Тёмный

AJALI ARUSHA: MIILI 6 YA WANAFUNZI YAOPOLEWA MTONI, GAMBO ATOFAUTIANA NA TANESCO 'MOCHWARI' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@VERONICALAIZER-vt3ui
@VERONICALAIZER-vt3ui 4 месяца назад
Jamani huyo mtu alikua anaokoa naye amefariki??😭😭😭Mungu awalaze pema peponi
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 4 месяца назад
Polen Sana wazazi.wa Hawa watoto wazuli amakwel bwana alitoa bwana ametwah😢😢😢
@GreceWeitalo
@GreceWeitalo 4 месяца назад
Polen sana wanaarusha, mungu ailaze roho zao pema peponi Amina,
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 4 месяца назад
Mungu akawe faraja kwa wazazi waliopoteza watoto wao.😢Kufiwa na mtoto inauma sikia tu kwa mtu. Innalillah wainna ilayh rajiun 😭😭
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 4 месяца назад
Kweli kabisa
@joycekalago532
@joycekalago532 4 месяца назад
Poleni sana na madaraja yajengwe ya viwango vizuri jaman daraja lenyewe hilo kama chaga ya kitanda madaraja yawekewe kingo imara😢😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Kweli 😢😢😢😢😢😢
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 4 месяца назад
Poleni sana wazazi ndugu na familia wote mlio ondokewa na watoto.mungu awape subira. Pia azilaze roho za watoto mahali pema peponi.
@roselinasandi6509
@roselinasandi6509 4 месяца назад
Poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@callicevallice7383
@callicevallice7383 4 месяца назад
Arusha walipata Mbunge mzuri sana, Gambo anajua sana kujenga hoja basi tu kapata jimbo limejaa watu wabishi na wakwamishaji
@joycekalago532
@joycekalago532 4 месяца назад
Halafu bado kijana watamzeesha tu na la maana hamna😂
@ZulayfaSalum-ws2rj
@ZulayfaSalum-ws2rj 4 месяца назад
😢😢 mungu awalaze mahali pema peponi 😭😭
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 месяца назад
Amen❤❤❤
@user-pe9hv3hx3c
@user-pe9hv3hx3c 4 месяца назад
Poleni wazazi wenzangu munguawatie nguvu sana
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 4 месяца назад
Pole sana kwa msiba huu.Mwenyezi Mungu awaweke roho za marehemu mahali pema peponi.😭🙏
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 месяца назад
Dahh pole kwa wazazi na Familia kiujumla. Mungu awalze mahal pema pepon Amina 🙏
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 4 месяца назад
Poleni sana wana arusha kwa ujumla
@Markomnkondya
@Markomnkondya 4 месяца назад
Polen wenzetu mungu awatie nguvu na janga hilo
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 4 месяца назад
Pole Sana Kwa Familia zote na Mungu wangu awatangulie
@HaikaMbise
@HaikaMbise 12 дней назад
Mungu apumzishe roho za marehem mahali pema tuliwapenda ila kwa kutokutii kwa dereva ndio maana leo tunalia
@mtolela12
@mtolela12 4 месяца назад
Tengenezeni miundo.mbinu Arusha siasa za maji taka acheni,,,kila siku mnajenga hoja mpaka wafe watu wangapi mnaboa sana
@williamunjiku6742
@williamunjiku6742 4 месяца назад
Ila Viongozi Watanzania wanazingua sana, mpaka litokee janga ndo hua wanafikiria kufanya vitu walivyotakiwa kuvifanya kabla. Manyoni ilivyotokea ajali ya basi na treni ndo wakaweka kizuizi, sahv ndo wanawaza kujenga kivuko.....too late. Mpaka litokee janga ndo tunakumbuka kufanya maamuzi😢😢....real!!!😮 Pole kwa familia na ndugu zetu wa Arusha.
@maryobedi6807
@maryobedi6807 4 месяца назад
Inauma saana, dah poleni saana wazazi Mungu awafariji
@alexvenas2699
@alexvenas2699 4 месяца назад
Poleni sana wazazi na Wana Arusha kwa hayo yote,lakini pia hongera sana Mbunge mrisho gambo kwa kuwa beneti na wananchi tangu mwanzo mpaka Sasa Bado uko pamoja nao huo ndio uongozi na tunahitaji wabunge kama wewe na si wabunge wanaakaa mjini hawako kwenye majimbo Yao.
