Тёмный

ALIYEUA WANAWAKE 42 NA KUWATUPA JALALANI ATOROKA JELA, MAAFISA NANE WATIMULIWA. 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 22 дня назад
Huyu wala hakuua..alibebeshwa mzigo usiokuwa wake kuzima uovu wa serikali na ndio maana wamemuachilia kwa kisingizio kwamba ametoroka
@PerfectGirl-dj7zq
@PerfectGirl-dj7zq 22 дня назад
Ni kweli kaka Anatorokaje? Waache uongo
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 21 день назад
Elimu Yako tafadhali
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih 21 день назад
Na nkwel kbxa inawezekana ak maan serikali imechoshaaa Yan ingkuq nguo mtu angeivua na kuichoma mambo yakaisha ak Kenya inakoelekea ni kubaya kw kwel Ila mwenyezi Mungu ndio tegemeo Kila chenye mwanzo na mwisho pia lazima uwepo
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 18 дней назад
​@@AgnesJohn-f1r kusoma atujui ila Tu tunaziona mbona 😢
@planethakunamatata5254
@planethakunamatata5254 22 дня назад
😳duh! Kenya nako mauzauza tu kama hapa Bongo🥱
@jumakassim8718
@jumakassim8718 22 дня назад
Wala hakuua tatizo ruto ndie muuaji kisa wanasingizia raia ili kuficha maovu yake
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 22 дня назад
Sasa kama wangemuuwa yasingetokea ndo maana waarabu hawarembi
@boniventurehussein7276
@boniventurehussein7276 22 дня назад
Rushwaaaaa hiyo na usalama wanatumika kupoteza ushahidi mbwa kabsa😢
@josephjulio6112
@josephjulio6112 22 дня назад
Kenya Tanzania kwa zengwe ni mapacha
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 22 дня назад
Kwanza.mieNajiuliza42Kawauwauwaje.KawapasumuKwenyeMajiAuAlikuwaAnagawaMajiMaanasielewi.tenaMjini
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 22 дня назад
Tz. Kenya polisi wanafanana
@amanijampion3045
@amanijampion3045 22 дня назад
Hy ni mwamba hata akikamatwa apewe kitengo
@rosehaule6765
@rosehaule6765 22 дня назад
Maana nilngeshangaa watu 42 aliywaje😢
@loner_wolf
@loner_wolf 22 дня назад
Nimesikia nchini nairobi . 😅😅😅😅 Ila siasa zipo ktk issue ya hao wanawake 42 . Kenya tu hapajatulia kiukweli.
@anthonygondwe1608
@anthonygondwe1608 22 дня назад
Kichwa cha habari cha Citizen tv na AYO ni tofauti tujifunze hapo, kama kesi haijatolewa maamuzi tuseme washukiwa
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 22 дня назад
Kwetu tunaita watuhumiwa
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 22 дня назад
Nashukuru kuliona hivyo, Bongo vichwa vya habari huwa haviendani na habari mara kwa mara.
@tato8979
@tato8979 22 дня назад
Kumbe hata kwamajiran zetu janjajanja zipo nikajua kwetu tu😢😢😢
@elviswebbo1164
@elviswebbo1164 22 дня назад
Watanzania wenzangu huwa mnanishagaza saana mnavyoofikiriaga Kenya ndiyo mfano wetu. Hamfuatilii mambo yanavyoendelea .....Kenya ndiye Babu kubwa wa ujinga ujinga wote....fuatilia siasa zao utachoka
@user13375
@user13375 22 дня назад
Jirani nomaaaaa
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 17 дней назад
Aaah tafadhali dunia simama mwenzenu nishuke ! Mtuhumiwa atoroke?
@alimau7939
@alimau7939 22 дня назад
Hiyo film inaendelea inautwa the Government Killer
@LethisiaNjika
@LethisiaNjika 21 день назад
Haiwezekani mtu mmoja akafanya hivo,sema serikali inahusika na haya mauaji
@GilbertKhitambala
@GilbertKhitambala 21 день назад
Polisi wanahusika sio jambo rahisi hivyo
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 22 дня назад
Tujifunze VICHWA VYA HABARI kuenda na habari, hiyo ndo taaluma. Na hapa kwetu Tanzania jambo hili limekuwa tatizo kubwa sana kwa vyombo mbalimbali.
