Amina mtumishi shuhuda zako zinaningusa sana, zinataka kufanana zangu, Mimi sasa hivi Mungu amenijalia baraka za kutoa hunduma halafu akanipa neema niko hapa Marekani, nimetoka kwenye familia ya masikini hata baba yangu alimwacha mama akaishia mjini hakurudi tena hata hatujui kama yupo. Hua nashuudia nilpopita wana mona Mungu aliyenuinua, ndio maana napenda mahubiri ya baba Sumbe, Mimi nahisi baba ni kabila letu maana jina Sumbe ni la kwetu Mungu akuinue sana mtumishi wa Bwana amina
Amen nakuelewa mtumish wa mung Usinipite na me unapogusa wengine n mimi naomba uniguse mana mkono wako si mfupi ukashindwa kunigus usinipite Baba 🤲🧎♀️
Bwana yesu navunja mipango yote ya adui aliyo panga kazini ninaifuta kwa damu ya yesu kila vikao vilivyo kaliwa zidi yangu popote jina langu lilipo andikwa kuhamishwa kazini au chochote kile ninakiharibu sa hii kwa jina la yesu kristo amen
Naminimungu ataniacha kamwe alivyomfunguyule na mm nafunguliwa mgongo nakiuno ,miguu,kibali, kazi,nawa toto amani na akilishuleni naaminiatanitendea nakuniponya nimefunguliwa kabisa naamini nitapata kazi