Тёмный
No video :(

ALIYESHUTUMIWA KUWA ASKARI WA SIRI WA CHADEMA (JASUSI) AWEKA KILAKITU WAZI/HAWA WANAMHALIBIA RAIS 

JAMBO TV
Подписаться 906 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

10 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 158   
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 25 дней назад
Wewe jamaa upo sahihi kabisa hao ma ccm hovyo kabisa chuki ndio kazi zao
@agofranco4766
@agofranco4766 25 дней назад
Huyu jamaa yuko vizuri, anastahili kuwa kiongozi
@SelemanMagambo
@SelemanMagambo 25 дней назад
🔥🔥🔥jasus Kam kwel gonga likes hpa.,....
@skuleetech6896
@skuleetech6896 25 дней назад
Huyo jamaa ana uwezo sana
@AthumanDauda
@AthumanDauda 18 дней назад
Akili kubwa sana kaka
@majaliwasanga1741
@majaliwasanga1741 25 дней назад
Pia uwezo wa Kijana huyo musandile ni sawa na uwezo wa wabunge mia wa ccm ,inabidi kama taifa limchukue ajenge nchi ashirikiane na mama na sio kumpiga vita , kwenye masuala ya nchi lazima tuondoe siasa,ndo maaana wenzetu kwenye masuala ya kitaifa wanachukua watu wasomi toka tasisi mbalimbali na sio kuchukua machawa wenye njaa ndo wawe waongeaji hawana Cha maana zaidi ya kupongeza ili kulinda tumbo
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 22 дня назад
Ndile....keep it up you can ba anything you want, dogo! You are smart, na maccm hayataki vichwa "vilivyotairiwa" kama chako!
@TakasiSulle
@TakasiSulle 25 дней назад
Watu aina hii wako vizuri maendeleo hayana vyama
@petergabriel4941
@petergabriel4941 24 дня назад
Ndile Mungu awe nawe nimebarikiwa sana na hekima zako. Mimi niko na wewe tangu Mbozi mission secondary najua tulivyosaidia watu kutkuonewa tukiwa olevel usitishwe na upotoshwaji huyo jamaa kashindwa kwa jina la Yesu
@musandile8142
@musandile8142 24 дня назад
Asante sana Peter Gabriel
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 23 дня назад
​@@musandile8142Mussa Ndile; maelezo yako ni mazuri na yanaeleweka vizuri,hebu endelea na msimamo wako wa kutetea haki Katika Taifa letu,waamshe na vijana wengine mtetee haki zenu pia mlikomboe Taifa letu kutoka mikono ya Hawa mafisadi, majizi, manyang'au majangiri, majambazi ya rasilimali zetu, usikubali kununuliwa na ccm ukawa chawa! Nchi inaangamia ndugu! Kutawala huu wa sasa wa ccm ni janga kwa Taifa letu! Wanauza kila kitu! Vijana amkeni tuikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais msiwachague hawa wauza rasilimali zetu ccm! Tusipoikataa ccm sasa hivi huko mbele ni majuto makubwa kwa Wananchi maskini! Asante. Mungu azidi kukulinda daima.
