Тёмный
No video :(

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

🔴#Live: MAZITO! JANUARI MAKAMBA -NAPE NNAUYE WATEMWA -RIDHIWANI KAPANDA -KAULI ya MSIGWA -FRONT PAGE...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750 910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Месяц назад
Hata huyo Ridhiwani,angetupwa tu,sana sana kubebana lakini utendaji sifuri
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
huyu Kikwete amepewa kitengo nyeti sana kwa upande wa w/nchi..anatakiwa akunje mashati mikononi aende field...vijana hawana kazi, anzishe vikao na vijana achakate kutengeneza ajira na kuandaa mazingira ya uvumbuzi kwa maslahi ya nchi..kodi itakusanywa kubwa kutokana na wizara yake..akae vizuri na waziri wa elimu na pia wa biashara..aende singapore, india na hongkong kuangalia vijana vitu wanavofanya..Ridhiwani anauwezo wakufanya mambo makubwa kwa wizara yake..vilevile kwa walemavu...sasa sijui
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Kwanini police wasivae body camera kama nchi za ulaya, kurikodi kila tukio? Rushwa ingepungua sana
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Месяц назад
Jerry slaa alikuwa mahiri sana kweye wizara ya ardhi hakuna aliyefanya vyema toka uhuru zaid ya jerry slaa nimtetezi wawanyonge na hatujui Rais analengo gani kumuodosha
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Nyie watangazaji tumieni akili kidogo, huyo naibu waziri amejiuzulu jana, na kesho January makamba atumbuliwa, inaonekana alikua anabugudhiwa na makamba kwani ndie alikuwa ni boss wake
@umyazinkath167
@umyazinkath167 Месяц назад
Apana
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Месяц назад
Global mnamuogopa makamba hamsemi madhaifu yake kiutendaji
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Kuhusu rushwa traffic wasikatae ni vitu viko wazi,hakuna anayeshangaa kwani ni kimekuwa kawaida.
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Месяц назад
Nape kosa lake ametoa siri ya chama chake tena nzito
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Месяц назад
Washauri wa Rais hawamtakii mema,kama washauri wa Ruto,waziri wa Ardhi alikua anatatua migogoro ilioshindikana toka miaka 50,sasa mnamtoa ili m baki na hiyo migogoro iwasaidie nini??
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Nakwambia hao jamaa watarudishwa kama hamuamini wekeni kumb,
@joezeno8
@joezeno8 Месяц назад
MAKAMBA na NAPE NI WAHUNI tena MAJIZI TU! Hawa Washenzi nimefurahi wametumbuliwa 😂😂😂😂
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Месяц назад
Wenczetu wanavyo fanya camera ikikupiga police hausiki tena na hana uwezo wakumalizana na driver automatically inaingia kwenye system kwamba fulan anepigwa faini nchi nzima system inasoma trafic kama umeweka
@nurdinkassim
@nurdinkassim Месяц назад
Hujasema Bado tatizo lipo hivi huo mfumo siosawa dawani gari mbovu kamata peleka gereji na litolewe kwa idhini ya veko pia dereva mlevi au kukiuka alama za barabarabani ndio wapigwe faini kama kazidisha mzigo basi uliozidi shusha utaifishwe na serikali ndio matatizo yataisha ajali nyingi zinnasababishwa na mifumo mibovu chukueni mawazo hayo
@umyazinkath167
@umyazinkath167 Месяц назад
Apana kunachochote nyuma ya pazzia
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Месяц назад
Rais anamakusudi yake kabisa kumpeleka Slaa Wizara ya Habari baadhi yetu tunatumi Mitando Vibaya
@juliasmtundu442
@juliasmtundu442 Месяц назад
HUYU MSINGWA AMEPOTEZA MVUTO CCM HAITEGEMEI UMBEA WASINGWA HUYU HATA AKIPEWA UWAZIRI ATATOA SILI
Далее
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
Просмотров 150 тыс.