Тёмный

MOTO WAUA MFANYAKAZI wa TANAPA na WATOTO WAKE WATATU NDANI ya NYUMBA ARUSHA -CHANZO ni KOMPYUTA .... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 85 тыс.
50% 1

MOTO WAUA MFANYAKAZI wa TANAPA na WATOTO WAKE WATATU NDANI ya NYUMBA ARUSHA -CHANZO ni KOMPYUTA ....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@globaltv_online
@globaltv_online 3 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 месяца назад
Dah mama zubery pole sana dada yangu mungu awape uponyaji na awape nguvu ya kuyapokea yaliyotokea mungu ailanze roho za marehemu mahali pema peponi amina
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 месяца назад
Kiatu cha huyu mama hakuna wakuweza kukivaa 😢😢😢😢 Mwenyezi Mungu ampe subira na uvumilivu huu ni uchungu wa namna yake
@asilahassan9965
@asilahassan9965 3 месяца назад
Ammina ya rabbill allamin
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Kqbs wee mung hqmpe nguvu lkn kiatu chake kizito
@FrankMbanga
@FrankMbanga 3 месяца назад
Jamani ni mungu tu kuwaokoa hata hao walio baki mungu aendelee kumpigania huyo mama maanadaa inauma ampe moyo wa uvumilivu
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 месяца назад
Dah! Poleni sana familia, Mungu azidi kuwatia nguvu mama wa marehemu mkewe na wote mlioguswa.. Hakika duniani tunapita.😢
@flaviankalinga8481
@flaviankalinga8481 3 месяца назад
RIP Zuberi Msemo na wanao hakika ni pigo zito Mungu mpe uponyaji mke ambaye amebaki mkiwa na wanafamilia wengine waliopo hospital 🏥
@elizabethshemweta
@elizabethshemweta 3 месяца назад
R.I.P uncle Zuberi na wadogo zangu Mungu awatie ngv Mama Mariam 😢
@gililwise
@gililwise 3 месяца назад
Mi sina la kuandika Mungu awape pumziko la amani.
@chikujuma18
@chikujuma18 3 месяца назад
Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake
@florah-jw9wk
@florah-jw9wk 3 месяца назад
Ningumu hatamtu kuleza mwenyez mungu. Wapesubira ndg zetu watoto waliofarik. Uwatiengufu
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 3 месяца назад
Poleni wafiwa wote mungu awatie nguvu kwa kipindi kigumu hiki
@RoseSangawe
@RoseSangawe 3 месяца назад
Duh!!!!!! So pain jaman...... Mwenyenz Mungu amtie nguvu mama Mariam ......
@sumaiyamartin5482
@sumaiyamartin5482 3 месяца назад
Pole sana kwa familia.
@AmourHassan-bg2iu
@AmourHassan-bg2iu 3 месяца назад
Allah azilaze roho za marehemu mahali pema peroni.Amiin.
