Тёмный

MZEE MAKAMBA AWAACHA HOI SAMIA, KIKWETE AKITEMA CHECHE KWENYE MKUTANO MKUU CCM, AMNADI MZEE KINANA 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 698 тыс.
50% 1

MZEE MAKAMBA AWAACHA HOI SAMIA, KIKWETE AKITEMA CHECHE KWENYE MKUTANO MKUU CCM, AMNADI MZEE KINANA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

31 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 791   
@jenniferkalinga736
@jenniferkalinga736 2 года назад
RIP magu pumzika kwa amani baba..l miss you baba 😭
@abdulkarimtwaha8148
@abdulkarimtwaha8148 2 года назад
Utopolo tuu muhunii
@jenniferkalinga736
@jenniferkalinga736 2 года назад
@@salma0000 pumzika kwa amani 🤣
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 2 года назад
Mfuate pumbavu
@azizaabdulkarim
@azizaabdulkarim 22 дня назад
Aaaaaqaaaaqaqq​@@abubakarihamissi4178
@hamisrutunga4609
@hamisrutunga4609 2 года назад
R.I.P my HERO my Heir anko MAGU 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Malipo ni hapahapa 😭😭😭
@goodluckjustin8579
@goodluckjustin8579 2 года назад
RIP JOHN POMBE MAGUFULI😔😔🥲
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 года назад
Hakuna kitu hapo, lakini bado sana kumkaribia hata kidogo JPM. Pengo aliloliacha JPM ni ngumu sana kuzibika kirahisi rahisi hivi. RIP, BABA YETU, JPM.
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 года назад
Na ww ukifa lengo lako halitazibika, sote njia ni moja na hili ukutane na Mungu ni lazima ufe .
@bahatijacob7430
@bahatijacob7430 Год назад
Kweli,mm,Niko,na,magufuli
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 года назад
Asali hiyo mnailamba wenyewe. Watanzania hawajaiona wala kuisikia, I’m sorry to say that. And I’m sure wengi wataniunga mkono . Hawa CCM wanatufanya Watanzania shamba la bibi. Sasa basiiiii👎🏾
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 года назад
Exctly very correct Mery
@jonathankyando2698
@jonathankyando2698 2 года назад
Una ushahidi au unaropoka tu?
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 года назад
Wajinga hufikiri kwa ufupi,wapi duniani wanapolambishwa asali,zaidi ya fursa!?acha kulalama tumia akili
@aymankhadija619
@aymankhadija619 2 года назад
@@salma0000 Hhahahaha🤣🤣🤣umenchekesha sana dada sikutegemea🤣
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 2 года назад
Pumzika kwa amani JPM. We real mic you. Wamerudi wezi, wahuni na porojo ni nyingi. Mtaani matatizo yamejaa. Umeme tunakatiwa, wafanya biashara wananyanyaswaa. Mungu tusaidie kwani hata matajiri wezi wanakufa na kuoza. Asali mnaramba wenyewe sasa mseme watz tunaramba asali. Tunaramba vumbiii kwa msivyotujali.
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
Kwani Jpm alitupa asali tukaramba? Mambo ni hayohayo tu
@komboarts7110
@komboarts7110 2 года назад
Leo angalia methari zinavyotumika kuweka sawa uwezo wa kufikiri. Fumbo mpe mjinga mwelevu atafumbua tu. 🤣🤣🤣
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 года назад
Mungu ni wa majibu watajibiwa tu na hivyo vijembe vyao
@timboxlee919
@timboxlee919 2 года назад
Kwa watanganyika hakuna maendeleo tena, mafisadi walimuuwa ,RIP JPM
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 2 года назад
Kama una ujua walimuua basi na wewe watakuua
@sarahmmbwanji3782
@sarahmmbwanji3782 2 года назад
@@fidelismwakanyamale6787 walimuua ndio
@htx1873
@htx1873 2 года назад
TUNAOELEWA SISA ZA BONGO NDIO WAMEMUUA KWAAJILI YA MASLAHI YAO🥴🥲😭 . INCHI YA KISENGE SANA
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 месяца назад
Na tumefilisiwa hada. Kundi zima liko hapo mbele. Ni hatari kwa nchi yetu.
