Тёмный

MBOSSO AFUNGUKA UKWELI KUZAA NA ALIYEKUWA MKE WA ABDUL KIBA | BIG SUNDAY LIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 273 тыс.
50% 1

MBOSSO AFUNGUKA UKWELI KUZAA NA ALIYEKUWA MKE WA ABDUL KIBA | BIG SUNDAY LIVE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

31 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 237   
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Yaani dunia imezunguka mpaka inarudi enzi za ujahilia,kuzini siku hizi imekuwa kitu cha kawaida na kuzaa ovyo, imekuwa sifa,,Inna lilah waina ilayhi rajiun
@indirimbotv59
@indirimbotv59 Год назад
Wawesema ni fashon
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Год назад
Huyu mbosso mwaka uliopita palitokezea kijana akasema yeye ni ndugu yake hata hakumtia mani Léo vile sifa za zina kajitengeneza kuzijibu inalilah wainailayhi radjioun. Mungu tupe mwisho mwema yarrabi🙏🙏🙏🙏🙏
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
sema Abdul aliojiwa na media moja hivi jamaa akamwambia kwamba mbosso amezaa na mtaraka wako aliumia sema alijikaza tu kiume inaonesha alikuwa bado anampenda mkewe na kama alisema ajampataraka hivi sema mboss ukumjua kweli jamani
@estheroyondi4908
@estheroyondi4908 Год назад
Napenda story zako sana,,,mabiliani ilileta mtoto wa kike,,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mamakeaisha4926
@mamakeaisha4926 Год назад
Ivi Mwenyewe waona sifaaa???? Tena huna Ata waswas vijana wa kiislam tunaangamia jamaniii yarrab tusimamie na utupe ufahamu wa kufunguka akili turudi kwako inshaallah....
@DJDOPEEPISODE
@DJDOPEEPISODE Год назад
He is good storyteller
@stuartkudeba
@stuartkudeba Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Du0Owr8Pebw.html
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 Год назад
Jmn inawezekana ni kweli hakumfahau kwa mda huo mbosso ni star anakutana na watu wengi hasa wanawake
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Год назад
Pesa zimewachanganya hawa vijana mpaka wanamsahau . Mungu bora murudie. Mungu wenu kwani shetani anawapandia juu ya utosi😡😡😡😡😭😭
@japhetizo4613
@japhetizo4613 Год назад
Noma sana naitwa japhetizo kutoka njombe kusin nafanya mziki ingiza youtb sachi japhetizo utapata ngoma zangu kali zote huko asante
@jonathankasembi9217
@jonathankasembi9217 Год назад
Huyo mdada alitaka kuzaa na wasanii ndo sababu Ivo alisubiri akijua siku zake ziko sawa Basi akaja kumsuoporti mbosso...kiufupi alipenda bengu damu za kiusanii
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 Год назад
Kupenda ngono nisawa na kuendekeza sifa za kijinga maana mwisho wa siku unaibuka na ukimwi bure, umalaya sio dili vijana wekezeni kwa mungu inatosha sana 🙆🙆🙆😄
@esthermoraa6648
@esthermoraa6648 Год назад
Kumbe huyu kaka malaya kwel kwel kuliko boss wake mwenyewe 😂😂😂😂
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Год назад
😂😂😂😂
@jumasoli7818
@jumasoli7818 Год назад
😅😅😅😅 wanaume wengi tupo hivyo maana nanynyi mmezdi kuwa warembo😅😅😅
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Год назад
Huyu hatari ana watoto balaa
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
😂😂😂😂
@ashuramzeru5982
@ashuramzeru5982 Год назад
😂😂😂😂nimecheka sn
@zenassylvester125
@zenassylvester125 Год назад
Hata Mimi simfaham mke wa Abdul kiba kwakwel na mwamba tumecheza mpira wote jangwan 😂
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 Год назад
Tajiri wambegu nakubali😂😂
@mariamsaid4381
@mariamsaid4381 Год назад
Yaani having an unprotected set seems very normal to this guy... so unfortunate...
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 Год назад
Yaani Ww unazalisha tu si owowe au ndo unazalisha wagumba dume la Taifa 🤣kwa umri ulionao kuja kufikisha 80 idadi ya wazazi wenziyo itakuwa wengi siyo vizuri
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
ETI HAKUJUA HUYO DEM ALIKUWA BIBI WA ABDUKIBA AWACHE UWONGO LAZIMA AWE ANAJUA JU ABDUKIBA ALIKUWA RAFIKI YAKE.
@shimadosun
@shimadosun Год назад
Mbosso 💞✨️
@naturalbeautynkatha5725
@naturalbeautynkatha5725 Год назад
Mbosso nampenda sana
@saidwayawaya5356
@saidwayawaya5356 Год назад
Mbosso ww sio msema kweli.
