Тёмный
No video :(

Maneno ya Sheikh Mkuu wa DSM Mbele ya Maaskofu, Awataka Waislam kujifunza kwa Wakatoliki Nidhamu 

Jugo Media
Подписаться 171 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 154   
@godwinhaule6100
@godwinhaule6100 Год назад
Nakupenda Tanzania yangu mungu tupe zaidi UPENDO na AMANI
@jaksonmayuyaemanuel4041
@jaksonmayuyaemanuel4041 Год назад
Safi sana Tena sana uo ndio uzalendo wa ukweli ukisikia upendo na umoja ndio uo ongera sana shekhe Mwenyezi Mungu akulinde zaid na zaid
@piuspanga864
@piuspanga864 2 года назад
Asante sana Shekh Alhadj Musa Salum, mwwnyekiti wa Amani na maridhiano, wewe ni mkomavu sana katika imani
@mohamedishemtuhu8305
@mohamedishemtuhu8305 Год назад
Mpuuzi ww
@emmanuelbrassy4000
@emmanuelbrassy4000 2 года назад
Vizuri sana sheikh umeongea ukweli na mungu akubariki sana.
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj 11 месяцев назад
The best and real man of God, hana mawaa huyu mtu,Allah will be with you.Amen.
@mwabigabriel3053
@mwabigabriel3053 2 года назад
Asante sana
@idrisasimba8501
@idrisasimba8501 Год назад
Ameongea vizuri sana hata mtume( Saw ) aliingia mikataba ya maridhiano na ndugu zetu hao .
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 11 месяцев назад
Amen amen MUNGU anafanya kazi balikiweni Sana
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 Год назад
Dini si Kila mtu anaweza kuiwakilisha laiti Kama pangekuwa na uchaguzi wa waumini huyu asinge kuwa hata muadhini kwa nidhamu na uelewa alionao.
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 Год назад
Uko sahihi ndugu yangu Salum
@mwanamgenimwamzandi1941
@mwanamgenimwamzandi1941 Год назад
Innalillah wainnailayhi raajiun allah atuifadhi kwa tuyatamkayo
@rubenharuni79
@rubenharuni79 Год назад
huo ndiyo uwongozi sahihi sana ubarikiwe sana
@singanoatanasi1994
@singanoatanasi1994 2 года назад
Hakuna ubaya juu ya hili shekhe umesema ukweli na kuzingatia taratibu safi
@hajihaji5296
@hajihaji5296 Год назад
Huyu ni mnafkiki km mnafiki km wanafiki wengne
@sultanmussa2838
@sultanmussa2838 Год назад
alicho kifanya bondia umeitwa MCHONGO yaani pesa tupuuuuu apo
@r14kgroup68
@r14kgroup68 2 года назад
Raisi wa baraza la Maaskofu katoliki gerephasi nyaisonga ni kiongozi mwenye uwezo wa kujieleza ,hongera.sana baba
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 2 года назад
Ahsante Na Hongera Sheikh Mkuu wa Dar es salaam, Busara Na Hekima siku zote umekuwa imara
@makara6671
@makara6671 11 месяцев назад
Kabisa point
@SmilingBuoy-kb1yn
@SmilingBuoy-kb1yn 2 месяца назад
Ubarikiwe acha wengine wana ropoka.tu na kudharau imani ya mtu wanajiona eti wao niwema
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 2 года назад
Njaa ni tatizo jamani Mungu atuepushe na unafik
@miriammustafa5380
@miriammustafa5380 Год назад
Kweli kbs uasikofu sioo mchezo
@mosesnyoni2759
@mosesnyoni2759 Год назад
Nimependa,kuona mnaishi kwa ushilikiano,na kila mtu kuishi kwa imani yake,
@kelvinkaijage3275
@kelvinkaijage3275 2 года назад
Daima watanzani tudumishe aman na upendo
@raphaelchua6478
@raphaelchua6478 2 года назад
Amani ldumu milele Amina
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 Год назад
HAWATAKUBALI MANASWALARA NA MAKAFIRI MPAKA MFUATE MILA YAO .. INNALILAH WAINAILAH RAJUN
@johnbosconagalau1586
@johnbosconagalau1586 Год назад
Kichwa chako hakipo sawa wewe(chizi) kama hauna coment kaa kimya.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
kafir na Manaswara mamako alie halisha Mavi ukatoka wewe usie na akili
