Тёмный

#AKILI 

GeorDavie TV
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 72 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

28 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Год назад
Mtumishi big up God bless you unafanya kazi ya Mungu na kusaidia wito wako Mungu tuu.😊
@pgstudios1693
@pgstudios1693 Год назад
Mungu akubariki nabii wa bwana.anaekuchukia ni ibirisi kuna manabii wajiita kwa kutaka pesa za watu.sasa wewe unasaidia watu.kiukweli mungu akupe matilioni ya pesa nabii wa bwana
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Huu utapeli wa Iman upo Tanzania tu mzee kwn una kazi gan Zaid ya sadaka mpaka useme umetoa pesa yako mfukon
@mhakopeter4903
@mhakopeter4903 Год назад
Sio kweli hajasema anatoa pesa yake. Hii pesa ni ya Mungu na hata amediriki kusema anakua accountable kwa Mungu kwa kila matumizi usimsingizie
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Год назад
Wanakutamgaza badala ya kumtangaza Jina la Yesu na hekima za Kristo Yesu ambaye kafa kwa ajili ya thambi yeye Ni wakupewa sifa na Utukufu
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Nabii wa mchongo 🤣🤣🤣🤣
@Tchimbatchimba
@Tchimbatchimba Год назад
Kabisa
@dastanisalingo8993
@dastanisalingo8993 Год назад
Nabii mkuu Dr Geor Davie. Mungu akubariki sana, wanaokushambulia kwa ajili ya matendo mema unayowafanyia watu, hawamjui Mungu kabisa. Songa mbele baba. Acheni kumshambulia msemaji wa Mungu
@furahamwangosi3896
@furahamwangosi3896 Год назад
Nakukubali saana Prophet Mungu akubariki saana saana saana tena saana
@barakabulabatu7989
@barakabulabatu7989 Год назад
Nabii mkuu GEORDAVIE mungu aku bariki sana, mimi niko RDC muji mkuu BUNIA ila nina ku fata tano juu ya tano kila siku office na kila siku nina barikiwa sana. ombi langu siku moja niku one uso kwa uso . ata siku moja mungu akufunguliye njia ku fika uko kwetu
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Год назад
Amina tutashinda zaidi ya kushinda mtumishi wa Mungu keshasema
@juliodaniel1615
@juliodaniel1615 Год назад
Asee kazi nzuri sanaa baba kwa ku support vijana piaa tangu nimesikiaa Nabii mkuuu nimekuwa nafatilia vipindi vyako na kujifunzaa sanaa kiimani sanaa mbaka ukipost nakuwa naangalia ujio mpyaa
@NLCG100
@NLCG100 Год назад
Huyu sio tu nabii tu Bali Mimi namwita mwanauchumi Bora anewakomboa watu kutokana na umasikini ,umeona wapi nabii Tanzania yetu hii anagawa bajaji ,pesa na vitu vingine Bali ni huyu ninaemwita mtokomeza umasikini ,mfano mtu aliepata bajaji kweli anaweza akashindwa kumuombea ,au kufika kanisani na kutoa sadaka au kuwasaidia wengine deiwaka na wao wakapata pesa kwanza mzunguko huo tu ndy nasema unapunguza umasikini,uarifu,kukaa vijiweni ,nk manabii wengi wamepita tz hii ila huyu ni WA mfano abarikiwe sn
@NLCG100
@NLCG100 Год назад
Sorry kwa kuingia kwenye kurasa yako coz ujumbe wako nimeupenda
@user-du2gt8ff1r
@user-du2gt8ff1r Год назад
MUNGU Yehova Akubariki Jeadavi
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Год назад
Nilijua TU wapendwa hawakosagi maneno.Wewe ni nabii wa Taifa,afrika na Dunia.Wasikupangie Cha kufanya nabii wetu.Tunakupenda Sana🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 Год назад
Nabii mkuu nabarikiwa sana sana na huduma hii mungu awe nasi zote 🙏🤝
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Год назад
Duuuuuh!!!!!Hizi dini hizi😅😅😅😅mambo ya mpira kanisani???!
