Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 73 тыс.
50% 1

🔴#LIVE​: DKT MPANGO APITISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA, APIGIWA KURA YA NDIO NA WABUNGE WOTE!
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kupitia kwa mpambe wake, leo Machi 30, amewasilisha Bungeni jina la Makamu wa Rais...
DKT Mpango amepitishwa na Bunge kuwa makamu wa Rais kwa asilimia 100% ya kura za wabunge wote kwani hakuna kura hata moja ya hapana au iliyoharibika.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@pendomalisa8148
@pendomalisa8148 3 года назад
Hongera sana dkt mpango
@jumannemkangwa7652
@jumannemkangwa7652 3 года назад
Kama Jina La Mwenyezi Mungu linavotajwa hapa na linatajwa kwa haki na kwa kumanisha.........naiona nchi yangu mbali pahala pa juu pamafanikio
@bernardsamizi7289
@bernardsamizi7289 3 года назад
Hongera! sana !sana !Mh Mpango kwa kuteuliwa kwako kuwa Makamu wa Rais.Tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya.Mungu ibariki Kigoma ,Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbarikiwa Mpango akasaidiwa kuinua maisha ya Watanzania na hasa wale wa kigoma waliosahauliwa tangu tupate uhuru.
@sheddykayanda4369
@sheddykayanda4369 3 года назад
Namkubali huyu Mzee wetu tutafika salama👍👍🥰
@zulfaoman7554
@zulfaoman7554 3 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️mpango
@joycecharles7821
@joycecharles7821 3 года назад
Speaker Hana hasira Afu anamamuzi ya Hekima Mungu akubarika
@husseinmuya5999
@husseinmuya5999 3 года назад
Hongera mpango tunakuamini utasimama vizuri
@rahmabinti166
@rahmabinti166 3 года назад
Piga kelele kwa kigoma yakeeeeeee weweeeeeeee hongera sana mweshmiwa mpango munguakutangulie ktk kazi
@marthachite5572
@marthachite5572 3 года назад
Weuweeeeeee
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 3 года назад
Mmeanza
@mohamedasaid7910
@mohamedasaid7910 3 года назад
Pole aliyezugumza Quran. Huna Ujuzi.Tafadhali Kasome
@elizabethmutyaba9260
@elizabethmutyaba9260 3 года назад
Tanzania you are so lucky to have that wonderful leadership
@elizabethmutyaba9260
@elizabethmutyaba9260 3 года назад
In Africa
@blessedgirl7383
@blessedgirl7383 3 года назад
Thank you @Elizabeth Mutyaba
@magiehermess9949
@magiehermess9949 3 года назад
We thank God 🙏🏾
@BETConlineTVTZ
@BETConlineTVTZ 3 года назад
NCHI HII NA WATU WAKE IMESHABADIRIKA, TUMESHAJUA RAHA YA KUJITEGEMEA YAAN KUTEMBEA PEKU KULIKO KUDUNDIA NDALA ZA KUAZIMA, DAIMA MBELE HATURUDI TEEENA. AKHSANTE, HAYATI MAGUFULI.
@prestonhunter6709
@prestonhunter6709 3 года назад
I dont mean to be offtopic but does any of you know a way to log back into an instagram account? I stupidly forgot my login password. I would appreciate any tips you can give me.
@kalutalumenge1459
@kalutalumenge1459 3 года назад
Hii ndio maana Baba hayati Dr. JPM alikosa sana amani wakati Dr. Mpango alipokuwa anaumwa. Alikuwa akimpigia simu kila siku na kumjulia hali kila siku. Yaani Mzee alikuwa anamuandaa kuwa Rais wa Tanzania. Mama aliona nivyema aanze na umakamo wa Rais katika kipindi hichi ili amuenzi Baba Hayati JPM. Dr. Mpango Mungu akulinde made kukuongoza ili umuenzi Dr. JPM kwa vitendo. Mungu awe nawe.
