Тёмный

MASWALI NA MAJIBU YA PAPO KWA HAPO//JE,YESU NI MUNGU//DR.SULLE NA MCH.NDACHA WATOANA KIJASHO 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#live #drsulle #tanzania #trending

Опубликовано:

 

3 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@EmmyRowland-ir5gh
@EmmyRowland-ir5gh Месяц назад
Ndacha is Brave, Kinyonga au "chameleon "ndo hubadilika 😅😅 Ndacha I like you , hii Kiswahili umetufunza congratulations 🎉 Mdahalo upo fantastic on both sides 💯
@HassanMadura
@HassanMadura 12 дней назад
Mungu akubarik Dr. Sule
@samsonchesoli2988
@samsonchesoli2988 Месяц назад
Nakupenda sana ndacha roho wa mungu yuko nawewe amina
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn День назад
Masha Allah
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne Месяц назад
Doctor sule mungu akubariki kwaelimu kubwa unayoitoa..
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Wapi sule katoa elimu?kubadili neno kufanyika na kuwa kubadilika ni elimu basi nakubaliana na ww asilimia mia
@user-lw4qr7bd6h
@user-lw4qr7bd6h Месяц назад
Sule abatizwe
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 19 дней назад
Wewe ndacha mbona hueleweki kelele tu towa Aya Mimi yesu ni mungu mbona watu wengi hapa duniani wanasujuwa
@AbeliEmmanuel
@AbeliEmmanuel Месяц назад
ndacha unajibu kisom sana ameni mungu awe nawe sku zote
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 Месяц назад
Dr sule huyo hafaham unapoteza wakati.haingii katika akili mungu awe ktk sifa za binadam
@victorkalolo9517
@victorkalolo9517 Месяц назад
Wenyevit mm ninge washaur,mashar yanayo ulizwa ndan ya hoja yangekua yan jibiwa mwalim anapo panda asitoke bila kujibu
@nomar3708
@nomar3708 Месяц назад
Allahu Akbar. Alhamdullilah for Islam
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 Месяц назад
Sule w sichochote mkubal yesu
@kakafadhili4472
@kakafadhili4472 Месяц назад
Dr sule safi
@henrymitobi
@henrymitobi 3 дня назад
Ndacha ako sawa mkweli
@nomar3708
@nomar3708 Месяц назад
Mungu wa wakristo anakula anaenda chooni, anachoka, anajuta kuna vitu hajui. Makafiri hawa vipofu wa macho na moyo. Alhamdullilah for Islam
@moshantoj
@moshantoj Месяц назад
Mungu wako anaweza kuwa kitu chochote?
@nomar3708
@nomar3708 Месяц назад
​@@moshantojYesu kabadilishwa nappy zake za mavi. Sasa binadamu wamembadilisha nappy mungu. Astaghfirullah. Moto unawasubiri nyie
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
Dugu wakiristo mna macho lkn kuona hamuoni man akilivlkn hamzitumii KATU mnasubiri kuongozwa na ndacha AmBAR analipwa kuichafua dini ya haki na mungu anamuina usiku anajuta kuyapotosha maandiko ya Allah innalillah mungu awasamehe sana na awaongoze yni mungu ataihiriwe na asinzie alale usingizi subhannahallah ...Alhamdulillah for neemal Islam ❤
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Katika mwili .katika roho wapi kavishwa nappy .jibu swali.
@moshantoj
@moshantoj Месяц назад
@@nomar3708 Jibu swali gunia hii. Mungu wako anaweza kuwa vile anataka?
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi Месяц назад
Heri ya wapatanishi kwa maana hao wataitwa wana wa Mungu.