@callicevallice7383
@callicevallice7383 4 месяца назад
Sasa yeye jimbo lake si liko mjini.?? Ulitaka awe wapi zaidi ya hapo..?
@mlangiralameck9158
@mlangiralameck9158 4 месяца назад
Poleni sana kwa familia, mwenyezi mungu awajalie pumziko la amani , milele daima.
@winifridanyenza4585
@winifridanyenza4585 4 месяца назад
Mungu Linda watoto wetu ni maumivu sanaaa
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 4 месяца назад
Thank you Gambo mbunge wetu mleta maendeleo.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 4 месяца назад
Arusha mbona vifo vya wanafunzi vinatokea mara kwa mara? Jamani wazazi mjiulize . Mara nyingi ni Arusha tu kwa nini? Hizo shule zina nini?
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 месяца назад
Kweli kabisa isije ikawa kafara
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 4 месяца назад
Kwa kweli Arusha hapana Inaumiza sana
@AnnaSanga-bs7pl
@AnnaSanga-bs7pl 4 месяца назад
Poleni sana sana
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 месяца назад
Wewe Mbunge unakiri kuwa hii changamoto unasema ni ya mda mlefu huoni kuwa hilo ni kosa?
@Namtumbo
@Namtumbo 4 месяца назад
Sasa anasemaje Bora kaongeza ukweli madereva wanamsubiri sana.Tenesco
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 4 месяца назад
Hujaskia kuwa amepambana tanssco wanasema haliwezi kujengwa kwakuwa kuna umeme sijui
@hpenyika7686
@hpenyika7686 4 месяца назад
Poleni sana Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@lucykiwelu4451
@lucykiwelu4451 4 месяца назад
Poleni Sana wafiwa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 4 месяца назад
Pole sana wafiwa
@lucypatrick7830
@lucypatrick7830 4 месяца назад
Mmmh nimeumia sana, mpaka nikawaza kwa nn idd isingeangukia alhamis na ijumaa huenda wasingekufa watoto wazuri, mzazi umemuandaa mwanao dk chache wapokea habar za huzuni, aaah 😭😭😭😭, Mungu awatie nguvu wazazi jaman uwiiiii
@husseinmaingo5009
@husseinmaingo5009 4 месяца назад
Kwan kulikuwa kuna sababu gan ya msingi ya kufungua shule jumatatu baada ya pasaka wakat Jumatano ni Edd wakafungua shule jumatatu ijayo baada sikuku zote kupita!! Vitu vingine ni ujinga tu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 месяца назад
@@husseinmaingo5009 hiyo point kabisaa
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 4 месяца назад
Familia poleni, mbunge Asante kwa taarifa
@mtewelemtewele0260
@mtewelemtewele0260 4 месяца назад
Polen sanaaaa familia zoote kuondokew na watoto wenu
@Rich-wo
@Rich-wo 4 месяца назад
Pls Lord 😢
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 4 месяца назад
Inalilah wainailah rajiun
@olivernyange2349
@olivernyange2349 4 месяца назад
Roho mtakatifu wafariji wazazi hawana faraja ingine
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 4 месяца назад
Nyie mnaojiita selikali mnasubili maafa yatokee ndio mje mtatue
@babraathumani5923
@babraathumani5923 4 месяца назад
poleni sana wazazi Mungu awatie nguvu
@prezderdesulley2865
@prezderdesulley2865 4 месяца назад
Poleni sana wazazi jamani inauma sanaaa mtoto kumuacha mzazi Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi
@lightouma477
@lightouma477 4 месяца назад
Poleni sana wafiwa na watu wa Arusha kwa ujumla
@kaka_e_athletes
@kaka_e_athletes 4 месяца назад
Dah pole sana kwa hizi familia 😢
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 4 месяца назад
Mungu awemfariji wao wazazi wa watoto waliopoteza maisha
@mariamumusa4116
@mariamumusa4116 4 месяца назад
Kiukweli mweshimiwa Allah atakulipa nakuombea mungu aendelee kukupa moyo huo huo
@dn.n4983
@dn.n4983 4 месяца назад
Poleni wazazi na family wapimzike kwa Amani watoto wetu
@mariaparadiso2997
@mariaparadiso2997 4 месяца назад
Poleni sana wazazi Mungu akawe mfariji mkuu katika wakati huu mgumu, mpumzike kwa amani watoto wetu😢😢😢
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb 4 месяца назад
@mariaparadiso2997Mungu awalaze kwa amani
@annathomas-wy8yt
@annathomas-wy8yt 4 месяца назад
Inauma sana jamani,poleni sana wafiwa,Mungu akawe faraja yenu.
