Тёмный
No video :(

150,000,000 MIL👈🏻TANGAZO NYUMBA HIHAPA INA UZWA IPO DAR ES SALAAM KIGAMBON WILAY MPYA YA KIGAMBONI 

DALALI HAKWEA HAKWEYA 666
Подписаться 3 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

150,000,000 MIL👈🏻 TANGAZO NYUMBA HIHAPA INAUZWA IPO JIJINI DAR ES SALAAM KIGAMBONI WILAYA MPYA YA KIGAMBONI NYUMBA IPO KIBUGUMO NINYUMBA KAR SANA SIO YA KUIKOSA HINYUMBA INA VYUMBA VINEE VYA KULALA INA sitting room dining room kichen public toilet KISIMA CHAMAZI MAJI BARID KABISA HISIO YA KUIKOSA ENEO SQMT 800 eneo squirter upimaji shirikishi kupelekwa kukagua nyumba nishiringi elfu 30,000 kwa maelezo zaidi nipigie cm dalali_hakwea_hakweya===========================================
🇹🇿0713 96 62 96 👈🏻👉🏻 0787 96 62 96
0737 61 43 71 👈🏻👉🏻 0765 50 70 40 🇹🇿
===============================

Опубликовано:

 

4 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@SimonaDancila-rv6uh
@SimonaDancila-rv6uh 22 дня назад
Really nice!
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Год назад
Mara nyingi hizi nyumba nzuri zinakuaga na matatizo, Unaweza kuinunua afu usiifrahie, Mara unakuta kuna mizimu aidha mapepo au maagano magumu, Maana mpaka mtu kujenga nyumba nzuri hivo na kahamia hajakaa muda anaondoka gafla! Inatisha, Ila kwa uzuri, That's the best house! Any way! Siwezi jua kwa hio!
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Hapo mawazo yako ndipo ya ripo ishia na ufaham wako
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Wewe mshirikina ndio maana unafikiria vyenginevyo. Lile liliopo kwenye akili yako ndio dhana ma vitendo vyako. Wacha kuharibu biashara za watu kwa fikra mbovu za kwako. Nenda kajenge yako pirini. Majini popote wapo na wanaishi wanapopenda kama viumbe wengine hiwezi kuwaepuka na hapo ulipo wapo.
@bashirbaruan3969
@bashirbaruan3969 10 месяцев назад
Hiyo bei na nyumba havifanani Kuta kuwa najambo halipo sawa hapo angalieni msije pigwa
@piusgadau6328
@piusgadau6328 2 месяца назад
acha kuharibu biashara za watu masikini mbwa mkubwa wewe
@jumaabubakar7368
@jumaabubakar7368 Год назад
Dah nyumba mzuri
@barakamsuya2403
@barakamsuya2403 11 месяцев назад
Dalali upo vizuri
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 11 месяцев назад
Nashukulu sana kwa sapoty yako🙏🏻
@hemedkindau1045
@hemedkindau1045 Год назад
Boss bado ipo
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Год назад
Nyumba nzuri but over the top decoration. A house should be a home, not an object of art!
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Fanyeni kazi vijana na hawa wenye husda watabaki kutisha wenzao wao hawawezi kujenga hata kibanda cha udongo. Wataishia kulala seating roon wasubirì watu waingoe kulala chumbani ndio wao watandike ukumbini kwenye sofa walale. Msiwe negative kwenye maendeleo ya wengine
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Ishallah ,Asante 🙏🏻🙏🏻 boss #Mwanaisha Abubakar
@peninasnyamhanga4860
@peninasnyamhanga4860 7 месяцев назад
Nyumba nzuri sana
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 7 месяцев назад
Asante boss
@suleimanjumamaulid879
@suleimanjumamaulid879 10 месяцев назад
Nyumba nzuri sana kasoro yake vyumba vidogo sana
@pastormoseschami7208
@pastormoseschami7208 4 месяца назад
Aiaeeee hii yenyewe kabisa ❤❤❤
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 4 месяца назад
Ndio boss sema tayar nimesha uza tayar boss
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 Год назад
Nyumba mashaalla
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Asante boss
@sheikhalumbalambala2655
@sheikhalumbalambala2655 3 месяца назад
Bado ipo?
@BarreMushi-yz4wt
@BarreMushi-yz4wt Год назад
Nyumba nzuri. Ila, Rooms zingine hazina makabati.
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Sawa boo
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 Год назад
Shida mapepo ndio shida kubwa heri nijenge yangu kuliko ningie kwa bala maana maagano shida
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Kwani ww mapepo urisha tolewa
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 Год назад
Naamnini ukiumwa na Hilo nikweli kwamba nyumba kuna kitu imejificha
@milonmilestz4312
@milonmilestz4312 Год назад
Mashallah 🔥❤️
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Asante boss
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 Год назад