@neemazee1864
@neemazee1864 Год назад
Naisi uwo ugonjwa wa kutetema umeambukizwa, umezidi umalaya!!!!
@zeinababdulla8137
@zeinababdulla8137 Год назад
Hufai kujisifu machafu ulifanya kwa siri Mungu akakustiri leo wasema hadharani.hata umeulizwa hufai kusema mambo yako.Mungu alikustiri leo wajiumbuwa subhannallah.Allah atuongoze,owa kuzini madhambi saana
@neamusic2601
@neamusic2601 Год назад
Umeongea vizuriii ndg yng.
@zeinababdulla8137
@zeinababdulla8137 Год назад
Shukran
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 Год назад
Kw hio dalili ya kuoa hamna nnachokushauri punguza bata kajitibu Gonjwa lko uje ufanye kazi kw bidii watoto 10 kusomesha Sio mchezo na huyo doctor kakudanganya" M'ke ndio kuzaa inakuwa hatar Sio M'me
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp Год назад
Yeye katupa watu wameokota achen kumuandama ata akizaanae ariomuacha ndio ajiurize aritaka afedheeke
@luganoromance8877
@luganoromance8877 Год назад
🙏🙏
@ARAFATVSHOW
@ARAFATVSHOW Год назад
Manshallah ❤️
@barinesnanjala
@barinesnanjala Год назад
Manshallah
@speroachpaulsen
@speroachpaulsen Год назад
🔥🔥🔥🔥
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
Mikumi10 tena mboss
@khojaAfrique
@khojaAfrique Год назад
Wimbo Ya Harmonize "Wapo" inaongea mengi.
@OnyangoLucas
@OnyangoLucas Месяц назад
Duuu mbosso kweliii napenda story zakooo😢😢😢😢
@minnahhassan2229
@minnahhassan2229 Год назад
Naombaaa kuzaa na mbosso🙈🥰😅
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Год назад
Hii ni hatari sana kupata ugonjwa ni rahisi sana
@timochazze9845
@timochazze9845 Год назад
Bili bili bili 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣❤❤❤
@Official83640
@Official83640 Год назад
Sasa ndy unaona bora uzae nje ya ndoa kila mwanamke kuliko kuoa ukapata watoto wa ndoa muislam mzima basi utapewa watoto wengine wasiokuwa wako maana ushaona ufahari kuzaa hovyo acha wabebe mimba kwingine waje kukutegeshea ww uwalelee
@mstaraabusantiago747
@mstaraabusantiago747 Год назад
Sijui nmecheka nini🤣🤣🤣🤣 eti utashootia wapi🤣🤣🤣
@aishahaji3128
@aishahaji3128 Год назад
Mbosso ,wanangu ukihitaji biriani niambie nitakupikia tena tabu cyo za kisikuhizi
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Год назад
Huo n umalaya unamwanamke ndan halafu unahangaika nnje.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Год назад
Eti mboso na wewe kidogo tu tayari
@queenlaty6788
@queenlaty6788 Год назад
Wanawake na sie wapumbavu mtu anajinadi ivo alaf kunamwanamke atamvulia nguo kesho
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 Год назад
Yan wanawake tun akil mbov kwel😔😔😔
@zena4746
@zena4746 Год назад
Sasa akiza nae kunaubaya gani simwanamke 😀😀😀😀
@hassanmohammed3421
@hassanmohammed3421 Год назад
Angemuowa ingekuwa vizuri zaidi
@zena4746
@zena4746 Год назад
@@hassanmohammed3421 kuowa ninia nanimoyo pia brother sio kila mtu yupo tayari kuingia kwenye jihadi iyo ndoa ohoo wangine bado wapowapotu hata wanawake pia nivoivo ndoa ohooo nimamuzi makubwa sana
@hassanmohammed3421
@hassanmohammed3421 Год назад
@@zena4746 basi wasizae zae tuu vitoto vya njee hata mtoto wenyewe akikuwa anajua kapatika kwa njia ya uzinzi tuu
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Yaani mbosso nakupenda bureeee
@dorcaskemmy738
@dorcaskemmy738 Год назад
Si kwa ubaya but 1hr enjoyment can lead a lifetime Arvs,cheza hiyo careful
@azooclassic2543
@azooclassic2543 Год назад
Khan unama scene mtu wangu😃😃😃😂
@TwalibuMsharaba-xh5xz
@TwalibuMsharaba-xh5xz 11 месяцев назад
