Тёмный

A-Z Kilimo Cha Migomba //Kuandaa Shamba Hadi Kupanda 

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@KijuchaFokanya
@KijuchaFokanya 5 месяцев назад
Safi sana elimu hii iendelee
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 5 месяцев назад
Karibu sana AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Tafadhali SUBSCRIBE na share video hii ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi.Tutaendelea kuweka videos nyingi zaidi kutoka mashambani.
@MariaMwiki
@MariaMwiki 4 месяца назад
Nipo mwanza
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 месяца назад
Tafadhali WhatsApp:0757757968 ututumie video fupi au picha ya migomba yako. Subscribe KWANZA ili kuendelea kujifunza zaidi
@danielmkanganda5054
@danielmkanganda5054 7 месяцев назад
Nimeipenda hii
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 7 месяцев назад
Karibu na tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo cha MIGOMBA. Pia unaweza kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MIGOMBA kwa TZS 3,000 ambayo utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 7 месяцев назад
Kuagiza kitabu wasiliana nasi:0757757968
@selemanisalimu8377
@selemanisalimu8377 Год назад
Mm nipo tanga muheza nimeipenda sana aidi yunu ila tu naomba nianze na mbegu ya kawaida ili kupata mtaji jamani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Ni sawa, hakikisha unasubscribe ili kujifunza zaidi
@MariaMwiki
@MariaMwiki 4 месяца назад
Kuna migkmba ina tatizo la majani kukauka na matunda yake kuwa na madoa meuso
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 месяца назад
Kuna uwezekano kuwa migomba yako imepata ugonjwa wa SIGATOKA. Inafaa kufika shambani kwako pengine kujionea uhalisia. Unaweza pia kututumia video au picha kwa WhatsApp:0757757968 . Hakikisha unaSUBSCRIBE kwanza ili kuendelea kujifunza zaidi.
@Innocente1994
@Innocente1994 4 месяца назад
Hii miche ya ikikua ikatoa machipukizi, hayo machipukizi yanaweza kupandwa tena au mpaka kununua miche mingine tena?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 месяца назад
Machipukizi yakikua yanavunwa kwa utaratibu maalum si kila chipukizi linafaa kupandwa ; kuna baadhi ni water suckers. Ni muhimu sana kuzingatia hatua za kudhibiti magonjwa ya miche inayozalishwa kwa machipukizi kwani huleta hasara kubwa kwa wakulima magonjwa yasipothibitiwa katika hatua za uzalishaji wa miche. Machipukizi sharti yazalishwe kwenye shamba mama (mother garden) yenye kufuata kanuni na taratibu zote za kukinga na kudhibiti magonjwa shambani. Tafadhali SUSBCRIBE hapa kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo na ufugaji. Unaweza pia kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MIGOMBA kwa WhatsApp:0757757968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@ematenbusinesssolution9949
@ematenbusinesssolution9949 2 года назад
Nipo dodoma naomba namba zenu na mbegu ya migomba ya heka moja bei gani
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Год назад
Nipo Kigoma nahitaji mbegu ya hekari 5wekeni namba za simu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
WhatsApp 0757757968
@TumainiNashonMutabazi
@TumainiNashonMutabazi 8 месяцев назад
Hellow
@norbertmassawe6401
@norbertmassawe6401 2 года назад
kazi nzuri
@emmanueliirungu2339
@emmanueliirungu2339 Год назад
Naomba Namba zenu ya simu
@emmanueliirungu2339
@emmanueliirungu2339 Год назад
Naomba namba ya simu haraka
@epnyagawa
@epnyagawa Год назад
Mbona namba zenu hamuweki
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Namba zetu za simu 0757757968 WhatsApp
Далее
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 7 млн
Купил КЛОУНА на DEEP WEB !
35:51
Просмотров 2,9 млн
JIFUNZE HATUA ZA UPANDAJI WA MIGOMBA
10:19
Просмотров 10 тыс.
DADA WA MJINI
10:01
Просмотров 86 тыс.
HYDROPONICS
25:35
Просмотров 23 тыс.
#SHAMBALULU: Pata darasa la kilimo cha pilipili hoho
28:55
A-Z Kilimo Cha Migomba /Miiko na mbinu
21:00
Просмотров 1,3 тыс.