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Nyani watampinga,lkn yupo sahihi
@ggelishachannel450
@ggelishachannel450 Год назад
Roho mbaya tuu kwani sheikh kakosea Nini hapoo
@basammussa6774
@basammussa6774 Год назад
Kilichotakiwa kuzingatiwa ni point anazo zungumza hapo, na sio kutukana bila kutafakari kwa kina
@festusngolo1405
@festusngolo1405 2 года назад
Very nice cemina
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 2 года назад
Safi sheikhe maneno yenye kutia nguvu Sanaa
@magomakabanja4861
@magomakabanja4861 2 года назад
Innalillahi wainailahi rajiiun sio sheikhe wala sio muumini wa kiislam kwa mujibu wa dini ya kiislam atae kua pamoja nao nae ni miongon mwake ? Acheni unafiki masheikhe
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Yupo sahihi,kwanihapo ni chooni?
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Год назад
Yaaani....!!
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Inapendeza ee
@raynoldlisanga8106
@raynoldlisanga8106 2 года назад
Kiigizo chema ni mtume uwisilam bila elimu ni mtihani
@jeremiahpirminnyoni618
@jeremiahpirminnyoni618 Год назад
Huyu Sheikh ni msomi anaelewa anachokisema
@CANAANTZ_TV
@CANAANTZ_TV 3 месяца назад
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi 2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu 3=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
😅😅😅😅😅😆Waslm kma na waona 😆😆😅😅😅😅👌🏽
@RichardAmosnkonje-pq9oh
@RichardAmosnkonje-pq9oh 11 месяцев назад
Ndugu zangu waislam mungu tanae muomba ni mmoja tofauti ni dini tu hivyo wakristo na waslam wote ni wototo wa baba mmoja hivyo sijaona kosa kwa shehe hapo tupendane jamani
@elyhillary2000
@elyhillary2000 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 Год назад
Duu uyu shekh vp jaman mbona mm sijakuelewa huyu nishekhe au ni padri watanzania
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Utaelewa mdogo mdogo 😃😃
@josaphatlukwaro2378
@josaphatlukwaro2378 Месяц назад
Ukimsikiliza huyu shehe bila makasiriko utamuelewa
@seifjuma4743
@seifjuma4743 2 года назад
Eeeeee kak weee hujui kuwa hapa dunia ni miaka 60 ad 70 tu subir ss
@atamotivetv8104
@atamotivetv8104 Год назад
Kiukweli waislam mnaubaguzi Sana yan nimesoma comment du!!!
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Wakoloni wa kizungu na Kiarabu walitugawa sana kifikra waafrika
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 2 года назад
😇🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 11 месяцев назад
This is what l have been looking for before late John pombe makufuli deeth mwislim and cresianity are they one single africa not wait people culler first our culler then religious because African American calctur is out skin then religious because we have born in Africa land first respect of our africa calctur then our religious this is Tanzania unity. On our national Africa belong to our calctur on trable believe before religious
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Год назад
Huyu shek anatuaribia dini yetu jaman.. muft upo wap na unamwangalia tu na kumuacha
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Dini yako au ya wakoloni wako wa Kiarabu?
@khamisseif9870
@khamisseif9870 2 года назад
Mtihani
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 2 года назад
Tatizo dini yetu inasema tu wasilamu ndo wa Allan wenu na mafundisho yenu yamefanya na kuweka akili zenu mipaka kiasi kwa mambo km hayo akilini zenu zinafika mwisho na kuanza kupungukiwa na amani na kuanza chuki
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 2 года назад
Na mkumbuke akili za Mungu c za mwanadamu.