Mtaa mzuri sanaa
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Sawa boss asante
@shaminaabdul8427
@shaminaabdul8427 Год назад
Dah mzur
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Sana boss
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Год назад
Alafu bei rahis sn
@baseselarashidi5968
@baseselarashidi5968 Год назад
Wageni kutoka Marekani wanaweza kununua nyumba?
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Ndio una nunua kwa kufata vigezo na masharty wengi nimesha wauzia
@towomayala1549
@towomayala1549 Год назад
nyumba fupi Sana, halafu tiles ndiyo Tena zile za low quality, kiwanja kidogo no sehemu hata ya garden ndogo tu thamani hiyo 150 Haifananii hata
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Год назад
Mbona bei rahis ivyo. Alafu ninkigamboni
@reagieotieno3002
@reagieotieno3002 Год назад
Kwa dolla shillingi gapi tafathali
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Piga esabu hapo una pata kiasi gan
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Год назад
Eti benk kuu
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Benk ku boss siwajuwa mavi twaya penda nirazima yahifaziwe pazuri ndomana ya benk kuu
@thomasgogomoka6404
@thomasgogomoka6404 Год назад
Bado ipo nyumba hii?
@user-eo6sx1qx3h
@user-eo6sx1qx3h Год назад
Je munauza kwa mtu hasie mtanzania mm ni mkenya
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Ndio vigezo na masharty huzingatiwa
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Год назад
Mtaa mtamu sana
@hafidaabdul6831
@hafidaabdul6831 Год назад
Kuzuri bado opo
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Hapana boss nimesha iyuza tayar
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Год назад
Parking ndio shida hapo
@shijaenock7638
@shijaenock7638 Год назад
Gari 3 unapak bro hapo hakuna tatzo parkn
@shijaenock7638
@shijaenock7638 Год назад
Nmeikubal raman hiyo naweza pata
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Ukiwa mshirikina ndio mawazo yako ndio hayo tu kuharibia wenzio. Watu wanatafuta rizki zao kwa mikono yao wewe unaanza kuwaharibiwi watu kama nyie hamtatoboa maishani mwenu maana akili zenu zipo kwenye ushirikina na kuharibia waliokutangulieni kwa maendeleo.
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Mungu akubarki boss
@sabilibrahim2457
@sabilibrahim2457 6 месяцев назад
Hizi jenga uza
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 6 месяцев назад
JENGA NA WW UZE JENGA TUONE YAKO HAPO ULIPO MAISHA YAKO KWA SHEMEJI YAKO DADA AKO AKITWANGWA TALAKA NA WEWE HUNA PA KULALA, UME JILEGEZATU HAPO JENGA UZA ???
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 Год назад
Majirani nao wakovizuri
@mohamedaden8483
@mohamedaden8483 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@josephmalisa2987
@josephmalisa2987 Год назад
Huko nasikia kuna majambazi , rafiki yangu keshashambuliwa mara 3 mbali na huo ulinzi ulioutaja
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Acha ujinga ndugu waeza nambia wap pasipo kuwa na uharifu hapa tz
@prettymasha2430
@prettymasha2430 Год назад
Kuharibu Biashara za watu tu 😮😮😮
@jumaabubakar7368
@jumaabubakar7368 Год назад
Je ishauzwa au bado ili nimtume mtu wangu aje kuiona live
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 6 месяцев назад
Imesha uzwa tayar boss
@sheikhalumbalambala2655
@sheikhalumbalambala2655 Год назад
Je bado ipo?
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
Nimesha uza tayar
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 Год назад
Nitumie namba yako dalal
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Год назад
@@azzaalmaamry5817 0787966296 0713966296
@shijaenock7638
@shijaenock7638 Год назад
Vyumba vdgo vdgo sna
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Год назад
Kwani wewe unapolala unaenea chumba kizima? Sio vidogo hivyo vipi poa mbona
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Mnafiki huyo hana jipya
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Год назад
Nanyumba nizuri jamani
@user-hs5rz3fw9f
@user-hs5rz3fw9f 7 месяцев назад
Bado ipo?
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 7 месяцев назад
Hapana
Далее
BANGALORE LA VYUMBA 7 LINAUZWA TSHS BIL 1.4, SALASALA
9:11
NYUMBA YA MILIONI 600 INAYOUZWA PALM VILLAGE MIKOCHENI
11:17