Yesu wangu usinipite mimi pamoja na familia yangu yote 👏👏👏 Mungu baba tunaomba furaha yako ndaniyamaisha yetu ndaniyanafsi zetu ilikufikia kwawepesi zilebaraka Bwana In Jesus Christ Name 🙏🙏🙏
Bwana yesu naomba umfunike mwanangu kwa damu ya yesu kila uchawi hautampata kwa damu ya yesu uchawi wote uwarudie mara saba wenyewe kwa jina kuu la yesu
Baba yetu bishop elibariki sumbe mungu wa binguni akutuze na akupe maisha marefu na ya heri pamoja na familia yako baba usige itii sauti ya mungu nigekua wap mimi hivi leo hakika nimemuona mungu aliyeko ndani yako baba asante sana
BWANA YESU KIRSTO naomba ukutane nami ciku ya leo nitete niondolee roho ya kuchanganyikiwa nikuone BWANA MUNGU kupitia ibada hiii, nitoe katika roho za mateso mm pamoja na familia yetu nami nitakupa utukufu
Hakuna mauti kwenye familia yangu hakuna kuchanganyikiwa kwa jina la yesu maneno yote ninayafuta kwa damu ya yesu kiatu cha mwanangu kirudishwe kwa moto wa jina la yesu moto ukawaakie uko walipo kipeleka waje wakitambaa kwa jina la yesu kristo Amen