Naona mwendo wakugrow this tym😂 atuna stres sura zinafrah kabisa..ata simba tunajiamin sana ata tukipitia kipind kigum tunajitaid to maintain our physical appearance 🥰
Ahmed ally mmoja kakusanya kijiji kitenge,zembwela,manara,mobeto mpaka rais wa uto wote wamewekwa mfukoni,amakweli ahmed ndiye semaji la caf jesh la mtu mmoja hawakuwezi hata wakiungana vipi wewe bado ni mwamba.
Ahmed ally ni jeshi la mtu mmoja pamoja na muunganiko wa watu wote mpaka na raisi wao na mobeto ju ila ahmed ally kawaweka kapuni ubaya ubwela kweli nimeamini
Tarehe nane tunakuomba usiwakimbie hao waandishi unatakiwa uje uwasifie Tena hao Wachezsji kama unavyo wasifia Leo ukikimbia wewe dooooh utajibu hiyo kesi ya ukimbizi
Ni kwer Simba kidg imekata poa, lakin Ile timu sio ya kujipima nayo maana timu kwanza aishambulii,time inazuiq ty aina mipango Sasa timu ya Simba mtajipima tareh 8 na mech tatu za ligi kuu ndy mtaona timu yenu,lkn Kwa Jana bado sana Ile timu at ingesheza na TABORA bado tabor wangeishapa maan aina mipango at ya kushambulia aijielew namn ya kuchez time hile