@MohamedMustafa-id5gr
@MohamedMustafa-id5gr 4 месяца назад
Poleni sana Arusha ni maumivu makali sana kuondokewa na mtoto 😢
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 месяца назад
Poleni sana wazazi kwa hili pigo linaumiza sana
@upendosanga9205
@upendosanga9205 4 месяца назад
Acha nilie 2 sina chakuandika inauma inauma
@agneslaurent9702
@agneslaurent9702 4 месяца назад
Mungu tulindie watoto wetu poleni sana wazazi
@verombwambo3703
@verombwambo3703 4 месяца назад
Poleni sana wazazi Mungu pekee ndio awafariji
@FatumaKishasha-ph6ii
@FatumaKishasha-ph6ii 4 месяца назад
Innailaih wainna illaih rajuun
@fifo262
@fifo262 4 месяца назад
Kazi ya mungu haina makosa , ila dereva nae mzembe
@user-oc5lb8lk4y
@user-oc5lb8lk4y 4 месяца назад
Poleni sana wazazi
@AntoniFrenki
@AntoniFrenki 4 месяца назад
Poleni Sana wananchi
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 4 месяца назад
Mungu awatie moyo wazazi na walezi, kwa kupotelewa na watoto wenu
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 месяца назад
Naumia sanaa km mzaz😢😢
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 4 месяца назад
Mungu tunaomba uwape haqa wazazi faraja😭
@masikimhina158
@masikimhina158 4 месяца назад
Inna lillah wainnailaihi rajiuna 😭🙏
@MonicaMussa-gy6nb
@MonicaMussa-gy6nb 4 месяца назад
Jamn jamn jamn daaa mbna haya maumivu makali
@JeniLembris
@JeniLembris 4 месяца назад
😢😢😢😢r.i.p watoto wetu
@sund2553
@sund2553 4 месяца назад
Ifike mda wananchi kwenye vyombo vya usafiri tukion hatari yyte kam mnamwambia dereva kitu hasikii tuanze kutembea na fimbo tuwachape hakiiiii😢😢mtu unawaza hiko kidaraj mtu analazimish kupita na mvua hiz kweli 😢😢😢
@rahmakhamis5972
@rahmakhamis5972 4 месяца назад
Poleni wazazi mungu atwapa subra
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 4 месяца назад
Huyu dereva msenge sana akapimwe akili kwnz pengn msenge na ANAFIRANA hasa huyu
@atoshamkingule7258
@atoshamkingule7258 4 месяца назад
Mungu awapumzishe mahala pema peponi watoto, too sad jmn
@ReynaMrema-qy3fw
@ReynaMrema-qy3fw 4 месяца назад
RIP ANGELS🥺🥺🥺🙏🏻🙏🏻
@naimatemba8061
@naimatemba8061 4 месяца назад
Uuwi jamani mbona madereva hawasikii jamani
@JaphetNalaa
@JaphetNalaa 4 месяца назад
Tatizo wanamkwamisha mbunge Gambo.
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 4 месяца назад
Polen Sana wazaz na familia kwa ujumla
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 4 месяца назад
Mungu awape faraja wazazi kwenye kipindi hiki kigumu saaa
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 4 месяца назад
Sasa walizuia kujegwa kwa daraj ili iweje???
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 4 месяца назад
Ivi tanesko walizuia kwanini jaman serikali si moja jamani ila huyu dereva mungu atamlani maisha yake yote na hata hiyo tanesko ingejengwa dalaja pia maafa yasingetokea labda
@user-wc5ho2ln6o
@user-wc5ho2ln6o 4 месяца назад
Ninjia ambazo Tanesco wanapita kupitisha nguzo zao watu wakatimia kama njia tu. Hapo serikali ingetafuta barabara si njia ya Tanesco, Serikali ifanye mpango wa barabara zake.
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 4 месяца назад
Aiseeee inaumiza sana
@fatimahants1526
@fatimahants1526 4 месяца назад
Innalilah wainna illah rajioon, allah awape subra waliopoteza wapenda wao
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb 4 месяца назад
@fatimahants1526allah awpe subra wafiwa
@roseafrael75
@roseafrael75 4 месяца назад
Huyu mbunge nae ni bure tuu hana lolote analolifanya kazi haiwezi.