@Norisi-c6u
@Norisi-c6u 19 дней назад
Duh kijana mdogo wanawake 42 alafu atoloke jaman Kenya Kenya
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 22 дня назад
Walimbambikia kesi kuziba watu wasiyojielewa leohi wamemtoa. ,mungumkubwa hakunaatabaki milele Duniani
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 22 дня назад
Maafisa wa Polisi Kenya: Eeeh kumbe mtuhumiwa kabila letu, potelea mbali tumuachie
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih 21 день назад
Serikali inafurahia maafa yote naon yanayoendlea ila ipo hukumu yao kw Mola tu itawafikia
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 22 дня назад
Mh.. Kwani ni huyu aliua ilikua urongooooo ndo mana kapita ivi
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 22 дня назад
Mithali 17:23"Asiye haki hutoa rushwa kifuani ili kuzipotosha njia za hukumu"
@user-ig3wo3td2x
@user-ig3wo3td2x 17 дней назад
Dah kama kauww watu wote hao na kwa Nini hawakumuuwa
@user-hl6bg9zz8u
@user-hl6bg9zz8u 22 дня назад
Kenya kama bongo tu 😢😏
@DavidFaustine-j6e
@DavidFaustine-j6e 22 дня назад
Itakuw hat walibebana maan hapo lazima ushirikiano uwepo ili watoke
@BabuAli-zv8gn
@BabuAli-zv8gn 22 дня назад
Maabusu mtu anatakiwa kukaa kwa muda gani?
@asteriashios1852
@asteriashios1852 22 дня назад
Mtawapatia wapi
@annavictor-vc9zn
@annavictor-vc9zn 20 дней назад
Mhhj ndio mana watu wanawauwa
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 22 дня назад
Mwamba kabisa huyo kwa usalama wake aende Somalia
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 21 день назад
42 namba au watu? Muuaji mwenyewe anaonekana anaogopa hata kuua Panya
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 21 день назад
😂😂😂 we kiboko
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 21 день назад
@@AgnesJohn-f1r 😂
@davidsibejo4916
@davidsibejo4916 21 день назад
Wala huyu sio muuaji kauziwa kesi
@omanmct135
@omanmct135 22 дня назад
Hatari kweli😢
@jumannechibaladya6223
@jumannechibaladya6223 19 дней назад
Ametorok au mmemuuwa?na kumtengenezea mazingira ya kutorok
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 22 дня назад
Hiyo ni mipango ya polisi ndio maana watoto wanauzwa,kutolewa figo,kukatwa kichwa kwa kushikiliana na machifu na mama shifuna,tembelea RU-vid ya Chisaka a Dangulo hapo mtajionea mengi yaliyopo Kenya
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 22 дня назад
😂😂😂😂 hy ni mipango wala huyu hajawahi kuwa ndie muhusika
@neemanyove9130
@neemanyove9130 19 дней назад
Michezo hiyo
@benjo_brighter
@benjo_brighter 20 дней назад
Huyu ni mafia kabisa.
@aminattai2676
@aminattai2676 22 дня назад
Huyu hakuuwa mtu ilikua ni mipango ya serekali isionekane ndio ili husika,amepewa kitita chake na amerishwa kupelekwa nchi nyengine na maneno ya mauwaji ndio imeishia hapo na maisha yanaendelea
@beatriceakirwa7379
@beatriceakirwa7379 17 дней назад
Kabisa si ajabu mwakan tukamuona mwanza akianza ujenz ndo amehsmia mazima
@HaronyTeddy
@HaronyTeddy 22 дня назад
CCTV CAMERA 📸 kwani hazikuwepo??
@LloydsTech
@LloydsTech 22 дня назад
wamemtorosha then auwawe so waseme alikufa wakati anajaribu kupambana na askari so askari wafute ushahidi wao wa kuhusika na mauaji
@user-vl5pu4mm5z
@user-vl5pu4mm5z 22 дня назад
Prison break
@RosemaryDotto
@RosemaryDotto 22 дня назад
Ndio aje TANZANIA
@feetfirsttz
@feetfirsttz 22 дня назад
Wakenya bhn!! Hii Issue ina drama kibao, hamna kitu hapo!!
@GeorgeSikazwe-mm7nn
@GeorgeSikazwe-mm7nn 22 дня назад
Hayo yapo Kenya t
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 22 дня назад
Police kenya hakuna kitu mpaka wachezewa hivyo waandamanaji waiba wao waangalia wameshika vilungu mkononi
@saeaaa8571
@saeaaa8571 22 дня назад
Soon wakenya wataandaman tena
@daudimichael7338
@daudimichael7338 22 дня назад
Hizi mambo kumbe zipo kwa jirani?
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 22 дня назад
Police Kenya mbona wazembe hivyo
@Nicotricalsdesigning.
@Nicotricalsdesigning. 22 дня назад
Huyo mwamba kiboko
@ashamagogo-i9z
@ashamagogo-i9z 20 дней назад
ajua ajua nini upumbavu mtu ameuwa watu kma50 unamfunga banda la kuku stupid
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 22 дня назад
Picha
@planethakunamatata5254
@planethakunamatata5254 22 дня назад
😳duh! Kenya nako mauzamauza tu kama hapa Bongo🥱
@user-vl5pu4mm5z
@user-vl5pu4mm5z 22 дня назад
Prison break
@user-vl5pu4mm5z
@user-vl5pu4mm5z 22 дня назад
Prison break
Далее
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 920 тыс.
Мой телеграмм: v1ann
00:14
Просмотров 85 тыс.