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 2 года назад
Hamna kitu....nyie endeleeni kulamba asali mwisho upo jirani tuu......vijana Wana maliza vyuo wapo mitaani mnaendekeza kuteua wazee waliokula nchi Kwa miaka zaidi ya 40....this is shame!!!
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Shame and too selfish....
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 года назад
Vijana wakina Kondakita wasiojua kuwaheshimu wazee?
@pendopendokimathkimath1218
@pendopendokimathkimath1218 2 года назад
Wote hawa mungu mwenye haki anaweza asiwafikishe iyo 2025 wanayotaka kutufikisha kwa mateso mungu usilipize kisasi ila pasipo haki washa moto
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 года назад
nonsense. nafasi moja hiyo inaweza jazwa vijana wote?badilisheni vichwa vya kusoma ili muajiriwe,soma ili uweze kutumia elimu kuyapambania maisha.
@jafarimurutu3076
@jafarimurutu3076 2 года назад
Tatizo mnasoma ili muajiriwe badala ya kusoma ili uelimike ujiajiri🤣🤣🤣🤣
@jonesgeorgekapipo7595
@jonesgeorgekapipo7595 2 года назад
Dah utafikili nchi ya babu zenu,pumbavu zenu ccm hamna lolote vitu vimepanda Bei nyie mnagawana asali dah
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 года назад
Wao wanalamba hawana wasi hofu na mashaka ni kwetu 😭😭😭
@linnamlay3643
@linnamlay3643 2 года назад
Hata Kenya Ni Ccm inatawala? Acha zako tatizo la dunia usitufokeee🤣🤣🤣🤣🤣makamba hoyeerr
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 года назад
Watu wanaraha zao ndio maana watoto wao wako mdarakani ,,Ila wasubiri hukumu ya Mungu,Magufuli nakukumbuka sana
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
😷😷😷😷😷KUMBE HUKUMU YA MUNGU IPO EEEE. OK MMMHH. TUNDU LISU ANAKUSALIMIA SANA NA WENGINE WENGI
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 2 года назад
Malipo hapa hapa duniani ahera mahesabu
@toshindugwa1085
@toshindugwa1085 2 года назад
Naungana nawe malipo hapa hapa
@olenyghosho7008
@olenyghosho7008 2 года назад
RIP jpm
@charlesfrancis1720
@charlesfrancis1720 2 года назад
Unafki mtupu na fimbo ya mungu itawahukumu
@charlesfrancis1720
@charlesfrancis1720 2 года назад
Chama kimerudishiwa matapeli na wanyonyaji
@hidayaamani7150
@hidayaamani7150 2 года назад
Mungu yupo ikosiku atawafedhehesha nasmini ipo siku inshallah
@kombedavis4056
@kombedavis4056 2 года назад
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo mkwel daima, pumzika kwa Amani baba
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 2 года назад
RIP MAGUFULI
@christinammassy1550
@christinammassy1550 2 года назад
😜Kaingiaje hapa sasaaaa.....👌🏽
@zainabmapezi5730
@zainabmapezi5730 2 года назад
Wengine wanafiki tu.
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 2 года назад
@@christinammassy1550 akili komkichwa
@amrimapate8979
@amrimapate8979 2 года назад
Rest in peace our presdent Magufuli alijitoleamaishayake kwaajili yetu wa Tanzania wanyonge tunakukumbuka sasa
@malcomx4067
@malcomx4067 2 года назад
Mungu wa Magufuli uko wapi? Mbona hawa wanafiki wamerudi kwa kasi? Nchi inaongozwa na familia.
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 года назад
Nadhani Yupo Chato huko
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 2 года назад
The higher you climb the harder you fall.
@stevenmanyalu890
@stevenmanyalu890 2 года назад
Rip 😭 Magufuli hatutawahi kukusahau umuhimu wako unaonekana
@vedastusmagai8272
@vedastusmagai8272 2 года назад
Acheni unafiki wazee Sasa mtuachie serikali yetu ,mkiongozwa na huyo mdoli, lala salama baba 😞
@ahmeidayoub6078
@ahmeidayoub6078 2 года назад
.
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 года назад
Kinana alijiuzulu ukatibu mkuu,,leo amekubali kuwa makamu wa CCM,maajabu sana, leo wasio mpenda magufuli wanarudi licha ya mambo yote.