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 месяца назад
Dah hakuna anaeijua kesho yake jmn chaji tu ndo imezia yote jmn 😭😭 wapumzike kwa aman marehem wote 🙏
@leokamil6284
@leokamil6284 3 месяца назад
😭😭😭
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 месяца назад
UNAIJUWA BETRI YA LAP TOP IKILIPUKA NI KAMA BOMU TUNAKATAZWA KABISA KUTUMIA BETRI FEKI INAWEZA KULIPUKA USONI MWAKO BILA KUWA KWENYE CHAJA
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 месяца назад
Aisee M/MUNGU Ilaze roho yamarehem mahali pema peponi pole kwa familia
@AnithaBiseko
@AnithaBiseko 3 месяца назад
So sad. Ee Mungu awapumzishe kwa amani. Ni ngumu sana . Mungu awatie nguvu
@naturelle1097
@naturelle1097 2 месяца назад
Poleni sana. Ni muhimu nyumba hizi ziwe na milango zaidi ya moja
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад
Inalillahi.wainailahi rajuun . .poleni wanafamilia. Allah awape.subra. kweli kilakifo kinasababu..Allah atujaalie mwisho mwema. ....mtihani jamani moto unauma jamani.Allahu.akibarr
@RoseManyata
@RoseManyata 3 месяца назад
Mwanahabali mtu ameshasema toka mwanzo wagen wapo kwa ajili ya mzaz tena bado unauliza tena
@ttss7716
@ttss7716 3 месяца назад
Subhanallah Allah atampa huyo mama subra 😢umauti ni haki lakini ya umiza kama hauna dini utakufuru 😢😢😢😢
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 3 месяца назад
Dah mimi nashindwa hata niandike nini ila mwenyezi mungu warehemu, pia pole sana kwa familia, mke wa marehemu sijui niandike nini cha kuweza kukufariji katika kipindi hiki kigumu mwenyezi mungu awe faraja yako kwa kipindi hiki
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 месяца назад
Muhimu pia kujenga nyumba iwe na mpango zaidi ya mmoja ili ikitokea ajali kuwe na mbadala wa kutoka
@JuniorMrema-k9f
@JuniorMrema-k9f 3 месяца назад
Kabisa ndugu muhimu kue na exit za kufikika kirahisi
@GiseracharlesGiseracharles
@GiseracharlesGiseracharles 3 месяца назад
Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi🙏
@SimonsulleyQarimbo
@SimonsulleyQarimbo 3 месяца назад
Poleni sana ndgu zetu kwa msiba mzito mungu awatie nguvu
@anandemungure2500
@anandemungure2500 3 месяца назад
Duh Pumzika Kwa Amani ndugu yetu. Sote ni wa muumba na kwake tutarejea. R.I.P😭
@Gersah
@Gersah 3 месяца назад
Amen
@shabanikitula645
@shabanikitula645 3 месяца назад
Kolumba hakuna mwandishi bora kama wewe wengine wote watasubiri
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 3 месяца назад
Umejuaje kaka shaaban huyu mwamba kolumba ni hatari kwa Tanzania 🇹🇿
@ElikanaMbotwa
@ElikanaMbotwa 3 месяца назад
Poleni sana wafiwa Mungu awafariji
@Zuu673
@Zuu673 3 месяца назад
Poleni wafiwa dah naumeme wa sasa unawaka na kuzima jamani mungu atunusuru 😢😢
@LyujeMnangola
@LyujeMnangola 3 месяца назад
Allah sw amuhfadh mm mjane na kitoto pia Allah awalaze sehem pema marehem
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 3 месяца назад
Allah awape subra familia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Dah maskin mfiwa hataliaje sjui mwenzenu mume watot watatu dah😢😢
@RashidRamadhani-b5o
@RashidRamadhani-b5o 3 месяца назад
Poleni wafiwa
@NeyMsuya-d8x
@NeyMsuya-d8x 3 месяца назад
😭😭😭😭Dah! Family Mungu awape faraja CNA hata chakusema 😭😭🫂
@tabuomary1016
@tabuomary1016 3 месяца назад
Innalillah wainailayh rajiun. Poleni Sana wafiwa.
