Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 37 тыс.
50% 1

🔴#LIVE: MAGUFULI - "NIKIFA NITAENDA NA UWANJA KABURINI, MAMBO MENGINE YANAUDHI SANA"
MGOMBEA Urais (CCM) Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 14, ameendelea na kampeni za kunadi sera zake na za chama chake wilayani Chato mkoani Geita...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com....
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 72   
@nyandwiziyada6451
@nyandwiziyada6451 4 года назад
Ubarikiwe sana rais wetu
@salmamgeta1599
@salmamgeta1599 4 года назад
Tunakulewa sana mzee baba mitano tena Mkuu
@reubendaud8198
@reubendaud8198 4 года назад
Mungu wangu akubarikie nakukulinda,akuangazie nuru yake nakukufadhilo
@fadhila9375
@fadhila9375 4 года назад
Amin
@bagenihuduma1569
@bagenihuduma1569 4 года назад
Hongera Mh. JPM
@kandurpjoshi5290
@kandurpjoshi5290 4 года назад
God Bless You Sir. 🙏🏼
@deborahassan1395
@deborahassan1395 4 года назад
Jipe moyo Rais wetu
@ephranciamoses1794
@ephranciamoses1794 4 года назад
Magu baba laooooo.ccm oyoooo
@husseinjuma4575
@husseinjuma4575 4 года назад
Mzee unaeleweka vizuri sana uzuriwako unafafanua mambo kwakina wewe hunaga rongorongo wenye kufikiri sawasawa wote tutakuchagua magufuli
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
Utamchguawewe
@seifkassim4579
@seifkassim4579 4 года назад
Ivi uyu samson peter.mke wa mboe au watundu la choo.maana nimefatilia kila sehem ya coment akiwapinga watu wanao mpa pongezi rais wetu
@evaristosanga471
@evaristosanga471 4 года назад
Perfect presedent for Tanzania
@saeedmugandja4187
@saeedmugandja4187 4 года назад
Ongeya ukweli Magu ukweli unauma Ile itabaki juwa ukweli.
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 4 года назад
Ashindwe akalegee😁😁😁 hapa mzee baba kachukia!
@kephaumoja3367
@kephaumoja3367 4 года назад
Ashindwe na akalegeee anavimbisha mashavu anazungumza uongo
@robertkadewele2377
@robertkadewele2377 4 года назад
MAGUFURI WEWE NDIO RAIS SUBIRI KUAPISHWA BABA
@deborahassan1395
@deborahassan1395 4 года назад
Atulie tu miaka mia 30 baba urais
@mishengoma2495
@mishengoma2495 4 года назад
MAGUFULI NI LULU YA TAIFA LETU KURA ZOTE KWA MAGUFULI MAGUFULI OYEEEEEEEEE
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
Unaijua lulu wewe au unaitendea haki iyaposho uliopewa kwaajiliya kununua bando sindio
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 года назад
Yaaani hapo mzee Magufuli uliongea bonge la point....Kweli kabisa...kwani ukifa hilo liuwanja la ndege watakuzika nalo...Unajua mzee kuna mijitu inakera sana
@salmamgeta1599
@salmamgeta1599 4 года назад
Kweli hakuna wewe nizawadi tulio pewa na mungu atuta pata kiongozi mahili kama ww
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
Hahahaaaaaa ngojanicheke kama mazuri
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 4 года назад
Imeandikwa: Kwa maana mtu amewekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu waebrania 9:27. Hivyo mtu anatakiwa kumtumikia Mungu akiwa hai sio kuombewa akiwa ameshakufa! Mwanadamu mtumikie Mungu ukiwa hai. Msidanganyike Mungu hadhihakiwi!
@robertkadewele2377
@robertkadewele2377 4 года назад
SEMA BABA CCM NDIO YENYEWE . CCMOYEEEE, MAGUFURI OYEEEEEEE
@protasmangu6418
@protasmangu6418 4 года назад
Baba ww ni raisi.hata usipozunguka una 95% ya ushindi.ningependekeza upumzike kuzunguka ww uongea Mara moja tu kwa week inatosha.
