Тёмный

(#2)LAITI NDOA ZOTE ZINGEJUA HILI MAPEMA (SEH B) 

MAHUBIRI TV
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

KAMA HUJA ANGALIA SEH YA KWANZA BONYEZA HAPA CHINI
• (#1)LAITI NDOA ZOTE ZI...

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@msafirimhehe5416
@msafirimhehe5416 3 года назад
Amina.. Mungu awatunze katika kila hali wanandoa.
@patriciasanga9848
@patriciasanga9848 4 года назад
Hee nipenda jamani, na mm natafuta mchumba,Mchungaji Mbaga utatufungisha ndoa mbona imenivutia sana,ibada nyingi za ndoa nimehudhuria hakuna iliyowahi nivutia kama hii!Mungu Wa mbinguni aendelee kukutea kwa wema wake!Amina
@ezekielmugeta2427
@ezekielmugeta2427 3 года назад
Ndo naangalia asee nilikua napitwa snaa shukran pastor
@morineinziani1080
@morineinziani1080 4 года назад
Aki mchungaji tangu nisaliwe na kuudhiria harusi sijawai ona mafundisho kama haya..na kwa maisha yangu sijawai tamani harusi maishani mwangu. Lakini kwa fundisho lako kwa kweli nimetamani kabisa. Ubarikiwe mchungaji mungu azidi kkuinua na kusimamisha kwa neno lake. Ili kupitia kwako nasi tupate kusimama pia
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 года назад
Amen
@judithcherono2595
@judithcherono2595 4 года назад
@@MahubiriPrMmbaga Amen
@DrMlelwaLectures
@DrMlelwaLectures 3 года назад
Naam, naomba nikwambie jambo. Kuolewa si dhambi, ila ukiolewa bila kupiga hesabu na usipokaa na Mungu vizuri, utajuta, ulia sana na mwisho wa siku unaweza kutamani kufa. Hivyo kama umeelewa au unataka kuolewa basi isiwe kwa mkumbo. Lakini pili ni kwamba maisha yako ni zaidi ya kuoa au kuolewa, ukijua hilo utafanya mengi kwa akili kubwa, na kwa kuhitaji msaada wa Mungu sana hasa kwa maombi mengi na ibada nyingi na kwa maisha hayo hautajuta milele.
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 года назад
Haaaaaaa Morine umenichekesha
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 года назад
@@DrMlelwaLectures hii sms naomba niisave imanigusa
@pascalngaya4050
@pascalngaya4050 3 года назад
Pr mmbaga nmefurahi sana kwa somo zuri la ndoa hata yangu,Mungu akijaria utufungishe mchungaji.
@violetnanjira5942
@violetnanjira5942 4 года назад
Waaaaw!! Maubiri yameendana na sherehe,, asante sana mtumishi wa mungu nimejifunza vitu mingi sanaa , nilivyokuwa sivijui, vitanisaidia sana kwenye ndoa yangu,. Let me share this wonderfull video with my fellow friends,
@rosepeter8996
@rosepeter8996 3 года назад
AMEN🙏mchungaji barikiwa sana.natamani sana uanze kutupatia mawaidha ya ndoa,kwa walio ndani ya ndoa,na kwa wanao jiandaa kuingia katika ndoa.ili tuweze kuidumisha ndoa🙏🙏na mungu akubariki sana🙏
@leocadiajohn4249
@leocadiajohn4249 4 года назад
Ubarikiwe Mtumishi wa Baba, kazi uliyotumwa na Baba umeifanya kwa Weledi mkubwa, natumai mibaraka hiyo wataitumia katika nyumba yao waliyoianza, nasi tuliomo humo Bwana aendelee kutuhekimisha, Amina
@sarahshadrack8357
@sarahshadrack8357 3 года назад
Mungu azidi kukuangazia nuru ya uso wake uzidi kutubariki.AMEN
@judithcherono2595
@judithcherono2595 4 года назад
Mungu awabariki Pastor Wewe ndio utaunganisha yangu siku ikifika..
@roselinasandi6509
@roselinasandi6509 4 года назад
Mafundisho mazuri sana,ubarikiwe mchungaji
@bettysevera510
@bettysevera510 3 года назад
Hallelujah rejoicing with you couples. May God bless your union. God bless you pastor for your great teachings...
@gee8665
@gee8665 4 года назад
God bless this servant of God and the newly weds🙏
@josephgadau8913
@josephgadau8913 3 года назад
Ahsante kwa Somo Mchungaji wa watu wa Mungu.
