Тёмный

ALIKIBA: POSTI HELA, MAJUMBA, MAGARI - KIMPANGO WAKO! / UTAENDA MOTONI! 

LilOmmyTV
Подписаться 547 тыс.
Просмотров 233 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 760   
@fredymgina9732
@fredymgina9732 5 лет назад
Msanii pendwa kwangu mbaka nakufa king Ali kibaaa love xo much💙💙💙💙
@kisitebuilder1045
@kisitebuilder1045 5 лет назад
Ye ye yebaba Fanya like kama unamkubareee King
@dogoprince6174
@dogoprince6174 5 лет назад
Kisite Builder pamoja
@ramadhanijuma1947
@ramadhanijuma1947 5 лет назад
Kisite Builder katisha
@dulemussa3642
@dulemussa3642 5 лет назад
Kizazi Sana'a king
@aletiuserasims3937
@aletiuserasims3937 5 лет назад
nimekubali kiba nikweli
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Team kiba ndo fayaaaaa love kiba achanao hao yebabaaaaaa naona mapovu yanawatoka team flani jikune basi mutoke unga
@melissalabronde5516
@melissalabronde5516 5 лет назад
😂Kiba umenishinda tabia ww Nani ana kubali kiba Kam mimi🤣🤣🤣
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 5 лет назад
King Wa minyoosho acha awanyooshee
@dhahajongo9673
@dhahajongo9673 5 лет назад
me hpa
@nicolaussanga9662
@nicolaussanga9662 4 года назад
Melissa labronde i
@oswaldgasperdm.684
@oswaldgasperdm.684 5 лет назад
Wataangaika vibay mno tna sana Gonga like hapa kwa mashabk ote wa KING ni mofaya
@idayakey6886
@idayakey6886 5 лет назад
my 😍 King mamba ni Mofaya mtapata tabu sana
@philiposhilingi7288
@philiposhilingi7288 5 лет назад
napenda sana kumwona king anapo kuwa na vibe ya furaha
@alexwakutumwa8410
@alexwakutumwa8410 5 лет назад
philipo shilingi 👅👅👅
@philiposhilingi7288
@philiposhilingi7288 5 лет назад
Alex Wakutumwa huhuh😹😹😹😹😹😹
@albertkijana3399
@albertkijana3399 3 года назад
Xv h
@albertkijana3399
@albertkijana3399 3 года назад
@@alexwakutumwa8410 and
@philbetjosephart7775
@philbetjosephart7775 5 лет назад
Wimbo wako umenipatia mke wa sindelela siwezi kkusahau king kiba wangu
@samwelkalinjuna8610
@samwelkalinjuna8610 5 лет назад
Jamani alikiba leo ana vibe yakutosha gonga like kama unamkubali king kiba
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 5 лет назад
Kiba leo ana mzuka ambao hatujamzoea nayo Nipeni likes hata mimi jamani
@larickmtui2852
@larickmtui2852 5 лет назад
Dkens Mo Pain amekunywa mzee
@atifutv3470
@atifutv3470 5 лет назад
yaap foril boy yebaba
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 5 лет назад
Dkens Mo Pain mbona kama kapga mvinyo
@andrewaloyce5241
@andrewaloyce5241 5 лет назад
Dkens Mo Pain good
@longinojdjafurotuleteevitu6773
alikib ninoma
@johndestar2240
@johndestar2240 5 лет назад
King kiba Fundi,,,bonge la Superstar,,,,Nakukubal sana bro...bigup sana,,,,Endelea Kufanya Mziki....utafika Mbali zaid na zaid
@georgendimila6405
@georgendimila6405 5 лет назад
Ndugu unajua kaza buti majigambo Waachie wajinga
@marrybonephacy5245
@marrybonephacy5245 5 лет назад
Unajua nn unafanya king hongera xn uko vzr hauna maxhauz km wachafu flan hv
@rumayojr4638
@rumayojr4638 5 лет назад
Barikiwe king Kiba. Love much to u kiba
@salimufundi8277
@salimufundi8277 5 лет назад
Rumayo Jr love2 king kiba
@yusuphkaoneka8229
@yusuphkaoneka8229 5 лет назад
Watu wa ilala like hapa team kiba
@lamlajuma3296
@lamlajuma3296 5 лет назад
Yusuph Kaoneka i
@ropezpeter3465
@ropezpeter3465 5 лет назад
Ni fireee
@helenkambi3918
@helenkambi3918 5 лет назад
Ali kiba you have never spoken better. That's why we love you. Umeongea kweli kabisaaa kua hivo hivo kakangu.