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
Ana%95 yakushidwaaaaaa mapemamno lissu kaisha mchapafimbi mbayaaaaa
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
Umeshaona unamuonea huluma lissu kamtoa kamasiiiiiii nabadoooooooo piiiiiiiiipoooooozziiiiiiiiiiii
@deborahassan1395
@deborahassan1395 4 года назад
Akaleegee tena apalalaiz
@rashidmalilo3657
@rashidmalilo3657 4 года назад
Kazi yako itabaki kuwa kumbukumbu ya kimataifa baba chapa kazi
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 4 года назад
Kweli mtu unazunguka na hoja ya uwanja kila kona utazani mzee wetu atazikwa na uwanja hoja zingine za kishetani kabisa tena Watanzania wezangu msikosee mtakuja kujuta baadaye hakuna binadamu aliyemkamilifu asilimia Mia hata mzee wetu siyo malaika lakini mengi mazuri kafanya tumpe miaka mitano tena Tanzania itakuwa vizuri sana
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 4 года назад
Wewe shija nawe ni shoga kabisaaaaa
@justinkisinza336
@justinkisinza336 4 года назад
Baba magufuri ww ni mkweli na muwazi walijaribu sana kuiangusha serikali yako lakini walishindwa wakiwemo wafanyabiashara wakubwa
@diddyexpert
@diddyexpert 4 года назад
World president
@malupex6299
@malupex6299 4 года назад
Niwashauri watz rais ni JPM, wote ni mashahidi tunaiona dhamira na mapenzi yake ya dhati kwa watz. MSIDANGANYIKE NA WASIOITAKIA MEMA TZ.
@neymaklasi
@neymaklasi 4 года назад
Kama uwe Rais wa milele vilee baba Magu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Год назад
Kweli wewe ulikuwa jembe tutakukumbuka daima
@mutahangarwasamwel4643
@mutahangarwasamwel4643 4 года назад
Mausiano na dunia au nafilika
@AliAli-pe7sj
@AliAli-pe7sj 4 года назад
NATAKA KUWAELEWESHA KITU UNAJUA MAANA YA KUVUA KOFIA UKAMVISHA MTU
@deborahassan1395
@deborahassan1395 4 года назад
Weweweeeeeeeeeeee atakuwa alikuja na mtumbwi
@yusuphsaid3893
@yusuphsaid3893 4 года назад
Mzee hataungetulia tu Kura utapata za kutosha Ww in zawadi kwa taifa letu la Tanzania
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 года назад
Mr Magu unafanya kazi. Lakini kuna madoa mengi ya upuuzi unaweza kuyaepuka. Sasa sijui kitu gani kinakukwamisha. Kiongozi haudhiki kwasababu ameamua mwenyewe kuongoza watu wa aina zote wala hakulazimishwa aongoze. Samahani kama mawazo yangu hayafai.
@maisatou
@maisatou 4 года назад
Hilal,kwa kweli saa nyingine kama mtu atakuzungumzia jambo ambalo wewe ukiangalia ukaona kweli umefanya jambo baya huwezi kusononeka,au ku mbogolize,Lakini mtu akikusemea uongo kuhusu wewe kila siku, yoo we are all human,everybody have a breaking point,anyway your input is good and well taken.thanx Tanzania Kwanza A.R.Msimbazy
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 года назад
@@maisatou You have a logic in ur explanations. Blessings.
@reubendaud8198
@reubendaud8198 4 года назад
Kaka kiongoz inatakiwa awe na tamko sio kusikia toka kwa mtu,
@maisatou
@maisatou 4 года назад
@@TM.Sullusi Asante Poa.Katika maisha kuna mengi lakini waTanzania nijuavyo hakuna wanaokataa upinzani,lakini ninavyojua serikali ikitoa hoja,chama tawala kitaunga mkono kwa wingi,na hapo ndipo penye kipengele kidoogo,ambacho wapinzani wa kwetu,wanakosa kujaza.Kama wangetumia demokrasia ndani ya chama chao,wangekaa na kujadili wao wenyewe,na kutafuta,wapi hoja ile ina ubovu,kwa mfano reli,barabara,au daraja nk.Pengine pale hakuna wakulima ambao wataweza kutumia kuleta mazao sokoni.wakaangalia gharama na wataalam wao watafafanua,kihesabu na sehemu sio itakayo zalisha nk.Wakija bungeni wana sababu sio za kupinga lakini kujumuika na upande wa pili na kueleza sababu zao zitakazo leta mafanikio.Hayo nimeyaona kwenye mabunge mengi hapa ulaya,nilipokuwa TV Producer Denmark,hakuna matusi na wanakaa kujadili vyama vyote mpaka kinajulikana cha maana.Fikra,Hoja au mawazo hayatupwi,ukimwambia rafiki yako asinunue gari anayoitaka,umueleze ubaya wa gari ile,na usiishie hapo lazima umpe wazo la gari bora naumueleze ubora wake. Tanzania Yetu Kwaanza A.R.Msimbazy
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 года назад
@@maisatou Upinzani wetu hapo ndo wanapofeli. Kwa dunia ya Leo eti unasema merely tu kwamba eti hatutaki maendeleo ya vitu , utamtenganishaje binadamu na vitu?