Uwa nakukubali sana mdogo mbosso lakin kwa ili amna umezingua sana ulikuwa unajua tyu ata kama wameachana lakin unajua dem wa mwamba inakuwaje unachomchapia mwezako naww utachapiwa hivyo hivyo kwa md ambao utojua malipo hapa hapa
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Год назад
lakini Safi sanaaaaaa mbosso dawa Yao ao madem wanajifanya wao wanataka kuwajua sana wanaume kila mwanaume wanata kulala nao iyo kazi Yao anae kuja karib yako piga mimba ukisha maliza kwaher sababu au awana maana kabisa utawatunza na kukaa nao vizuri lakini awaridhiki kabisa uko sahihi kabisa mbosso wanyosheeee
@khanniebaraka6047
@khanniebaraka6047 Год назад
Kweli kabisa hatuna adabu
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 Год назад
🤣🤣🤣 tena chapa kwelikweli
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 Год назад
Shikamoo mbosso
@daudimagendero4694
@daudimagendero4694 Год назад
Wizara ya afya inakukumbusha msanii Mbosso kutumia condom kwa afya yako ',bado tunaman kuskiliza mzki wako maana unaimba vizur ahsant kwa kusoma
@marrymaganga8585
@marrymaganga8585 Год назад
Kabisa
@sukariyao6537
@sukariyao6537 Год назад
😨🤣🤣🤣🤣
@mwanahamisijaheka8078
@mwanahamisijaheka8078 Год назад
good message
@mlenglewis1747
@mlenglewis1747 Год назад
Wizara ya afya🤣🤣🤣😂
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Год назад
🤣🤣🤣aaaah
@shaneshane4175
@shaneshane4175 Год назад
Bas simuwe mngoja mtu aongee kuliko kuingilia kwajuu tena acheni ajieleze bas
@GoEunbeol_049
@GoEunbeol_049 Год назад
Tajiri wa mbegu ,anawahonga na Wana 😂
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 Год назад
Yaani ni rahisi sana kupata Ukimwi nyie dhu. Sasa kwanini usioe wewe acha ujinga
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Hii point🔥
@annievibes8794
@annievibes8794 Год назад
Hao Freemason ndiyo wamempa hayo masharti muongo huyo
@isaiahbaruani8849
@isaiahbaruani8849 Год назад
My gosh " biliani" is what really I need to know it literally
@pamanyango8917
@pamanyango8917 Год назад
Kwani wewe mbosso na abdulkiba, mna testi moja kwa wanawake? Ndio tukio itoke kama Mara tatu, inamaana mna testi moja
@merrysister5871
@merrysister5871 Год назад
Unataka umsaidie kumlea😂😂😂
@chipulavevo4441
@chipulavevo4441 Год назад
Diamond
@janetahmed6948
@janetahmed6948 Год назад
Mbosso mi shabiki yako rakini weye malaya sana tu utakuja kuugua ukimwi tu
@nasrahjumah6935
@nasrahjumah6935 Год назад
Na kama anao je!!!
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 Год назад
Nijambo baya saana kujidhulu nasfri kisha unaeleza ubaya ulofanya hakika mungu hapendi na vitendo hivyo vimekemewa kwa umma wa kiislam
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
African young boy never broke again.
@THEMADOLLAHSHOW
@THEMADOLLAHSHOW Год назад
Mbosso my guy
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 Год назад
Mabiliani,😂😂😂😂😂
@zarmussa2695
@zarmussa2695 Год назад
God
@princessbim6096
@princessbim6096 Год назад
Uowe sasa upate watoto wengine ndani ya ndoa
@kolethafabian2618
@kolethafabian2618 Год назад
Story tamu.
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Год назад
hakuna watoto wa nje ya ndoa hawana baba ila tu muhusika wa mimba anafaa amsaidie mama mtoto majukumu acheni kupotosha vijana wa kislam zingatieni mipaka ya dini
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 Год назад
"Watoto wa nje ya ndoa wapo kwa mujibu was sheria ya kiislam".Mipaka gani izingatiwe?
@emmadora7848
@emmadora7848 Год назад
Hawana baba mbegu zao zimetoka kwa nyani?
