Тёмный
No video :(

ALICHO FANYA DIAMOND KWA 20 PERCENT,,,KAJIUNGE NA WEWE UTOBOE KAKA,,,UNAFELI WAPI 20 PERCENT??? 

PTVTANZANIA online
Подписаться 506 тыс.
Просмотров 1,2 млн
50% 1

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 684   
@selfaakinyi2986
@selfaakinyi2986 2 года назад
Wow, 20 percent we still remember you, come back to the game, much love from Kenya.
@barakastantonmwakyoma1003
@barakastantonmwakyoma1003 2 года назад
20 percent mm bado nipo na ww nakukubali sana
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds День назад
Ndugu yangu wewe mm unanichanganya sana wewe ndio pekee katika muziki yaan furaha iko wapi daaaaa❤❤❤❤❤
@irpack6081
@irpack6081 Год назад
Vraiment je suis très chaleureux d'avoir encore une nouvelle chanson de 20 Twenty pancenti shabani na imy s nyimboza wewe siyo musani wa kuropokaropa Ila nyimbo zako zinamalengo bro mwanaume ni wenye kujigamba courage mon pote je suis congolais
@gloireirenge8035
@gloireirenge8035 2 года назад
Jamaa yangu 20 wewe ni bingwa sana tanzania nzima tuna kukubali la siyo kama haujuwe music wewe bado bamba il love you my brother ♥️😘😘😘😘✊✊✊✊
@ElizaGilbart
@ElizaGilbart 26 дней назад
20 bado music
@saramm7081
@saramm7081 3 года назад
Mama neema kweli mzee wangu hadi leo anaangalia. Allah akuzidishie kaka
@halfaniland3850
@halfaniland3850 3 года назад
Halafu nyie hamna akiri. Amzidishie ni sasa laan?
@masongaofficial
@masongaofficial 3 года назад
Black Angel ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rrfh8v5xOQQ.html
@nabilsuleimanhaji2437
@nabilsuleimanhaji2437 3 года назад
Allah hataki mziki
@christinajames4197
@christinajames4197 3 года назад
........hakika unaishi mioyoni mwetu 20 paaa, you are verry unique 🤔
@emanuelmsaki1372
@emanuelmsaki1372 2 года назад
Nakubali sana nyimbo zako rudi
@busegamediatanzania
@busegamediatanzania 3 года назад
Kufanikiwa "Unahitaji tuu hasira"..... That's Bigg Thing from my brother 20%
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 года назад
20% twakuitaji rudi kwenye game mtuwangu tumemisi sana nyimbo zako za hekma na busara kwa jamii by Fosill mtz from Nairobi Kenya 💪👊
@Philipo-vw5he
@Philipo-vw5he Год назад
kila kitu ni mipango ya mungu kwaiyo mungu akipenda inshaalla atamjalia tu atarudi tu kwenye heshima yake
@shadrickkatangwa8291
@shadrickkatangwa8291 2 года назад
that song mama nema it's touch me a lots 20% keep it up
@vincentsyahava7931
@vincentsyahava7931 Год назад
20% LE Musicien qui a touché nos cœurs ! Big up salut depuis Kinshasa Bro ! Mama Neema 🥰🥰
@AthumaniMussa-tx3gk
@AthumaniMussa-tx3gk 11 месяцев назад
O I
@JumaSaid-s9t
@JumaSaid-s9t 22 дня назад
😮
@godfreysabay8037
@godfreysabay8037 3 года назад
God bless you Mr 20% coz Msadili ya sanaa ya kibongo inaanzarudishwa na weye,, you are welcome brother
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 3 года назад
Kaka nampenda anaomba vizuri anaringa vizuri. Uko juuuuuuuiii mwaaa
@aishasalum7936
@aishasalum7936 3 года назад
Tuliyolizwaga na nyimbo ya mama. Neema tuujuuuwaanee😭😭💪
@esterwilla1951
@esterwilla1951 3 года назад
Mimi
@praygodkimaro4552
@praygodkimaro4552 2 года назад
Dah mm nilijuaga ilikuwa serious kumbe ilikuwa nyimbo tu dah iliniliza 😥
@guystiger2203
@guystiger2203 7 месяцев назад
I like this one ☝️
@diegocosta3638
@diegocosta3638 3 года назад
Fanya kazi sana 20% ni brand kubwa kaka sura mpya miguu yazamani natamani aje afanye ngoma kali abambe kisawasawa
@kasulutv2534
@kasulutv2534 3 года назад
💖💖bgerp bro penda sana kama unampenda 20% gonga like hapo
@veronicakamba4628
@veronicakamba4628 3 года назад
Me mwenyewe nakukubali sana rudi hezi zako
@aloycemadoshi2770
@aloycemadoshi2770 3 года назад
Mr 20% mm nakukubali sana kwa nyimbo zako zenye maadili ya hali ya juu sana God be blessed
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 3 года назад
Mwenye Hekima na Heshima zake katika jamii!!! You're the best and brilliance and teacher in the societies!!!