@user-zq8vf4kj8b
@user-zq8vf4kj8b 24 дня назад
Hongera Sana kijana
@majaliwasanga1741
@majaliwasanga1741 25 дней назад
Watu hawaelewi wamejawa na uchawa ,wanao mharibia mama ni wanaccm hawezi mtu toka mbali akaja akaiba ndani ya nyumba bila mwenyeji kuhusika walio soma Cuba wanajua
@JosephatMathias-t7c
@JosephatMathias-t7c 25 дней назад
Hapana msipindishe ukweli hakuna anae mmharibia rais samia, ila yy mwenyewe Rais ndo tatizo. Yy ana Akili pia ana mamlakka, kama anwaacha akiwa anaona wanacho fanya wakat ana mamlaka ya kuwakemea, Inamanisha yy Rais ndo anawatuma That is the meaning. Hawezi kukwepa kuambiwa hilo wakati anawaona na anawaacha waendeleee nayo kama hajalidhika nayo
@tisamokebulemasubugu6222
@tisamokebulemasubugu6222 25 дней назад
Hizi hoja za kusingizia Siasa hazijaanzaleo na Viongozi wandamizi hutumia neno pale kina Siasa ili kuwadanganya viongozi wakuu wa Nchi
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 25 дней назад
Na jeshi la akiba maana yake ni nini acheni kuzushia watu uongo huna lolote tukutane kwenye serikari xa mtaa chadema inaenda kushinda kwa upepo wa kisulisuli ushindi wa kivumbi myajua hamjui
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 25 дней назад
Hii nchi Rais wetu inabidi awe makini na hawa anaowaita chawa wake,hawa vijana kutoka CCM ni watu wasiojitambua na ni hatari sana kwa usalama wa nchi yetu,wao wanadhani hii Tanzania ni Mali yao peke yao,wanafikiri Watanzania wengine hawana haki kwenye hii nchi,ebu fikirieni mtu wala sio Kiongozi,anaitisha mkutano na Waandishi wa Habari ili kumtengenezea mazingira mabaya mtu mwingine achukiwe na Rais na vyombo vya Dola vimwone kama adui mkuu wa hili Taifa,huu ni ujinga mtupu na ni upumbavu kutoka kwa hawa vijana wa CCM,lengo lao kuu ni kumshawishi Rais awateue ktk nafasi za uteuzi alizonazo Rais kwa kuwafanya baadhi ya Watanzania wengine wawe na maisha magumu na ikiwezekana wawe wamefungwa Gerezani na hata kuuwawa ili wao kama machawa wa CCM waishi maisha mazuri wayapendayo kwenye nchi hii ya mfumo wa Vyama vingi vya Siasa,ebu tumwangalie huyo kijana Mussa Ndile,kamaliza chuo Kikuu,hakuna Ajira,anajitafutia maisha yake,Kajiajiri,anatokea kijana mpumbavu wa Iringa anataka kumharibia tu shughuli zake ili akapate taabu huko mitaani,huu ni uchawa kama aliokuwa anaufanya Bwana Msiba kwa Watanzania wenzetu ambao sio maadui wa hili Taifa letu la Tanzania,machawa wa aina hii ni washenzi,hatari na ni wa kuupuzwa tu.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 22 дня назад
Tena wa hovyo sana
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 22 дня назад
Uko vizuri kijana wetu. Mungu awasaidie vijana wetu mpate hekima ya kuishi vizuri katika nchi yetu.
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 22 дня назад
Well said Mkuu. Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 22 дня назад
Very good Bwana Musa Ndile
@calystkavishe9670
@calystkavishe9670 21 день назад
Intelligent boy
@briankatani6770
@briankatani6770 25 дней назад
Huyo aliyezusha ujinga huo ashitakiwe
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 21 день назад
Mwandishi uko vizuri na mhojiwa ni mzuri sana
@allyshaban406
@allyshaban406 25 дней назад
Kwanza huyu ni msomi na mjasiliamali alieanzia chini sana, na anamalengo chanya ya kulisaidia Taifa. Achaneni na wapiga ramli, hawalisaidii Taifa.
@BenardLucumay
@BenardLucumay 25 дней назад
Wezi, mafisadi na Watekaji wanawaharibia raia wa Tanzania
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 25 дней назад
Kila kitu kipo juu sukari ipo juu mafuta yajuu bidha zote juu mnashindwa kushusha mnahangaika naujasuchadema chadema wa najeshi ujasusi unatoka wapp
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 25 дней назад
Mmmm uchawa ni shida
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 25 дней назад
Haa wanampiga vita ili aondolewe kwa nafasi hiyo kwa sababu tuu eti ni wa cdm
@illomowerner7690
@illomowerner7690 25 дней назад
Haitakaa itokee kwa huyu kamanda makini hapa kariakoo.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 21 день назад
CCM chama Cha ovyo sana wanasiasa za kizamani sana.Sijui kwanini wanapenda kudeal na Chadema wakati vyama vya upinzani ni vingi? Kyela Chadema wametoa msaada wa chakula kiongozi wa CCM aliyekipokea katiwa ndani kaambiwa anadhalilisha chama. CCM acheni kunyanyasa watu kama mnaona mnataki kubaki peke yenu,futeni mfumo wa vyama vingi mbaki peke yenu watanzania tujue moja, kwamba hamtaki upinzani.
