Тёмный

ALLAH SIO MUNGU WA WAKRISTO: MCH NDACHA 

GOSPEL CORNER
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Mdahalo wa kidini

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@melkizedck
@melkizedck 3 месяца назад
Tangazo! Tangazo! Wakristo tuingie ktk maombi maalum ya kumwombea NDACHA. Ili Mungu amlinde na mabaya
@MugishaMusabwa-lc7hq
@MugishaMusabwa-lc7hq 3 месяца назад
Wa Islamu ni watu ambao wanajuwa ukweli alakini wanataka kupoteza hao wasiyo jua ukweli katika bibiliya. Pastor ndacha mungu akubariki Kwa kutangazia wa Islamu ukweli
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 месяца назад
Ndacha umeumaliza uisilamu ni wao tu kuamua Mungu yupi wakeeli wakumtunikia je ni wamasanamu au aliyehai aliyemtuma yesu kristo aliyehai
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 2 месяца назад
Ndacha up makini sana nimecheka
@salimkondo3354
@salimkondo3354 3 месяца назад
Ndacha ndacha wewe 😂😂😂 BWANA YESU ASIFIWE
@jhoairdronekings
@jhoairdronekings 3 месяца назад
kumekucha hahah
@daniellourencojaime
@daniellourencojaime 2 месяца назад
Ndasha Oyyyy🇲🇿
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 3 месяца назад
Ndacha Hana mpinzani
@pastorhermantv5420
@pastorhermantv5420 3 месяца назад
Hahahahaha 😂😂😂😂😂😂 duh ndacha kiboko et walio kwenye huo msikiti wao wanaangalia wapi hehehe😂😂😂😂
@IreneSaimoni
@IreneSaimoni 3 месяца назад
Kabisa ndacha
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 3 месяца назад
Hii dini haina tofauti na wale wanaoenda kwa mwamposa mwaminni YESU KRISTO muokolewe
@sohrabtajadin3402
@sohrabtajadin3402 3 месяца назад
SOMENI BIBLIA KWA SAUTI JUU KWA WATOTO WENU. SOMENI Ezekiel Verse 23 kwa sauti ya juu.
@DicksonRwechungur
@DicksonRwechungur 3 месяца назад
Ubarkiw san Ndacha
@Mejaclub
@Mejaclub 3 месяца назад
Alafu bado mutu amekatalia kwa uisilamu 😂😂
@kkhalifairumba2932
@kkhalifairumba2932 3 месяца назад
Huyu ndacha amesoma kweli na kama amesoma anaakili vizuri kweli?mungu wa ibrahim baba wa mitume ndio tunaemuabudu hakuna mungu isipokuwa mungu ni mmoja tu alieumba mbingu na ardhi,mm naona anapiga kilele tu hajui chochote akasome quran vizuri
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 месяца назад
Mungu ni mjapan anaumba motorcars
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 3 месяца назад
Dini ya Hawa watu ni ya kutengeneza na watu sio ya kweli😢 Wanawaingiza watu motoni pasipo kujua
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 3 месяца назад
Alhamdulillah ni sis waje wake ndio tunamsifia hivyo na si Mungu anasema hivyo.. Watu hawaelewi dini ya Islam wala kur ani wsnapiga tu makelele ya tafsiri za uongo
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 3 месяца назад
Hivi kuna aya ndani ya Quran au Bibilia inasema Allah sio Mungu wa kweli??? naomba jibu wakristo maiki hiyo chukueni🎤
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 месяца назад
Matendo ya Muhammad ndiyo yanayo muwakilidha allah,angalia maisha ya Musa, Yoshua na Yesu kisha ulinganishe na mud ndipo utajua ni tofauti kabisa
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 3 месяца назад
Au kuna aya inasema Allah sio Mungu wa wakristo ndani ya Quran au Bibilia 🎤
@eddagreyson-pc7cv
@eddagreyson-pc7cv 3 месяца назад
Ndacha waondolee hao Mawani ya MBAO
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 3 месяца назад
Ndacha ni kiboko ya waislam
@Skeletonking2116
@Skeletonking2116 3 месяца назад