@kissymkulu5245
@kissymkulu5245 3 года назад
Wewee ni Kioo cha jamii bhaana hauna nyimbo mbaya. Nyimbo zako hazichuji na hazitachuja big up.
@hidamustapher565
@hidamustapher565 3 года назад
Sana mwamba
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 3 года назад
Never forget you twenty per one love, NAFICHA NINAYOYAONA
@AlifaSuleiman
@AlifaSuleiman 22 дня назад
Dah mwamba umenikumbusha chuma hicho❤
@faridamfinanga53
@faridamfinanga53 3 года назад
Tupo ambayo bado tunamkubali 20parcent so,pambana Kaka.
@ayoubkikoti6344
@ayoubkikoti6344 3 года назад
Kunasafari zingine kweli kaka hazihitaji nauli ni hasira yako tu inakufikisha safari,,,nimeikubali sana,
@nsuriitv2468
@nsuriitv2468 3 года назад
Tunakumbuka sana kazi zako kaka, Mama Neema
@masongaofficial
@masongaofficial 3 года назад
Black Angel ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rrfh8v5xOQQ.html
@agneswily1942
@agneswily1942 3 года назад
💘❤
@filibetmpiluka3459
@filibetmpiluka3459 Год назад
@@ayoubkikoti6344 l
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 года назад
20% nimashine bado tunamuhenzi Hadi leo anaelemisha jamii na kufundisha jamii sii kama wanao imbaimba matuai adi wanatitia kinyaa by Fosill mtanzania from Nairobi Kenya💪👊
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
20% Kaka ludi kwenye game unajuwa Sanaa 👊🇹🇿
@JumaSaid-s9t
@JumaSaid-s9t 22 дня назад
1:03 1:03
@TristanKevin
@TristanKevin 3 года назад
Kalii Sanaa mkuu I like the artist
@mamyhajra6893
@mamyhajra6893 3 года назад
I love so much 20% nyimbo zake zinaelimisha sana ila zinahuzunisha piaaaa daah big up broooohh👍👍
@mamyhajra6893
@mamyhajra6893 3 года назад
Asanteni nyote mlo like comment yangu much love for you guys
@mbachoclassic7818
@mbachoclassic7818 3 года назад
Tamaa mbaya waeleze kaka✅
@norbertcplyian5138
@norbertcplyian5138 3 года назад
Welcome back bro we miss you rudi ufukuze matusii kwel
@noahngogo4334
@noahngogo4334 3 года назад
Cha kale ni dhahabu. Kwa mahojiano hayo wewe ni mwanamziki wa kuumbwa na Mungu. Tumekukumbuka mwalimu wetu.
@bigmachineschannelkenya7408
@bigmachineschannelkenya7408 3 года назад
This man is very wise he has motivated me in a unique way be bless
@ericbadesire9172
@ericbadesire9172 Год назад
🤝
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 6 месяцев назад
Chawa wenzangu yamanisha nn sielewi mimi
@user-tu8up9gs7p
@user-tu8up9gs7p 3 месяца назад
Hakubariki maunanane,maulana,mwenyezi mungu 20%,kipawa chako na nyimbo tamu.... money money nk
@JaliwaAdamu-wy4zi
@JaliwaAdamu-wy4zi 20 дней назад
Nakubali nyimbo. Na move yako unatoa nyingine lin
@stevenlulangasy3554
@stevenlulangasy3554 2 года назад
Wewe ni msanii mwenye maono ya watanzania na nyimbo zako zimeenda moja kwa moja kwa watanzania na uliyoimba yapo kweli
@AzoryMuhangazo
@AzoryMuhangazo 19 дней назад
Hakika 20 moyon mwangu Bado unaishi ludi Tena katika gem tunakutegemea sana👏👏👏
@rosettematenga635
@rosettematenga635 3 года назад
Nikweli sisi mpaka leo nyimbo zakotunazirudilia mara yote.
