Dont know if anyone gives a shit but if you're stoned like me during the covid times you can watch pretty much all of the latest movies on InstaFlixxer. I've been watching with my gf these days :)
King nimembatiza kuanzia Leo Chidy Benz ndio king baada ya kiti hicho kuondoka na Marehemu MaGwAir Ameamua kumrudishia Mchizi Wake Poa #ChidyBenz #KingofFreestyle100%
Dah! Bila kukaka kimya wala kuchanganywa na beat aisee! I'm happy to see that Chuma is truly back, sober n stronger! You really mean alot to East Africa. Keep it up Mtoto wa Ilala.
hii ni CHUMA Kweli..CHICHICHICHICHI...hahahaha kali aiseh..jamaa hapumui...kupumua ni after 10mins...+254 tunamtambua CHIDI..kama imefanya ucheke gonga like apa
Chid benzi ameshindikana yan ni non stop ...hahahahah wangeongeza dakika ziwe 15 ili tuendelee kupata radha and that is what we call it freestyle nasio kurudio kuimba nyimbo zisizokuwa namaana
Mmi Mkenya huwa nafagilia saana bongo flavour. Kiukweli tangu hiki kipindi kianze cha freestyle dakika kumi,huyu jamaa kachana bila kuangalia simu,kukatika ama kurudia mistari.HUYU BWANA KIBOKO YAOOO...alafu Msodoki anafuata.....hao wengine kina Mr.berry tuuuuuuu!!!!!
King free style,tumuombee huyu mwana arudi kwenye hali yake,kama zamani,jamaa yupo vizuri sana,ila unawaumiza mashabuki wako kwa jinsi unavyoshindwa kubadilika,chidi unatisha.
Akuna rapa atakae kuja vunja hii rekod.kwanza zimepigwa bit nying,kila biti inamistari yake.bila kuchoka bit inatendewa haki no kurudia mistar.mpaka jingo imepewa mistar.kam umeelewa gonga like🎉🎉🎉🎉🎉
I would like you to look in his passion to the freestyle.though some of the words are not well spelled.and some hazina maana. This guy needs to get back to his place. But its just hajapata management ambayo aliipata kipind akiwa kweny peak. Freestyle--100% i give you #chidibenz You the king. KAMA CHUO TWENDE VETA.🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
shikamoo chidy,daaaah cdhan kama kuna wa kubattle na wewe bro maana kufoka dakika 10 bila kukaa kimya hata kidogo so rahisiii. big up bro na karib tena kwenye game binafsi nilimiss sana uwepo wako hahahaa..😂😂
sasa mtu unang'ang'ana uelewe na freestyle huijui! wew kakomae na mduara na taarabu ,wanaojua nini maana ya freestyle tuache na kingkong wetu. saafi.saaaana CHID BENZ CHUMA
Much respect to u nilianza kupenda bongo tu sababu hip-hop ilipotea ila saiz toka urudi jembe nimepiga chini wabana pua tupe vitu kitaa kinahitaji saut yako broo