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 24 дня назад
Sasaaaa,!!
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 17 дней назад
Ukiwa Mwanachadema automatically Kichwani unakuwa vizuri✌️✌️
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 15 дней назад
Umeonaeeeeeee!! Hongera kwa kulijua hilo
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 25 дней назад
Sasa mpango huo wa siri ni upi? Maanamano si yanaruhusiwa? Chadema si wanafanya maandamano mengi tu? Shida iko wapi? Hofu iko wapi?
@chande2k250
@chande2k250 25 дней назад
Wapuuzi cku zote hawaishi ukiona Mtu anaita press then anatoa Maneno ya uchawa ni sawa na chawa musiba tu
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 22 дня назад
uyu wa iringa ..akamatwe atoe ushahdi aliyajuwaje hayo na kuthibitisha anayoongea..kwajli anawachafuwa watu..nafki na muongo na uyu ndie anayeandaa..tuache unafiki watanzania
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 22 дня назад
Kaka uko vizuri tatizo la wanaccm wengi ni vizabinazabina,bendera fuata upepo,kazi Yao ni uongo kuchonganisha viongozi ,subiri mtaona wakati wa uchaguzi,2025 ccm itakavyogawanyika vibaya baada ya kura za maoni,Sasa hivi Kuna wabunge waliopita wakati wa jpm wengi Hawana amani ,nakuna kundi linasema ni kundi la mama ! Sasa kama halijawekwa sawa hili heeeeee
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 25 дней назад
My schoolmate at ifm
@musandile8142
@musandile8142 24 дня назад
Thank you
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 25 дней назад
Kijana amesoma hamna ajira Kahaso na kufungua biashara. Yake sasa mnamletea hujuma za uongo
@illomowerner7690
@illomowerner7690 25 дней назад
Kweli kaka' Aise Musa ni jembe
@generosennko8343
@generosennko8343 23 дня назад
Huyu mwanahabari sidhani kama ana nia nzuri ktk kumhoji huyu kijana. Amejibu maswali yote vizuri sana. Musa ni kiongozi mziri sana anayelipenda kazi yake.. Ni watu wabaya wanataka kumchafua tena hawana hoja
@simulizizakiswahili
@simulizizakiswahili 22 дня назад
Jukumu la mwandishi wa habari ni kuhakikisha anauliza kitu ambacho anayeulizwa atatoa majibu ya kina na kumfanya mtazamaji au msikilizaji kupata uelewa kamili juu ya kilchoulizwa. Mwanahabari/mwandishi hana jukumu la kupaka mafuta kazi yake ni kumfanya muulizwaji kujipaka mafuta
@violavicent5162
@violavicent5162 25 дней назад
Tunatetea ugali wa watoto wetu sisi hatuna siasa kwenye hili soko...huyo musa mnamuonea tuuuu tunasema hatutaki karakana.serikali ielewe hilo
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 22 дня назад
Kijana yupo vizuri, maana soko la wote. Na huyi jamaa wa Iringa atakuwa na pepo
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 21 день назад
Waliotia hasara nchi katika ripoti ya CAG mnashindwa kudeal nao.Mnadili na watu wa chini.Mnaogopa maandamano wakati hamtekelezi wajibu wenu kutatua kero za wananchi.Maandamano ya wananchi ni ishara kwamba viongozi mmeshindwa kutatua matatizo ya wananchi.
@ChazGoodluck-g3q
@ChazGoodluck-g3q 25 дней назад
Ndugu zangu watanzania niwaombe kwa moyo wa dhati kabisa tuache kuwalebo watu vibaya. Naieleweke kwamba hapa simu 2000 hatuitaji siasa. Pia taarifa zinazozagaa mitandaoni kuwa hili jambo Nila siasa naomba nimuombe ndugu patrik ajitathimini kwani haya nimaisha ya watu. Pia ingelikuwa ni siasa basi hata wananchi wanaoishi na kupata huduma ndani ya soko hili wasinge tuunga mkono juu ya upazaji sauti.niiombe serekali itutatulie kero zetu pia wapo watu wachache wanao muaribia Rais.