@HadijaAusi
@HadijaAusi 3 месяца назад
It so Saad, Allah awape subira wafiwa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 месяца назад
jamani imeniuma. huu msiba mzito sana
@SamwelMakala-ls4qo
@SamwelMakala-ls4qo 3 месяца назад
Poleni Sana ndugu zetu
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 3 месяца назад
Ni uchungu Sana Mungu amtie nguvu mama huyo najua hakuna kitakachompa faraja ila Mungu pekee. Mwenyezi Mungu awapumzishe Kwa Amani wote waliotangulia😢😢💔🕊️🙏
@NeemaLukumay-or1iu
@NeemaLukumay-or1iu 3 месяца назад
Ee Mungu mshike yule mama na faraja yako ipitayo faham zetu imfariji
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 3 месяца назад
Nimelia sana nimeishiwa la kusema
@Happizo
@Happizo 3 месяца назад
Poleni wafiwa ... Mungu akutie nguvu mjane😢😢😢
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 3 месяца назад
Inna lillah wainna illah rajioun M mungu awalaze mahala pema peponi
@johanjoha5262
@johanjoha5262 3 месяца назад
Allah awape subra famillia
@kabulapatrick2765
@kabulapatrick2765 3 месяца назад
Mi naomba tanesco wajitaid xn kupolesha ukataji wao wa umeme make mara nying me naona kwangu umeme unavyokatika kama vita yani unaweza ukashitua hadi mara 3 ndo unakata sasa hii ni hatari xn endapo mtu ajafunga stable wareling make mara nyngi me taa zinaungua kbx ko Tunaomba sana idara husika na Mama yetu rais ma samia mliangalie ili swala la ukatikaji umeme kwa kina
@zaykipini4761
@zaykipini4761 3 месяца назад
Tena usiku Sana wanafanya hiz Mambo jaman huwa naogopaga mm
@MwanaharusiKodema
@MwanaharusiKodema 3 месяца назад
Inauma sana
@StephenNjau-y4y
@StephenNjau-y4y 3 месяца назад
Diwani anajua kunyoosha maneno kweli
@vero57
@vero57 3 месяца назад
Kama inawezekana tuwe na kitu kama alarm ambayo inapiga kelele kama kuna moto au gas inavuja, wezetu watu wa ulaya wanazo, kiasi kwamba hata jirani yako anasikia wana kuja kuku saidia, zinaitwa fire alarm, poleni sana wafiwa.
@robertbudodi
@robertbudodi 3 месяца назад
Pumzika kwa amani bro Zuber College Mate wangu 😭😭😭😭
@SarahYahya-y3o
@SarahYahya-y3o 3 месяца назад
Subhanallah
@salhaayub1338
@salhaayub1338 3 месяца назад
Inalillah wainaillaih rajiuun Allah awape kauli thabity wote huyo Mama najaribu kuvaa kiatu chake naona hakinitoshi dah maumivu yake hayana mfano😢😢😢
@SakinaWanjemu
@SakinaWanjemu 3 месяца назад
Poleni sana jamani
@juliusmakule
@juliusmakule 3 месяца назад
Pole yao
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 3 месяца назад
Dah R.I.P Wote. Hapa ndo umuhimu wa emergency window unapokuja kwa kwel
@missmoresa8854
@missmoresa8854 3 месяца назад
Pole sana jirani zangu
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 3 месяца назад
Ee mungu ifariji hii familia
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 3 месяца назад
Inna lilaahi waina ilasyhi rajiuun Allaah awarehemu
@ummySheikh72
@ummySheikh72 3 месяца назад
Innallillah wainnaillaihi rajioon! Mungu awasamehe madhambi yao😢😢
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 3 месяца назад
Mungu mkubwa jamani ajali yote ila ako kachanga akaja zulika kweli kuondoka ahadi jamani daah poleni wana family
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 месяца назад
Inna lilah wainna ilayhi rajiun poleni ndugu zangu kwa mswiba huu kullu nafsi thaikatul mauti
@bilihudashemnyime1899
@bilihudashemnyime1899 3 месяца назад
Inna Lilah wanna ilayh rajiun poleni sana mungu awape nguvu katk kipindi hiki kigumu
@joycekalago532
@joycekalago532 3 месяца назад
Duh Mungu wangu,kichanga vipi kimepona?😢😢😢😢
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 3 месяца назад
Tununue smoke detector tufunge kwenye nyumba
@majutomusegu
@majutomusegu 3 месяца назад
Hiyo inasaidia moto kuzima au upoje
@leokamil6284
@leokamil6284 3 месяца назад
​@@majutomusegukukiwa na Moshi inapiga kelele
@EsterMbise-pj4vd
@EsterMbise-pj4vd 3 месяца назад
Jamani mwenyenz mungu walaze mahala pema peponi pia mungu watie nguvu walibaki jamani na mke aliebaki mtie nguvu ni vigumu kuelezea inaumiza