@medimisi6930
@medimisi6930 Год назад
Mcktn ujinga huu ufanye hautoboi siku hiyo hiyo,ety na jezi za ushabiki nabii amepokea hahaaaa duh
@kelvindaudi2107
@kelvindaudi2107 Год назад
Asente sana baba unatusaidia sana vijana baba mungu akupaliki sana
@dorcasloy7935
@dorcasloy7935 Год назад
Mungu mbariki sana baba
@stevenvictor2168
@stevenvictor2168 Год назад
Jamaniii tusomeni neno wapendwa moto upo wanadqmu
@shedrackngaila383
@shedrackngaila383 Год назад
Mpaka yanga injili inapenya du !! Nabii wa matamko I love you
@francisjapan1594
@francisjapan1594 Год назад
God above all 🙏
@rehemaponera8160
@rehemaponera8160 Год назад
Mwananchi ulipo tupo
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 Год назад
Nimependa sana kabisa kweli YANGA wanahakili sana
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@aminakupila3079
@aminakupila3079 Год назад
Hallelujah ❤🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Nice
@majorazacharia21
@majorazacharia21 Год назад
Mambo ya mpira kanisani wapi na wapi?!!!! [warumi 12:2]
@ebenezermachange1073
@ebenezermachange1073 Год назад
Amen
@saidisadiki3139
@saidisadiki3139 Год назад
Baba Mkuu ata Mimi baba naomba unibariki Mimi ni dereva wa mda mrefu nilikua Arusha baba kwa Sasa Niko dodoma baba naomba nibariki Kwa Sasa Sina kazi baba naomba nibariki
@mariamariki7132
@mariamariki7132 Год назад
Barikiwa Sana nabii mkuu
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Год назад
Kesho naanza safari I love baba 💓🥰💓🥰🕌
@rahabuibrahim5324
@rahabuibrahim5324 Год назад
Aminaaa
@mustaphambwana7944
@mustaphambwana7944 Год назад
Unasema kweli mungu takulipa Baba
@esthercedrick4914
@esthercedrick4914 Год назад
watu wamesha gundua chimbo la kupiga mpunga
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Nabii wa mchongo 🤣🤣🤣🤣
@halimaleila2323
@halimaleila2323 Год назад
Ameena 🇧🇮
@firstnakoko6605
@firstnakoko6605 Год назад
Nisaidie kufika Arusha ww baba nakukubal sana naitwa first Richard Niko ruvuma tunduru nije kweny madhubahu yako
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Год назад
Siyo Majibu Mazuri ya kuwapa waumini wako kuwa na hekima
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Huyu ni nabii wa mchongo tu
@danielbenjamin8938
@danielbenjamin8938 Год назад
Hongera kwako nabii
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 Год назад
iwe kwangu pia ufungulivu wa nila mbaya za kiukooo
@Godneverfailed
@Godneverfailed Год назад
Hao wanao kupa sadaka wangekua mstari wa mbele kuwasaidia
@nipolive..2745
@nipolive..2745 Год назад
Siku moja ni kiwa hai kwa uwezo wa mungu. Razima nifike hapo Arusha nikuone tu live. Kisha ni ludi zangu katavi.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Год назад
Acha waisome namba wenye wivu
@abednegochija-uf3ey
@abednegochija-uf3ey Год назад
Ukiachana na maandiko matakatifu hata maisha ya kidunia tunakatazwa ndiyomaana Kwenye kiswahili kunamaada inatwa rejesita ,,,, rejesita za mpirani unazileta kanisani Mshindwe ktk jina la Yesu pepo nyie
@mussaandrew2083
@mussaandrew2083 Год назад
👏👏👏👏👏
@neemamjema1067
@neemamjema1067 Год назад
Royal mkuu 💪💪💪🙌🙌🙌
@bakariathumani8105
@bakariathumani8105 Год назад
Naona mapicha,2
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Yaani hakuna cha injili hapa 🥲🥲🥲🥲
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Год назад
🔥🔥🔥
@samwelsimba1615
@samwelsimba1615 Год назад
Nakupnda Sana nabii akika ww ni nabii natamn nikufukie lakin Sina uwezo natamani hata nitute kiatu chako naomb unibaliki siku nikipata nauli nitakuja kukuona
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 Год назад
Leo nabiii kasema kile niliwaza yaani kunawatu huwa wanaumia mtu mwingine anavyosaidiwa
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc Год назад
Apo hapana dini kweli ukrito ni biashara ya wazungu
@floraflora9490
@floraflora9490 Год назад
Hapa ni kuvuna pesa tu
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Nabii wa mchongo 🤣🤣🤣🤣
@roselunyungu3054
@roselunyungu3054 Год назад
Nipe macho nione
@raymrash
@raymrash Год назад
hahaha dada yangu umeona eeh?
@emmanuelakko9014
@emmanuelakko9014 Год назад
Macho ya kuona nini?