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 года назад
Yanii siasa zina unafki sanaaa hawa wazee wanafk sanaa ila MUNGU ndy muweza wa yotee
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 2 года назад
Point less na itakuumiza Sana badirika kuringana na uongozi huu.siyoni kama ni tatizo wewe unajenga chuki ya kishamba na jifunze kuishi vizuri na watu hata kama huwapendi itakusaidia badae.
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 2 года назад
@@happynjukiz6495 mjinga ndo huyu sasa
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 года назад
Kama unaona mwenyekiti kichwa maji kwa nini usijiudhuru, na Kama isingekuwa ubabe kwenye uchaguzi wa 2020 tungeshuhudia anguko la CCM kuliko miaka yote
@christinammassy1550
@christinammassy1550 2 года назад
Tatizo liko wapiiiii 👌🏽Wampendeje Mungu keshampenda zaidi 😜
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 2 года назад
Jeshi Magufuri pumzika kwa Amani tunaumia sana lkn Leo najua Mungu kukuchukua alikuwa anamaama kubwa na funzo kubwa sana kwetu.
@juliuschacha3658
@juliuschacha3658 2 года назад
Awezi kupata tena kashayakoroga
@juliuschacha3658
@juliuschacha3658 2 года назад
Utampigia mwenyewe kura
@jacksonmwiru8995
@jacksonmwiru8995 2 года назад
Jamn nimemisi Sana Rais wetu, Jpm lala salama baba daima tutakukumbuka
@Silay1034
@Silay1034 5 месяцев назад
Kalale nae huko bwege utamkumbuka acha kuzungumza upuuz Magu ndo Nani watu walikuwa hawapumui
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 2 года назад
Huyu mzee ameishiwa..mambo ya kuongea...watanzania wanaumia..unasema wanaramba asari...
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 2 года назад
Yaani wana uhakika
@alhaminyangusi8035
@alhaminyangusi8035 2 года назад
Acha stress ww ,, wenzio wamepambana saiv wanalamba asali tu na wajukuu zao .. na ww apo ulipo pambana ili mwanao astirike baadae .
@mgemasteven2193
@mgemasteven2193 2 года назад
mtamchaguwa nyinyi Wana chama wa CCM lakini watanzania siyooo wakihiivyoo hatuchaguwi majizi
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
CCM OOOYYYEEE. THIS IS CCM
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
JISEMEEE WEWE NA UKOO WAKO, CCM OOYYYEEEEEE
@johnngowi6619
@johnngowi6619 2 года назад
@@ziadasadiki8196 wewe sio ccm wewe ni kinuka mavi mmoja usie jitambua
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
@@johnngowi6619 🤣🤣🤣CCM OOOOYEEEE, MAMA SAMIA SAFIIII. MAMA MWENYE HURUMA HAPENDI DHURUMA HAPIGI WATU BASTOLA, MAMA MPENDA AMANI NA MTULIVU. CCM OOOOYEEEE. ASIYEIPENDA CCM NA MAMA ACHIMBE SHIMO AZIBE MASIKIO.
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Kuna Awamu Ambayo Haikuwa na Majizi..?na 2025 Samia. Huyo Hugo atapita Ndio mtajua Kuwa Sisi ni Mbulula na Wajunga Hao hao Ccm watapita kwa Kishindo TZ unafiki sanaaa..
