Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

🔴#Live: HOTUBA NZITO ya MSTAAFU KIKWETE MBELE ya RAIS SAMIA - ''NI UPUUZI, USISIKILIZE MANENO''...
Rais Dkt Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM ameshiriki mkutano mkuu wa kumi wa chama hicho ambapo leo 8 dec 2022 ni siku ya pili ya mkutano huo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@azanyaziid5466
@azanyaziid5466 Год назад
Kikweete safii
@theobartkingamkono5087
@theobartkingamkono5087 Год назад
Kimeumana naona sula ya ndugai na bashiru tu
@zackmwitakitejakutokasimiy8238
Hotuba zuri huyu ni wamaana sana katika taifa la tanzania
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Год назад
Lazima awasikilize wananchi maoni Yao watu tumechoka
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 11 месяцев назад
mheshimiwa rais mstaafu sisi wafanyakazi sekta binafisi tunanyimwa mikopo hatakama tunavitambulisho vya nida tusaidieni msitutenge asante
@margaretmwingira1339
@margaretmwingira1339 Год назад
☹️
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs Год назад
Yeye nA mkapa wameifilisi nch
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
MADHALIMU wakubwa kazi zenu kupindua matokeo ya UCHAGUZI.
@deogratiustimoth4070
@deogratiustimoth4070 Год назад
Mapichapicha TZ
@mbegambega9705
@mbegambega9705 Год назад
Ajira ,Maji tupo mwanza ziwa hapo Maji hakuna huduma Kwa watumishi kila mmoja anatenda atakavyo.arafu mpite 2025 haiwezekani
@2003hintay
@2003hintay Год назад
Unadhani hapobyete angesema maneno gani zaidi ya hayo lazima apambe
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Wekeni ada ya fomu 100 milioni, wanachama wengi wachukue fomu za Urais, kamati ya kuchuja majina aweponDr Shain, M.Pinda, Nape na Kinana alafu jina lipite moja tu tenà kwa maelekezo maalum ya Wazee , ada zote zichangie Chama. Next time uone kama Kuna mtu atajitokeza kuleta udwanzi, Democracy is there to preserve and not to exercise, hakuna muda wa kupigizana kelele na watu wazima
@josephsangu7655
@josephsangu7655 Год назад
Mzee wangu mihuwa nakuerewa sana
@michaelpaskal
@michaelpaskal Год назад
Kweli rais kikwete samia kawekwa kama picha
@akidahamad142
@akidahamad142 Год назад
Mutauwana amni sasa munatukanana et tuache upuuz daah munaelekea kufa mumesha feli amni daah poleni zulma zimesha pitlza daaah
@bilid4128
@bilid4128 Год назад
😁😁😁Mwanaharaka huru Huyo ni Cyprian Musiba
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 Год назад
Musiba aliwakera wengi
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Damu kidogo wakati wa vita, yaani UCHAGUZI ni vita.
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 Год назад
Yaan wewe ndo umefanya huyo Bibi achukiwe kuliko viongoz wooote tz
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
GENGE LA MAFISADI MAJI MIAKA 61 HATUNA UMEME HATUNA HOSPITALI 0 ACHENI UFUJAJI WA FEDHA ZA UMMA. JENGENI NCHI. ACHENI KUJILIMBIKIZIA MALI ZA WATANZANIA NA WIZI PUMZIKA MAHALI PEMA JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
@ilungasalle
@ilungasalle Год назад
Huyu mzee kama bado rais fulani hivi
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Год назад
Yeye ni raisi mstahafu lakini tambua kwamba he has got a very unique attractive and charismatic leadership personality plus sweet tongue with great ability in public speaking skills and eloquence (ufasaha).....
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Год назад
yeah na ndio maana unamuona yuko hivyo na ataendelea kuwa na commanding and authoritative personality mpaka atakapokufa just as Nyerere was....
@azanyaziid5466
@azanyaziid5466 Год назад
CCM ni chama kikubwa maarifa mengi . CCM oyeeeee
@praisegodlukio762
@praisegodlukio762 Год назад
hahahaha Musiba amekomeshwa
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs Год назад
Hskosi dola biioni tatu huyo muuaji
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 Год назад
mzee anaongea na ana kipaji haswa cha kuzungumza
@bensonmasanja9862
@bensonmasanja9862 Год назад
Mzee wa maneno vitendo #0
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
Mzee wa kubeba kundi la mafusadi lisonge mbele wakati wananchi wanaumia safari zao za nje ndio kiongozi kutumia kodi za wananchi kwenye mahoteli ya kifahari na kusaini mikataba ya kijinga na wachina kuhusu bandari ya bagamoyo
@wilfredntelya6920
@wilfredntelya6920 Год назад
How bhhhh j hi uuh be
Далее
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 996 тыс.
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 996 тыс.