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
@@raymrash hapa hakuna cha kumtangaza yesu hapa ni ushirikina tu
@bustabruce480
@bustabruce480 Год назад
Niko bujumbura na mupenda nabi mku sijui nitafikaje munisaidiyeni miye
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Yn tunaacha lengo la mungu tunafanya maigizo hatar San aisee
@yuphusaidi6150
@yuphusaidi6150 Год назад
Watumishi wengi hawana haja nawenye zambi wanataka sifa tuu nachawa wameshamjua watamiminika sanaaaa
@episonfelician7670
@episonfelician7670 Год назад
😂😂 Watu wanachangamkia furusa kutoka mikoa ya Nje
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Wataisoma namba tu 🤣🤣🤣mwisho wa siku
@NdamuhawenimanaCelestin
@NdamuhawenimanaCelestin Год назад
Sio vizuli wapi na wapi mupila namugu
@deotienndizeye7633
@deotienndizeye7633 Год назад
Niko Burundi naitaji munipe Programme zaibada za Baba Nabii Mukuu niwe nafatilia ibada kilasiku kwamuda
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Utopolo bwana na mimi Simba naja
@Veni584
@Veni584 Год назад
Wananchi mpo?
@mohamedmahmudali9346
@mohamedmahmudali9346 Год назад
Ivi nauliza uyu anaejiita Nabii mkuu hizi Hela anazitoa wapi?
@irambonaericwamakamba6659
@irambonaericwamakamba6659 Год назад
Nabii w basi wakuachie 😂😂😂
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Wa mchongo huyo 🤣🤣🤔
@evanswinston5102
@evanswinston5102 Год назад
Yanga wote si wa hovyo tu😁😁😁
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Год назад
waumini wakiacha kuja pesa itatoka wapiii
@thomasgurty9116
@thomasgurty9116 Год назад
Jaman mbn sielew 🤔🤔!!
@noreenenock5279
@noreenenock5279 Год назад
utaelewa tu 😂😂😂
@shabaniezekeeli2216
@shabaniezekeeli2216 Год назад
Baba yangu Wakiroho jodevi huyoo
@ssfsghsfwushgjdhsgshsjshaf2971
Baba uko wapi nikuone
@rehemasteven1545
@rehemasteven1545 Год назад
Jamani naombeni mwenye namba yake huyu mtumishi
@rukiajumanne9489
@rukiajumanne9489 Год назад
😂😂😂😂😂😂👏🏿👏🏿👏🏿
@mrh2812
@mrh2812 Год назад
Hao bodyguard wa sas😒😒😒
@sarahbahati7914
@sarahbahati7914 Год назад
naamini ipo siku name ntakuja kwako nabii
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Год назад
Unatoa kafara endelea kutoa
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Nabii wa mchongo 🤣🤣🤣 hakuna cha injili hapa
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Год назад
Saizi uchumu umekua kizungu zungu na watu tunaangalia upepo wa Hela maana kama nikimaifia tu nabii mkuu, ananipiga na milioni 3 usoni aaaaah shida gani Wacha tukachukue helaaa bhana
@Tchimbatchimba
@Tchimbatchimba Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Год назад
Kwani sadaka unapeleka wapi boss wakati kanisa ni mali yako, wanahaki ya kudai sehemu ya pesa unayoeachukulia sasa unawapa wasanii wa bongo wanaokusifia😀😀😀
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 Год назад
Kwani sadaka nyinginehuwa zinaenda wapi,,,wanadamu tunamanenosasa huyu anaesaidia watu na wanaojinunulia magari na kujitajilisha sasa Bora yupi,,,,,sadaka nikwa Mungu na Mungu anapendezwa na Watu wanaosadia wasiojiweza
@Godneverfailed
@Godneverfailed Год назад
Pia mimi nitamsifu nikapewe pesa
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Год назад
@@afandebrighttz2887 Unaongea mini wewe? Huyo hati misaada anatafuta kiki Kwanza, anaowapa sii mahitaji na si mahitaji ya msingi , Luna maskini wengi na ombaomba wengi na watoto yatima na wazee wengi wa Arusha, badala ya kufungua hata shule, au kituo cha kulelea au kutunza watu hao wenye mahitaji maalumu, anawaseti wasanii uchwara wa bongo wamsifu na kuwapa magari. Hao wengine unasema wanapeleka wapi fedha, nenda kwenye makanisa yaliyopo kitaasisi kama Roman catholic, Lutheran, Anglican , AIC, Morovian to mention but few uone vitu wanavyofifanya kwenye jamii na sio hayo maigizo ya huyo mnyiramba
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 Год назад
@@bernardjohn8788 Labda Kama hujafuatilia nduguyangu me nishashuhudia wamama wahitaji wanaenda na wengine walemavu wanapewa Bajaji,Kuna mchungajimmoja chokambaya nae akasaidiwa Boda ya kufanyia Injili na siamini Kama hakuna wahitaji wanaosaidiwa na Dr Geordavie ,,,Kuna wale wa Kisongo magereza walisaidiwa na mpaka wanasaidiwa kwa mafundisho pale Gerezani,nikweli jamii inawahitaji wengi lkn hata hao Roma nkhawajawamaliza ,kikubwa hapa nikumuomba Munguampe uwezo na maalifa zaidi ya kusaidia hawa unaowasema sasa ,,,,
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 Год назад
Ubunifu ndio unawafanya watu watoke mbali wasaidiwe sababu amuoni mbali
@godlovemlowe7423
@godlovemlowe7423 Год назад
baba naomba uniombee mm
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Pesa yako ipi Kwan unafanya kazi gn Zaid ya sadaka Yan tunadanganywa san
@namnam3771
@namnam3771 Год назад
Come on brooooh... apart from Dad being a prophet he also has some business zinazomuingizia pesa ndomaana amesema hivyo.. literally sadaka zinasaidia kufanya maendeleo yakanisa .. sometimes you gotta think before uandike itakusaidia Sana
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Mswiba
@naldclever
@naldclever Год назад
Wangap wanaaamini na wangapi wanawaasiwasi ?