@alimakame9215
@alimakame9215 2 года назад
Huyushehe anatia was was muislamu wakweli hasemi hivyo mana diniyetu inatufuza hata mtume aliambiwa yeye anadini yake na wao wanadini yao.VIP awasifu.mjinga huyu shehe pesa
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
🤣🤣🤣,Yesu,Yesu,Yesuuuuuuuuuu
@genovevajohn4170
@genovevajohn4170 Год назад
Ubinafs utakuua
@amourmaftah258
@amourmaftah258 Год назад
Huyu na bakwata yote ni madhalimu ktk Uislam...walwahi ni mtihani mkubwa ALLAH anajua zaidi...SUB'HANALLAH.
@edwinmanji74
@edwinmanji74 Год назад
We unamatatizo gani wewe,huyo anayeongea sio kiongozi wako mkuu wa dini?kibaya kipi hapo au wewe ndo unajua zaidi kuliko yeye?
@user-ci9lj2vq9n
@user-ci9lj2vq9n 3 месяца назад
Akili huna
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Месяц назад
Mungu wetu n wa Upendo ndio maana hata mwizi akiiba Mwenyez Mungu hamuondolei pumzi nae akifanya Toba Asamehewa Sasa kama wewe una Mungu wa peke ako Mbinafsi tuambie
@GilesKhamis
@GilesKhamis 11 месяцев назад
Ukiona vya eleya, vimeundwa, na ukisikia yanayozungumzwa uwe mkini, kwasababu yanawezayakakujenga na yanawezayakakubomoa , tafakarini sana yanayoendelea hasa kuhusu mkataba wa BANDARI
@saumsaum1916
@saumsaum1916 2 года назад
Kwni baba wa taifa alibagua dini wakati anatafta uhuru?acheni ubaguzi mungu ni mmoja na wote shia moja
@Faby_tv
@Faby_tv Год назад
Daaaaah ebu jaribu kupitia comment zote utagundua kinachonisikitisha.
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Год назад
(wamakana Muhamad abuu ahad) sasa huyo askofu umempa cheo ambacho hata bwana mtume swalallahu aleihi wa Salam hana, hiko cheo ulichompa askofu ndio kimenishangaza salamu haikunishangaza.
@user-xm4rj1jr7p
@user-xm4rj1jr7p 22 дня назад
Mtasema yote..bado
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 года назад
Duh
@nelsonjr7795
@nelsonjr7795 2 года назад
Njaa mbaya sana Hawa Wataweza kukubali hata Ushoga
@modernfarming5938
@modernfarming5938 2 года назад
Utahira mlionao ni kwamba ulitaka ataje kanisa unalosali ww . Ebu ifike mahali akili ziwafunguke
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
Kwanza nikupe pole sana maana ushoga ni kazi ya ibilis shetani Hawa viongozi wa dini wanahubiri habari njema ya MWENYEZI MUNGU ya KRISTO YESU MKOMBOZI WETU ALIE MTAKATIFU WA WOTE wala hawana mawazo machafu kama hayo yako ya ibilisi lusufa kwahio anaetoa mawazo mabaya kama yakwako juu ya viongozi wa dini watu wa MUNGU nidhari kua hata ww mwenyewe nimtumwa wa hayo anayojaribu kubambikizia viongozi wa dini Mh. Sheikh ameongea kwa busara ya hali ya juu sana kwa namna ambayo sikudhania hata kidogo kweli kweli Sheikh yu nahekima kubwa sana MUNGU AWABARIKI WATU WAKE SANA!
@halimamnyati9311
@halimamnyati9311 Год назад
Nikweli hii ss ni hatr tuombe mungu atujalie mwisho mwema
@yohanalukanga6263
@yohanalukanga6263 Год назад
Sihaminigi hizi dini bali na mwamini mungu tu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Siamini Kufuata Muhamad naamani kumwani Yesu Kristo tu
@zainabujahshi6587
@zainabujahshi6587 2 года назад
Sheikh unapoelekea siko...innalillahi wainnailahi raajioun.