@venturejackson6357
@venturejackson6357 2 года назад
Sasa tutakoma nchi imeshikiliwa na wenyewe 🙌
@mablukimawazo7194
@mablukimawazo7194 2 года назад
Rip magu tumekwsha wanarudi duuuu
@hopekulwa6880
@hopekulwa6880 2 года назад
Ya mungu mengi tuombe mungu amani idum tanzania mana hii mitandao mingine inapotosha
@hopekulwa6880
@hopekulwa6880 2 года назад
Kidum chama tawala
@erickford9324
@erickford9324 2 года назад
Unaramba asali wewe Mzee coz unakula bure Zanzibar mchele kilo 3000
@hoseamartin1236
@hoseamartin1236 2 года назад
Utafikiri hii nchi ni ya ukoo wenu
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 года назад
Mbona wajumbe hawajachangamka,ccm tuwe makini kazi ipo mbele kubws
@wilbertmmary9076
@wilbertmmary9076 2 года назад
Mambo yamebadilika hii Ni awamu ya Mama. Tumuunge mkono katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
@jacksonnduna4419
@jacksonnduna4419 2 года назад
Wapinzani wanchi hii mnatuangusha sana mkiwa serious, hii nchi mnaichukua kirahisi sana, ccm hawana kitu tena wamebaki kufanya comedy tu
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
Chuki haisaidii tena hapa ni Ujipe Raha na Amani ya moyo tu. MAISHA MAFUPI
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Nyie Enzi za Awamu ya Tano kuna Madudu yalikuwa yamafanywa wakisema Mnawatukana..SHIDA Wa TZ ni fuata upepo na Mihemko.Mingi Pia Hatujajua Tunataka nini kwenye Nchi Yetu Bahati Mbaya wana Siasa wametusoma Akili zetu Wanajua pakutushikaa..
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 года назад
Mnoooo
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 года назад
Mapema Asubuhi tunawapa nchi
@saidipara4134
@saidipara4134 2 года назад
Yani dahh
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 года назад
Kuleni nchi hakuna wa kuwazuia, Kuleni mkisaza wengine tutapata
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 года назад
Hujaskia swali la hamna matumbo??
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 года назад
Umenena san mkuu
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
Kutesa kwa zamu
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 2 года назад
Acha wajinadi..huo hata methali wanazo ropoka
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 года назад
Duh..!
@sabatoelia312
@sabatoelia312 2 года назад
Kumbe hii nchi niya kujuana kama hukuwahi kupita jeshi hutoboi 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼awachagui viongoz wanachagua kulindana matumbo
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 года назад
Kajiunge nawewe
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
RIP Magufuli
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 года назад
Bashiru yuko wapi...?? Tujifunze maisha uweke akiba
@zikirination6769
@zikirination6769 2 года назад
Naanza kumuelewa baloz wa Malawi Alisema Kuna kikundi Cha wahuni wamepiga copy serikali kwaajili ya mambo yao binafsi akakazia kataa wahuni 🙏😁
@sumisumi8181
@sumisumi8181 2 года назад
Pole pole Kapewa ubalozi kwa sababu hawe mbali na mchezo wa ndani
@albertfen110
@albertfen110 2 года назад
TIME WILL TELL WHAT NEXT LETS GO 2025,CCM SIO YA FAMILIA AU YA WATU FULANI TU,MUOSHA HUOSHWA
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 2 года назад
Kama tutakuepo Albert 2025 tutajionea wenyewe kama mpangaji ataweza kujiita mwenye nyumba au mwenye nyumba ndo mwenye nyumba
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 2 года назад
Tumechokaaaaaaaaàa
@homeboy2307
@homeboy2307 2 года назад
Acha uongo mzee hiyo asali unaramba wewe
@mombasa0076
@mombasa0076 2 года назад
Wewe pia unaramba lakini macho huna ndio maana huwezi kuona. Pole sana
@homeboy2307
@homeboy2307 2 года назад
@@mombasa0076 sawa
@homeboy2307
@homeboy2307 2 года назад
@@mombasa0076 sawa
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 года назад
😄😄😄😄😄😄😄😄👊👊👊👊👊👊
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 2 года назад
Magufuri, pumzika kwa amani baba yetu.. tutakukumbuka watanzania
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 2 года назад
Evi mnajisahau kuwa hakuna atakae ishi milele duh leo wapigaji wamerudi kwa kasi jamani eeehh Mungu wangu watanzania tuamke jamani tumepigwa vibaya JPM uko wapi baba natamani ingewezekana urudi leo hii watu wengine nchi hii watakuwa wakimbizi
@nazraseiban1082
@nazraseiban1082 Год назад
Vibrant speech...and very motivational...this guy is a gift to Tanzania...Makamba hoyee👏👏👏
@rosemerrymasalakulangwa4456
Mzee Makamba speech. Nzuri sana
@rosemongi5273
@rosemongi5273 2 года назад
I MISS you my President J,P,M hatutakusahau kamwe wacha wajigambe lakn dunia ni hii hii waendao ni viumbe siku yaja mungu ataturudia tena.
