Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 9 месяцев назад
Inauma machawa mpaka viongozi wa dini 🔥🔥😭 😭😭💔
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 9 месяцев назад
Nilitamani Ask Bagonza awe mkuu wa kanisa kwa sasa, Ila Mapenzi ya Mungu yatimizwe.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 9 месяцев назад
Sijalelewa kuwa kinyume na serikali! Sentensi tata.
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 9 месяцев назад
Duuh askofu
@olsolasindila694
@olsolasindila694 9 месяцев назад
Huyu askofu hapana... Yesu mwenyewe alikuwa kinyume kabisa na falme na matakwa ya WANASIASA.
@paull8659
@paull8659 9 месяцев назад
Wewe si chawa wa CCM.. Aibu KKKT😢😢😢 li askof gani hili?? halioni kuwa hii nchi haendeshwi kwa haki?? takataka hili li askof...
@helencyprian8745
@helencyprian8745 9 месяцев назад
Mbona kama alishakuwa askofu mkuu au nimechangany habari, basi naomba mnieleweshe vizuri
@paull8659
@paull8659 9 месяцев назад
Ni mpenda mamlaka, anahonga wachungaji wadogo wamemchagua tena. Malasusa ni hovyo kabisa, mchafu sana.
@petandy1779
@petandy1779 9 месяцев назад
Sijalelea kuwa kinyume na serikali duuuuuuuuu...
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 9 месяцев назад
Machawa mpaka viongozi wa dini 🔥🔥🔥🔥
@peterantony5890
@peterantony5890 9 месяцев назад
Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wowote.
@sashawambura
@sashawambura 9 месяцев назад
Pumbavu zenu..
@helencyprian8745
@helencyprian8745 9 месяцев назад
Hivi Bagonza hakuwepo kumchagua? Huyu Malasusa mmmmm
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 месяцев назад
kumtukana KIONGOZI ni ulimbukeni Maneno ya baba askofu ni ya hekma! hivi viongozi hawa wakihamasisha watu kufanya maandamano kuipinga serekali nani atasalimika? nampenda baba askofu fredrick shoo na baba askofu malasusa,MUNGU awaongoze kwenye HAKI,,
@gmmatelephone3597
@gmmatelephone3597 8 месяцев назад
Kwenda
Далее
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 1,1 млн
NAH UH
00:17
Просмотров 2,4 млн
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 1,1 млн