@ab3ab313
@ab3ab313 3 года назад
20 🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️
@JadosiHafashimana-th5po
@JadosiHafashimana-th5po 19 дней назад
Blo bigup sana
@iranyibuka8807
@iranyibuka8807 2 года назад
Na mimi pia sijawai kusahau you're still legend
@oscarmgeradinukauangaze1130
@oscarmgeradinukauangaze1130 2 года назад
Aiseeeee naona uko poa zaidi jitahidi2 mungu yuko na wewe tuko pamoja sana
@akenomesh9244
@akenomesh9244 Год назад
20% nikiwa mdogo sana, napenda ngoma zooote aliingia moyoni........ onelovefrom254
@amirmwezemba6778
@amirmwezemba6778 3 года назад
Mxhakaji na mkubali xna pili ana confidence ya kujibu Nice Brother 20p,
@kavunjaporiaimable5112
@kavunjaporiaimable5112 3 года назад
Ninahitaji kwenye interview ule Dada ambae amecheza na 20% kwenye igizo furaha iko wapi aliezaa neema alafu akafariki mke wa twenty ndani igizo furaha iko wapi. Nawakubali mno❤️❤️
@angelhashimu6401
@angelhashimu6401 3 года назад
Nikweli twenty wekiboko bado unajianimi sana ila umekwisha
@Ulasi_Jr
@Ulasi_Jr 3 года назад
Kweli kaka one love mm binafsi nyimbo zako bado naishi nazo ww ni 👉🔥🔥🔥
@raykas9976
@raykas9976 3 года назад
Ni kweli kabisa 20 percent kuna watu umeingia mioyoni mwao na mm mmoja wao.
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 2 года назад
Kaka kikweli unaimba vizuri mno
@monicaalphayo6746
@monicaalphayo6746 3 года назад
Isha Baba Lao.. see you with 20 per cent..!! Big up broo from Jan💪
@JemaKanyenze
@JemaKanyenze 18 дней назад
Nakupendaga sana nyímbo zako unajua Rudi kweny gem
@user-hl4rw9xe3u
@user-hl4rw9xe3u 2 года назад
Mimi pia nakukubali sana kitambo sana unaimba vizuri nyimbo zako aziwezi kisahaulika
@jafarimachinga6575
@jafarimachinga6575 3 года назад
Anachokixema 20% yupo sahihi aisee amaizing sana
@shukurulove5431
@shukurulove5431 3 года назад
Parcent aaaah nakukubali sana akuna asiye mjuwa tz nzima
@jeanclaude2575
@jeanclaude2575 3 года назад
Na mimi 20% umeingia mu roho yangu kabisa.na ivi nyimbo zako natembea nazooo.big up sana
@bongowere1594
@bongowere1594 3 года назад
Umepaniki mondi baba lao
@shadytv1227
@shadytv1227 3 года назад
One love bro we miss you
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 Год назад
Ptv naombeni saport yenu nawapenda sana muimbaj
@Raphaelkamulete
@Raphaelkamulete 5 месяцев назад
Wa stani wazamani walipitiya mu maisha mbaya ndiyo alakini walianza imba bya Mana. Namupenda 20%
@salimajuma3435
@salimajuma3435 3 года назад
Nakukubar sana mshikaji wangu hata mi pia upo moyon siwez kuacha kufatilia nyimbo zako
@alghamsalim3952
@alghamsalim3952 2 года назад
Nakupenda sana 20 percent
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 3 года назад
Big up kaka 20 sana unajiamin mnoo huna papala lakin bado upo na ukiamua kurudi kwenye game ni maamuzi yako yaan maneno yako yananifurahisha sana
@user-dt2rq9kv8y
@user-dt2rq9kv8y 5 месяцев назад
20% nakupenda Sana baba Rudi maana tusha ku miss Tuna miss nyimbo zako
@felixsibomana1832
@felixsibomana1832 3 года назад
Everything you said it’s true
@user-xo3ux2oe2w
@user-xo3ux2oe2w 6 месяцев назад
Nakupenda sana broo nakukumbuka sana hasa song yako ya mam nema mungu akurunde
@petromaganga779
@petromaganga779 2 года назад
Karibu utazame kazi zangu.na Mungu akubariki
@janviermumbere6822
@janviermumbere6822 2 года назад
Mimi ni mkongomani toka drc ninafurai sana vile 20 percent anavyo jibu. Ninapenda sana mziki wake
@ramadhanimkude5744
@ramadhanimkude5744 2 года назад
Jamaa Nimekuelewa sana,linaakili sana.