@ireneshao7950
@ireneshao7950 24 дня назад
Poleni sana nasi tunaomba Mungu Ili watu wafanye kazi zao Kwa amani
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 25 дней назад
Kama hakuna lolote ukionekana mwanaharakati uaitwa jasusi mwacheni kijana wa watu auze mabegi yake kinachowasumbuwa ni chuki wivu na umbea i
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 21 день назад
HONGERA SANA MUSA NDELE UNAFAA KUWA MBUNGE AU UONGOZI WOOWOTE ❤
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 22 дня назад
Ondoka kwani maandamano ni kosa kikatiba ? Tena unalalamika nini chawa weee
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 22 дня назад
Hata kama ni Chadema, ila hana Hiyo ya ujajusi
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 16 дней назад
Iv kwa Nn Kwanza Nyinyi. Ccm Mnapenda Kufukuza WANANCHI Mnapenda Kuwatoa Kwenye Maeneo Yao Bila kuwandaria Eneo Jingine
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 25 дней назад
wefala kweli
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 19 дней назад
Kwa akiri ya utambuzi huyo kasomea kazi yake vizuri
@faustinecelestine3882
@faustinecelestine3882 20 дней назад
Hii "Maslaahi mapana " inatumika Vibayaa sana
@evelinenzuguma2953
@evelinenzuguma2953 23 дня назад
Mhhhhhhh siasa bwana!!
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 25 дней назад
Huyo jamaa anajitengezea kiki kama kuna kitu kinakuja si utuambie Acha uongo
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 22 дня назад
ila uyu musaa yupo vzuri sanaaa
@faustinecelestine3882
@faustinecelestine3882 20 дней назад
Kwa CCM ndio Wana Hao majasusi 😅😅😅😅 yaaan bhaaana,
@eunho9529
@eunho9529 25 дней назад
CHADEMA siku zote ina watu wenye weledi na akili kubwa
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 25 дней назад
@@eunho9529 Kweli kabisa,lkn nchi haiwatumii
@adimudachi7984
@adimudachi7984 4 дня назад
Mwalim nyerere avunja uxhawishi waukabila lakini alisahau kuwekasawa itikadi zavyama vyasiasa maanakatikakila fulsa Ccm wanataka waongoze wao yaniwatu wasipaze sauti kutetea hakiyeyote Basi nikama umetukana nchi Niya wore cc niwatz nguvumoja
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 22 дня назад
Hao wanafki tu wanapenda kualibia watu kumwambia jasusi
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 25 дней назад
Agenda hii haina chadema haina ccm
@illomowerner7690
@illomowerner7690 25 дней назад
Kweli kaka user
@AthumanDauda
@AthumanDauda 18 дней назад
Mbona maandamano yao ayajareta tatizo naisi wewe unalako jambo nawaliokutima watanganyika tunajielewa achen upuuz
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 25 дней назад
Nawasikitikia sana kwani mnakumbuka shuka wakati kumekucha. Mfumo wowote ukishachoka anguko lake huwa halizuiliki. Jipangeni acheni kutapatapa angalieni kilichotokea kwa ANC. Hata Ile Soviet Union ilisambaratika siyo kwa kupenda Bali ule mfumo wa kikomunist uli - expire na ukasambaratika. Pia kuweni makini na machwawa wenu wanatia madoa kwenye kazi nzuri iliyofanywa na awamu ya sita.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 21 день назад
CCM fuatilieni 4R zenu msimamie kwa nguvu na kwa umakini zitawapa ushindi mzuri. Msibweteke na wasiyozizingatia 4R.
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 19 дней назад
Huyo asidanganye mhoji mkiwa wawili atakueleza mengi hata hivyo hawezi kutoa Siri nzima kasomea huyo
@AthumanDauda
@AthumanDauda 18 дней назад
Ccm awamuitaji huyu mtu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 25 дней назад
Msigwa ndio askari
@babukije268
@babukije268 21 день назад
Kwani maandamano siosheria
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 21 день назад
Tunatoa angalizo mapema.Watanzania tusije tukasikia huyu mwamba ametekwa,tutaona mna dhamira mbaya.
