Hongera Sana Kingwendu kwa kukimbilia Kanisani Hawa wanaokuponda waache usiwajibu maana wangekuona unaingia kwa mganga Wa kienyeji wasingekusema hivo Shikilia Imani yakoo Kingwendu Nabii Ni Mtumishi Wa MUNGU na tumeona akiwafufua waliokuwa kifoni Hawa wanaokuponda hawajui wafanyaloo
Mnaoongea vibaya kuhusu nabii nahisi mmechoka hamna jipya mnaongea Sana na nahisi mkipewa hela hamuachi shida ya wabongo mkiwa na njaa mnatapika Sana mwacheni nabii Mkuu apige kazi nyie wenye maneno mkifa mtaacha urithi wa umbea hauna faida mnaudhi nyie