@delphinvivier5278
@delphinvivier5278 Год назад
Yuko wapi mama na mkumbuka sana🙏
@victoriamwaipopo3282
@victoriamwaipopo3282 3 года назад
Hakuna msanii nnaempenda kama twenty jaman akitoka twenty kiba ao watu mm aise nawapenda sana sana
@tatumatata2428
@tatumatata2428 4 месяца назад
Huyu ni bonge la msanii ❤
@mkntoujours3025
@mkntoujours3025 2 месяца назад
Iyo ni kweli atuja wai acha nyimbo zako mpaka sasa tunaishi nazo natoka congo
@ZakharaJuma
@ZakharaJuma 24 дня назад
20% tunakusubiri bro sijakukatia Tamaa Allah akufanyie wepesi uje tena
@kallykisato3199
@kallykisato3199 3 года назад
kabsa kk uje kutuondolea matusi kwenye radio zetu na tv,kupitia wew hata watukanaji wanaeza badilisha mashairi
@brightnesshawa1089
@brightnesshawa1089 3 года назад
Hiii interview imepangwa na 20"Pa ila kuwastua mashabik zake kwambaa ANALUDIII kwenye game
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 года назад
20%
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 3 года назад
Nimefurahi sana kumuona kwa kweli 20% karibu kazini
@PamelaJonas-dh6lg
@PamelaJonas-dh6lg 10 месяцев назад
Aki kweli upo moyoni mwangu 20❤❤❤❤
@ramadhanmngoji1523
@ramadhanmngoji1523 2 года назад
Nakubali kazi zako 20
@ahmadmlima8155
@ahmadmlima8155 2 года назад
Uwezo wako wa fikra na majibu ya haraka .nisawa,na hekima ya uwezo wa nyota.......ila Kuna kitu kimejificha kwako Rudi kivingine utafika katika Malengo uliokusudiwa.katika kutoa kwa watu yalio kusudiwa
@shevadizzoshevadizzo8458
@shevadizzoshevadizzo8458 3 года назад
True twenty pear your very airst good
@martinmhendi1753
@martinmhendi1753 2 года назад
Mm i like 20 per kwa majibu yake mazuri hasa kwa waandishi wa habari maana wengi Huwa hawaulizi maswali naona kama wengi wambea na wachonganishi na 20 knows how to deal with them
@mst1studio270
@mst1studio270 3 года назад
Duuuuuuh! Yaani nimekukubari! Umejibu majibu vizuuuuri hadi mwanahabari asiejitambua amebaki kinywa wazi. Yaani umejibu kama Yesu alivyokua anawajibu mafalisayo. 20% yaani wewe Baba laooo. No one like you. Nakupendaaaaaaa
@johnjonas7701
@johnjonas7701 3 года назад
Katika hao watu unao ishi nao nam nimo,kiukweli kaka m nakuelewa sana broo,nachoamini kwenye mziki nikwamba,unapotoa nyimbo inabidi utulie kuangalia soko la huo wimbo,na pia kukaa kimya sio ajabu,tatizo hao mashabiki uchwala wanataka uangalie mziki tu bila kufanya kitu kingine jambo ambalo si kweli,m najua upo na unajua unachokofana kaka mungu akubariki
@jamesmwitawa5439
@jamesmwitawa5439 3 года назад
inafuraishz
@sunwizy608
@sunwizy608 4 месяца назад
tulibambiana sana nyimbo zako kwenye disco vumbi😂😂😂
@isayajoram2434
@isayajoram2434 3 года назад
Umechelewa brother tatizo lako ulilala sana umekumbuka shuka kumekucha
@user-qd9vf6ud3f
@user-qd9vf6ud3f 8 месяцев назад
Sio siri kwa alie kufatilia hawezia acha kusikiliza nyimbo zako bro Mungu akujalie urudi bwana tuna kumisss sana .
