Content kubwa sana hii, bahati mbaya watu wanakuhusisha na udini, lakini hatutaki kujifunza na kurekebisha panapobidi ambayo ndiyo kazi kuu ya historia............Mungu akupe umri zaidi.
Masud makala yako na Shekh Muhammad ilikuwa nzuri,mjulishe Mohamed lile jimbo alilotoka Sykes kule mozambiki linaitwa INYAMBANE na wenyeji wake wanaitwa Manyambane