Тёмный

Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini Septemba 15, 2024, itakuwa ngumu. Hata hivyo, amesema wamejipanga vyema ili kupata ushindi utakaowaweka katika nafasi nzuri kwa mechi ya marudiano.
Pia amesisitiza, itakuwa aibu kubwa endapo timu hiyo itashindwa kufuzu makundi, na kwamba kauli mbiu ya 'Ubaya Ubwela' itawarudia kutokana na matarajio makubwa waliyojiwekea ya kufanikiwa 2024/25.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@user-dy5bm2fq5p
@user-dy5bm2fq5p 2 дня назад
Imeisha iyo ubaya ubwela ahsante semaji wetu tunakupenda sana❤️🌹🌹🌹
@WendeMposola
@WendeMposola 5 дней назад
Simba nguvu moja naipenda milele ♥️♥️♥️🎉🎉🎉
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 6 дней назад
❤️ALHAMDULILLAH❤️🇹🇿 🇦🇪 SEMAJI LA FIFA SEMEJI LENYE DEGREE ana unguruma airport alfajir ❤
@user-wr7wp9sl2p
@user-wr7wp9sl2p 6 дней назад
Semaji la ubaya Ubwela... 💪💪
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 дней назад
Viraza hao 😂😂😂😂 utoporo maisha yao kama watoto ving'ang'a Sanaa mke hakutaki achana nae
@HusnaSalumu-x2x
@HusnaSalumu-x2x 3 дня назад
Amani ya Ubaya ubwelaaaaa imeisha iyoooo❤
@KhamisAlawi-n1k
@KhamisAlawi-n1k 6 дней назад
Hahahahaha hahahahaha, semaji la ubaya ubwela naomba uirudie Tena hiyo eeeeeh eeeeeeh eeeeeeh,😂 nimeipenda sana hiyo.
@gkwaV
@gkwaV 3 дня назад
😂😂😂😂
@sadikimkumbi2954
@sadikimkumbi2954 6 дней назад
SEMAJI UNAJUA KUKERA KWELI UBAYA UBWELA
@suchabulunja5611
@suchabulunja5611 6 дней назад
Kama swali halieleweki wewe sema ubaya ubwela tu 😅. More appreciation Semaji la CAF 🎉🎉
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 6 дней назад
Waambie hao machangu,tena wanahumia sana
@omarkhamis3909
@omarkhamis3909 5 дней назад
Hayo maneno ndio yanawauma kuliko kuchapwa viboko
@MosesCosmas
@MosesCosmas 5 дней назад
Hahaha sawa semaj
@RamadhanAballah
@RamadhanAballah 5 дней назад
ila semaj kun mtot yup apo pembeaniya anaona rah jinsi unavyoongea emb ishi nae bx
@AnjelaMatiya
@AnjelaMatiya 6 дней назад
Ubaya Ubwela
@malimusi-uf4ib
@malimusi-uf4ib 5 дней назад
Mimi wakwanza kukata tiketi
@AbdrazackNassoro
@AbdrazackNassoro 2 дня назад
Wambie Kaka hawakujui hao niwazee wakura ukoko
@MichaeliMshana-xn4yw
@MichaeliMshana-xn4yw 3 дня назад
Tatizo ni udhamini wa GSM kwa timu nyingi za nbs, Sasa haya ndio madhara yake, na
@jumamjengibadomapema4436
@jumamjengibadomapema4436 4 дня назад
Wenyewe watulie2 huu ni ubaya ubwela
@KhamisShangonga
@KhamisShangonga 5 дней назад
Ali kamwe anakoswa la kuongea atakuwa kama manara
@UpendoEdwin-p6d
@UpendoEdwin-p6d 4 дня назад
Kama kawaida ubaya ubwela
@halfanJuma
@halfanJuma 6 дней назад
😅😅😅😅😂😂
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 5 дней назад
Semaji letu unakuwa na akili nyingi mpaka mimi nachoooka😂😂 Unawatoa nyongo taratiiibu mwisho wanaelewa tuuu, Wamsubiri km Mkude miaka 14 sio mbali.
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 5 дней назад
PIGA PEMBENI NGOMA, CHUKUA STIKER MKALI ZAID YA WALE TULIO NAO KWA SASA. UBAYA UBWELA
@TheresiaFransic
@TheresiaFransic 6 дней назад
Ubay ubwel
@ChristinaLazaro-oy4kb
@ChristinaLazaro-oy4kb 2 дня назад
Uhakika semaji raFifa
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 6 дней назад
Mdomo wako unakuponza kagoma hatacheza
@Mumlion2624
@Mumlion2624 6 дней назад
Nyoooo atacheza
@ignasamando9593
@ignasamando9593 6 дней назад
Ww ni mjinga wa mwisho duniani.
@HemediAlly-i4z
@HemediAlly-i4z 5 дней назад
wewe ndio utacheza
@LauMagwaja
@LauMagwaja 4 дня назад
Bado ujasema utopolo Bado ujasema 😂😂😂😂
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 4 дня назад
Acheze mara ngapi? Hujamuona uwanjani?
@AnjelaMatiya
@AnjelaMatiya 6 дней назад
Ubaya Ubwela
Далее
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
Просмотров 1,5 млн