Mwenye Haki Ataishi kwa Imani , , Hata kijijini Mpinga kristo Atamiliki hata mashambani nako Atamiliki , Huwezi kumkimbia mpinga kristo, watoto wa Mungu, watatiwa nguvu,
Mungu wangu nisaidie.. Asante Kwa ajili ya mtumwa wako huyu.. mjalie kuzidi kuwa mwaminifu miguuni pako, ili aendelee kuangaza Nuru hii ya ajabu mioyoni mwetu. Nabarikiwa sana na kazi hii ya Bwana iliyo ndani yako mwana wa Mungu!
Uyu mjungaji me simlewi kabia maana sanamu ya mnyama isha simamishwa, umoja wa ndini dunia zime washaugana,,ya makanisa yote duniani tamasha ungana,io ndo sanamu ya mnyama washaugana
@@KennedyLyanda-ez1kw Excuses za wapi ? Nyinyi wasabato hampendi tu maendeleo haswa za kiteknolojia. Hakuna mtu anapanga hizo vitu amesema. Na Ellen G white anamnukuu kama nani ? Ilikuwa nadhani nyinyi mnafuata Biblia pekee. Acheni unafiki za kitoto. Sasa hayo mahubiri kama sio ya kurudisha nchi nyuma na kusimamisha mendeleo katika jamii ni ya kutusaidia na nini ? Wakatoliki anaosema wanapanga sheria ya jumapili wenyewe wanaenda mass kila siku mpaka hio jumamosi. Acheni ujinga bana.
Unahubili vizuri mtumishi lakini mnafanya Nini kwa miungano ya makanisha ona msalaba na Miungu mitatu Trinity bona mnapotosa watu mkijua u have the good gospel but ur misleading people who are very enocent soo bad