Тёмный
No video :(

🚨Simba 3-0 Canal sc, Tathimini matokeo na umuhimu wa huu mchezo kwa Simba ni muhim 

mtanange tv
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m Месяц назад
Mungu ibariki simba
@mussamustafa9843
@mussamustafa9843 Месяц назад
Kama we ni shabiki wa simba gonga like 😊
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Месяц назад
Simba nguvu moja
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Месяц назад
Sema Hans nakuelewa kwa hoja zakoo
@yuzoooyuso583
@yuzoooyuso583 Месяц назад
Wewe gongowazi unaeponda mechi ya Simba kafie mbali
@yusufsalimu-j4w
@yusufsalimu-j4w Месяц назад
Hiyo ndo simba timkubwa club kubwa.
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 Месяц назад
Nachowaogopa Yanga wakishindwa mpira watawapiga misumari
@JofreySinkala-bb8be
@JofreySinkala-bb8be Месяц назад
Wahun wa uto walishakisahau miaka 2 yet avc town walikuwa wanacheza na zamna gn huo ushenz 2 wa uto .
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 Месяц назад
Usijisifie mmecheza natimu gani iyo ndondokapu mzee mbona hawakuiyonyrsha
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
Sema utopolo tuwagonge watakua na heshima
@Lungu-g6g
@Lungu-g6g Месяц назад
tuombe mungu timu kaesawa
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Месяц назад
Ok,nadhan ktk hizo mechi 5 zijazo mtaomba kucheza na pyramid fc😂😂
@mwana-dodomamedia9111
@mwana-dodomamedia9111 Месяц назад
Kwa kasi iliyoonyeshwa, naona wazi kw AJUZA FC wanakuja kuvunjwa nyonga😂😂😂😂
@user-gh6vc9or3v
@user-gh6vc9or3v Месяц назад
Halafu wewe dada unaelezea unaboa na unachosha Kuna maana Gani kuwepo kwa hao wachambuz
@odilomwakamela4889
@odilomwakamela4889 Месяц назад
Wachambuz bhanaa yaan hata mpira hawajauona wanasifia tuu... Nasemaje hawa wachezaji ambao mnawasifu leo subir wakutane na Yanga mtawakataa
@mrgasper4045
@mrgasper4045 Месяц назад
Kwani yanga kitu gani bwanaa?
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад
Na hawa watasumbua sana nbc wao si wana majina sasa sisi tuna wachezaji
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 Месяц назад
Acheni ngonjera mbivu na mbichi zinajulikana TU. Soon
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
8 8
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Месяц назад
Vichwa maji kinachoongelewa kingine ww una kaza fuvu kukalia ushabiki
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 Месяц назад
​@@muksinimbaruku1233 Sasa wanaongelea nini mechi enyewe ni matokeo wamekutana nayo hawajaangalia sasa unachambua nini hujaona hata mechi au wachezaji 😂😂😂 ila bongo bhana 😂😂😂 nacheka kwa dharau sana tena sana so kidogo Uyo Jeff sjui ani ndo mechi zake za kuchambua izi behind the scenes 😂😂😂
Далее
Напугал рыжего малыша😂
01:00
Просмотров 47 тыс.
A Minecraft Movie | Teaser
01:20
Просмотров 23 млн
ALLY KAMWE: ATHIBITISHA JEAN BALEKE KUONDOKA YANGA
2:25