@mrmoh4234
@mrmoh4234 5 лет назад
Yebaba #kadogo 🔥👈. #masozy🔥👈 THE #MVP🔥👈
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 5 лет назад
Sijawahi kumwona Kiba in such a great mood 😊😊🕺🕺🕺💃💃💃 Go King! *#From254WithLove*
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 лет назад
Sana kiba ww nomaa nakukubali sana tupo pamoja king of music.
@philiposhilingi7288
@philiposhilingi7288 5 лет назад
uwanja wa team kiba tu wengine komeni na mpite kushoto
@naylakhalid2900
@naylakhalid2900 5 лет назад
Wapite tuu kushoto wasituharibie siku
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Wasitulee vikuku hapa
@nimahassen4686
@nimahassen4686 5 лет назад
💪
@nimahassen4686
@nimahassen4686 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣go team kiba love you all❤
@philiposhilingi7288
@philiposhilingi7288 5 лет назад
Nima hassen we love you to for supporting king kiba
@aizohimself8537
@aizohimself8537 5 лет назад
Always nakuelewa KING KIBA piga kazi achana na makelele ya walimwengu
@lamlajuma3296
@lamlajuma3296 5 лет назад
Aizo
@jacksonchiwalanga4817
@jacksonchiwalanga4817 5 лет назад
I like king 👑 kiba
@agreymsemwa8021
@agreymsemwa8021 5 лет назад
Kiba ni mtu pow sana yn yupo Very Excited had raha
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 5 лет назад
Sauti Kali ngoma Kali kutoka +254 kadogo 001 yeeh baba
@mahembajulius7036
@mahembajulius7036 5 лет назад
Yap bt ni 255
@ramadhanijuma1947
@ramadhanijuma1947 5 лет назад
Linah Nicodemus ngoma kali
@anoldbashube7746
@anoldbashube7746 5 лет назад
nipe like yangu huyu jamaa noma sanaaaaa
@ibrahimmussa7478
@ibrahimmussa7478 5 лет назад
Huyu jamaa anajua thamani ya mziki sio tuimbe tuuuuuu. Kuna vitu utagundua yuko poa sana.
@halidkuchile4132
@halidkuchile4132 5 лет назад
king
@halidkuchile4132
@halidkuchile4132 5 лет назад
sir kiba
@ramadhanijuma1947
@ramadhanijuma1947 5 лет назад
Ibrahim mussa mdundo mkali
@yohanaeden1731
@yohanaeden1731 5 лет назад
Kma vtu gan bloh, na hyo thaman ya mziki ni ipi????
@andrewaloyce5241
@andrewaloyce5241 5 лет назад
Ibrahim mussa pamija sanaaa
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 5 лет назад
DAAAH SALUTE SANA KWAKO Kuna, yani jioni hii ya LEO nilikuwa naongea na jamaa mmoja ya hizo mambo ya kujionesha kua una vitu flani, kupiga picha na hela NK, nikamuambia Ali ni tofauti sana,,,,,,,,,,
@rostamkamazima1012
@rostamkamazima1012 5 лет назад
Hana cha kuonyesha shenz, mbona alioonyesha nyumba yake tabata
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 лет назад
Thank you Ali Kiba for acknowledgement that music is not allowed, whether you are Muslim or Christian.
