Тёмный

😍NILIMKOPESHA BABALEVO MILIONI 53🤗  

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 149 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

2 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 200   
@user-hn7uv4yg2q
@user-hn7uv4yg2q Месяц назад
duuhhh mashogazo kibao huyu mtoto kawa mzuri hivi angalia pua yake mashallahhhh
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Месяц назад
Wewe Nandi unamwachia mumeo nanavaa hereni na kipindi ha!
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Месяц назад
Ndohapo sasa usanii bila USHOGA haunogi
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 Месяц назад
Mtoto wa kiume na kipini cha pua! Halafu huyu Jamaa si ana mke na mtoto?
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Месяц назад
@@mohamedmagongo9348 ndo hapo sasa wake wengine siwakuoa angetakikana mke amkeee kwahilo bt ndo mwanzo ampogeza kwa kua mzuri nababa bora serious,faida gani yakua namke nakisha hamukosoani
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Месяц назад
@@mohamedmagongo9348 halafu sasa siyeye peke yake wanaojiita wasanii wakimataifa 99%wametoboa pua na masikio,yanii usanii ni.promotion ya USHOGA halafu utasikia wasanii kioo jamiii
@dawsonlucas3252
@dawsonlucas3252 Месяц назад
Its not good to disclose your customer’s information.
@dianerditto
@dianerditto Месяц назад
Hakuna riba zimesomwa hapo huo uteja umetoka wap
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 Месяц назад
Baba levo atakuwa anaweka mikeka😅😅😅💪💪💪💪,safi sana baba levo na hongera bill nenga kwa kuwasaidia wenzio
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Месяц назад
Anawasaidia kwenda kuchezea kamari anapata dhambi badala ya thawabu!
@antazypoka3752
@antazypoka3752 Месяц назад
​@@fatmaabdallah7709kubet sio kamar. Tofautisha betting na gambling
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Месяц назад
Sasa watu mnapata wapi nguvu ya kusema analelewa na nandi mtu anakupesha mi hela km hiyo watu mnaangalia mziki tu anao fanya kumbe kuna vitu anafanya nyuma ya mziki watu hawapendikuweka kila kitu kwenye mitandao ❤❤
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j Месяц назад
Akona duka la I phone pia❤
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Месяц назад
@@user-jf9pt8bu5j ndio
@jokhaaliy3720
@jokhaaliy3720 Месяц назад
Duh na kipino tena sasa Nandi yeye ataweka nini
@alimwadima254
@alimwadima254 25 дней назад
Nawashangaa Sana hawa watoboaji Pua,Masikio bado kutoboa Nipples Tu na vitovu watu wawe sare 😂
@nasibumontana9379
@nasibumontana9379 Месяц назад
Safi tu mkuu billnenga we mfalme tu maisha marefu brother huna baya natamani siku moja niwe msanii wako tu au hata kolabo tu nakukbali toka enzi za rafik ako godZila
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 16 дней назад
😂😂😂mfalme malkia 😂😂😂
@DM_15
@DM_15 Месяц назад
Tatizo sio mikopo ya baba levo, ishu ni nenga nakipini kwa pua
@yaajefwa94
@yaajefwa94 Месяц назад
Sasa weee Nandy??? Mbona unalalamika sasa
@yusuphmwanza4405
@yusuphmwanza4405 Месяц назад
Awa vijana sielewi kwanini hawajifunzi kutoka kwa alikiba kuusu ayo mambo ya vipini na heleni
@halimajay606
@halimajay606 Месяц назад
😂😂comment ino ndio nilikua natafuta 😂😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Месяц назад
Kuna siku atakufa kinywa wazi analiwa zote alafu mshahara wake laki 3kubet ni ujinga Sana, unashinda Milion 200 umeliwa milioni 170😅
@legrandmsangi8405
@legrandmsangi8405 23 дня назад
Mwamba anapita kweny swaga za Tupac Shakur. Kipara, kipini, swaga alafu ni rapper ss. Shemej wa taifa
@hawaa2227
@hawaa2227 Месяц назад
Mpk vipini puani innalillahi wainnailahi rajiun
@taseleli9181
@taseleli9181 Месяц назад
Yaani hicho kipini kaniboa sana nani kawaambia kuwa ustaa ni kuvaa kipini hovyo kabisa
@hawaa2227
@hawaa2227 Месяц назад
Yn alivyokuwa ni kama mwajuma ndara ndefu imekosekama shedo tu alaf ndio kuna mtt wa mtu anamuita mume wang aaah subutuuuuuu