@gideonibatangaki1317
@gideonibatangaki1317 2 года назад
Nizamu aliyoisema muheshimu atakama amekosea nibinadamu.
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 Год назад
Jifunze Kwa shehe wako! Upendo na umoja alionao Kwa dini zote! Huyu ndio kiongozi wa kweli!
@Othmansheby
@Othmansheby Год назад
Mswiba innalillah wainnalilah rajiun
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Mmm acheni fitina
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Achana na chuki za wakoloni wa kiarabu na kizungu,cc ni waafrika na tunatakiwa kuishi kwa umoja kama huu
@khadijamusa2838
@khadijamusa2838 Год назад
Tulishaambiwa msijifananishe nao.subhana malikinas
@jeremiahpirminnyoni618
@jeremiahpirminnyoni618 Год назад
Uliambiwa na nani? Na hao ni akina nani, soma vizuri kuruani usisikilize hadithi za mitaani.
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Acha ukoloni wa Kiarabu wewe,usijifananishe na mwafrika mwenzio alafu ujifananishe na Mwaarabu au!!
@faustinesamani6359
@faustinesamani6359 Год назад
Nawaonya sana ssna viongozi wetu wa kikatoliki msijiingize kichwakichwa kwenye kundi la huyo mfiraji wa wake za waumini wke wasiojielewa mtatuudhi sana. Kazi kwenu.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Wewe ndiye nini?
@khamisikhalfan4720
@khamisikhalfan4720 Год назад
Njaaaa hiii itatuua imani zetu kwa kweli
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Umoja siyo njaa,achana na chuki tulizopandikiziwa na wakoloni wa kiarabu na kizungu.Huu ndo uafrika halisi
@saidmuhsin2446
@saidmuhsin2446 2 года назад
Mhhh hatar!!Allah atulinde
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Aamin
@aishamamii2942
@aishamamii2942 Год назад
Amiyn njaa zinawaponza wengi
@siriakirojasi8243
@siriakirojasi8243 2 года назад
Ambae hajaetewa.akaekimwa....umeongea.sahihi.kabisa
@nathanieldaud3744
@nathanieldaud3744 Год назад
mchapio wa nguvu eti amani ya Bwana iwe nyani, all in all umesema vizuri na ukweli huwaweka watu huru
@jamilahamis2462
@jamilahamis2462 Год назад
Huyo sio she no kafili mwenzenu laana kum
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Год назад
So waislm hatujui nyinyi masheikhe wetu mkoje na jslimu wetu mbonahatukueleweni
@salhabashir8280
@salhabashir8280 Год назад
Huyu ndio shekh wakupigwa mjinga sana yeye dunia tuu
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Год назад
Wewe ndo mjingaa Yani huerewi lolote tunajemga nyumba oja tambuwa ivoo tofautu ni matilio ola nyumbaa ni ilelie hii ndo busaraa ya dino sijuio umenierewa labda mikuulize pengine huna erimu ya kutoshaa je umesoma dino IRA huna erimu ya Shure e Hilo ndo tatizooo sikulaumu
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Acha ukoloni wa Kiarabu
@jenifagerald1822
@jenifagerald1822 2 года назад
Shekhe umeongea vizur sana na ukweli mtupu 👏👏👏
@rayahaji800
@rayahaji800 Год назад
Innalilah wainna ilaih raajighuni uislam wako sheikh unatutia wasi wasi
@andrewdukho8795
@andrewdukho8795 Год назад
🤣🤣🤣
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 Год назад
Umerogwa ww
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Yupo sahihi,walanguruwe ndiohawataelewa
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Год назад
wasiwasigani toeni ujinga
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 2 года назад
Sadakta
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Год назад
Amani ya Bwana iwe Nyani, Bwana yupo uyo?