@sadikikhalfan7119
@sadikikhalfan7119 5 лет назад
Kama unakibari Dimondi nipe like
@kingkiba3728
@kingkiba3728 5 лет назад
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii king #kingkiba #mofaya #kamaunajikuna
@pidpower9920
@pidpower9920 5 лет назад
Real Ommy Hongera sana ujue Alikiba kajisikia kuwa yupo nyumbani japo sio kweli
@fauzishma8033
@fauzishma8033 5 лет назад
Nakumbali Ali mume ni ajivunie na kumsifu mkewe kwa sababu mke ni sehemu ya maisha ya mwanaume Na mwanaume pia ni sehemu ya maisha na mwanamke Sio kama sisi wengine hapa hata akiulizwa kama ana mke ajificha mara amtukana
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Kiba nakukubali ,yani hata nkukute ume chepuka na DEMU wangu mbona siwazi yani fureshi tu
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 лет назад
Amiri Ramadhan ......acha kuzingua ww
@joycemageta4876
@joycemageta4876 5 лет назад
Hahahaha amiri ramadhan huo ni uongo
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
@@subiradalabu6616 hahaha sizingui bana
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
@@joycemageta4876 its true mbona easy tu hahaha hahaha
@asiahamza6400
@asiahamza6400 5 лет назад
Amiri Ramadhan ha haaaaaa kweli wew unavituko...... Tunakupenda kiba
@rashidmwasing1363
@rashidmwasing1363 5 лет назад
like twende sawa kings music
@dodoshavu488
@dodoshavu488 5 лет назад
Yebaba nampenda king. ...babaaaaa wa mavoko
@silvakannmathew4424
@silvakannmathew4424 5 лет назад
Nakujaza kuja vizuri😂😂😂😂 we king noma sana
@sayunmlay7336
@sayunmlay7336 5 лет назад
Nakupenda mnooo Ally kiba 😘😘😘majibu yako yananikosha
@sudywaziri3749
@sudywaziri3749 5 лет назад
namkubali sana king kiba ebhana uyu jamaaa anajua music yebabaaaaaa
@eunicejoseph3870
@eunicejoseph3870 5 лет назад
Tukubali tuu kwamba mzki wa sasa ni umekua Kwa hyo bila kujituma ni bule,,,wasanii wafanye kaz waaache kungenga
@lamlajuma3296
@lamlajuma3296 5 лет назад
omm dimponz
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Wewe mtt wa kiislamu Maasha'Allah...unajua umuhimu wako..
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 5 лет назад
Nakukubari sana king kibaaaa
@evareturn6439
@evareturn6439 5 лет назад
Wale wa 001 tuko wangapi tunamsupport "keroro"
@lillygikundiro1223
@lillygikundiro1223 5 лет назад
Ivi Alikiba kwa nini usiwi unaimba kaswida una sawuti nzuri ikiwa una imba nyimbo za kuumsifu Allah na mtume wake utakupeleka wwe ujulikane akhera na duniya
@lillygikundiro1223
@lillygikundiro1223 5 лет назад
Tutafute Akhera Alikiba my brather
@sheikhmussaalaadabiysheikh4147
napata raha sanah nnapo waona woote mpo pamoja kwasasa kiba aupo pekeako
@Spartake254
@Spartake254 5 лет назад
Alikiba mm shabiki wako mkubwa 254....ningependa umtafute bob junior mfanye kolabo nyingne....nawapenda mm
@ericmgalla2590
@ericmgalla2590 5 лет назад
Yieee babaa,zee la mooooree Fireeee!!nomaree,npe like zako ka wampenda King
@halimamshami3279
@halimamshami3279 5 лет назад
Wa mombasaa tusalimiane hapaa, shem kasemaa mmwanetuu ni TOTO♥
@lostboyzfamily9087
@lostboyzfamily9087 5 лет назад
Such a humble soul❤
@crazybae2578
@crazybae2578 5 лет назад
Penda wewe mno..yaani mofaya imemchangamsha king kwa interview..wished to have a taste
@oscarremmy4800
@oscarremmy4800 2 года назад
Sana King
@oscarremmy4800
@oscarremmy4800 2 года назад
Napenda msimamo wako
@mussataliye7815
@mussataliye7815 5 лет назад
Lilommy nakukubal sn mzee baba uko na mtalam Wang king nawakubal sn
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 лет назад
Ila King ni King tu yaani sauti yako ni ile ile. Nakupenda je we kaka Mungu awasimamie na hao vijana wako InshaAllah mtaishangaza dunia. Yebabaaaaaa no mbwembwe no Kiki inawezekana!
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 5 лет назад
Hamnaa kilaa kituuu huyooop hataa helaaa ana anazinguaaaaaaaaa upooooo kubaliii umezidiwaa kilaa kituuuuuuuuu
@feliciantitus2672
@feliciantitus2672 5 лет назад
We hela unazo?
