Тёмный

🔴LIVE: MBOWE & LISSU WAFUNGUKA MAZITO 

Chadema Media TV
Подписаться 215 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 305   
@kahamagloryofgod5852
@kahamagloryofgod5852 2 месяца назад
Naomba kadi ya chadema CCM naona wamezingua sana naomba nihamie tu kwa wazalendo
@Zakoyokupasya
@Zakoyokupasya 2 месяца назад
Polis hawana makosa saana mbaya ni samia na chawa wake
@williamuaza7541
@williamuaza7541 2 месяца назад
Karibu nyumbani mkuuuu
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 2 месяца назад
Nimeawaona hawa ndugu uzalendo umenijia, kuanzia leo Najiunga CHADEMA.
@williamuaza7541
@williamuaza7541 2 месяца назад
Karibu nyumbani mkuuuu
@noelyhaule5695
@noelyhaule5695 2 месяца назад
@@mlyamalitv1789 karibu na Mungu akubariki
@rajababrahman4365
@rajababrahman4365 2 месяца назад
Poleni sana Mungu awape nguvu ya kuendelea na Mapambano CCM wataliaribu hili taifa pigeni kelele Kila kitu ktk hili taifa kipo hovyo hovyo Na Mungu awape CCM kinachostahili kwao Ee Mungu mwenyenzi Amin
@kilamegroup2968
@kilamegroup2968 2 месяца назад
Kwanzia leo najiunga chadema
@binseif2216
@binseif2216 2 месяца назад
😂We chadema tokea zaman
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 месяца назад
Karbu san
@noelyhaule5695
@noelyhaule5695 2 месяца назад
Karibu
@ThomasErro
@ThomasErro 2 месяца назад
uende chadema mara ngapi wakati ulikuwa chadema mda wote
@williamuaza7541
@williamuaza7541 2 месяца назад
Karibu nyumbani mkuuuu
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 2 месяца назад
Sasa ndio tunaendelea kuamini kwamba serikali iliopo madarakani kwa sasa niserikali ya kihuni kabisa '!
@AbediMawaya-us8bf
@AbediMawaya-us8bf 2 месяца назад
Mungu atawacha ata mmoja wenu kwakile mnachokifanya juu ya haki nawapenda sana chadema someni zaburi 35 mungu atawaacha
@RahmaMwamwezi
@RahmaMwamwezi 2 месяца назад
Poleni sana pia hongereni kwa kuwaa hii stori imeenda kwa upana zaidi makamanda
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 месяца назад
Washtakini Umoja wa mataifa hao.Huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 месяца назад
Hii nchi Ina mambo ya ovyo Sana.Kama hamtaki mfumo wa vyama vingi Si mfute kuliko kuwatesa watu.
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 2 месяца назад
Pole sana. Sitachoka kuwakumbusha ndugu zangu watanzania kuhusu utabiri wangu kwa maisha (survival) ya utawala (system) unaoishi katikati ya umma unaolalamika huku ukiogelea katika umasikini uliokithiri. Kwamba ili utawala wa aina hii (tanzania) uishi hapana budi uzue/ubuni matukio au/na taharuki. Taharuki ya mwisho ilikuwa ya kununuliwa na CCM na nchi nzima ikasimama. Na nikasema haya yanayotokea ni ili umma/wanaharakati wasahau kufuatilia/kuwajibisha wahusika kwa: CAG - ripoti za ufisadi, wizi matrilioni ya shs bwawa la mwl. Nyerere, upigaji tenda reli SGR TBR - Kigoma, Rushwa, Umasikini, Mpina vs Bashe sakata la sukari. Bandari DP World, Wamasai - Loliondo, Aibu ya CCM na serikali kupitia uenezi wa Makonda hadi zoezi likasitishwa - Makonda akaeungiliwa. Na mengine kama hayo. Nikasema ya Peter Msigwa ni ili kujenga sahau, likiisha litapikwa jingine, tujiandae. Na kweli utabiri wangu, na sasa limeibuliwa kamatakamata CHADEMA! Na hakika nchi nzima imeacha/imesahau balaa za nyuma macho yote kwa CHADEMA hivi sasa. Likiisha hili, tujiandae litakuja jingine, ni utabiri.