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Mimi simwamini kabisa huyu ni shetani hakuna cha injili hapa
@ssfsghsfwushgjdhsgshsjshaf2971
Hivi wewe ni nani sijaona binadamu kamawewe tupo mikoani baba tunateseka Mimi natamani niguse tu hats vazi lako baba uwezo sina wakufika harusha naitwa Matha Mwafongo nipo songea ameni baba
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Год назад
Na wewe tengeneza nembo ya jodevie ndio utapata pesa na kutambulika
@felistertsere2011
@felistertsere2011 Год назад
Acheni ukuma huyu ni shetani hakuna cha injili hapa 🥲🥲🎂😭😭😭😭😭😭😭
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 Год назад
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Год назад
Mchungaji uko vizuri lakini usiwaambie washiriki kwamba Kwamba tumechanga pamoja Nadhani hii kauli haijakaa vizuri maana washiriki wakishatoa sadaka zinaheaabiwa zinawekwa Bank ndo unachukua unakuja Nazo Nabii mm nadhani usipende kujizolea sifa zitakuangusha zitaharibu huduma yako acha Mungu ainuliwe kupitia wewe
@hamisimussa5238
@hamisimussa5238 Год назад
Sadaka zina mambo mengi.usifikili kuwa yy hna mbaraka wowte .wengine wakulima.wafanyabiashara hyo sadaka utumika mishahara ujenzi wa makanisa.kupeleka injili.unafikili kazi ya Mungu inaendeshwa na nini yy mwenyewe uyo hmatoa sadaka hta na fungu la kumi.unafikili kuwa hvyo vipindi vinavyorushwa vinategemea pesa kutoka wapi shida mna hamini watumishi uwa hWana njia nyingine ya kuingiza pesa wanategemes sadaka
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Год назад
@@hamisimussa5238 maana hata kama amechukua pesa zake zisizohusiana na sadaka Bado hatakiwi kuwakatisha waumini tamaa Maana wanatafuta faraja na wameamini wataipata hapo kuwaambia hivyo ni kuwavunja moyo Ni sawa na wewe uko na baba Ako unaona anawapa jirani zako msaada na kutoa vitu kwa watu wengine lakini wewe unapofika kuomba anakunyima utaelewaje
@abednegochija-uf3ey
@abednegochija-uf3ey Год назад
Wajinga na WA pumbavu mnapotea kwasababu mnaongozwa na viongozi vipofu na kipofu akimuongoza kipofu watatumbukia shimoni
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Год назад
Sema baba angalia na watu wa kanisani kwako kwasababu hawa wengine wanakuja kukuchuna hela tu siku zote walikuwa wapi hadi leo ndo waibuke? wao wote wanakuja ili uwape hela tu hawana lolote kwahiyo wasaidie na waumini wako achana na wao wapitanjia
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Год назад
Kwa hiyo MTU akikutangaza wewe ndo unaona sifaaaa na ndo anaamua kutoa pesaaa Ur so so very wrong 😎
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Год назад
Aaaa na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO
@anethwidmark3730
@anethwidmark3730 Год назад
Shame on you...kingereza chenyewe hovyo
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Год назад
Mtu anakosea kuongea sembuse kuandikaaaaa
@majorazacharia21
@majorazacharia21 Год назад
Mambo ya mpira kanisani wapi na wapi?!!!! [warumi 12:2]
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 Год назад
Amen
Далее
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 848 тыс.
FANYA HIVI TATIZO LAKO LINAPOJIRUDIA
44:54
Просмотров 79 тыс.
SUGUYE AMTAHADHARISHA RAIS SAMIA JUU YA TEUZI ZAKE
10:55
SOMO: KANUNI 5 ZA MAFANIKIO (2)   GeorDavie TV
1:11:10
Просмотров 10 тыс.