@swaumumfinanga9831
@swaumumfinanga9831 5 лет назад
Yebaaaaaaaaa
@athumanimuhogot9462
@athumanimuhogot9462 5 лет назад
King Kibaaaaaaaaah
@Basagamp4
@Basagamp4 5 лет назад
Kwa muda mreefu nimeligundua hili. Alikiba akiwa anafanya interview na LilOmmy anakua cormfotable saana na ukimuuliza maswali yanayomuhusu yeye anakujibu vizuuuuuuri vizuuuuuuuuuuri hadi raha
@gemsonmakeka3683
@gemsonmakeka3683 5 лет назад
Nimeamin kiba anaongea saaaaan a ila anajificsha fisha kama unakubali gonga like
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 5 лет назад
😂😂😂😂😂Yebabaaaaah😍😍😍😍kiba ALLAH akupiganie sana 🙇‍♀️ 🤔🤔majirani kwani mnateseka🙄 🤔🤔🤔mbn mapovu sana 😁😁😁tunajua mmekunywa sabuni kaz kwenu kuyamwaga😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Tim kiba forever😙😙😙😙😙
@magrethkitandu7584
@magrethkitandu7584 5 лет назад
Naimah Hussein
@azzakhamiz3858
@azzakhamiz3858 5 лет назад
Love uuu😍😍 my @king kiba penda sana nyimbo zako zenye busara na hekima ndani yk bg up my brow
@dogoshazzy7032
@dogoshazzy7032 5 лет назад
makn sana nakukubali
@sharmilakhamissharmilakham5692
Safi
@africanboyamani8640
@africanboyamani8640 5 лет назад
Me sikukubari hata kidogo....kama humkubari kiba gonga like hapa.
@ramadhanichikwekwe7361
@ramadhanichikwekwe7361 5 лет назад
Acha kukufulu mungu we ally kiba. Unasemaje mwenyezi mungu amekuelekeza kwenye kuimba wewe ni mtoto wa kiislamu usihusishe jina la mwenyezi mungu katika makatazo aliye yakataza kujihalishia zambi. M/mungu ametuelekeza njia za kufata Ila sisi binadamu ndio tunayoacha maalisho mema na kufata njia mbaya. Kwa iyo kwenda peponi au kuingia motoni mja anachagua yeye mwenyewe. Imekatazwa kuingiza jina la mwenyezi mungu katika kuhalalisha zambi. Nakusihi ndugu yangu sisi waislamu tujichunge sana na ndimi zetu kwa kulinda maamlisho ya mwenyezi mungu inshaallah.
@azizabdallah8177
@azizabdallah8177 5 лет назад
Noma sana bonge la interview kiba noma sana
@williamnyankongo3143
@williamnyankongo3143 5 лет назад
Gonga like tusonge .. Jamaa akili yake inafanya kaz
@carbomadogo1069
@carbomadogo1069 5 лет назад
Yeee baba🔥🔥
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 лет назад
Nowadays king umechangamka sn Appreciating
@idrismkwinda8087
@idrismkwinda8087 3 года назад
Kwa kweli Ali Kiba hana mjivuno namkubali sana
@Fofo1924
@Fofo1924 5 лет назад
I love this boy,king kiba
@yasrisuleiman6388
@yasrisuleiman6388 5 лет назад
Show Kali cjawahi ona kiba akiwa na vibe km hli kwny interview
@nangololoalli8479
@nangololoalli8479 5 лет назад
Kibaaaaaa,, 🙌🙌🔥🔥💥💥💥🔫🔫
@hanselwhiteside2962
@hanselwhiteside2962 5 лет назад
Jamaa mnafiki huyu... Video ya Seduce me zile noti niaje sasa....? 😁😁😁😁
@daudinelson14
@daudinelson14 5 лет назад
kumbe umesemaa video
@ambokilemathew6919
@ambokilemathew6919 5 лет назад
Hansel Whiteside umesema video siyo home
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 5 лет назад
They are people out there supporting you and they will always do,so what is it really bothering you...keep doing what you doing and not panicking about other people's business...vyakwako vikikushinda,kaa kimya #goodworktellsitself
@jumannemfaume
@jumannemfaume 5 лет назад
That is fact
@fredmankaingu4172
@fredmankaingu4172 5 лет назад
Sasa kizungu mingi unaelekeza kwa nani fala ww,,hivi interview ya wabongo hii acha utuu
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 5 лет назад
@@fredmankaingu4172 for dormant people like you 😂😂
@westonyjob1747
@westonyjob1747 5 лет назад
Kiba ww uko makini xanaaa na kukubal bro
@ismaelmastaki7769
@ismaelmastaki7769 5 лет назад
yeeeee baba king of music wewe ni hatari saana we need you here in 2019 the first of this moth in cap town south africa