@jacklinejohn5727
@jacklinejohn5727 Месяц назад
Ushetani tuu
@brenthylland2507
@brenthylland2507 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Месяц назад
SubhanaAllah😭😭😭😭
@georgenkanawa7156
@georgenkanawa7156 Месяц назад
Acheni nongwa waseeeng nyie, mnacomment jealous tu
@stevensosipita
@stevensosipita Месяц назад
WE NAWE NI MMOJA WA MASHOGA GROUP POLENI SANA
@HusseinChai
@HusseinChai Месяц назад
Kaka umekua shogaaa😅😅😅😅
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Месяц назад
Yani mimi hawa wasanii nashindwa kuwaelewa kipini hereni meno ya dhahabu alafu mtu anaambiwa ni bb uyo mume wangu mume mwafanana yani bora ata mwijaku na mijikelele yke kulio hawa wasanii wanaofanya mambo ya kike uu wala sio ujanja ni uboya tuu
@TheopistaMuheta-qp1bc
@TheopistaMuheta-qp1bc Месяц назад
Wanaona unyama
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Месяц назад
Kwani mwijaku ni msanii? acha ushamba
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Месяц назад
Nikweli mshamba nawala sina muda wakujibizana na mtu
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Месяц назад
Ndugu hii kutoboa pua itakua wameshatobolewa mpaka nyuma kama huyu ni msenge kabisa harafu wasenge wenzie ndo wanamtetea humu
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Месяц назад
@@ContentSmartphone-rq6po tena wanatete kwelikweli km lkn ndio ilivyo kumsema mtu km nimwizi bs mwizi mwenzio atakutusi ukimsema teja ujue mwenzio km yupo karibu ata bisibisi atakuchona nayo sishangai
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Месяц назад
Kuvaa hereni mmeona hautoshi saivi adi vipini vya pua mnavaa aisee Mungu tulindie iki kizazi
@Clex-f5s
@Clex-f5s Месяц назад
Daa hii kitu bhana kwani wakwe hawaoni watoe neno😊😅
@taseleli9181
@taseleli9181 Месяц назад
​@@Clex-f5sYaani ni shida dume zima na likipini
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Месяц назад
Mke wake haezi kumwambia kwani,. Mhhh
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 Месяц назад
Wewe unajuwa mungu anataka nini? All is just invention of human being . Usikete mungu kwa mavazi zamani watu wamejuw wanavaa ucii bila nguwo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Месяц назад
umependeza sana Naizo hereni Naicho kipini puani mchawi ndevu2 ungenyoa izo ndevu watu wangeomba mzigo mchana kweupe
@ZahraAlly-wq4ku
@ZahraAlly-wq4ku Месяц назад
😂😂
@Basagamp4
@Basagamp4 Месяц назад
Hahahahaha umeanza vizuuuri ukamaliza Vibaya😂😂😂
@ismailadam962
@ismailadam962 Месяц назад
Fantastic
@khadijaiddi9422
@khadijaiddi9422 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@HappyHiker-nz9vg
@HappyHiker-nz9vg Месяц назад
Mmm 😢😢 mitihani huu Watoto wakiume kama wakike
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Месяц назад
Kweli dada bilinasi kapendeza san na huo mkipin puani 😳😳😳
@MrNdanguza
@MrNdanguza Месяц назад
😂
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu 14 дней назад
Ushoga mtupu toto la kiume umetoboa pua shoga wewe sura mbayaa kama matako ya nyani pumbaaaff mkubwa wacheni ubishoo sana
@matildamati9222
@matildamati9222 Месяц назад
William William William nimekuita mara 3 toa hicho kipini puani usimuaibishe WAPARE tafadhali km una masikio ya kusikia basi sikia hili
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Месяц назад
😂😂😂
@johinsarakikya
@johinsarakikya Месяц назад
Katika watu nilikuwa na wakubali ni wewe bilinenga kimziki ila izipigo zasaivi zakuvaa ereni zamrembo Nandi mwamziki aliye fanya makubwa kwenye mziki Nandi una mvunjiya eshima sana dada yetu kwaizo pigo 😢😢😢 iga kufunguwa bishara kama wenzako wewe Bado una angaika naviereni tuu mpaka Leo nenda navo Moshi au arusha uone kama ujaletewa sukari yamaari
@user-ij9sc8cp8v
@user-ij9sc8cp8v Месяц назад
Hamtudanganyi sis mnajidanganya nyinyi.huo ni uongo mtupu,lengo lenu mtuonyeshe vipini puani,Ili nawengine watoboe,fanyeni kazi maisha yanawezekana bila kutoboa pua.LGBT wakubwa nyie.