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r 2 месяца назад
Ila Ccm inachokitafuta itakipata I swear wanachokitafuta km amani hii tuliyonayo wameichoka acha tuone
@AhmadIdd-rv2rg
@AhmadIdd-rv2rg 2 месяца назад
Serikal hii inapelekea ni watu tuletewe bunduki Tu basi tuwe Kama Congo bas maana Uhuru Amna kabisaaa
@damasiasimba-lk5os
@damasiasimba-lk5os 2 месяца назад
Hamia kongo uone shida wanayopata unaropoka tu
@frankcharles3980
@frankcharles3980 2 месяца назад
​@@damasiasimba-lk5osPUMBAVUUU
@PaskoDon
@PaskoDon 2 месяца назад
Yote maisha wazee
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 месяца назад
Pumbavu wewe mwenye masirahi na ccm, lakin siku ikitokea hata hiyo pumbavu hautapata muda wa kuiandika utasikia milioya ya mabomu na siraha tuuu, funguka machozi ni maneno yasiosikika
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 месяца назад
​@@damasiasimba-lk5osipo siku inakuja mtaelewa, nanyi muendelee kutafsili haya ni sawa?
@SamsonPeter-j1m
@SamsonPeter-j1m 2 месяца назад
Chadema safi sana Mungu aendelee kuwabariki
@MgimbaDux
@MgimbaDux 2 месяца назад
Mzanzibar anaanza,Asitegemee kupata mahusiano mazuri na watanganyika
@seikoibrahim1296
@seikoibrahim1296 2 месяца назад
Poleni sana ,Huku Kigamboni tunateseka sana na vivuko na kulipishwa kuvuka darajani deni gami lisiloisha, siku hz kivuko ki 1
@MichaelMoseka
@MichaelMoseka 2 месяца назад
Poleni Sana viongozi wetu mungu awe pamoja nyie
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 2 месяца назад
Imeniuma Sana kama nyie ni viongozi na mnafanyiwa hvo ndo mjue sisi raia tunapitia mengi Sana kuhusu hao police sema tu mungu anatulinda
@HalimaShawa
@HalimaShawa 2 месяца назад
Pipoziiiiiiiiiiiiii✌️✌️✌️✌️💪💪nguvu moja, vijana tubadilike, ccm sio chama. Tazameni tunavyoteswa nautekaji watu wanavyopotea. Iyo yote ni ccm.
@ebenezersumari5408
@ebenezersumari5408 2 месяца назад
Tanzania Tanzania 🇹🇿 Kuna siku itakua historia na Ushuhuda😔😔
@princedaniel4746
@princedaniel4746 2 месяца назад
Dah! Inasikitisha. Poleni sana watanzania wenzetu
@princedaniel4746
@princedaniel4746 2 месяца назад
Lakini nafikiri kuna sababu ya msingi. Siamini kwamba police wametenda hayo bila sababu. Tunahitaji kujua ukweli uliofichwa
@pastorykimaro7576
@pastorykimaro7576 2 месяца назад
Nimekubali tunaongozwa na watu waajabu
@rambostalon2888
@rambostalon2888 2 месяца назад
Tuko pamoja✌️hamko peke yenu.
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 2 месяца назад
Kuanzia sasa nahamia chadema, na kura zangu za ndiyo mtazipata. Lakini ccm chama tawala watawaibia kura kama hali hii inaonyesha udhalimu mtupu.
@Deomifuko-m4s
@Deomifuko-m4s 2 месяца назад
Daah inasikitisha saana aiseee ila Mungu ndo anajua kwakweli
@Mkazially
@Mkazially 2 месяца назад
Mungu anawaona Kuna watu wanafikiri hawatakufa
@JoshuaNgolela-pi3nh
@JoshuaNgolela-pi3nh 2 месяца назад
nakubali mweshimiwa Mwenyekiti na walivo awajui sheria kawa buruzeni kweli hao washenzi kabisa
@BahatiSimkonda
@BahatiSimkonda 2 месяца назад
Poleni jmn msikate tamaaaa ipo cku mora ataingilia
@MataighaTiro
@MataighaTiro 2 месяца назад
Kuanzia sasa najiunga chadema nimewakubari sana sana
@juliusringo710
@juliusringo710 2 месяца назад
Watanzania tusikubali huu unyama tuandamane mpaka hawa wahuni waondoke
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 2 месяца назад
Duu nchi yangu Tanzania. Watanzania tumegawanyika. Fufuka Baba wa Taifa ulione Taifa lako linaangamia.
@jimmykampate78
@jimmykampate78 2 месяца назад
Ivi Kinana kajiuzuru kwa kutunza heshima yake aliyaona aya au mzee Kinana nakupigia salut kwa kujiuzuru tuachie hawa wenye uchu wa madaraka na kuwatesa wtz
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 2 месяца назад
AWADHI HAJI NI MZANZIBAR AU MTANGANYIKA?