@tunuissa3894
@tunuissa3894 5 лет назад
Yeee baba shoo ya kibabe
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
#193 on comments @13:11 "Ulitaka nikatae?" Nilijikuta nacheka nguvu 😂😂😂😂 #MOFAYA #Kidogo. #Masozy. #Katoto. #MwambieSina
@khadijahassan3504
@khadijahassan3504 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@GedeonJamesGedythedon
@GedeonJamesGedythedon 5 лет назад
Kipenz cha watu Jaman
@sefimduile9431
@sefimduile9431 5 лет назад
Nakubal kizazi Sana mzazee wa show yeeeebaba
@givenkibale9993
@givenkibale9993 4 года назад
xana king kibaaa we ni nomaaa
@zinghaozing7222
@zinghaozing7222 5 лет назад
Big up my brother king kiba
@hassansaid9925
@hassansaid9925 5 лет назад
kiba sikuiz interview zako hazinichoshi unakuwa katika mood ya kuongea. ,, unataka kunifanya niamini kuwa kuoa ni kila kitu
@christinahillary3417
@christinahillary3417 5 лет назад
Umeona ee
@samjonas2400
@samjonas2400 5 лет назад
we acha izooo yeee baba king kiba king music noumaa
@ruhaymahothman7598
@ruhaymahothman7598 5 лет назад
Love so much💞
@mchiadarsizm1052
@mchiadarsizm1052 5 лет назад
Maumbile madogo🤔😂😂😂 kiba kama alilewa kwenye hyo Interview😀 😉😉😉🙆🙆🏃🏃🔥🔥
@jumashabani7372
@jumashabani7372 5 лет назад
Upo vizur San kka kib kama unamuelew kib gong like twend saw
@shimeiwilson3693
@shimeiwilson3693 3 года назад
Daaaah saf sanaaa king kibaa
@petroerinest3828
@petroerinest3828 5 лет назад
Kiba leo una vibe mpaka umenikosha rohoooo,yeah babaaa
@kipepeochannel616
@kipepeochannel616 5 лет назад
Nice talking, God bless you ki
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
King 🤴 King kiba
@suarezndaisaba3165
@suarezndaisaba3165 5 лет назад
Broo unawakuna watu hakika anaejua mziki hawez kushindwa kuguswa ye ye ye baba
@kautharally8556
@kautharally8556 5 лет назад
Ali interview zako zinanifurahisha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂Haya bana All the best
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 5 лет назад
Haha nimefurahi sana kwa maneno ya king kiba keep watching this 2019!
@alikiba9723
@alikiba9723 5 лет назад
I like it like that Yebaba Tabweeee 🤸🕺 +1
@Xavierdecristo
@Xavierdecristo 3 года назад
Alikiba mozambique tunamwelewa sana na Mimi ni chabiki yako kutoka mozambique King kama king
@youngvullagentleman4075
@youngvullagentleman4075 5 лет назад
Hahahahahaha yeebaba😂😂😂eb gonga like...cheka alaf fanya kama unajikuna
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 5 лет назад
Amin King kiba mash allah👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌🌷🌷🌷🌷🌷🌷👏👏👏👏💪💪💪💪💪😋😋😋😋😋😋😋😋💕💕💕💕💕💕🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👑👑👑👑👑🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
@dainesskisinda7531
@dainesskisinda7531 5 лет назад
yeee baba nakupenda kaka Ali kiba
@assanimkeyo5839
@assanimkeyo5839 5 лет назад
King nakukubali sana from usa
@waleoyussuf8093
@waleoyussuf8093 5 лет назад
Alikiba A naweza kabisa
@evarisaernest8048
@evarisaernest8048 5 лет назад
King King King King King AliKiba
@anthonyodeba4137
@anthonyodeba4137 5 лет назад
hehehe "unajiaibisha boss".....loads of love from +254
@dianarenard5853
@dianarenard5853 5 лет назад
Napenda hiyo yeee babaaa Tim kiba milele
@allysingle3143
@allysingle3143 5 лет назад
Yani hii niliipenda bule tambweee you are the best
@abdulfrance1548
@abdulfrance1548 5 лет назад
King kiba unajuwa bn tena sana
@mashauzclassic7504
@mashauzclassic7504 5 лет назад
Kiba mungu akuzidishie huna jibri kama kina fulani huna masifa kama kina nani mashaallah mungu akulinde wewe na famili yako inshaallah 🤲
Далее
FID Q - DIAMOND UMEISHIWA SIKU HIZI / SIO KAMA KIBA
25:30
TRENDNI BOMBASI💣🔥 LADA
00:28
Просмотров 854 тыс.