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
DAaaah anacheza kwaunyonge akimfikilia lissu anakosa ham jamani lissu kashika pabayaaaaa
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 4 года назад
Wewe shoga mkubwaaaa
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 года назад
Shoga mwenyewe
@taturajabu5977
@taturajabu5977 4 года назад
Shogaaaaaaaa
@salmamgeta1599
@salmamgeta1599 4 года назад
Mashule yasekondali za kata wanafunzi wana feli sana walimu hakuna kuna baadhi ya masomo awajawahi kufundishwa tatizo walimu Mkuu tuna omba ulifikilie ili kwa wanafunzi
@thebibletz6697
@thebibletz6697 4 года назад
Uwezi kumaliza matatizo yote Tanzania nzima ndani ya miaka 5!! Ndio maana anaomba miaka mitano tena! Raisi wa Africa
@maisatou
@maisatou 4 года назад
Bi,Salma umeeleza hoja ya muhimu sana, lakini jambo hili sio la mitandaoni,malalamiko yenu lazima yamfikie Mbunge wenu na wala msilale,mkianzia ngazi za chini mnalifuatilia na wala msiogope,rais hawezi kuyasikia yote wala kutembea sehemu zote,viongozi wenu wakizubaa wafahamisheni kwamba mtaandika barua kwa ujumla kumpelekea rais Magufuli,viongozi wengi wanakusiatsita na soni,huu ni wakati wenu sasa,msizubae.Nakutakieni Mafanikio Mema. A.R.Msimbazy
@J4UPro
@J4UPro 4 года назад
Magufuli ni Kiboko yao itoshe kusema hivyo tu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Год назад
Mashule ya sekondari siyo sekondali, sema ufikirie siyo ufikilie tusiharibu kiswahili
@eliamwasomola5074
@eliamwasomola5074 4 года назад
Kama unajua kufa kupo mbona unatesa wengine nawengine kupotea wanapo kukosoa nilidhani wew ni jiwe
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 4 года назад
Hivi nani anamtesa? Na kwa lipi?
@felistambwale2687
@felistambwale2687 4 года назад
@@sera.8bomani502 eti watoe ushahidi
@salmamgeta1599
@salmamgeta1599 4 года назад
Lakini bado tuna changa moto za wauguzi na madactor katika zahanati ulizo jenga mkuu
@thebibletz6697
@thebibletz6697 4 года назад
Uwezi kumaliza matatizo yote Tanzania nzima ndani ya miaka 5!! Ndio maana anaomba miaka mitano tena raisi wetu mpemdwa! Raisi wa Africa
@franciscomohamedjumanne1136
@franciscomohamedjumanne1136 4 года назад
Utamaliza changamoto zote?lisu mwenyewe anasema atafuta kodi zote tanzania je hapa mbona hujamuhoji ataendeshaje nchi bila kukisanya kodi?
@J4UPro
@J4UPro 4 года назад
Hawezi kufanya yote kwa maramoja inatakiwa apewe muda tena
@justinkisinza336
@justinkisinza336 4 года назад
Huwezi kumaliza changamoto zote kwa siku moja
@kajorontamilukilomaganyiro4015
@kajorontamilukilomaganyiro4015 4 года назад
Haufao kuwa mkuu wa nchi
@J4UPro
@J4UPro 4 года назад
Wewe unafaa?
@reubendaud8198
@reubendaud8198 4 года назад
Mchague anaefaa tu ndio democras
@kephaumoja3367
@kephaumoja3367 4 года назад
Hafai why?
@MwarabuTz
@MwarabuTz 4 года назад
Hafai ila ndio mkuu wa nchi sasa
@agnessmsangi5944
@agnessmsangi5944 4 года назад
Wewe ndo unafaa mbona hujaenda kugombea tukusikie na wewe sera zako
@ayubuissa2442
@ayubuissa2442 4 года назад
A
@pastorymziba1683
@pastorymziba1683 4 года назад
Baba umexhuxhwa na mungu kwajir ya wanyonge pia wew ni mtetezi wa haki za binadamu kama unaikubali ccm nipe like zang APA zifike 2
@husseinjuma4575
@husseinjuma4575 4 года назад
Mzee unaeleweka vizuri sana uzuriwako unafafanua mambo kwakina wewe hunaga rongorongo wenye kufikiri sawasawa wote tutakuchagua magufuli
Далее
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Просмотров 113 тыс.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн