Тёмный
No video :(

🔴LIVE: TARAKEA- ROMBO MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA. 

Chadema Media TV
Подписаться 202 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@user-nn2cz6zc9o
@user-nn2cz6zc9o Месяц назад
Mcheza kwao hutunzwa kura zote nizako❤
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Месяц назад
Hapo sawa. Kwa kweli tunatakiwa kufuata mabadiliko. Change is inevitable.
@GabrielSarya
@GabrielSarya Месяц назад
Hongera sana Mhe Mbowe na Mhe Lema kwa mapambano
@user-jc2oh5ro2y
@user-jc2oh5ro2y Месяц назад
Asante kwa kuamsha wananchi
@SimonMayunga-e3y
@SimonMayunga-e3y Месяц назад
SAFI SANA, GONGELEA HAPO KWENYE AJILA, WATOTO WETU WANADHURA TU MTAANI
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Месяц назад
Wananchi amkeni tuamke ni kweli inatakiwa ccm ipumzike,tuwape wengine nao Chadema ituongoze hata miaka 5 ijayo na kuendelea tuokoe rasilimali zetu mama kizimkazi na team yake wanauza kila kitu na kusababisha maisha magumu kwa wananchi! Ccm ipumzike! Mungu ibariki chadema na viongozi wake na wote wenye uzalendo wa kweli.
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 Месяц назад
Great visionary!
@Noelkitoi
@Noelkitoi Месяц назад
Ccm inataka kuiba kura sisi kama vijana tuko tayari kwa Shari ccm wamecha anda kura bandia
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 Месяц назад
People's power🔥 ✌️
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 Месяц назад
Great minds
@eunho9529
@eunho9529 Месяц назад
VIJANA jambo la kwanza na la msingi ni KUJIANDIKISHA ili kuweza kutimiza lengo mahususi la kuindoa ccm madarakani.
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 Месяц назад
Hahahah et maboya
@PaskaliBaha
@PaskaliBaha Месяц назад
✌️🔥
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Месяц назад
Wadau kubalini kataeni, natumiz ya serekali ya Tz ni ya juu sana, kuweni na huruma na upendo nyie viongozi,
@FadhiliMushi-b7r
@FadhiliMushi-b7r Месяц назад
Kabisa ulichosema
@FadhiliMushi-b7r
@FadhiliMushi-b7r Месяц назад
Kimsingi rombo ilikuwa vema wakati chadema ilikuwa inaongoza rombo lakn serikali ya chama cha mapinduzu imegeuza rombo kuwa watu wajinga na wasio na akili
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Месяц назад
Alafu inasikitisha sana, kuwa shule zetu utakuta shule ina wanafunzi mia 8, walimu 6, yani utafikir Tz haina waziri wa elimu, inauma sana, alafu kaajiriwa kapewa na dereva, gari bure, nk. Badilikeni ccm.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Месяц назад
@mayrfrimi4759 Ccm haiwezi kubadilika yenyewe ndugu! Usijidanganye kwamba ccm itabadilika! Ccm inatakiwa ibadilishwe tena kwa nguvu ya wananchi kupitia kura na kwa nguvu ya umma! na kulinda kura wasiibe kwa ghalama yoyote ile! Usicheke na ccm ule ni mfumo inatakiwa itolewe kwa nguvu ya umma siyo kuchekeana na ccm inacheza na maisha ya wananchi milioni 60 na zaidi! Kundi la watu wachache waliyoshika madaraka na vibaraka wao na machawa wao wanatesa wananchi milioni 60 na zaidi! Wewe ulishaona wapi watoto wao wanasoma shule za kawaida au kutibiwa hospitali za kawaida zisizo na huduma nzuri kwa Wananchi au zisizo na madawa!? Amka kijana,mzee mama unanganisha nguvu ya umma kuokoa Taifa na rasilimali zetu.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Месяц назад
Inasikitisha sana, hizi dharau za viongoz wa ccm, yani kweli wana rombo ni haki yao kuja kupigwa changa la macho kwa buku 5 kweli?? Huyu mmunge wetu anatuona kama sisi jatujui wanavyopiga hela ya wananchi,
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Месяц назад
Kosa kubwa Kwa watanganyika ni kuirudisha ccm madarakani.hicho ndiyo kitakuwa kifo chenu
Далее
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 9 млн