@DandasiKundi
@DandasiKundi 2 месяца назад
Mwenyekiti sema sema jeshi hatuna nashangaa sana kwa kweli sawa tumia sheria nitafurahi sana
@celestinemidauli988
@celestinemidauli988 2 месяца назад
Safi sana kwa hatua zitakazo chukuliwa.🙏🙏
@patrickmbogo3029
@patrickmbogo3029 2 месяца назад
This is extremely shameful for so-called democracy alluta continua
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz 2 месяца назад
Kwa maelezo haya ni wazi kuwa polisi ni mali ya serikali.
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 месяца назад
Yani katka maisha yako.usje ukamthamin police hata siku moja
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 месяца назад
Police wa hii nchi ni wahuni sana tena wauwaji nizaidi ya wahun tena mkpa viongoz wenyewe
@NjapakaziKimaki
@NjapakaziKimaki 2 месяца назад
Viongozi wa chairman nawashauri na kuomba gari ya mheshimiwa Lisu isifanyiwe matengenezo badalayake ipelekwe makao makuu ya chairman kwa ability yakumbukumbu
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 месяца назад
Kwakweli Tanzania haukuwahi hivi, wapo wanaoiharibu wakijiaminisha kuwa hao Ndiyo watanzania halisi, mihimili ikishakosa nguvu Haya Ndiyo madhara.
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 месяца назад
Point kubwaaaaaa
@Paskalina-d3d
@Paskalina-d3d 2 месяца назад
Poleni sanaa ndungu zangu
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz 2 месяца назад
Ni sahii hii nchi akuna uhuru wa mawazo utakiwi kuongea ukweli kama kuna wakubwa wanayo maslahinna huo ukweli. Ila mnyonge atachoka tu...
@robertkairo8483
@robertkairo8483 2 месяца назад
Hawa watu wanapaswa waburuzwe mahakamani individually ili wafundishwe kusimamia weledi kwenye kazi na si kusikiliza maagizo ya watu waovu walio kwenye mamlaka.
@hamissomary6869
@hamissomary6869 2 месяца назад
Huyooo ni mbwa sanaaaaa Hawzi kuma mayeeeew
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 2 месяца назад
MHALIFU ANAPELEKWA NYUMBANI CHINI YA UANGALIZI WA POLISI!!
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 месяца назад
chadema mna nafasi nzuri sana ya kukiangusha chama cha ccm ,sasa ivi mpeleke ombi la mualiko kwenye midahalo yao ya ccm
@HassanVorogwe
@HassanVorogwe 2 месяца назад
Raisi awali alipatia ila Sasa anamezwa na waovu WA ndani ya CCM.
@TrustElbashil
@TrustElbashil 2 месяца назад
Poleni sana viongozi wetu lakini ipo siku utakuwa rais wa nchii hao police usije wasahau ata kama wamekufu yake yafukuliwe
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 2 месяца назад
Hapa Sasa tunaenda wapi? Yaani siku chadema ikichukua inchi kesi hizi zote lazima zifuatiriwe
@EdumaelMushi
@EdumaelMushi 2 месяца назад
Mbona tunaweza kuwashughulikia chadema kirahisi hivi,lakini matatizo ya maji,umeme na huduma za afya ,elimu vimeshindikana?vipi bundi na ngedere tayari nao wamedhibitiwa au Bado wapi maofisini?
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 2 месяца назад
Dah! Hawa askari wa Tanzania hawana mafunzo mazuri na sahihi kabisa, au wanabebana katika kazi?? Dah! Rais upo wapi unaangalia hali hii?
@ismailramadhani1649
@ismailramadhani1649 2 месяца назад
Hawa si wakushitaki hapa Nchini 🇹🇿, wanastahili kushitakiwa umoja wa Mataifa.
@Paskalina-d3d
@Paskalina-d3d 2 месяца назад
Hiv hawa viongozi wa nchi wanataka ku2peleka wapi mbona manyanyazo kila kukicha afahdali ya jana pole sanaa bwana lisu kwa changamoto unayoptia mungu akubariki sanaa
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 месяца назад
Huyo Kamanda Awadhi angefukuzwa kazi pamoja na wote walioshiriki kuwatesa ndugu zetu
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw 2 месяца назад
hao wanaowafukuza kaz ndo wamewata
@hadjiMbugi-iu4eg
@hadjiMbugi-iu4eg 2 месяца назад
​@@NM-yl2uwmm mawazo yangu apandishwe cheo
@BoniphacePeter-ih2st
@BoniphacePeter-ih2st 2 месяца назад
Kwa mwenendo huu hapana sababu ya kuwa ktk Chama cha majambazi
@josephatbwakome5711
@josephatbwakome5711 2 месяца назад
Hii mipolisi ya CCM naichukia mpaka basi, ctamani mwanangu awe polisi labda yabadilike kitabia.
