Тёмный
No video :(

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

🔴#Live: MAPYA! ALIYEVUJISHA VIDEO CHAFU za MREMBO HUYU, UKWELI WOTE HUU HAPA | MAPITO
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
Pole mdogo wangu mrembo kuwa strong 🙏🙏🙏
@graceneemaramadhaniabdalla7734
Hakika unapenda uzinifu, sasa hizo picha zitakuongezea kupata wanaume na ndoa. Mimi ni mwanamke mwenzio nakukakanya achana ⁰na hizo habari pambana na maisha yako
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 10 месяцев назад
Usiongee Sana tuombe mungu atuepushe na mitihani na atujalie mwisho mwema unaweza usiwe mzinifu ukapata mtihani ukabakwa ukapigwa picha zikasambaa kila Kona cha muhimu kuomba.mwisho mwema inshalah
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 10 месяцев назад
Abebe jembe akalime vooo❤
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 10 месяцев назад
Kaona mkongo nibora kuliko mbara mwenziwe ndio akome kudanga. Kaka upo vizuri ushauri unaompa
@user-ix1rl8tx2q
@user-ix1rl8tx2q 11 месяцев назад
mimi naitwa mama Sabri ujifunze kutokana na makosa
@MERCY-te1ku
@MERCY-te1ku Год назад
Pole sana
@user-sd2gy1sh9r
@user-sd2gy1sh9r 8 месяцев назад
daah pole sana kwa hilo ila kuwa subir tu
@user-zr4gl5cs8n
@user-zr4gl5cs8n Год назад
Naitwa Stephano nipo Congo ila nyumbani ni buguruni napenda kumpa pole sana na pia hangepaswa kujuwa kuwa huyo ni mpitaji ila kikubwa namshauri aombe mungu azidi kumpa moyo
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 11 месяцев назад
Ujaleta picha nzuri ktkt jamii
@user-ix1rl8tx2q
@user-ix1rl8tx2q 11 месяцев назад
mtihani
@rayahamisi118
@rayahamisi118 8 месяцев назад
Kama kasoma ajasoma aiusu na mchezo wa twatwa
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 10 месяцев назад
Mm naona ilikuwa haina haja ya kuja studio mm mwenyewe ndio kwanza namsikia yy mwenyewe. Anajitia aibu tu hapo.
@MojamojaMojamoja-lw2ph
@MojamojaMojamoja-lw2ph 8 месяцев назад
Wengine wanapenda kujitangaza wenyew
@user-ix1rl8tx2q
@user-ix1rl8tx2q 11 месяцев назад
pore Sana mdogo yangu
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 10 месяцев назад
Hebu katisheni hicho kipindi anakuja tuzalilisha ss watanzania wenziwe.
@salma0000
@salma0000 Год назад
Wewe mtangazaji utafikiri hujawahi kuwa na bwana kabla ya ndoa halafu mkaachana, unajifanya mtakatifu, mkamilifu, yaani hukuonesha huruma ni kama unamwambia ameyataka mwenyewe hastahili hata pole😏
@user-jn5xo6jb1z
@user-jn5xo6jb1z Год назад
Pole
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 11 месяцев назад
Kaka uko sahihi kabisa
@PriscaMonteiro-ly1cl
@PriscaMonteiro-ly1cl 9 месяцев назад
Uyo dada muongo sisi wote tunatumia vinhuagi mbona atufanhuiwi iyo?
@salma0000
@salma0000 Год назад
Unamfariji au unamdhalilisha, unamhoji kama aliyeuwa mtu, hukumfanyia haki
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 10 месяцев назад
Jamani wanawake wenzangu tupunguze umalaya na tamaa tuiache mwenzetu ndio huyo kafata pesa ss pesa inamsumbua
@demicratia4071
@demicratia4071 8 месяцев назад
Huyu anavyomhoji nikutaka kuuza story naye is bad as the Congolese anamdhalalisha zaidi
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 Год назад
Ila vidada vya bongo bhana
@safarimicheal5241
@safarimicheal5241 Год назад
Kwani kipindi alikuwa nafanya uzinifu alikuwa najisau kama ana mutoto alikula midolla kibao uyo dada kazi yake nikupenda midola za wakongo sasa amepata mupenzi muzuri alafu she still complaining why?
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Hiyo kulewa ndio ilokuharibia basi 💔💔
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 8 месяцев назад
Ivi we zal unacho ongea ivyo na kuhoji km vile unamkebei mtu kitu utasema unawai tongozwa au uyo bwana ako ulo nae alijufata ndani au
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Год назад
Wazee wa kuekti
@user-jn7do4wd6f
@user-jn7do4wd6f Год назад
Kwan picha ndio itakayo onesha kama kweli picha kapigwa akiwa mtupu au laa sasa si mmeiyona iyo picha ni ya kweli
@graceneemaramadhaniabdalla7734
Endapo hapendi kuanzia sasa APAMBANE KUTAFUTA MAISHA YY KM YY
@razolee8103
@razolee8103 Год назад
Nimala kufuruu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Mwambie atume picha ya huyo kaka huku na hizo picha tuone tafadhali...
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
Za nini
@graceneemaramadhaniabdalla7734
Anawezaje kupata mtoto nje ya ndoa akiwa na umri miaka 22-23 bado hakupata fundisho la kuwa mbali na wanaume wengine, najua ukizalishwa na kuachwa bahati mbaya na kuachiwa mtoto mdogo. Unapata funzo
@demicratia4071
@demicratia4071 8 месяцев назад
Alitaja kumlea
@PhyllisKihungu
@PhyllisKihungu Год назад
😂
@dppd4219
@dppd4219 10 месяцев назад
Mschana hata unaanzaje kunywa pombe jaman
@demicratia4071
@demicratia4071 8 месяцев назад
Kwani kuna pombe ilioandikwa for men and for women
@neemamangushi8187
@neemamangushi8187 Год назад
Pumbavu!
@safarimicheal5241
@safarimicheal5241 Год назад
Uyu dada muhuni tu anataka kike sio eti kwa jili uyo jamaa ni mu Congolese ndomaana anasema huongo eti alikuwa amelewa muongo uyo dada
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Год назад
Umasikini nao unachangia pia. Binaadam nidhaifu dada yataisha tu
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 Год назад
Aaaah vidada vya bongo ni michosho kwa kweli
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 Год назад
Pesa ndo zitawatoa roho
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Год назад
@@valerianmtowe7822 na umasikini unachangia na tamaa.
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Год назад
@@valerianmtowe7822 tatizo tamaa pia na, umasikini
@mankajonh299
@mankajonh299 10 месяцев назад
Yani dada anaonekana kabs malaya muone sura yake ata anavoongea hajui kujieleza serious simuelewi anaongea nini huyo malaya
@demicratia4071
@demicratia4071 8 месяцев назад
Nani asiye malaya bikira hadi leo
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p Год назад
Ukome umuacha mbongo baada ya kupata mkongo malaya wewe ngoja na wewe uumizwe
@iqramaxamed474
@iqramaxamed474 Год назад
Sio vzri kusema hivo haya maisha tu leo yeye kesho wewe
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 Год назад
Amna cha huruma vidada vya bongo vinapenda ela xana na ilo ndo fundisho
@salma0000
@salma0000 Год назад
Itakua umekataliwa 😂
Далее
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
Просмотров 12 тыс.