@jonathankyando2698
@jonathankyando2698 2 года назад
Wacha maneno ya ajabu ww
@oscarwandera8129
@oscarwandera8129 Год назад
How old is this gentleman ? Very vibrant and dynamic..... Love his speech...
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 года назад
Ogopa kuishi na mtu anayekusifia tu bila kukusaidia mchango wowote wa mawazo.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 года назад
ongopa we kwa kula ya famila yako, RIP JPM tutampenda daima alijua kuiheshima nchi, ss tunarudishwa tulipokua unafiki tu mazuzu yanapiga makofi mwenzenu anafagilia chakula.cha wanae nyie mazuzu pigeni makofi nyambafu
@mbaumau3565
@mbaumau3565 2 года назад
wewe mbona unalopoka lopoka kweni kiswahili unakijuwa au mkongoman wewe mzee makamba hapa ajaongea chochote kibaya wewe ndio unaleta ubaya humu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 года назад
@@mbaumau3565 piga makofi zuzu wee, ss wenye akili awatudanganyi kula ya familia zao hakuna jipya🤑
@dismasvalerian6165
@dismasvalerian6165 2 года назад
Makamba jinga sana
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 года назад
Huyu mzee khaaaa
@silverrichard1211
@silverrichard1211 2 года назад
Kundi hili la kujuana la kifisadi ni hatari sana kwa nchi yetu bila hawa wazee kuondoka wananchi wataendelea kuishi maisha magumu sana
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 2 года назад
Ulishaona matapishi yanakuwa msosi. Namba tutaisoma kweli.. Dhuuuuuuuh
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 2 года назад
R. I. p Magufuli.....
@hafidhclassic5862
@hafidhclassic5862 2 года назад
RIp JPM 😭😭🙏🙏
@rashidysingo8564
@rashidysingo8564 2 года назад
Mzee makamba nakushauri Sana usimchulie mama yetu ,nakumbuka hata ndugai alimuambia magufuli akimaliza awamu zake mbili lazima ataongezewa tena miaka kumi mingine, ndugai amemchulia magufuli sasa leo magufuli hatunaye tena sasa naona mzee anamchulia mama yetu,
@azizamvungi6409
@azizamvungi6409 2 года назад
nanji mtakufa tu.R ,I.P magufuli ama kweli ila jamani nyinyi watu mungu anawaona
@julianavigelo3983
@julianavigelo3983 2 года назад
mnaramba na familia zenu asali situnaramba shubili mungu atatukumbuka tu ipo siku🙏🙏🙏🙏
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 года назад
Mzee wangu, ivi kuna faraja gani kama mfuko mmoja wa mbolea umepanda bei kutoka sh. 50,000/- hadi sh.120,000/-? Mpaka muda huu, umeme umekatika muda mrefu bila hata taarifa? Hayo ni mfano tu, yapo mengi tu yasiyoridhisha.
@pascalntandu1217
@pascalntandu1217 2 года назад
Mwenyezi MUNGU apigie mstari hiyo 2525,sisi tutamshukuru sana maana ni 2525 ndiyo mzee wetu anamuomba MUNGU iwe, na apewe kama haja ya moyo wake hiyo 2525 amina.
@masoudsaid5949
@masoudsaid5949 2 года назад
Rest in peace,Doctar JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
@homeboy2307
@homeboy2307 2 года назад
Wanandugu wakiitafuna Tanzania yetu
@adrianobariye8096
@adrianobariye8096 2 года назад
Kweli timu imekamilika
@muhammedmachimbo6304
@muhammedmachimbo6304 2 года назад
Amemuona kikwete akipiga za mayele gonna like zang
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 года назад
Huyu msambaa kapiga sana hela enzi zake za ukuu wa mkoa wa dar na katibu mkuu wa ccm Taifa.
@ariesastrology5708
@ariesastrology5708 2 года назад
👍love this speech...makamba,be strong 💪
@yonabilshan6424
@yonabilshan6424 2 года назад
2025 Katiba na time huru vikifanyiwa kazi majigsmbo yatakuwa 0
@dottoramba9218
@dottoramba9218 2 года назад
@@yonabilshan6424 @
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 2 года назад
Hovyoooo rest in peace jpm
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 года назад
Asante mzee wetu makamba tuwaenzini wazee wetu haifai kuwatukana maisha kigeugeu
@experienceafrica6905
@experienceafrica6905 2 года назад
Rest easy #JPM
@resmakihiyo3463
@resmakihiyo3463 2 года назад
Umeme upi? Au wa Majenereta?😂😂
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 8 месяцев назад
Mheshimiwa Makamba hongeragwe kwa Hotuba. Kweli asali twalamba. Shabiki letu la Simba. Asante sana swahiba.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 года назад
Kanuni ya Mungu wakati mwingne humwinua mtu ili amdhiri. Uongo na ukweli huwa vinashindana lkn ukweli siku zote hushinda haijalishi uzito wa uongo unaojaribu kuufunika ukweli uko kiasi gani. Mungu ibariki Tanzania yetu pamoja na wanyonge walio wengi.
@bantuisolele2543
@bantuisolele2543 2 года назад
Ni kweli kabisa yaani unajuimbua mwenyewe watu wakuone u mtu wa namna gani na kila kitu huenda kwa wakati na maksudi yake
@mankacharles4559
@mankacharles4559 2 года назад
Tunakuomba uliyetuumba utu teteeee uumbaji wako
@kivaya1kivaya952
@kivaya1kivaya952 2 года назад
Acheni kumpangia Mungu...tusubiri ya Mungu..mjengoni yalipigwa makofi pale pa kuongeza miaka Mungu akasema no..jifunzeni
@eliasmhagama4978
@eliasmhagama4978 2 года назад
Comrade Makamba umeupiga mwingi. Allah akujaalie maisha marefu na afya njema Mzee wetu
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 года назад
Waiting for you 2025 kazi ipo na ikitokea mkapitisha huyo kikalagosi mungu lazima atatenda tena maajabu Tanzania Mungu Ibariki Tanzania mungu tuokoee wanao uliyo tupa nchi hiii kama zawadi lakini Sasa tunachezewa akili zetu na wapumbafu wacheche Uko wapi Amani yetu Iko wapi ile demokrasia tunayo isema my Young brothers and sisters let we fight to gather ....... Waiting for 2025
@Given-Norman
@Given-Norman 2 года назад
Unachokisema ni kweli kabisa wanaongea tu na kupanga wanavyo jisikia hawajui kama Mungu yupo anayesikia maombi na vilio vya wa wanyonge, watashangazwa hao mpaka basi bado Mungu ajachoka kuiokoa Tanzania.
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 года назад
Kwaiyo Magu naye alikua kikalagosi sio!?
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 года назад
Go back to school
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 года назад
Kwenda mwana kwenda sijakufosi unijibu Elimu inakupasa uipate wewe!? .......Ukute mpka hapo ulipo Elimu uliyonayo ni ya madrasa....Kiazi wewe
@aceofspades3728
@aceofspades3728 Год назад
Kuna msemo unasema Kila maskini hufikiri tajiri ni mtu mwenye roho mbaya,mbinafsi na kama sio mwizi basi mchawi au pesa zake si za kihalali...sababu anaishi maisha ya starehe wakati Kuna watu wanateseka na kutaabika wakati tajiri humuona maskini kama mvivu,mjinga,mchawi,anavisingizio......Fanyeni Kaz achen uninga
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 года назад
Kinana? Ndo akili ya sisiem imeishia hapo kweli????? Tyr wametuangusha. Sio kwa kinana hapo ni zeroo kabisa
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Kama ni Mfuatilliaji vizuri was Haya Mambo sio Kama.wale kwenye Vijiwe vya Kahawa..Nikukumbushe Kama Unakumbuka Mchakatto wa Vua Gambaa ndio Utaelewa na Sio Kinana tu ongeza Nape na wengine walio husika Kipindi.kileee..Japo.tukumbuke Hakuna mkamilifu asilimia.100 hata awe mbaya vipi Hakosi Mazuri.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 года назад
Kinana ananini kwani ?unaemtaka wewe wengine hawamtaki na ninaemtaka mimi pengine wewe humtaki pia sasa tukae bila viongozi?hata wewe ukipata nafasi wapo watasema no na wengine watasema yes sasa wewe ni mtu mzima usifuate porojo za watu utakonda bure mkuu.
@lukascharles4861
@lukascharles4861 2 года назад
Iledamu yadhamani iliyomwaga yampendwawetu rais wetu magufuli imetumika kamasadaka yaukombozi kwanchiyetu 2025 mungumwenyewe atashuka kuhukumu wahuni hawa.
@dickmollel1505
@dickmollel1505 2 года назад
Ameen!!! Mwenyezi Mungu wetu halali
@halimaramadhanimwevi2472
@halimaramadhanimwevi2472 2 года назад
CCM, chama baba , chama mama , viongozi imara wenye huruma na hekima sio watu wa revange au ubabe 👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 года назад
Serikali imejiweke mafafiki je mmoja akifanya ufisadi atachukuliwa hatua,,, ila Watanzania kwishinea,,, mamiradi yote yatakufa,,,hakuna atakae Fanya kazi Kwa uaminifu
@anuaryally6177
@anuaryally6177 2 года назад
Mungu amlaze jpm mahala pema peponi amina
@jituakilimali15
@jituakilimali15 2 года назад
Tumeanza kuiba tena oyee CCM
@laurentkamata550
@laurentkamata550 2 года назад
very intelligent speech !! Makamba.
@MegaAlexison
@MegaAlexison 2 года назад
R.I.P Magu tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 2 года назад
Natamani magufuli atokee happy nadhani kunawatu watatamani kukifukiya chini wakiwa wazima
@tinamakacha1897
@tinamakacha1897 2 года назад
Kuzima moto tumekuelewa sana mzee acha maji yaendeleee tuonane 2025
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 года назад
CCM haishindi Kwa kura za wananchi wewe, ukipiga kura usipige CCM lazima itashinda t , kwahiyo Samia kama akigombea uraisi hiyo 2025 lazima atashinda t, nani anabisha?
@ernestjoseph7988
@ernestjoseph7988 Год назад
Napenda sana busara zako makamba nakuombea maisha marefu mungu akulinde
@kombedavis4056
@kombedavis4056 2 года назад
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI....mzalendo na msema kweli daima!
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
Alikuambia juu ya kukopa? Alikuambia juu ya rambirambi za kagera? Acha uzandiki wa kishamba wewe na unaonekana mwongo
@kombedavis4056
@kombedavis4056 2 года назад
@@mbwanarajab4756......Mitazamo tofaut juu ya uelewa, neno uzandik uelew hata maana yake, punguza mihemko, pa kutumia akili usitumie hisia......JOHN JOSEPH MAGUFULI mzalendo mkwel ambae WATANZANIA wazalendo tuu ndio waliomuelewa!
@kombedavis4056
@kombedavis4056 2 года назад
@@mbwanarajab4756 R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo mwana wa Africa mkwel...kuna mtu bila aibu anaulizia rambi rambi za kagera, aulizii standardgage,wala mradi no 4 kwa ukubwa Africa wa kuzalisha umeme! wala mtu huyo aulizii vp kuhusu ile aibu ya viongoz wetu kwenda kukodi ndege kenya
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 года назад
@@kombedavis4056 Wale wa kushangilia bila ya kufikiria ndio wengi na ndio mitaji ya wanasiasa , kwan wao humpa mtu sifa ambazo hana. Wazalendo Afrika ni kina Gaddafi waliokataa kuishi nyumba nzuri mpk wananchi wao wajengewe nyumba nzuri kwanza. Mwenzako alikua anatembea na hela za serikali huku babaako anakufa na madeni pamoja na njaa kwa Serkali kushindwa kusaidia wazee leo unaita mzalendo. Akili za watanzania wachache ni kumsifia hata yule anayekutesa na kukugombanisha na yule anateweza kukusaidia hata chumvi ukiwa huna. Angekua mzalendo asingeharibu uchaguzi mdogo na mkubwa hadi leo watanzania wanateseka kwa kutokua na wakuwatetea
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 2 года назад
Mwafulani kafurahiii , RIP JPM
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 года назад
Kinana alikutegea ufe wewe kwanza.
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 2 года назад
rest in paradise our hero JPM 🙏🙏🙏
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 года назад
Kiongozi yeyote duniani lazima awe na hekima;hukikosa hekima unapata hasara.