@boscobihumugani1703
@boscobihumugani1703 2 года назад
Mimi.napenda.sana.maneno.yatweti.kwnye.muziki.anatunga.sheriya
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 3 года назад
Mtangazaji muelewe 20 mdomo wako umejikuta ukonao Kwa hiyo jifunze kuishi nao sio jufuata wanachotaka wao.
@KINYONGAMASAUTIY
@KINYONGAMASAUTIY 20 дней назад
Tunakukubali sana kaka pamban mi nikiskiliza nyimbo zako ata ziwe za zamani ni nainjoi sana kaka usituangushe kaka pamban tunakukubali sana
@gasperriwa9120
@gasperriwa9120 3 года назад
Anamaanisha diamond na kofi olomide ni mafreemason kusaidiana ndio moja ya Sheria Za mafreemason Imeisha hiyo
@salimucvales7495
@salimucvales7495 3 года назад
We utakalia ujinga .tafuta maisha acha domo maisha ni kutafuta sio kutafutana!
@worldfunnyvideos6147
@worldfunnyvideos6147 3 года назад
Nakupenda 20% john kotorit kutoka kenya
@terrietrizah3049
@terrietrizah3049 3 года назад
20 we ndio msanii,,, nakupenda toka zamani
@VanusSimbeye-t8r
@VanusSimbeye-t8r 8 дней назад
Unyama sana bloo uwezowenu aupotei
@twahirikitwana9842
@twahirikitwana9842 3 года назад
Just speak in swahili bhana though we ni 20% ila mi nakkubali 💯% tangia kipindi hiko nakupata nikiwa 254💪🏾💪🏾
@vascobenedict488
@vascobenedict488 3 года назад
We jamaa ni kichwa sana kweli utaishi daima kupitia mziki wako
@fatumaomary9824
@fatumaomary9824 3 года назад
na kuku bali sana we kaka unaimba vizur mashair yako safi kabisa nyimbo zako popote pale naskiliza hata mbele ya mzazi wangu naweza skiliza
@jeremiemukovi3817
@jeremiemukovi3817 2 года назад
Uko juu sana
@peterjonathan5681
@peterjonathan5681 3 года назад
Wakimbize 20% nakuaminia neema mpe hi ile ngoma nifunika bila kusahau tamaa mbaya na ganja
@user-fy1vp5vh5l
@user-fy1vp5vh5l 7 месяцев назад
Tunamkubali sana 20%🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@guruboy_tz
@guruboy_tz 3 года назад
WAPE WEMBE 🔥🔥🔥🔥💪
@jajakajaniri5813
@jajakajaniri5813 Год назад
Namupendasan tweti🇧🇮🇧🇮🙏🙏❤️❤️
@fatumamkuzi1475
@fatumamkuzi1475 3 года назад
Uhu mtu nilisikia hasa ame fariki mungu akusaidie uzima na afya amiin
@mankaog7376
@mankaog7376 3 года назад
Bado nipo na twenty jamani I love twenty so much,
@daudusanga962
@daudusanga962 3 года назад
Mrikulasana staree
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 года назад
Nimekuelewa saaaaaana 20 percent. Hakika nikweli wale ndi ndugu. Asilimia 90 day anaoshirikiana nao ni ndugu. Yaani ni jamii moja. Hujanielewa, fumba macho.
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 3 года назад
Pamojaa sana role modal wangu katika bongofreva!!!!
@user-pc6tb1qz3v
@user-pc6tb1qz3v 10 месяцев назад
Meilleur artiste
@wazirimwazembe2217
@wazirimwazembe2217 3 года назад
Alishakwama akafeli anatafuta kiki kwa watu acha walioweza wafanye mziki wako ulishapita hujui kujiongoza kizazi kipya hiki tuache tuinjoy
@rehemasadick3754
@rehemasadick3754 2 года назад
Kaka nakukubali sanaaaaa
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 25 дней назад
Kumbe 😂😂😂❤much love ila
Далее
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 17 млн
skibidi toilet zombie universe 40 ( New Virus)
03:06
Просмотров 1,8 млн
СЛАДКОЕЖКИ ПОЙМУТ😁@andrey.grechka
00:11