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 25 дней назад
wachaga wengi ndovyo tulivyo hatupendagi kuweka mali zetu wazi sana pia tambueni wachaga ndo wameiteka bongo kwa kumbi za staree na mahoteli na c bongo2 nenda moshi arusha mwanza mutawajua wachaga n watu wa kipekee sana wadada karibuni moshi
@dicksongeorge7745
@dicksongeorge7745 7 дней назад
Tengeneza vya kwako vya wachaga havitakusaidia alafu uache kutukuza ukabila wewe limbukeni wa makabila
@liannsambu7264
@liannsambu7264 26 дней назад
WHY MWANAUME RIJALI UTOBOE MASIKIO NA PUA ??? SOMENI VITABU VITAKATUFU MJIFUNZE MWONEKANO HUO NI CHUKIZO KWA MUNGU , ACHENI HIZO SIYO MAADILI
@khadijaalimohd1320
@khadijaalimohd1320 Месяц назад
KIPINI PUANI KWA DUME HIZO NINEMBO ZA MASHOGA HUYU ULAYA. MNAIGA MUSICHOKIJUWA USENGE HUWO😅
@user-zq2nb4yh6t
@user-zq2nb4yh6t Месяц назад
Wasaidia watu wasiojiweza kaka sio kujisifia kumkopesha baba levo ww kama msani angali group people people with disability
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 25 дней назад
Hizi pesa mkiwa na matatizo huwa haziruhusiwi kutumika au? Maana tunawaonaga sana kwenye changamoto mnapotuhusisha mashabiki tuwachangie
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Месяц назад
Anakukopa akawaonyeshe watu kuwa anahela 😊😊
@ngusawales2039
@ngusawales2039 Месяц назад
Kutoboa pia na wanaume tumo jaman 😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭
@SalimSibabu-xw1pk
@SalimSibabu-xw1pk Месяц назад
Bubhaana Allah innalillah wa innailaihi raajiuun
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Месяц назад
Cjuwi kuvaa vipini na herini kwa mwanamme inaleta pichha njeema
@irenekalinga323
@irenekalinga323 Месяц назад
Yani Taifa la Tanzania aiseh natamani kuhama vyombo vya habari pamoja na wasanii ndio wanapotosha Taifa yani mama kakopa pesa ya kulipa miaka 40 vijana wapo kwenye midia wanalete mizaha
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 Месяц назад
Umetoboa pua na umetoboa maisha ,namaee 😅
@assaandrew2411
@assaandrew2411 Месяц назад
Sijawah mtamani mwamaume mwenangu ila leo nmetamani nenga nmuinamishe
@wilsonmbuthia1385
@wilsonmbuthia1385 Месяц назад
That sound funny 😅😅😅😅 ati 53 million Convert into kenya Dollar 😅😅😅
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 Месяц назад
Huna ata K10 na unajifanya tu apa nyoko ww.
@Lisa.xx8
@Lisa.xx8 Месяц назад
Nb cares abt kenya. This is a tz media.