@puritybariki8529
@puritybariki8529 2 месяца назад
Wewe awadhi utakufa mdomo wazi kabisa kwani Hawa sio watanzania wenzako
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 месяца назад
Nimeumia sana inchi hii inawatu wana roho mbaya sana
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 месяца назад
Mungu atashusha pigo ktk nchi hii hakika nawaapia Haya maneno mtayakumbuka Maana WANYONGE wanaonekana kuwa ni umbwa tu
@Ramista75
@Ramista75 2 месяца назад
Hapa sijajua haya mambo wangefanya viongozi wa ccm nao wangefanyiwa hivihivi na polisi sijui
@SubaGillah
@SubaGillah 2 месяца назад
Hii nchi ina vituko sana lakini ipo siku isio na jina mungu anatenda mambo yake
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 2 месяца назад
Poleni sana Mungu ni mwaminifu atalipa Kwa hayo yote
@juliusringo710
@juliusringo710 2 месяца назад
Amen
@puritybariki8529
@puritybariki8529 2 месяца назад
Jamani umoja wa mataifa mko wapi watanzania tunatezeka sana
@davidsamson8292
@davidsamson8292 2 месяца назад
CCM TUMEICHOKA HII NCHI IWE NA SIASA HURU SIO MABAVU YA POLISI.
@DandasiKundi
@DandasiKundi 2 месяца назад
Hii ni hatari sana hata polisi wanaiba simu jamani ninasikiliza maelezo ya mnyika yanasikitisha sana.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Hii nchi inahitaji ukombozi.Tunaongozwa na watu wasio na utu na wasio fuata sheria na katiba nchi.Jeshi la polisi lina watendaji wenye uwezo mdogo na akili ndogo sana na wanaotumia madaraka yao vibaya.
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 месяца назад
Niwahuni kuazia viongoz wa ccm mpaka ilo.jesh ila kuna siku nadhan watashndwa kuzuiya nguvu ya umma
@AnosisyeMwaigomole-m3v
@AnosisyeMwaigomole-m3v 2 месяца назад
Haki haiwezi kuondoshwa, bari huchereweshwa
@ErasmusMakavery
@ErasmusMakavery 2 месяца назад
Vijana uvccm mwanza tunaomba kujiunga na chama cha demokrosia na maendeleo chadema .
@SleepyDrink-yp7yg
@SleepyDrink-yp7yg 2 месяца назад
Naumia sana juu ya haki za binadam Ii halo itaisha lini
@boazmwakalonge-ch9qp
@boazmwakalonge-ch9qp 2 месяца назад
pore sana mweshimiwa Ipo SKU watakusalimia kwaheshima
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 2 месяца назад
Kuwa CCM ni kukubaliana na ushetani nawaambia watanzania CCM kamwe siyo chama kamwe hawana hutu ni washenzi sana, polisi ivi mnajisikiaje kutesa watu
@robertkairo8483
@robertkairo8483 2 месяца назад
Hivi taifa letu lina aina gani ya watu kwenye taasisi hizi za kutoa haki. Dah inasikitisha sana kwa kweli
@MeckMuro-tt3nj
@MeckMuro-tt3nj 2 месяца назад
Poleni sana viongozi wa chadema kwa magumu haya, ila niwakikishie mungu wetu ni mwaminifu atawaacha kamwe,
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 месяца назад
Kwa sasaiv sion sababu ya kubembelezana na hawa askar kwan ni wahun hii nchi bado inamambo ya kihun sana dawa ni tunyooshane tu
@mtakatifubony5525
@mtakatifubony5525 2 месяца назад
Mabadiliko ya kweli yanaletwa na watu walijitolea hata kufa kama kweli mnataka kuleta mabadiliko Hii ndio njia sahihi,Acheni kulalamika, mabadiliko hayawezi kuletwa na walalahoi
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 2 месяца назад
Kwa nini jmn uwiiii ccm acheni kutesa chadema yupo mungu atawajibu
@StevenMapete
@StevenMapete 2 месяца назад
Polisi wetu wanahitaji elimu ya kisheria huweziI kumpiga mtu alie jikabidhi mikononi mwako
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 месяца назад
Kwa hiki walichofanyiwa Chadema, cha ajabu vyama vya upinzani vingine vipo kimya. Au vyama vingine ni vibaraka.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Hata mimi nashangaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 месяца назад
Vyama vingine ni CCM B
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 месяца назад
Nimeelewa​@@richardnganya2311