@zubeidashabhan2188
@zubeidashabhan2188 Год назад
@@emmadora7848 🤣🤣🤣🤣
@zubeidashabhan2188
@zubeidashabhan2188 Год назад
@@emmadora7848 wanaharamu hao
@luendosabah2047
@luendosabah2047 Год назад
Biliani Biliani
@jeda1234
@jeda1234 Год назад
Toba uwe na fikira hizo bor kuzini so vizur
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Год назад
Mbosso biriani respect bro🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌ila mbosso 🤣🤣🤣🙌
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Месяц назад
Uko sahihi mboso wanawake wengi wanachanganya wanaume
@fadyasnednassor
@fadyasnednassor Год назад
Basi hukumpenda km ungempenda usingejali kuhusu Kuwahi kuolewa kwake na Abdu you weren’t a man enough na yeye haina umuhimu kukwambia ameamua kuweka life style yake private Sio lazima aweke wazi Maisha ya zamani kwako coz that is her Past you Man up and be real Maana you aren’t real …
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 Год назад
Muongo uliona ndoa kabisaa sii kweli weqe muongo kabisa acha ujinga inamaana hukuona Abdul alioa.Acha ushamba na ulimtumia DM ulinuaje
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Usilazimishe ulichokiona et lazima nae aone🙄🙄
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Год назад
Mbona makasiriko😂
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 Год назад
​@@TM.Sullusi Wanadhan kila mtu ana muda wa kufata ya watu
@mnyamapaslee6111
@mnyamapaslee6111 Год назад
Wakwanza leo
@stonnerke7901
@stonnerke7901 Год назад
Mbosso story kibaooo kweliiiii🐵🐵
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 Год назад
Kajielezea vzuri sana😍😍😍😍
@siaraexclusivemediacr7834
@siaraexclusivemediacr7834 Год назад
Mhuu Mambo
@maryndinda4864
@maryndinda4864 Год назад
Wasafi wanapenda gono kweli
@nancykisero4604
@nancykisero4604 Год назад
Kijana Malaya kushinda hata huyo boss wake Simba.
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 Год назад
Kwahiyo ndo Maana unazalisha hivyo kisa wamesema madokita🤣je m/mungu ndo mpangaji
@ARAFATVSHOW
@ARAFATVSHOW Год назад
Nimependa unavyo ugeya
@mhoranomuno7358
@mhoranomuno7358 Год назад
Ila Mbosso anajua kuhadithia
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 Год назад
Huyu anafikiri ni sifa kuwa na watoto kila kona?? Kwanza haheshimu wanawake!! Jamaa mpuuzi sana!
@PUKTTAMEDIA
@PUKTTAMEDIA Год назад
Wakuu Pitieni kwangu
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 Год назад
Kweli we ni tajiry wa mbeggu🤣
@zuqkazii
@zuqkazii Год назад
mbosso
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Hii ni aibu kweli kweli.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Hayo maradhi ya moyo kmbhutofanyia bidii, hata huko kuenjoy, hutoenjoy
@meallimwamoyo6524
@meallimwamoyo6524 Год назад
Mbona kigugumizi
@mishimwarabu1824
@mishimwarabu1824 Год назад
😂😂😂😀😀waitwa waume
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Год назад
Shamee
@mvumoextratv
@mvumoextratv Год назад
mabiliani hayo😂😂
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Kwan yule mke wa abdukiba alofunga nae ndoa siku moja na Ali kiba walishaachana jaman
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 Год назад
Alf mujulish kuwa yko na mtt wkiume tyumemyoan kafanana nae naende kushulikia damu yke...naende kuangalia mbengo Tv mtt kavaa su2 ya rangi y dongo...
@barakakatana5398
@barakakatana5398 Год назад
Baada ya Biryani Mbosso akaabiria
@najimahgomez3334
@najimahgomez3334 Год назад
Mmmmm kk wewe una mwaga tu eeeee
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln Год назад
Unalaya tanzania ni nwingi sanaa hata ushoga nwingi hata issa katajwa
@byerabajulizy7252
@byerabajulizy7252 Год назад
Yani huyu nae pua zimemtanuka kama tanuru la moto wa jehanamu😭😭😭😭... kuwa makini jaman ukimwi upo uwiiiiiiiiiii unaona sofa eti kuduuu bila kinga jaman uwiiiiii Mungu tunusuru maana hao wanao liwa huko asubuh jion wanakuja kukiwa na wame za watu wanapeleka magonjwa nyumban kwa wake zao😭😭🤔
@husnawaziri2945
@husnawaziri2945 Год назад
😂😂😂😂
@kombakomba7922
@kombakomba7922 10 месяцев назад
Jamaniii 😂😂😂😂😭
@nurdinahmed9063
@nurdinahmed9063 Год назад
Wcb majungu tu
@idatonymassawe
@idatonymassawe Год назад
Dem mtangazaji anashobo sna
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 Год назад
Mabirianii😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumasoli7818
@jumasoli7818 Год назад
Ukimsema kuwa Malaya mtu kisa kazaa na wanawake tofauti co kwel huwez kujua chanzo nn mpka inakuwa hivyo usihukumu 2
@aishajumaa9787
@aishajumaa9787 Год назад
Na nyie mkituona wanawake tumezaa nje ya ndoa msituitege malaya hamjui tumepia mangapi mbaka tumefikia hapo
@ahmadsalim6782
@ahmadsalim6782 Год назад
Uyu lil omy namuona SANA ni mbinafsi hampi jamaa uyo bonge nafas YA kuongea
@elizabethfrancis16
@elizabethfrancis16 Год назад
Kumbe tupo wengi nilihc peke yangu mbinafc cyo kdg
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Mmmmmh watoto 8!!!!!🙄🙄
Далее
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15