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Год назад
Kama umeona la kujifunza basi wafuate wewe unadhani uislam upo kwaajili ya Dunia!!?? Uislam haufungamani na upuuzi... Kasome Dini.
@AbuKhayrati
@AbuKhayrati Год назад
kuna udugu gan baina wasilamu na manaswara
@user-tq7fo4tp2x
@user-tq7fo4tp2x 11 месяцев назад
Bahasha inafanya kazi
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Год назад
Waislam mmeniangusha jamani,,, kama kweli dini yenu ni safi kwa nini hamna Upendo??? Kwa comments zenu tu mngekuwa na uwezo mngemsaidia Israel kufanya kazi,,, ila hakuna shida tunawapenda tu maana sisi sote ni wa Mungu
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 Год назад
hii kwa wasomi inapatikana wapi? kwamaswahaba au kwa mtume kanza mungano wa dini mbali mbali maana kama mtuma alikatazwa na ikashuka sura ikimkataza mtu asiungane sasa hii nini? naomba fatwa kwa wasomi
@priscamathewpriscamathew5952
Abduli toa ubaguzu wako mungu ni moja tu sasa wewe nani
@kiboshokibosho-ou6um
@kiboshokibosho-ou6um 11 месяцев назад
Nchi yetu ni Amani tupu na upendo
@abdallahkawambwa2666
@abdallahkawambwa2666 Год назад
Shekh hatakama umesoma kwahilo hapana nahau wala sarfa
@azzanalzakwani7474
@azzanalzakwani7474 Год назад
Wakristo pia wamcheka
@soudia9084
@soudia9084 Год назад
Sasa nimefahamu kwanini dr Mwaka kasema anataka Mufti atoe talaka sio wewe.
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 2 года назад
😂😂😂mwisho shekhe umenichekesha
@hajihaji5296
@hajihaji5296 Год назад
Sheikh wa mchongo tubia kwa Allah hwenda Allah akakuongoz
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Atubu kwa kosa gn.Acha ukoloni
@lumumbasankara6388
@lumumbasankara6388 Год назад
Sijawahi ona shekh wa ovyo kuwahi kutokea kama huyu
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Год назад
Wewe huna erimu kwanza hujui lolote kichwani umesoni din tu huna erimu darasani tambuwa kuwa mungu ni wetu sote sote tunajemga nyumba Moja tofautu ni matilio kira mmoja na Imani yake Imani sio uadui maskini pore ndo ulifunzwa ivoo kuamini ivoo tambuwa kuwa hatubaguani Kwa Imani wars dino ya Fulani sisi ni viumbe wamungu tunwachia mungu hukumu zetu harafu waweza kuwa mi mzima harafu huna akili usimwaminishe mtu unachoamini wewe ndo mama Nyerere alikataaa udini ndan ya ncho yetu akatupa uhuru wakuabudu vote akili huna una udini Yu ndayake kifunze wewewisram feli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 года назад
Shehe umewakosea wakristo wa madhehebu mengine unapodai kanisa katoliki ndio kanisa halisi linaloonyesha ukristo wa kweli kweli!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 года назад
@Crazy Compilation soma vizuri hiyo comment
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 2 года назад
Juma huo wifi
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Hakuna shida,kanisa linawakilisha alama moja tu ya Kristo
@jumajuma7413
@jumajuma7413 Год назад
walaatardhankal lyahudu walannaswara hatta Titania millatahu
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Andika kiswahili,usituandikie lugha za kikoloni hapa
@AbuKhayrati
@AbuKhayrati Год назад
uyu siyo shekh uyu ni mukalti
@abdulswalehe6959
@abdulswalehe6959 Год назад
Wewe shekhe alihadi naww nikafilikamawao
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Год назад
Hata weeye ni kafili hivyo hivyo.tena zaidi ya huyo unayemtusi.