@ZedekChamagogo
@ZedekChamagogo 2 месяца назад
Tanzania chama Cha upinzani ni chadema tu vingne vyote ni ccm B
@ErickAlipipi
@ErickAlipipi 2 месяца назад
Ccm nisawa na uongozi wa mkolon tena mjeruman
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 месяца назад
SERIKALI yangu mnatengeneza chuki wananchi watawachukia sana kwa shuhuda HIZI ni dhahiri watu wanaishangaa sana serikali
@puritybariki8529
@puritybariki8529 2 месяца назад
Akika mungu yupo mungu atajibu kwa wakati
@ChristopherCharles-ty6uw
@ChristopherCharles-ty6uw 2 месяца назад
Hiki mnacho kifanya ccm mungu, anaona na mtalipwa hapahapa chini yajua. Mungu hachelewi wala hawahi atajibu kwa wakati
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 2 месяца назад
Jamani watanzania tunajisahau kwasababu mungu anaonesha madudu ya CCM na polisi wao kwasababu sisi tunatakiwa kufanya uchaguzi wa kuwa Fanya wakose kula hata kula Moja ili wakiiba kula iwe kama Kenya mana wamechoka kufanya vitu kwa haki
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 2 месяца назад
Awadhi Haji,Mungu atapigana nawe😢
@juliusringo710
@juliusringo710 2 месяца назад
Amen
@simonzelote5998
@simonzelote5998 2 месяца назад
Mungu atamuhukumu tu mungu sio adhumani
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 месяца назад
Viongozi na police wa Tanzania🇹🇿 hamuelewi kazi yenu mnajua ubabe tu na mwisho wa yote ni kifo 😢😢😢😢😢 Mtakufa vbaya sana badlikeni police wa Tz mna shida ya uelewa
@EmanuelPallangyo-n4q
@EmanuelPallangyo-n4q 2 месяца назад
Hawa wapelekwe mahakama ya kimataifa wananchi tutachangia nauli za mawakili ili haki ipatikane na uonevu ukome.
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 2 месяца назад
Pore Sana ira mungu Yuko pamoja nanyi
@celestinemidauli988
@celestinemidauli988 2 месяца назад
Poleni sana kamanda tupo pamoja
@davidchavaligino7103
@davidchavaligino7103 2 месяца назад
Halafu na mateso yote hayo utasikia jitu limehamia upande wa pili
@JoshuaNgolela-pi3nh
@JoshuaNgolela-pi3nh 2 месяца назад
chadema hii nchi yenu kitambo ccm aina jipya haaina mvuto tena kazi ni kutumia akili zao
@AliImamu
@AliImamu 2 месяца назад
Swazi haji ni wawapi huyu
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 2 месяца назад
Nahama ccm kuazia leo rasm
@PaulNsabi
@PaulNsabi 2 месяца назад
matumizi mabaya ya madaraka,fedha za nchi,kunyanyasa wananchi,isiyo na kariba,wakati wa kudai katiba mpya
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 2 месяца назад
Mbona wameanza mapema ikifika 2025, itakuwaje?
@HalimaShawa
@HalimaShawa 2 месяца назад
Pore sana kamanda, ila hawo watu malipo yawo yanakuja
@NestoryMgimba
@NestoryMgimba 2 месяца назад
Sina hofu nakaza mwendo hatuwezi kurudi nyuma tumevumilia kwa magufuri na huu mwisho tutavumilia japo maumivu yaweza kuwa makubwa lakini tutavumilia.
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 2 месяца назад
Serikali ya Samia imepoteza mwelekeo na sera Sasa wanaona kutumia polisi kuteka watu hovyo hovyo ndio suluhisho lakini hatutavunjika moyo tutapambana mpaka kieleweke Samia must go.
@HassanVorogwe
@HassanVorogwe 2 месяца назад
Vyama vingi vifutwe kibaki Chama kimoja mnawatesa kuwapiga kuwaua, bakini wenyewe nchi ni yenu pekeyenu.
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 2 месяца назад
Pole sana baba yani munafanyiwa unyama sana
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 2 месяца назад
Tunaelekea wapi inasikitisha sana
@PrivaAgust
@PrivaAgust 2 месяца назад
Mwenyekiti ebu kasirika kama Mimi.
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 2 месяца назад
Kama haikutakiwa tuwe na vyama vingi turudi kwenye chama kimoja.
Далее
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Просмотров 19 тыс.
BALAA LA ASKOFU MWANAMAPINDUZI KUWAANIKA WATEKAJI
49:40