@Nolithajack12
@Nolithajack12 Месяц назад
Ndacha nimukweri
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
Poteeni na huyo ndacha wenu ila waislamu mkono Kwa mkono Hadi peponi kwenye uzima wa milele nduguzngu wa kirisito karibuni sana Kwa uislamu ndio dini ya mola wko mlezi japo dakika Moja TU uuangalie pumzi unazo vuta ww anakupa nani ndio uzidishe kibri subhanahallah
@jameskilasa759
@jameskilasa759 6 дней назад
Ndacha anatumia hoja za kubwa sana waislam wabishi
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Kazi ipo hapa ndacha huyu bw.sule hasikii vzr ndacha kasema kufanyika yey anasema kubadilika haha
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 Месяц назад
Sauti ikasikika kutoka mbinguni ikisema huyu na mwanangu nimpendaye, swali Sauti niyanani, na mwanangu ninani
@fay9687
@fay9687 Месяц назад
Hawa mtachoka nao ndio kazi yao hiyo waliopewa na wazungu wanalipwa kupoteza watu wanajua kila kitu ubishi watakula wapi na hiyo kazi ndio inawalisha
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne Месяц назад
Doctor sule ni tunu nahazina ya elimu tufaidikenaye
@user-lr9zc1yx2t
@user-lr9zc1yx2t Месяц назад
Ndccha bado hujajibu swali
@nyc5595
@nyc5595 Месяц назад
Mbona mumeikata kwa dakika 20:53 hatujaona Dr sule kumjibu swali ndaca??
@user-vr6vs3us3n
@user-vr6vs3us3n Месяц назад
Ndacha amekosa haya kabisa 😂😂 Allah akuifadhi Dr Sule. Ndacha siku uta kutana na Dr Abdoul-Majid wa DRC naamini uta kimbiya na kutupa hiyo biblia zako InshaaAllah
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Unaona sasa yaan sule kashindwa kabisa mpaka mapendekezo yanatolewa kuwa Majid Abdoul ndiyo level ya ndacha.Keep it up ndacha.
@maronchama6945
@maronchama6945 Месяц назад
Ndacha is true man of God
@mzaliwaseif7079
@mzaliwaseif7079 Месяц назад
Ndacha boya saana
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
True man WA God Toka wp ww kachanganyikiwa vp anawakoroga kama wajinga vile alafu mnamuunga mkono
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 Месяц назад
Kufanyika na kubadilika ina maana moja, ndacha hajui kiswahili , ukipanda mbegu ikaota hapo tayari neno litatumika nikubadika kutoka mbegu kuwa mumea
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn День назад
Kwaiyo Yesu Alikua wa mwanzo na wamwisho Sasa kama nilivyo walimkuta wap had wakamtundika msalaban ndacha shikajembe kuja hapa tulime😂😂😂😂
@BashirMahero
@BashirMahero Месяц назад
Taqbirrrrr
@nomar3708
@nomar3708 Месяц назад
Allahu Akbar
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
Allahaqbar
@user-sr7dv3mu6g
@user-sr7dv3mu6g Месяц назад
Ndacha umeshindwa na mada
@nicksonsanga8748
@nicksonsanga8748 Месяц назад
Nyie n wahuni tu mmekatakata vpande ili watu waamini uhuni wenu huo pasta ndacha kiboko yenu
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 Месяц назад
Ndacha unageuza aya zetu
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
Alichanganyikiwa Hadi aangalii watu vizuri kwa kuharibu Quran ila ukweli Ako nao kuslimu anaona aibu ila mbele ya Allah ataenda kujuta atakapo pewa kitabu chake atauliza na jibu like ni motoni tu milele
@fay9687
@fay9687 Месяц назад
Lazima hiyo bibilia lazima waitetee kugeuza geuza sababu wanalipwa haki yote wanaijua usiku hawalali kuharibu
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
Kabisa hawalali kwa kuiharibu qurani na yesu mwenyewe asema yy anasikia maneno kutoka kwa mungu inamaana yy sio mungu Wala mwana wa mungu upotovu wanaujenga na kumtukuza sheitani kwenye makanisa Yao na kiti chake chanzi😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-sr7dv3mu6g
@user-sr7dv3mu6g Месяц назад
Jamani sule maliza mada na Aya hii methali 8;22 Suleiman alikuwako kabla ya dunia
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Haya haimtaji suleiman .suleiman alimtaja kristo.
