watching you from lusaka zambia sheikh othman malim, may Allah swt bless you and indeed bless us all, the world needs people like you, well said,we have benefited a lot
❤❤wallah huy shekhe akiongea na mawaidha yake mm yananisisimua roho yangu nampenda sana nilitafuta sana namba yake ila namuomba Allah sku nimuone live Allah akuhifadhi akupe hekma sana na nuru alokupa
Nammi nilitaka kuuliza swali Kama hilo,yaani sjawahi kusiliza mawaidha ya shekhe Othuman maalim ya kufoka jamani,anaongea hivi hivi yaani huachi kkuskiliza mawaidha yake
tunamshukuru Allah kwa kukuweka wewe sheikh othman maalim hauko kiuchawa uko ki kusudio la Mungu maneno uliyoyatamka hapo kwanzia uongoz wakiafrica had kudharau mazur ya mtu wakiafrica yanayo wasaidia wafrica wote inchini kwao hukuogopa kusema ukweli nadhani samia kayasikia na kinakikwete wameyasikia wao ndio wanatabiya hiyo wanadharau mazur ya magu ya kuendeleza africa wameleta ya wazungu yakuangamiza wafrica we samia nagenge lako lakibakikwete na kinamakamba mmesikia maneno hayo kiongoz au kiumbe ukiwa katka maisha yako ya dunian ukashindwa watendea mazuri wenzio basi we sio kiongoz muhimu dunian walasio kiumbe muhimu dunian nadhan Mungu kakufikishia ujumbe kupitia sheikh huyu uongoz wako unauwa sana watanania nakulia kilasiku na njaa isio isha 😢
ALLAH ambarik Alie asisi HUO mpango na sisi WAFUASI. Kuna watu HAPO wataropoka KUA hiio ni BIDAA. WAKATI tupo mamilioni ya WAISLAM wala HATUJUWI kama kuna MWAKA wakiislam. Sisi tunaujua sana MWAKA WA KANISANI HUU WA 2023.
MashaAllah ,ahsante kwa kujitoa na kututoa kwenye hasara kwani binaadamu wote wako kwenye hasara isipokuwa wale waloamini na wakatende mema na wakausia haki na subira.Mola wetu tujaalie tuwe miongoni mwa watenda mema na utuepushie chuki ndanI ya nafsi zetu