@husseinkaseja2510
@husseinkaseja2510 Месяц назад
Duh....Nenga kawa mrembo hivi😂😂😂😂😂
@shabaniselemani9159
@shabaniselemani9159 Месяц назад
Kumbe huyu nae mjinga we umkopeshe milion hamsin we bank mpumbavu mkubwa wew
@patrickrububura641
@patrickrububura641 Месяц назад
Sasa hasira zote za nini jamaa hahaha
@kivurichumamwerumungwi9382
@kivurichumamwerumungwi9382 Месяц назад
Mbona wadogo mnazingua. Vipini puani ni utamaduni gani. Serekari kamata hao wapotoshaji kizazi
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Месяц назад
Wanawake tuna roho ngumu kwenye mapenzi nadhani wakubwa mtanielewa 😢
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 Месяц назад
Huo mpini kwenye pua veep
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
Hereni na lipara km Miriam odemba Ava na zile heren kubwa km bangili tu
@omante194
@omante194 25 дней назад
Mwanaume akivaa Dhahabu ni mwanamke tyu
@juniorasante1539
@juniorasante1539 Месяц назад
Sound tuu hizi baba leo umpe milion 53 atakimbia mpk wasaf atalipa nn han kitu cha bond han ebu ifike mahal achen kutuchora sisi
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Месяц назад
Mwanaume akivaa heleni na kipini jua huyo ni shoga
@salimurajabu9907
@salimurajabu9907 25 дней назад
Watz tunapaswa kujiuza shida Iko wap
@grahamnangi1817
@grahamnangi1817 Месяц назад
Kwahio nida inamtambua kama babalevo kufungua account benki. 😅
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb Месяц назад
Ah mtoto wa kiume anavaa herine na anatoboa pua halafu mnatueleza msanii ni kiyoo ujinga mtupu hizo sio Mila zetu. Watanzania
@masoudmohammed2043
@masoudmohammed2043 Месяц назад
Huyu akija Dubai tuna piga ubwabwa 😂
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Месяц назад
Wanahamasisha ushoga tu.. Jamaa ana sura ngumu kachagua uremo wa kuvaa herenj na kipini puani
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 Месяц назад
Huyu shoga , illuminati wanawapa masharti magumu yakupromote ushoga na kuuza miili Yao kwa wanaume we zao kwa ajili ya pesa na umaarufu
@alicenice1711
@alicenice1711 Месяц назад
Nenga muislam au😂😂
@africa7479
@africa7479 Месяц назад
hapan ni mikristo
@HilalSalum-oq9hw
@HilalSalum-oq9hw Месяц назад
Ww muogo .wasani wagon kino.kumbe pumbu tu😂😂😂
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 Месяц назад
Kakopa tarehe 5 kalipa tarehe 15 kweli iyo ni wasafi tv
@petercostakisoka
@petercostakisoka Месяц назад
Iyo mchezo ampagi mtu faida inamrushia vimchele mchele iko siku atakopa nyingi zaidi alf itapigwa mpk adate
@evelynemwinuka671
@evelynemwinuka671 Месяц назад
Hivi mimi mshamba hii ya kuweka pin puani inamaanisha nini ni urembo au kuna maana nyingine maana sielewi na je ipo kwenye biblia au kitabu gani cha dini? ?maana naona ina kasi kubwa alafu mimi ndiyo sijaelewa 😢
@catherineangaufoo2530
@catherineangaufoo2530 Месяц назад
Watu wako ndani ya mikataba... usiwahi tamani maisha ya mtu.
@jokhaaliy3720
@jokhaaliy3720 Месяц назад
Kumbe nyie wanaume hua mnatuonea choyo kila tunalolifnya sisi wanawake mkaanza kusuka mkaweka herin mkaavaa cheni sasa navip vya pua dah nandi huyo mbona kawa mwanamke mwenzako au nayeye ananiliiwa
@chichasam9032
@chichasam9032 Месяц назад
Usengeee
@IsmailSaid-zf1wx
@IsmailSaid-zf1wx Месяц назад
Kuna siku itaingia hela kubwa utakuja kulia😅😅
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Месяц назад
Nilikuwa ni shabik mkubwa saana wa bilinesi lakin kwa dalili hzo za ushoga hapana kabisa na huo muonekano ni wakchoko kabisa
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Месяц назад
😂😂😂Bwabwa mtoboa mapua.
@user-st8ff2gq4n
@user-st8ff2gq4n Месяц назад
Mwanaume unavaa heleni n'a vipi kweli
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
dada billnas umependeza na heren zako na kipini😂😂😂😂
@huldamichael4445
@huldamichael4445 Месяц назад
Sasa mbona huoneshi huku na sisi tusome😅 halafu pua kipini kimependeza
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 Месяц назад
Hereni hazijatosha mpk na kipini jamani?
@williambenedict6074
@williambenedict6074 Месяц назад
Tanzania mashoga kibao duuuh💔😂
@user-eq9qi2ye8u
@user-eq9qi2ye8u Месяц назад
Itakuwa kuna sili kubwa sana kati ya vipini na wasanii
@NickoJames-ok4ts
@NickoJames-ok4ts Месяц назад
Daaaaah jamn asa hiro pin la nini sasa nenga daah
@IreneLeonard-rl3jq
@IreneLeonard-rl3jq Месяц назад
yani ushani boa ishatoboa pua mwanangu
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 Месяц назад
Pua umetoa na sikio kuna ereni dogo vipi???