@user-sr7dv3mu6g
@user-sr7dv3mu6g Месяц назад
@@Sbstn1913 brother kidogo hauelewi hebu soma waibrania 7"2
@johnngige5794
@johnngige5794 Месяц назад
Mbogo kashikwa akidanganya Dr Sule na maandiko ya uongo ya waislamu
@felixmuasya6601
@felixmuasya6601 Месяц назад
wasee
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Месяц назад
Ndio màana mmekata vipande hii chaneli ni ya kiisilam,mbona hatujaona majibu ya ndacha kwa swali la dr wenu
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 Месяц назад
Yesu hawezi kuwa Mungu, hizo ni doctrine za kikristo
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Na quran inakubali kuwa yesu ameumba ndege na hiyo nayo ni doctrine ya muhammad na s ww muislam mvhovu
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 Месяц назад
Ndacha nikipof Mjing hajasom leo kakutan nawasom kafundishw kuwa Harun kaumb chawa ndach mjinga kipof
@johnngige5794
@johnngige5794 Месяц назад
Kuna tofauti kati ya miujiza na kuumba
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Chawa walikuwepo kabla ya harun ..Harun alipiga fimbo chn na hakuumba chawa.
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q Месяц назад
YESU NI MUNGU NA ANA SIFA ZOTE ZA MUNGU
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn День назад
😂😂😂😂 innalillah wainnalillah rajun
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Месяц назад
Leo ndacha umebakwa sule amekuzima #
@jameskilasa759
@jameskilasa759 6 дней назад
Acha ushabiki sikiliza hoja ashura waislam hamna hoja
@boscojohnny8980
@boscojohnny8980 3 дня назад
Mimi sijawaikuona wajinga kama waislam...wewe umekuja kuona wakuzimwa na wakuzima?? Learn something stupid
@user-hp5lu9bw8d
@user-hp5lu9bw8d Месяц назад
Ndacha anaongea ukweri
@BashirMahero
@BashirMahero Месяц назад
Jifunze kiswahili 😅😅
@nomar3708
@nomar3708 Месяц назад
Dr Sule huyo ndacha uwe mkali nae anabadilisha aya zetu mkatize hapo hapo usimwache aendelee upuuzi wake. tafadhali Dr
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 Месяц назад
Ndacha kabanwa koo..Hana usemi
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Месяц назад
Nashangaa mm eti wanaungaunga maandiko kutoka kwa Quran tukufu Allahakbar hawana hoja Tena kero tu iliyo Baki na aibu
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Hahah😂 upepo wa kisulisuli ni mawingu
@gasperpeter5770
@gasperpeter5770 Месяц назад
Majibu ya ndacha mmeyakata ..kwanin
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn День назад
Ajibuswali liliro ulizwa
@hilaryarande-gs8ht
@hilaryarande-gs8ht Месяц назад
Kwa Quran mungu ni alpha na omega,yesu anasema yeye ni Alph na omega,je munapata iyo kweli?
@nomar3708
@nomar3708 Месяц назад
Yesu maskini munampa umungu wakati mwenyewe hajasema. Hiyo biblia imeandikwa na mzungu anaitwa Paul baada ya miaka 500 yesu baada ya kufariki. Hata huyo yesu mwenyewe hamjui. Kaandika anyotaka yeye. Hicho kitabu kina contradictions kibao na zipo 70. Mna kazi kweli nyie makafiri
@kautharBihaki-wv7kd
@kautharBihaki-wv7kd Месяц назад
Bhn ww kasome ufunuo 1:1 ndo utajua maneno hayo yesu kaambiwa na nan aseme..ni Yesu anasema kumnukuu Mungu akisema mimi ni Alfa na Omega ata biblia hamsomi.
@kautharBihaki-wv7kd
@kautharBihaki-wv7kd Месяц назад
@@nomar3708uko sahihi
@HassanMadura
@HassanMadura 12 дней назад
Ndacha nii ibliss nkubwa kolikoo iblissi mwenyewe
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 Месяц назад
Wazungu waliouleta Ukristo afrika wanauacha na kuwa mapagani kwa mamilioni kila mwaka na wengine wanaslimu kuwa waislamu. Wakristo wa afrika wanang'ang'ania tu urongo
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Toa takwimu wapi wakristo wamesilimu .mim n mkristo na sijasilimu.
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 Месяц назад
Sasa kataa hoj zasule Harun kaumb chaw unasemaj mjib hilo
@Sbstn1913
@Sbstn1913 Месяц назад
Kupiga fimbo chin ni kuumba chawa😮.chawa walikuwepo kabla ya tukio.
Далее
JE YESU NI MUNGU?
29:27
Просмотров 48 тыс.
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 236 тыс.
JE YESU ALIKUFA???
1:38:58
Просмотров 17 тыс.
KURUDI KWA YESU -01
55:48
Просмотров 4,3 тыс.
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 236 тыс.