Тёмный

MAKONDA AWAVUNJA WATU MBAVU - JAMAA NUSU AINGIE KWENYE 18 - ''HIYO SIMU YAKO AINA GANI?''... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@emmyurio7735
@emmyurio7735 26 дней назад
Thankyou Lord Jesus
@TravisJohn-q8r
@TravisJohn-q8r 26 дней назад
Amepungua sana weight maskini, this man has been thru a lot 😔😪
@gmziwandanation555
@gmziwandanation555 25 дней назад
Kabisaa macho yako kama yangu na hajachangamka hata
@OscerShop
@OscerShop 26 дней назад
Mh. Makonda chapa kazi watanzania tunakupendasana.
@JumaKikoto
@JumaKikoto 26 дней назад
Makonda mungu akupiganie katika maisha yako
@OscerShop
@OscerShop 26 дней назад
Na tunakuombea kwa mungu siku moja uwe Rais
@MirandaThomas-n3v
@MirandaThomas-n3v 26 дней назад
Kwakweli siku ya leo nimefurahi sana Mungu akulinde baba
@ElishaSam-sy6lx
@ElishaSam-sy6lx 25 дней назад
Nimefurahi mno., maishani mwangu nachukia sana mtu kuonewa kwa namna yeyote ile. Naheshim mchango wako kwa Wanaarusha.
@Winmbena
@Winmbena 25 дней назад
ASANTEEEEEE YESUUUUUU.....WE love you mh. Makonda P.
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 26 дней назад
Mimi niko Morogoro nilikuwa anamwombea tu japo haniajui
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 26 дней назад
Safi sana mkuu kwa kurudi salama,safi sana super makonda kwa kuonekana kwa watanzania.Ninakuombea sana papaa
@newforcejv9721
@newforcejv9721 26 дней назад
Yote kwa yote Mungu akatende zaidi ya hapo ulipo
@OckendenMkandawire
@OckendenMkandawire 25 дней назад
Huyu anacheza na hajui kazi... Mavazi gani kwenye nchi inayojitapa kufuata maadili, hayo sio Mavazi ya mtumishi wa umma,
@sambulugu9988
@sambulugu9988 25 дней назад
Mavazi sio kazi! Kufa maana najua hujapenda kumuona!
@georgemaziku6610
@georgemaziku6610 26 дней назад
Mungu aendelee kukulimda
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 26 дней назад
Mshike Yesu sana mwanangu Makonda
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 25 дней назад
Kazi iendelee!...
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 26 дней назад
Mungu akupganie Mr. Makonda
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 25 дней назад
karibu sana raxc
@user-et3hd7zk7z
@user-et3hd7zk7z 26 дней назад
hakika umeona jinsi gn wananchi tunakupenda chapa kazi kiongozi wetu maramojmoj karibu bariadi
@furgasonfrancis9411
@furgasonfrancis9411 25 дней назад
Mungu mwema tilikumiss
@mikepuzikakwaamnimkapajohn221
@mikepuzikakwaamnimkapajohn221 26 дней назад
Asante Yesuumejibumaombi
@MarthaZabron-v9b
@MarthaZabron-v9b 26 дней назад
🙏
@saidhamza5318
@saidhamza5318 24 дня назад
hy itakuwa alikuwa anaumwa 🤔
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 26 дней назад
Hali mradi karudi
Далее
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49