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 3 года назад
Yaan mipango huanzia mbali kumbe
@donatusurban2511
@donatusurban2511 3 года назад
9
@asmaabduly4030
@asmaabduly4030 3 года назад
hongera sana
@westonnkoswe8132
@westonnkoswe8132 3 года назад
Hongela wewe ni mpango kweli kweli chapa kazi mzee wa kigoma
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 3 года назад
Ki-ukweli Rais Samia Suluhu hajakosea kabsa kumchagua Phillip Mpango kuwa msaidizi wake mpango anaweza
@anselmitambo1906
@anselmitambo1906 3 года назад
Hongera mh.Mpango Mungu akutangulie ktk jukumu hilo nzto kbx
@izackmnkeny7672
@izackmnkeny7672 3 года назад
ansate mh.mpango mungu akupe nguvu
@jutokiwembe6534
@jutokiwembe6534 3 года назад
Hongera sana
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 3 года назад
Magufuli bado anaishi
@babyscosh5459
@babyscosh5459 3 года назад
Emungu baba wa mbinguni wabariki viongozi wetu
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 года назад
Haleluyah Asante Bwana Mungu wetu kwa Kuwa unatusikia uwafunike viongozi wetu kwa Damu yako ya Thamani Amina Amina na Amina isiyo ya Mwisho.
@sadih5333
@sadih5333 3 года назад
Mumeanza ,kila kitu mnafikiria kanisa tu, acheni hayo mambo tujenge nchi yetu.
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 года назад
@@sadih5333 kaka yangu mpenzi mbona unanihukumu mimi nimemshukuru Mungu wangu ninaemuabudu nimemsifu kwa mema yake na kuombea awakinge na husda viongozi wetu kwa Imani yangu sasa wewe ndugu yangu hayo yametokea wapi hata wewe hukatazwi kaka yangu hebu tupendane ndugu yangu tuheshimiane kwa Imani zetu ndugu yangu tunaendea wapi mbona mnaharibu Imani yako sasa unaninyanyasa hivyo nitapenda nini kwako chema cha kunivuta ili mimi nipende Imani yako mbona unaharibu maudhui ya Imani yako.
@alexluzu234
@alexluzu234 3 года назад
Tanzania haina dini ila watu wake wana dini so uko sahihi na umtaje YESU kabisa cku nyingne usisahau
@daniellaurent9225
@daniellaurent9225 3 года назад
God created man to save man, surely i trust you man of God
@deborahmsuyah2750
@deborahmsuyah2750 3 года назад
Mungu akuongoze na kukubeba ktk kazi hiyo.Samia uko vizuri hongereni
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 3 года назад
Jembeeeee
@kalutalumenge1459
@kalutalumenge1459 3 года назад
Hii ndio maana Baba Hayati Dr. Jpm
@kipkiruikigen3041
@kipkiruikigen3041 3 года назад
Pongezi
@deborahmsuyah2750
@deborahmsuyah2750 3 года назад
Ni mzuri mtegemee Mungu tu inawezekana
@yusuphmbogolo8487
@yusuphmbogolo8487 3 года назад
Chuma hicho
@pastorjamesmajaliwa7843
@pastorjamesmajaliwa7843 3 года назад
Kwaapo Mama nimemukubali tena ni rais wangu maana amependa kufata katiba marehemu alikuwa afanyi ayo uyo anafaha kuwa makamu wa rais na omba munifikishie salamu kwa mama mwambieni katiba ndio mpango mzima
@gmaemba22
@gmaemba22 3 года назад
Mipango yako inaonekana kabisa ni mizuri nenda sasa kachape kazi.
@westonnkoswe8132
@westonnkoswe8132 3 года назад
mpango chuma cha pua
@mohamedasaid7910
@mohamedasaid7910 3 года назад
Kanuni zimekaukwa. Speaker ni wakulaumiwa. Usirudie tena
@tatumashauri3891
@tatumashauri3891 3 года назад
Mtakoma na mauchawi yenu mgojwa ulimloga wewe koma usilete maziea paspo zoeleka
@soipei3359
@soipei3359 3 года назад
Ungonjwa mwingine huu
@festokomba4694
@festokomba4694 3 года назад
Unamaanisha nini
@shafiihchongowe2221
@shafiihchongowe2221 3 года назад
Jibu unamaanisha nn?
@kenzanrobert9836
@kenzanrobert9836 3 года назад
Yasiyo kuhusu yakuwaashia nn?
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 года назад
Soipei. Umba wako basi unae ona atafaa naomba Toba na Rehema kwa watu wachache kama wewe Mwenyeezimungu awarehemu kwani hamjui mtendalo Amina Milele.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 года назад
Mchaga ww
@zulfaoman7554
@zulfaoman7554 3 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️mpango
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 39 млн