@MyahudiMgalilaya-vh6ss
@MyahudiMgalilaya-vh6ss Месяц назад
Yani uyu shoga namkubali sana
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Месяц назад
Bado mvae shanga na vikuku unapendeza zaid
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 Месяц назад
Nenga umezingua vipi kipini tena unatuangusha wanaume
@user-tu7jd4sn6u
@user-tu7jd4sn6u Месяц назад
Njoon huku nenga kawa shoga,😂😂😂
@FridaMmari
@FridaMmari 3 дня назад
Duuu kwanini uvae kipini Aisee
@user-kl1cp8me2o
@user-kl1cp8me2o Месяц назад
Y do u put that ring on ir nose. It dsnt look good
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 Месяц назад
Like a 2pack billnas nenga mwana sana hipopu
@happynkya9770
@happynkya9770 Месяц назад
kumbe huyu naye kavaa kipini
@chukumachupa6316
@chukumachupa6316 Месяц назад
sio rizki😅
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 Месяц назад
Tangu kamuoa nandy akili zime zidi kuruka mke kuvaa makoti ya maziwa nje na yeye mabadiliko ya usenge
@Mgema001
@Mgema001 Месяц назад
Unamtukana mtu Ambae hata hakujui😂😂😂 huu nao ni ugonjwa wa akili
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Месяц назад
Kwan ayo anayoongea ss yanatuhusu ww mwenyewe shoga2​@@Mgema001
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
​@@Mgema001kamfikishie ujumbe ww unaemjua mwambie aache ujinga yy kidume vipini vya nn na hereni??
@katanaelijah9734
@katanaelijah9734 9 дней назад
Huyu ni demu yup?
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali Месяц назад
SAlio limeingia kutoka Kwa BABALEVO😀😀😀😂.. kumbe ndio jina lake la usajili😅😅😅😅
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 Месяц назад
Mmmh kipini puani tena taifa lipo hatalimi MUNGU saidia kizazi hiki
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Duuuuuh kavaa kipini puani 😢😢
@husseinsimbano1466
@husseinsimbano1466 Месяц назад
Duuuu, lishakuwa jitu la vipini? Huu msiba mkubwa😢
@stevensosipita
@stevensosipita Месяц назад
WCB MASHOGA KIBAOO HII NI HATARI SANAA
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 Месяц назад
Icho kipindi unajivunjia heshima wewe ni.mwanaume
@Robinson24560
@Robinson24560 Месяц назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 fundi majumba ni mcheza kamari so kulipa madeni sio tatizo kwake
@mbokamaster4701
@mbokamaster4701 26 дней назад
Jamaa katoboa pua duu 😢
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 Месяц назад
Vijana mnako elekea mtatoboa hadi macho..!!
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Месяц назад
Huyu naye katoboa pia duuh
@user-gz2sr2xf9w
@user-gz2sr2xf9w Месяц назад
Ss icho kipini tena😅
@Kijosh854
@Kijosh854 Месяц назад
Usenge huo acha kuvaa kipini
@rashidsaid1092
@rashidsaid1092 Месяц назад
Mwisho mutasema msanii kufirwa hakuna tatizo sasa herini za pua za nini... Ujinga
@consolathamartini-mh8hu
@consolathamartini-mh8hu Месяц назад
Toa kipini unatuharibia watoto
@dahoudherman2107
@dahoudherman2107 Месяц назад
Sasa jamani pin puani
@victoriakapele8682
@victoriakapele8682 Месяц назад
Hicjo kipini puani vua hujapendeza bill
@modricseif1018
@modricseif1018 Месяц назад
Mambo ya vipini mnazingua
@mkubwakasim1470
@mkubwakasim1470 Месяц назад
Dunia imeisha
@chrissameri465
@chrissameri465 Месяц назад
Like serious pini puani?
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
😂😂😂😂😂amependeza amekua km nandi
@user-dy7lj5vg3o
@user-dy7lj5vg3o Месяц назад
Sas mkiva vipini puwani sisi nao tuvaye nin🤣🤣 subhanallah
@asmoretune
@asmoretune Месяц назад
kwan ww nan
@user-ly8sd8zl5g
@user-ly8sd8zl5g Месяц назад
Wa buza huyu
@RajabuMzee-qx4rd
@RajabuMzee-qx4rd Месяц назад
Vipini vipi tena kwa kijana wa kiume du
@vinny.morales
@vinny.morales Месяц назад
Msanii
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 Месяц назад
Sasa inahaja gani ya kusema mtandaoni
Далее
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 380 тыс.
NDARO AMCHOMA STEVE MWEUSI KWA TX DULLA
14:37
Просмотров 407 тыс.
Зачем он туда залез?
0:25
Просмотров 2,7 млн