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 месяца назад
Kafanyaje?
@user-we3or9ol4o
@user-we3or9ol4o 4 месяца назад
NA HUYO MTU MZIMA MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI, KWANI ALIKUWA ANAJARIBU KUOKOA BAHATI MBAYA NA YEYE KAFARIKI,, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@user-hy4pf2lj3u
@user-hy4pf2lj3u 4 месяца назад
Poleni wazazi Mungu awatie nguvu
@robytechnicalservise
@robytechnicalservise 4 месяца назад
Poleni sana wafiwaa R.I.P all
@victoriajoachim7271
@victoriajoachim7271 4 месяца назад
Huyo tapeli mwizi gambo anajisogeza ili akale rambirambi tena kama zile za lucky vicent mwizi mkubwa huyo pumbavu zake hata haya hana. Jambazi sugu huyo hana lolote tapeli huyo.
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 4 месяца назад
Polen Sana wafiwa na watt mpunzike kwa aman 🙏😭
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 месяца назад
Tanescoe,jeuri kawaida yao n wa unguu MTU, Daraja inahusiana,na umeme,,c nyumba, jamaaa, Halafu,maendeo gani ngaramtoni, kisongo,mbauda+kwa moromboo, Sinon watu wanasombwa,na maji,
@janethzacharia7967
@janethzacharia7967 4 месяца назад
😢😢😢😢 mungu wangu
@user-up2ix5vq1o
@user-up2ix5vq1o 4 месяца назад
😢😢
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 4 месяца назад
😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪 mungu ni mwema nyakati zote🙏🙏😪😪😪
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 4 месяца назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🙏
@edenelias1830
@edenelias1830 4 месяца назад
😢😭😭
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 месяца назад
Poleni sanaaa wazazi😢😢
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 4 месяца назад
Poleni jamani MUNGU AWAINUE
@halimamremi5375
@halimamremi5375 4 месяца назад
DAAA POLENI SAANA JAMANI INAUMAA SAANA MUNGU AWAPE NGUVU WAZAZI WOTE MLIOFIWA NA WATOTO HUYO DEREVA AKAFUNGWE JELA SABABU NI MJEURI KABISA HUYOO
@JacklineKivuyo
@JacklineKivuyo 4 месяца назад
😢😢inauma sanaa jamani
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 4 месяца назад
Ubishi na kiburi ni kibaya sana ona sasa unakatazwa husikii madereva wengine muwe mnawapima akili kabla ya kuwapa kazi.
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 4 месяца назад
😢😢😢😢😢
@RamadhanSongwe
@RamadhanSongwe 4 месяца назад
😭😭mungu awalaze mahalipem pep0ni
@EmanueliMlemeta
@EmanueliMlemeta 4 месяца назад
wana.arusha.poreni
@upendondelwa7510
@upendondelwa7510 4 месяца назад
Inaumiza janani daaah😢😢
@YasryBilali-il9ws
@YasryBilali-il9ws 4 месяца назад
Jamani nilikuepo dampo jamani polen familiyaa
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 месяца назад
Wajenge madaraja sio mbaka yauwe ndio viongozi wakumbuke huo ni uzembe madaraja Toka hukoron mbaka Leo mnashindwa kubadrisha msimpe rawama dereva uzembe ni viongozi mnajari mijin tu mnapopita nyie ndio mnatengeneza balabala
@davidlinus6940
@davidlinus6940 4 месяца назад
Naumia mm r.i.p watoto tanzania
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 4 месяца назад
Ila Dereva....... 😢😢😢😢
@mataypanga5262
@mataypanga5262 4 месяца назад
Tatizo ni serikali,siyo dereva. Sijui kwa nini binadamu ni katili kiasi hiki anaua wenzake na yeye hataki kufa. Serikali ilitakiwa kujenga daraja au kivuko,
@NaiIshumaeli
@NaiIshumaeli 4 месяца назад
Hata uzembe wa dereva umechangua kwa kiasi kikubwa
@Juma-om7ho
@Juma-om7ho 4 месяца назад
TATIZ KUBWA HAPO NI DARAJA
Далее
🛑 ты за кого?
00:11
Просмотров 75 тыс.
Why Egypt and Somalia are Teaming Up Against Ethiopia
10:50