@binbadru8408
@binbadru8408 Год назад
Shehe hamjielewi,msibabmkubwa huu
@FatmaJumanne-mi2et
@FatmaJumanne-mi2et Год назад
Sheheh wewe ni mfano wakuingwa
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 Год назад
ndiyo maana unapopolewa na waumini kwa tabia zako za undumakuwili
@ansfriedmsimbe9509
@ansfriedmsimbe9509 2 года назад
No, wisdom.
@saidmuhsin2446
@saidmuhsin2446 2 года назад
.
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 года назад
Kwa hiyo sisi waislamu hatuna nidhamu kwa mtume wetu Muhammad sw hatuna nidhamu kwa maswahaba hatuna nidhamu kwa wanawachuoni wa kiislamu hii kauli tunamuomba mufti amwambie huyu sheikh Alhady awaombe radhi waislamu co kauli njema
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Kwenda Kwako Ni Sawa Kwasababu Apo Iko Msuguano Wa Dini Kubali Wito Toa Neno Washike Neno Siku Bola Uvune Wafuasi Kutoka Ndani Apo Apo Kwenda Apo Ni Sawa Kusalimia Pia Ni Sawa Kuwapongeza Ni Sawa Lakini Ndani Yake Utawapa Neno Ambalo Upande Wa Pili Akuna Wanaozani Kwenda Apo Kusalimia Sio Sawa Ao Awajui Imani Wanachojua Malumbano Bila Ukweli
@kassimmussa8015
@kassimmussa8015 2 года назад
Yani namuhisi kabisa anatamani awe askofu leo hii dah shida jamani.Allah ilinde dini yako tunaowategemea kama viongozi wadini yakiislamu nawao wanatamani nakuhusudu vyeo vyajuu katika dini nyengine.
@erastoernest909
@erastoernest909 Год назад
👏👏🙏
@mwamedypwemu6117
@mwamedypwemu6117 Год назад
msiba; mkubwa yan wakristo wanampinga allah na wanamkubali yes nabii issa nawe waunga mkono kwa wakristoo daa msiba mkubwa san yule anae kufa so muslam na akamkana mungu wa kwel na mtume wake uyoo ayupo saw ndo uyoo sufiiiiii wa mkoa
@hamisimkima117
@hamisimkima117 2 года назад
Unawaita Ndugu zako Haliakua ili Uwe Mkristo 👈 lazma Umkatae Allah Umkatae Mtume Muhammad sw uikatae Qur'an hapo ndipo Utaitwa Mkristo 👈 vp! Ww kama ni Muislam kweli ulietamka shahada Alafu ukawasifu hao na kuwaita Ndugu zako!?? Wa idhaja a l,munafiqun pindi watakapo kujia Wanafk Utasikia Wakisema sisi tuna shuhudia kua wewe ni Mtume kumbe hao ndio Wanafk Allah anawajua Vizur
@emmadora7848
@emmadora7848 2 года назад
Tatizo una akili ndogo sana , kwenye nchi hii sisi sote ni ndugu ndio maana tunaishi safii kwa Upendo na amani bila kujali tofauti zetu za kiimani, kikabika nk ,hutaki ondoka katafute nchi yako
@kassimmussa8015
@kassimmussa8015 2 года назад
Tunawasaidia kwanguvu zetu najuhudi zote makafiri kwani ameambiwa kwamba waambie ewe.Muhamad wao wana dini yao nawewe una dini yako leo shekhe anasema kajifunza kwawatu ambao hawaitakii mema dini yake😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@titosilayo7550
@titosilayo7550 2 года назад
Huo niuongo
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
Ww mwenyewe kwanza hapo naona umeridhika na yale Mh. Sheikh alioyasema na una cheka😂😂😂🤣🤣🤣 kabisa peace and love usimkosee kiongozi wako mheshim Mengine muachie MWENYEWEZI MUNGU yeye ndie ajuae mambo yote
@titosilayo7550
@titosilayo7550 Год назад
Saw ,
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 Год назад
Makofi kwa shekhe tafadhali
@titosilayo7550
@titosilayo7550 Год назад
@@greysonmheni5176 🤝
Далее
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 11 млн