@arnoldmakoma1930
@arnoldmakoma1930 3 года назад
Asante mungu akubariki sana
@esthermsely3537
@esthermsely3537 3 года назад
ameeen Pr be blessed
@graceb2398
@graceb2398 4 года назад
Amen I’m blessed through your teaching 😁🥰🙏
@edinamazziwa4000
@edinamazziwa4000 3 года назад
mi
@glorymarandu5426
@glorymarandu5426 3 года назад
Mungu akubariki Sana mtumishi nimejengwa mno kiroho na kimwili
@rebeccamahamba2745
@rebeccamahamba2745 3 года назад
Ubarikiwe sana mtumishi kwa neno la ndoa
@susanotambo9544
@susanotambo9544 4 года назад
Pastor ubarikiwe.Amina
@roiyanasindano7558
@roiyanasindano7558 3 года назад
Jamani nimebarikiwa sana mtumishi ubarikiwe
@susanotambo9544
@susanotambo9544 4 года назад
Umewabariki na Neno kabisa Mungu awabariki kwa Ndoa yao
@mn9484
@mn9484 4 года назад
Mungu awabariki Kaka John na Dada Jackie
@ruthaminga7160
@ruthaminga7160 4 года назад
Nice wedding 💍 may God grant you peace wisdom and understanding
@maureenjovial6083
@maureenjovial6083 4 года назад
And may God bless the newly wedded couple
@shukranjs4307
@shukranjs4307 4 года назад
Amina mtumishi barikiwa kwa somo zuri
@esternaftari4553
@esternaftari4553 4 года назад
Daah! Mchungaj nimeamin Mungu amekufunulia mengi yaan hata Mimi niko hivy nataman kubembelez sana
@constanciamosha5144
@constanciamosha5144 3 года назад
Daah Mchungaji barikiwa sana
@mussapeter9907
@mussapeter9907 4 года назад
Hongereni na mungu awabariki
@agnessiesube4045
@agnessiesube4045 4 года назад
Ubarikiwe sana pastor 🙏🥰🥰
@happymbaga4820
@happymbaga4820 4 года назад
Nimefurahia hii ndoa, Imefungwa katika maadili ya kiadventista
@janejoseph9009
@janejoseph9009 4 года назад
Yaan umefindisha vizuri sana🤗🤗
@vionanyagechanga4503
@vionanyagechanga4503 4 года назад
Kabisaa ..how I wish God to bless me with these wisdom too
@melodyanne3249
@melodyanne3249 4 года назад
congratulations all the best
@lynelee5846
@lynelee5846 3 года назад
Kenya nitakualika Kwenye harusi yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🏃🤣🏃🏃🏃
@barackjohn5347
@barackjohn5347 3 года назад
Nabalikiwa sana
@upendokayinga7540
@upendokayinga7540 4 года назад
PR ubarikiwe sana, ujumbe umenibariki
@ondokauangazetv4888
@ondokauangazetv4888 4 года назад
Ubarikwe mtumishi
@aminajulias9292
@aminajulias9292 4 года назад
Wao paster ubarikiwe
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 года назад
Nimependa sana, ila nazani mkeo ana furahiya ndoa yenu.
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 4 года назад
Amina hakika inapendeza 🥰
@محمدمحمد-س5ت3ن
@محمدمحمد-س5ت3ن 3 года назад
Big Amen
@jonasmgonja7104
@jonasmgonja7104 4 года назад
Amen nice
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 4 года назад
Nakuelewa Sanaa Amina 🙌🙌🙌🙌
@queenbundala6188
@queenbundala6188 4 года назад
🤣🤣kweri kudeka raha sana somo zuri sana
@pheniquemathe7056
@pheniquemathe7056 3 года назад
Njuri sana kabisa
@kisamwakobela5412
@kisamwakobela5412 4 года назад
Nimebarikiwa sanaaa
@nielekezehyonimependastell3869
@nielekezehyonimependastell3869 3 года назад
Mtumishi mbinguni utapasikia tu😂😂😂😂
@mn9484
@mn9484 4 года назад
Ni kweli kabisa Mchungaji. Yapo!!
@newtonmgeleki1538
@newtonmgeleki1538 4 года назад
Ubarikiwe sana
@mhandoonthebeats500
@mhandoonthebeats500 3 года назад
Aminaaaaa
@mosesimaiko4219
@mosesimaiko4219 4 года назад
Kwakweli Mchungaji MUNGU amekubariki sana unatuchunga vyema
@lydiakanah4478
@lydiakanah4478 3 года назад
Eeeeh, I wish I know comes later
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 4 года назад
Ameen..
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 3 года назад
Mungu awe nanyi
@daddydadamtabo998
@daddydadamtabo998 4 года назад
kabisa una sema kweli
@irenelulu530
@irenelulu530 3 года назад
Kwani anaitwa mchungaji nani jamani? Anaeponya ndoa nimebarikiwa mtumishi mungu azidi kukutumia kwa namna ya kipekee
@conchestavedasto8669
@conchestavedasto8669 3 года назад
David mbaga
@andesoleonidah8589
@andesoleonidah8589 3 года назад
Mafundisho mazuri sana
@bettyetanga1907
@bettyetanga1907 4 года назад
Ongera Jack Bigambo jmn
@edinachagonja4545
@edinachagonja4545 4 года назад
Nimebarikiwa Sana, duh kweli kuhandle mawili Kwa wanaume ni issue
@benjaminmarco5698
@benjaminmarco5698 3 года назад
O
@janejoseph9009
@janejoseph9009 4 года назад
Hili somo nilisikiliza vizuri sana lakin pia jana nikakutana na mmasai , naye aliweza kuongea hivyo kwamba ndoa siyo kupendana bali no kuishi kwa hekima na busara
@luguvision2959
@luguvision2959 3 года назад
Ndioo?