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 месяца назад
Jaman huruma sn sn hakuna wa kuvaa kiatu cha hy mama
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 месяца назад
Innalilah rajiun dah😢 Allah amtie nguvu huyu mama
@Mommy4147
@Mommy4147 3 месяца назад
😢😢😢😢mungu watie nguvu familia hii baba 😢😢😢🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️😭😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 3 месяца назад
Inna lillah wainahyllah rajioun poleni wafiwa
@navioma4882
@navioma4882 3 месяца назад
Poleni sana wezetu😢😢😢
@adammbuba7230
@adammbuba7230 3 месяца назад
Poleni sana ndugu na jamaa
@NnalaNsangalufuMwangati
@NnalaNsangalufuMwangati 3 месяца назад
Duuu 🤔 jamanii poleni wafiwa kwa msiba huo mkubwa 😢😢
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 месяца назад
So sad😢😢😢
@MwasitiOmmary
@MwasitiOmmary 3 месяца назад
😢😢inalillah
@aikamkindi6006
@aikamkindi6006 3 месяца назад
Polen sana,
@atupelemwasambili4476
@atupelemwasambili4476 3 месяца назад
So sad.May their souls rest in peace
@AmianaMavura
@AmianaMavura 3 месяца назад
Mungu wape rehema
@TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
@TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 3 месяца назад
Poleni sana ni msiba mzito sana
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 3 месяца назад
Daah watu hatuaminii kabsaaaa kabsa aisee kwelii kifo Ni fumboo 😢😢
@AminaaJoseph
@AminaaJoseph 3 месяца назад
Innalilah wainailaih rajuun
@stamilihalifa2763
@stamilihalifa2763 3 месяца назад
Poleni
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 3 месяца назад
Innalillah waina ilayhi rajiun
@FortunataNguma
@FortunataNguma 3 месяца назад
Ata sasa bado najiuliza maisha ya sasa hivi watu 11 wanaenda kusalimie mzazi mmh hatari
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 месяца назад
Mwenyewe sijaelewa kabisa,tena mzazi ambaye kasharuhusiwa na yupo vizuri,kujazana hivyo ,hata aibu hakuna?😢
@NEEMANdembwe
@NEEMANdembwe 3 месяца назад
Yaani sijui hao ni kabila gani
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 месяца назад
@@NEEMANdembwe Asilimia 80%ni wahaya
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 3 месяца назад
Inalilah wainalilah rajuuni
@josephatjanikila6164
@josephatjanikila6164 3 месяца назад
Daaah inaumiza sanaa aseee
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 3 месяца назад
Duh
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 3 месяца назад
Innalillah wainna ilayh rajiun😢
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 3 месяца назад
Jaman ugeni mkubwa hivyo
@ShamsiMikdad-bj7me
@ShamsiMikdad-bj7me 3 месяца назад
Inaalillahi wainnailaihiraajiuuna allahumaghfirahum waruhamuhum
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 3 месяца назад
R.i.p ndugu zetuu dah so sad
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s 3 месяца назад
Mmmmm 😢😢😢
@Oman-p8x
@Oman-p8x 3 месяца назад
inalilahi wainalilah rajiuni 😭
@HgiHg-i7t
@HgiHg-i7t 3 месяца назад
Innalilahi waina illahi rajiwn poleni 😭😭😭😭
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 3 месяца назад
Jameni ni kipi kinaikumba Tanzania kwa Sasa Kwani Vifo vinakuwa vingi kwakweli naskiya huzuni
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 месяца назад
Watu 11🤔🤔waafrica!! Mnaenda kumkomoa mtu!!🙄 Au ndo walioleta hayo maafa😢😢
@FatyJuma-w3c
@FatyJuma-w3c 3 месяца назад
Allah awepe subra
@WalburgaMmassy
@WalburgaMmassy 3 месяца назад
Daaah!!!
@RebeccaMuhimba-be1pj
@RebeccaMuhimba-be1pj 3 месяца назад
duh uyu baba namfahamu
@JanethPius-v8t
@JanethPius-v8t 3 месяца назад
😢
@leokamil6284
@leokamil6284 3 месяца назад
R.I.P poleni sana wafiwa 😭😭😭
@rosehaule5705
@rosehaule5705 3 месяца назад
Wamekuja wengi hivyo kwanini hawana kaxi.kwani lakitop si anachaji kila wakati wengine husda
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 месяца назад
Poleeni
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 3 месяца назад
Inalilah wainailah rajiun 😢
Далее