Allah ametajwa ktk bibilia original ya ki-ebrania ikiwa inamaanisha Mungu wa Ulimwengu. Hizi za siku hizi zimerekebishwa ZAIDI ya mara 500 kwa maslahi ya kundi Fulani la watu
@CORNERSTONE10
@CORNERSTONE10 2 месяца назад
Yaani ninyi hamutosheki na promises ya kitabu yenyu Quran ? Leave the Bible alone.
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 месяца назад
uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@justine-2707
@justine-2707 3 месяца назад
Yes ni Nuru kw upotefu
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 месяца назад
mweye bashikirina amuna mungu
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 месяца назад
musilimu mufate mungu wahaki wenye azari afanani nacocote allah uwislam utazidi kuwa nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿allah Akbar
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 месяца назад
Kumbe Mungu wa wakristo anazaa anaenda matenet huu ndiyo ukafri kweli
@stephen-S7n
@stephen-S7n 3 месяца назад
Kwa Quran shetani ana kizazi, je shetani anaenda maternity?
@mwlpierre
@mwlpierre 2 месяца назад
Ninyi ni sawa na wapagani tu maana hapo kwenye Al Kaaba kuna nini umo ndani
@mohamedmillanzi9070
@mohamedmillanzi9070 3 месяца назад
Hakana point zaidi ya povu
@NickieMaina
@NickieMaina 2 месяца назад
Wewe umbwa hii
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 месяца назад
Ndacha MUNGU akubaliki ila uskatae utatu mtakatifu wa MUNGU nitakuwa skuelewi soma 1yohana 5:8
@ShomiLongwa
@ShomiLongwa 3 месяца назад
Ujui ulisalo
@ShomiLongwa
@ShomiLongwa 3 месяца назад
Ujui usemalo
@MiziziMti
@MiziziMti 3 месяца назад
Utatu haupingiki
@justine-2707
@justine-2707 3 месяца назад
Mm ata iyo utatu imekata kuningia kw akiri juu mna yesu n mna mungu
@RestutaLucas-p7e
@RestutaLucas-p7e 3 месяца назад
Muombe Mungu akusaidie maana kwa biblia hakuna Utatu ndg
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 3 месяца назад
Huyu anajichanganya tu akidhani yuko Shakahola anapotosha tu ma kutoa maelezo yake binafsi akiita tafsiri
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 3 месяца назад
Mtu anashindwa hata kugoogle tu akaona nini maana ya Allah. Allah ni kiarabu maana yake God ni huyo huyo mmoja. Kuhusu masanamu wapi tunaona masanamu na mapicha misikitini au makanisani? Si tunaona masanamu ya Yesu na Maria makanisani? Yesu alikataza kuabudu masanamu. Ash hadu alaila hailala wa ash hadu anna Muhammad arasulallah. Imani ya waislam katika kor ani kwamba nakiri kwamba hakuna apasae kuabudiwa kwa haki ila mwenyezi Mungu na ninakiri kwamba hakina Muhammad ni mtume wake. Ajabu mtu bado anachanganya kati ya Mungu na mtume wake
@richardchimba3800
@richardchimba3800 3 месяца назад
Jina la Mungu wenu nj nani ?
@AlbertMakori-u2l
@AlbertMakori-u2l 3 месяца назад
Wewe ndacha ni ngombe kabisa , wewe unastahili viboko
@bustedislam3578
@bustedislam3578 3 месяца назад
Hivi viboko ni hoja gani? Vunja hoja kwa hoja nyingine, sio kwa viboko. Kwani wafuasi wa marehemu Muhammad wanatetea dini yao kwa viboko?
@Khalidmwangwai4651
@Khalidmwangwai4651 3 месяца назад
Jifunze kusoma kusoma wewe kafiri
Далее
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
Просмотров 8 тыс.
WAISLAM WANA MILIKI MAJINI
19:31
Просмотров 1,8 тыс.
WAFU WAKO WAPI ? KASARANI DAY 4 BY FRANCIS NDACHA
57:16
Je Mungu BABA ni nani?
2:07:10
Просмотров 6 тыс.
Waislamu mbona mnambandika Mungu jina Allah?
1:05:45
Просмотров 9 тыс.