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 22 дня назад
Ccm majasusi wao wako wangapi natunawajua
@jacksonbalama5990
@jacksonbalama5990 22 дня назад
Machawa niwengi kuliko watu maccm waovyo sana
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 22 дня назад
Lengo lenu ni kumtowa huyo kijana hapo ili muweke kiongozi wa ccm.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 22 дня назад
Aibubyao wanataka kupiga dili wanamuona kama yy ni kuzibe
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 19 дней назад
Haha hivi nchihii hutakiwi kuwakimberebere
@JovianRichard-i5n
@JovianRichard-i5n 16 дней назад
Hilo swala liko wazi maana chadema wameacha kuongea hoja wanazungumzia maswala ya uzanzibari Kwa mama Samia na tuwaambie hayo maandamano tunajua ajenda zenu Hadi issue za kariakoo Sasa hatutakubali mbuzi wawili waharibu amani ya nchi hii lissu anatoa matusi Kila Leo lakini vyombo vya usalama vinaangalia
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 21 день назад
Wewe muandishi ni mbabaishaji unajibiwa kitaalamu kavue samaki feli kazi ya muandishi haikufai
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 20 дней назад
Tatizo ccm wanaposhindwa kuwajibika na kutekeleza wajibu wao wanaungiza siasa tatueni matatizo ya wananchi acheni uoga shindaneni kwa hoja
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 15 дней назад
Hukiwa chedema razima huwe vizur kichwanii tuwahache hayo mazuzu
@egfridmkoba4767
@egfridmkoba4767 25 дней назад
Waweza kukuta huyu ni askari wa siri wa chama tawala.
@musandile8142
@musandile8142 24 дня назад
Duuu😅
@nzubukamlekwa2831
@nzubukamlekwa2831 21 день назад
Kazi ya kuchunguza mambo ya jinai vyombo vya usalama ndiyo vina wajibu,Kama raia ukiona Kuna hali ya hatari mahali Fulani huna budi kuripoti sehemu husika,na vyombo vya usalama tunaviamini Sana sababu wao wanautaalamu huo.Asa huyo jamaa yeye anakitengo gani kwenye vyombo vya usalama.Tusivishushe hadhi vyombo vyetu vya usalama kwa fitina za masilahi binafasi
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 20 дней назад
Huyo chaliii Wa iringa,kubwaJINGA,Akamatwe kwa kusababisha taharuki,ili atoe maelezo zaidi juu ya hili
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 25 дней назад
ccm wana zegwe,,,nk...huu ni uzembe ea kufikia ,na kujenga hoja
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 22 дня назад
Vijana kama hawa wanatakiwa kuwa viongozi wa watu wasikilizwe badala yake wanasikilizwa machawa tena ukiwafuatilia hata shule hawana ila uchawa unawafanya kuteuliwa na kuwa ma-RC/DC😮
@user-oc3jf3ts5i
@user-oc3jf3ts5i 22 дня назад
Yaani jitu zima na mke na watoto linajipendekeza ili kupata Uteuzi! ni aibu!
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 22 дня назад
HAPA WATU WAMESHAANZA KUJAMBISHWA HATA KWA SAUTI ZA PANYA.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 21 день назад
Duh wewe kijana umetisha upo na uwezo mkubws mno.mno.watu wengine ndo hivyo kichwan nisufuria hipo
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 20 дней назад
Wa Tanzania chonde chonde tusianze kuitana majina ya kutisha kwa kufanya hivyo tunapandikiza dhambi kubwa sana Maneno kama gaidi jasusi ni maneno magumu sana Tukianza kuitana au kutuhumu kwa staili hii madhara yake ni mabaya na ile misemo ya Wa Tanzania ni wa moja itaondowa dhana hiyo hapo serikali na vyombo vya ulinzi viwe macho na matamko ya mtu mmoja mmoja kwani yanaweza kuleta taharuki katika nchi yetu pendwa Tanzania
@ChrisantMujambula
@ChrisantMujambula 22 дня назад
Hao ma-ccm ni waoga pamoja nakuwa na silaha zote za kivita..Maana ni wakati wa WATANZANIA kuikomboa nchi yao mikononi mwao! Wakitambua hilo woga umewameza!
@PeterMandata
@PeterMandata 22 дня назад
KijAna anafaa kuwa kiongozi yuko vinzurisana
@GodyMussa-sc9fj
@GodyMussa-sc9fj 22 дня назад
Ndile ndile nakukubal sana san
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 21 день назад
Anajibunhija kukikomwabunge 290.wa. CCM.
