Тёмный

ALFRED SHAURI Mwanafunzi Bora Tanzania 2016/7, atoboa siri kubwa ya familia yake! 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

MWANAFUNZI wa kwanza kitaifa katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2016, Alfred H. Shauri, ameeleza siri ya mafaniko yake kuwa ilitokana na kusoma kwa bidii na kumtanguliza Mungu katika kila alichofanya. Ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Feza Boys ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Je, unamjua baba yake ni nani? Msikilize Mwenyewe wakati akiongea na Global TV on Line, Mwenge Bamaga, Dar!

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@izzi198
@izzi198 7 лет назад
He is one in a million, I have been listening to TOs there is nobody like him. This is another excellent creature
@mrsomaridris6663
@mrsomaridris6663 7 лет назад
this kid is genius.. Anajua kujieleza
@ronaldmbao618
@ronaldmbao618 6 лет назад
Umewiva kijana. Uko smart kiakili, kijamii na kiroho. Barikiwa sana Alfred Shauri.
@jolenejhn8john831
@jolenejhn8john831 7 лет назад
He is very humble and kind hearted I like him a lot honestly no wonder he got this gift ....keep it up and God will Bless you.
@samuelwanyancha3416
@samuelwanyancha3416 7 лет назад
Alfred nmesoma na ww miaka minne.I have been able to learn a lot from you.You may not hav been the best in our year durin our tym in Feza but ur hardwork n determination as I saw it everyday was second to none and it z just so nyc to see u accomplish wat you hav just done.Stay focused muombe Mungu n ur future wil b bryt.Class of 2K16 the realest#lewmas
@hurbert3606
@hurbert3606 7 лет назад
Hongera kwako pia Samuel. Good job you gus!
@abineralfayo2516
@abineralfayo2516 7 лет назад
I have learned something from you n it's very nice to listen to my dream to be TO didn't work well but to see somebody made it makes me happy good work man
@saladaniel907
@saladaniel907 7 лет назад
safi saña mwanangu mungu akutangulie jamani
@emiliamulaki3600
@emiliamulaki3600 7 лет назад
hongera sana. Mungu akulinde na kukuongoza
@johnmichael4034
@johnmichael4034 5 лет назад
Bro u have inspired me I hope one day I will also be the best GOD BLESS YOU
@simonmhanje8251
@simonmhanje8251 5 лет назад
Dogo uko vizuri xana
@showbizmedia
@showbizmedia 7 лет назад
hongera zake
@janewacera7812
@janewacera7812 7 лет назад
Mashallah
@mariapatrick2317
@mariapatrick2317 7 лет назад
hongera sana
@juliethkahwa3047
@juliethkahwa3047 7 лет назад
hongera dogo
@erickpaintpro
@erickpaintpro 7 лет назад
jamaa ana onesha ana akili sanaaa
Далее
Telephone Communication: Basic Telephone Skills
35:28
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 34 млн
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 460 тыс.
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52