Kwani Tundu lissu na wewe si ununue pikipiki zako uache kutupigia kelele. Halafu wewe huelewani na mwenyekiti wako sema unajificha Kwenye mgongo wa samia na ccm.
Tundulisu kila jambo lazima useme uwongo na uzushi . kilichofanyika na CCM nikuwapa viongozi wa kata sikila kijiji .Nawewe waletee viongozi wake .mwongo Tundulisu