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 2 года назад
Kuishi na watu vizuri ni busara na diplomasia iliyo nzuri in within.
@fillomuhenga4240
@fillomuhenga4240 Год назад
Mzee makamba huwasichoki kukusikiliza unakipaji Cha kuongea hayuko anayekuzidi ndani ya ccm kwa wazee
@lazaroulomi1854
@lazaroulomi1854 2 года назад
Mzee makamba Mungu akutunze sana,🤣🤣🤣Tumeona.mbogo sembuse swala,,🤣🤣🤣,,Natamani kukutana na Hawa wazee,,Mzee makamba,Mzee kikwete,,Mzee kinana.
@eddypesha8317
@eddypesha8317 2 года назад
Huyu mzee dah nimependa speech zake mungu amjalie umri mrefu
@johnkasuga3290
@johnkasuga3290 Год назад
Mzee Makamba Hongera Sana,maneno yako Ni ya busara Sanaa;Mungu aendelee kukulinda ili tuendelee kuchota busara zako!!!Mungu akubariki Sanaa!!!
@anganilyohana2930
@anganilyohana2930 2 года назад
Waeshimuni wenye mamlaka..ila mm kwasasa ccm hamna kiongozi bora kifupi siwaelewi..jpm next life be a leader
@CHITUS
@CHITUS 2 года назад
RIP magu pumzika kwa amani baba..l miss you baba
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 года назад
Kikundi chao wamerudi
@samwelchacha7946
@samwelchacha7946 2 года назад
Vibaraka vya ccm without democray
@karimujuma6595
@karimujuma6595 2 года назад
Vicheko vya shebe inchi iko icu mna zambi kubwa Sana wakuu
@khadijamahmoud4365
@khadijamahmoud4365 2 года назад
Ni siku gani nchi ilikua paradiso? Achen unafki
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 года назад
Hivi vizee vishakula nchini sana waviaje vipumzike
@albertadalabert5702
@albertadalabert5702 Год назад
Mama Samia Rais wa Tanzania Ongera unaupiga mwingi sana kama Taifa limepita katika Covid na sasa vita ya Ukraine lakini tunasonga Barikiwa sana
@norbertpeter3609
@norbertpeter3609 2 года назад
Maguful bora angewafunga hata jela Hawa majambazi wa taifa,ila Mungu atatupa maguful mwngne tunaamin
@mmarandu2417
@mmarandu2417 2 года назад
WATU SIO WAJINGA, WANASIKIA, WANAONA, WANAELEWA. RIP MAGU.
@frankkyejo4254
@frankkyejo4254 Год назад
Noma
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 года назад
Porojo za siasa hatari sana ..tunataka nchi yenye kuleta maendeleo zaidi ya Hayati alivyofanya.
@wilsongeorge1353
@wilsongeorge1353 2 года назад
Unaona kwa vile magu hayupo endelea kuona mungu ndie ajuae
@mwitathomas9001
@mwitathomas9001 Год назад
Nimesoma comment zote Kwa ujumla mnaumia rip magu
@simontamba1285
@simontamba1285 2 года назад
Jpm Angeishi na wapinzanii vizuri wangemsaidia kuongoza na nchi ingefika mbaali zaidi Kuliko hawa aliowaona ni marafiki kuumbee ndio wabaya wake ayaa
@jafaryjey
@jafaryjey Год назад
Yaani Wanaume mkija kumwacha mwanamke agombee nitawaona wapuuzi sana, Kikwete usitutishe, Samia ni Rais wetu but she is not our choice it was MAGUFULI, So muhula ukiisha tunataka waheshimiwa wagombee ili tupate chaguo letu msitake kutulazimisha
@RoanCorporation
@RoanCorporation 2 года назад
Makamba ny mzee mzuri sana
@Allystor
@Allystor 2 года назад
Chama cha familia
@beatricemsita6776
@beatricemsita6776 2 года назад
YES KUWA ENZI WAZEE SIYO KUWA FETHEHESHA......NO UKUBWA.....HKEKIMA☝️💯
@wilfredmaimu1958
@wilfredmaimu1958 2 года назад
Mjomba mangu namkumbuka
Далее
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 34 млн
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн
Salamu za Mzee Makamba
9:50
Просмотров 153 тыс.