@mn9484
@mn9484 4 года назад
Korosho yes!!!
@mosesimaiko4219
@mosesimaiko4219 4 года назад
Najiuliza tu, kwamba kama hujaenda shule unasaidikaje hapo Kwenye kuandika??
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 года назад
Utaandikiwa
@mosesimaiko4219
@mosesimaiko4219 4 года назад
@@MahubiriPrMmbaga Anhaa!! hapo nimeelewa Nashukuru
@jamessikanyika6229
@jamessikanyika6229 3 года назад
Bwana ni mwema sana
@paulthomas3607
@paulthomas3607 3 года назад
Mchungaji ubarikiwe kwa ujumbe wako
@victoriaevans6002
@victoriaevans6002 3 года назад
hahahahaha,asante kwa somo zuri
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 года назад
Mbavu zangu ukweli mtupuu
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 4 года назад
💖💓🥰
@meryraphael5298
@meryraphael5298 4 года назад
Bi harusi pole naona umesahauliwa kufunuliwa shela,,,,,loooooh kilivo na joto hcho kitu jaman sina ham yalinikuta namm
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 года назад
Pole! Ni style!! Angalia hadi mwisho
@elizabethmambo6321
@elizabethmambo6321 3 года назад
Ilo lamboga kungua umesema kweli kabisa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 4 года назад
Pasta Ninashida ya kua na hasira hasira, Nifanyaje au ili kuondokana na hii hali inapelekea nashindwa kupona vidonda vya Tumbo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 года назад
Umeombea jambo hilo?
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 4 года назад
@@MahubiriPrMmbaga Mmh hapana Sio sana Kiukweli na hii hadi mda mwingine mke wangu ananiambia Tunakuogopa
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 года назад
Inataka maombi. Hiyo ni roho,ikemee kwa jina la Yesu
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 года назад
@@MahubiriPrMmbaga Mimi ombi langu kwenu enyi mahubir TV Mch,Mbaga atenge siku aje atufundishe somo la ndoa yenye mfululizo wa wiki pia atuhusu kipindi cha maswali akiwa live on youtube. Ni ombi ila ningependa lifanyiwe kazi, hakika naamini ndoa nyingi zitapona na hata zilizo vunjika zitarejea amen
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 года назад
Charles pole sana but hata Mimi nilikuwa na tatizo kama lako tena siyo hasira tu hata kumsamehe aliyenikosea kwangu ilikuwa ngumu sana, na ninawakasirikia hadi watoto wadogo, ila nilipo jigundua tatizo langu nimeanza kupona, pia clip za mchungaji Mbaga zimekuwa msaada mkubwa sana kwangu, lakini kubwa zaidi ni wewe kujua unatatizo hivyo ni rahisi kulitatua kuliko asiyejijua,hiyo ni roho 100% kwa jina LA yesu litaondoka
@yonacreative890
@yonacreative890 3 года назад
à
@farijihaule6881
@farijihaule6881 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@pascalngaya4050
@pascalngaya4050 3 года назад
Pr mmbaga nmefurahi sana kwa somo zuri la ndoa hata yangu,Mungu akijaria utufungishe mchungaji.
@callennyacnchama1860
@callennyacnchama1860 4 года назад
Aminaaa
@eunicehorombe2388
@eunicehorombe2388 4 года назад
Hongera maharusi SoMo nimeipenda Akiko zetu wamama
@clementpeter5326
@clementpeter5326 4 года назад
Amina
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 473
MAOMBI YA KUFUNGA YANAFANYA NINI MAISHANI? SEHE YA 1
45:35
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 1,2 млн
БЫСТРАЯ сборка ПК - от А до Я!
00:22
ADUI HUYU LAZIMA AFE KWANZA NDIPO UMUONE BWANA
39:45
Просмотров 62 тыс.
KUMTAFUTA MUNGU WAKATI WA VITISHO-PR.DAVID MMBAGA
1:00:10
AINA ZA KUFUNGA NA FAIDA ZAKE-PR DAVID MMBAGA-
1:01:26
Просмотров 4,8 тыс.
PR David Mmbaga,NDOA ISIPOKUWA NA HILI IKO HATARINI!
28:54
Utajuaje Anakupenda? Sehem ya Mwisho
21:20
Просмотров 53 тыс.
BAADHI YA SABABU KWANINI WACHAWI WAKUSHAMBULIE!!!
59:58
DHAMBI ISIYOSAMEHEKA NI IPI?(OFFICIAL VIDEO)
58:54
Просмотров 162 тыс.
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 1,2 млн