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 25 дней назад
Uchawa tuu jamani huyu naye anatengeneza mtafaruku kwa maelezo yake na pia huyu mtu Nina wasiwasi anaweza akatengeneza kikundi cha vijana cha aina hiyo na kujifanya ni vijana wa cdm serikali iangalie watu kama huyu ni chanzo cha mtafaruku nchini
@imeldamwaisakila9337
@imeldamwaisakila9337 25 дней назад
Una uhakika na unachokiongea au unaropoka tu
@LeonardNtabwa
@LeonardNtabwa 21 день назад
Kijana kaza kamba KAZI unaiweza tunakosa vijana kama ww
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 22 дня назад
Wewe kama uliyoyasema kuwa mtu/watu hasa wanasiasa wanayo haki ya kuandamana na kutoa maoni yao sijui Shida iko wapi?halafu unatumia neno taharuki katika maeneo ambayo hayakuhusu unaogopa kupoteza hiyo nafasi uliyonayo ya viti maalum?maoni ya wapinzani wa chama chako yatapelekea kubadilisha sheria zilizopo ukose hata hako kadogo ulikopewa acha makasriko DC
@jordanmwamlima7579
@jordanmwamlima7579 25 дней назад
Huyu naye anayesema taharuki maana yake nini, kama ni haki kwanini unasema taharuki!? nawewe umetumia intellensia gani kujua hayo!? Hivi ninyi kwanini mna kudharau kazi ya jeshi la Police!? Tunavyo vyombo makini sana vya kugundua hilo.
@PatrickPondamali
@PatrickPondamali 22 дня назад
Musa Akili kubwa Mwandishi nae katumwa Analudia Maswali yaleyale kuuliza
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 25 дней назад
Njaa ni mbaya sana, sasa huyu anaedai watu wanataka kupanga maandamano kwani ni maandamano ni halamu? katiba si inaruhusu. Hizi teuzi ni mbaya sana
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 20 дней назад
HUYU KWELI MPELELEZI
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 21 день назад
Mpango wa siri mipango gani, hayo masilahi mapana ya nchi upana wake nini wakati watoto wanalipishwa hadi mitihani ya moko. Hospitali dawa hakuna, wazee wanateseka hawatibiwi,wamama wanajifungua kwa gharama kubwa.upana huo wa maslahi ya nchi ni upi?
@josephancety1019
@josephancety1019 22 дня назад
Huyu muandishi anauwezo mkubwa sana
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 20 дней назад
KAMA HUYU ANAEOJI C MKENYA ATA KISWAHILI MKENYA
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 25 дней назад
Hilo nalo ni limsiba
@adammjomba5814
@adammjomba5814 19 дней назад
Niuongo niuongo hakuna kitu kama hicho? Watanzania NI waoga sana hawawezi kufanya hayo unayoongea wewe unasumbuliwana njaa fanya kazi kaka maneno hayata kusaidia
@txsoundsrecord3663
@txsoundsrecord3663 25 дней назад
We we ni nani sasa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 25 дней назад
Mnaojitokeza tukutugombania wtz kwa sababu gani. Yapo matatizo ya msingi nchi hii ya kumjadili. Tuna tatizo la ajira nchii. Tatizo la msingi sio vyama vyetu. Uchama au mtu mmoja sio tatizo letu. Mikakati ya fursa mbadala badala ya uchuuzi tangia ngazi ya familia Zetu taifa zima.
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 22 дня назад
jamani uyu musa mkweli ..na anaongea ukweli mtupu kuliko huyo mchochezi wa iringa n muongo..wanasaikolojia naomba msaidie hapa..uyo mnene njaa na mnafki na hana elimu na muongo sanaa ..Police nqomba mumuhoji yule mtoa tarifa za uongo ili kupotosha umma
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 15 дней назад
Uko sahihi kabisa 😊
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 25 дней назад
Fitna, zengwe, uchawi nakupotezwa. Maneno ya Polepole sio yangu.
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 20 дней назад
Wasiojulikana ni MAJASUSI?? AU NI MAANA TOFAUTI?
Далее
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 2,5 млн
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 2,5 млн