakia ambao ni WA future yake pia. Ila uko poa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Год назад
Mama kimbo alisema raya nimemlea kwenye maadili ya dini 😢😢maadili yenyewe ndio hayo ya kuvaa msalaba? 😳😳😳
@ChristinaMlolere
@ChristinaMlolere Год назад
Kwan msalaba ni dhambi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Год назад
@@ChristinaMlolere kwa muislamu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
​@@ruqaiamohammed345mtiani
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Год назад
Jmn😂😂😂😂😂maamuz ya watu khaaa
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Huenda hyo Jumlisha. Me pia nilishtuka ila nikajiongeza kusema usihukumu utahukumiwa..Kweli kabisa Raya ni Muislam sidhani kama anaweza kuvaa msalaba.
@Mima-theboss
@Mima-theboss Год назад
Ila dida 😂😂😂mbona vichwa kama panga😂😂😂🙌
@JanethJoshua-rs1ze
@JanethJoshua-rs1ze Год назад
Vichwa kama pangaa😂😂😂😂😂😂😂
@hamzaadam-bk2uo
@hamzaadam-bk2uo Год назад
Fungeni milango bana
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 Год назад
Naauliza musalaba wanini shingoni jaman sikuhizi wasilamu wavamusalaba mwezimungu anawaona kwani dada dida kwani huyo Raya musalaba wanini ??
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Год назад
Samahn kma nitakuwa nimekosa wadau mbona raya ni Muslim ☪️ mbn kavaa cheni ya chapa ya ms7 kifuani....
@lydi791
@lydi791 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂Yani Raya ananipa Raha namaneno yake
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 Год назад
dida unanichekeaha ujue😂😂
Далее
WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI SINGIDA.
4:47
Просмотров 2,7 тыс.
How to get skins for FREE? #standoff #skins #coins
00:34
IBADA MAALUM YA PASAKA: KUPOKEA UPAKO WA KUVUKA MIPAKA
3:29:57
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 5 млн