Тёмный

ALLY KAMWE AGOMA KULALA AWEKA ULINZI BENJAMIN MKAPA/"KESHO MAPEMA SANA UWANJA UNAFURIKA" 

Mpenja TV
Подписаться 557 тыс.
Просмотров 73 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 93   
@AgnesKachiwela
@AgnesKachiwela 2 месяца назад
Kamwe kazi Yako unaijua na unaiweza 💛💛💛💛💛yanga
@SussankhanKhan
@SussankhanKhan 2 месяца назад
Love semaji letu mungu akulinde namacho ya kolo fc
@nangomwabaharia9242
@nangomwabaharia9242 2 месяца назад
Yanga mmetisha Sana hamna mpizani Kwa hapa tanzania
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 месяца назад
Wananchi wacha tuwe wawazi tu ndugu zangu Kamwe ni jembe na anapiga kazi Tumpe heshima yake😢🙏🙏🙏🙏🙏
@abdallahsharif426
@abdallahsharif426 2 месяца назад
KAMA NI SASA.....NI SASA HIVI....MAKOMBE MAWILI YA AFRIKA YANAKUJA TANZANIA 🇹🇿 INSHAALLAH....PENGINE YANGA NA SIMBA WAKATAE WENYEWE....❤❤❤
@stellastella2795
@stellastella2795 2 месяца назад
Jamani naipenda yanga nikiwa💚💛💚 omani
@GraceLuena-w8s
@GraceLuena-w8s 2 месяца назад
Jaman hongereni sana! Hapapoi! Mko vizur sana.
@HeryethIzack-ck8bu
@HeryethIzack-ck8bu 2 месяца назад
Allyyyyy yaan ukixhabikia tanga unapenda kila aliyeko apo yanga💚💚💚💚💛💛💚💚💚💚
@monicalucas3738
@monicalucas3738 2 месяца назад
Naipenda Yanga🎉🎉🎉
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 2 месяца назад
Mungu awabariki kazinjema 8 8 tusubiri siku iyo ninahomba kwamungu wale pasaka
@JudithExavery
@JudithExavery 2 месяца назад
Mungu tujalie na yanga yetu
@IbrahimWegoro
@IbrahimWegoro 2 месяца назад
Leo ndo wataona mpila hii ndo timu Simba bado Sana tareh 8 watalia na kusaga meno watapoteana uwanjani hadi nawaurumia
@noeljacob9644
@noeljacob9644 2 месяца назад
Hata uhuru tutaijaza na wengine itabidi wahamie pale sabasaba
@bahariahd6299
@bahariahd6299 2 месяца назад
MPENJA UMEPATA MTANGAZAJI MARA HII
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 2 месяца назад
Nyie na Konde kakesha uwanjan?
@ManjaHisani
@ManjaHisani 2 месяца назад
Nawapongeza sana wanayangaaaa wote nchi zote wamechaguwa tim sahihi ya kuishabikiya asanteni sana
@davidjoetv9595
@davidjoetv9595 2 месяца назад
wewe akili huna😊
@HadijaKiwambu
@HadijaKiwambu 2 месяца назад
​@@davidjoetv9595weunayo unatembea nayo kwenye begi
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 2 месяца назад
Yanga raha sana
@elizabethmasters5998
@elizabethmasters5998 2 месяца назад
Vibe kama lote
@neemamwocha2113
@neemamwocha2113 2 месяца назад
Kijana mchapq kazi
@HusseinAlly-zp7sb
@HusseinAlly-zp7sb 2 месяца назад
Yangaaaaaaa daimaaaaa❤
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 2 месяца назад
Yanga bingwa yanga Raha yanga kubwa san
@CHACKRYABDALA
@CHACKRYABDALA 2 месяца назад
Yanga ya motooooo❤❤❤
@HalimaYahya-p7t
@HalimaYahya-p7t 2 месяца назад
Yanga bingwa kwa wakina jobe waliocheza jana. 😴
@abubakarjuma443
@abubakarjuma443 2 месяца назад
Apo si mnasema umejaaaa
@SussankhanKhan
@SussankhanKhan 2 месяца назад
👏👏👏👏👏💛💛💛💛💛
@IsayaMemon
@IsayaMemon 2 месяца назад
Good morning yanga Africa,8,8njema
@AllyAmanzi-y8i
@AllyAmanzi-y8i 2 месяца назад
kwan wameshasafisha kule ndan
@gabrielnjiapanda3710
@gabrielnjiapanda3710 2 месяца назад
Dar watu hawalali
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
Season hii chama langu yanga ya moto.. tunatisha. Wewe huogopi.
@davidjoetv9595
@davidjoetv9595 2 месяца назад
ko huyo mtangazaji ndo kila siku atakuwa hv😂😂
@yhasinidda4009
@yhasinidda4009 2 месяца назад
Hakuna jipia mnajidanganya " tafuteni vitu vyakuongea
@RafaelPetro-i9k
@RafaelPetro-i9k 2 месяца назад
Hatar
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 2 месяца назад
Huyo mtangazaji au shabiki mbona halijielewi
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 месяца назад
Wewe KOLO
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal 2 месяца назад
Kama ni mtu wa mpira bas huwez kuuliza Hili swali😂
@StevenMwigora-q1w
@StevenMwigora-q1w 2 месяца назад
Yanga hii ni hatariiiii
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Na hayo ni majaribio😂😂😂
@DicksonWilliam-t1x
@DicksonWilliam-t1x 2 месяца назад
Dah xemaj letu nakubal
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 2 месяца назад
Humu tuu
@kamwagamwanjale1575
@kamwagamwanjale1575 2 месяца назад
Hayo masifaa sasa
@ElizaShedrack-u7u
@ElizaShedrack-u7u 2 месяца назад
❤❤❤❤
@isackyohana2707
@isackyohana2707 2 месяца назад
ningekua na no ya ali kamwe, ningemshauri makombe yetu yote tungeenda nayo yawekwe pale wachezaji wanaposimama na kujitambulisha,,ili wayaone na wapigane tena yabaki,,iwe kama hamasa kwao,,yawape hasira ya kazi
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Reheasle tu inatisha😂
@AjethKizenga
@AjethKizenga 2 месяца назад
Mchezaji kama chama ni wa kuambia watu wasimame si udhalilishaji huo.yanga rahaaaa jamani
@mariajames5558
@mariajames5558 2 месяца назад
💚💚💚💚 yanga
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 месяца назад
maludio😊
@AlawiHalima
@AlawiHalima 2 месяца назад
Hivi jana yule mjamaa alikuwa anahamasisha watu watukane mlimuona anaakili timamu yulee kuna hamasa ya matusi ni aibu
@eliashagai7920
@eliashagai7920 2 месяца назад
Supu sport club
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Kwa raha zetu supu tunakunyw na tunatamba nayo
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 2 месяца назад
Kunywa supu ni ukakika wa maisha la sivyo unafanya mboga 😂😂😂😂😂
@Jumayusuph-on9en
@Jumayusuph-on9en 2 месяца назад
Nabado hamja sema
@noelkipera6581
@noelkipera6581 2 месяца назад
Balaaaaaa na Nusu😂😂😂
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 2 месяца назад
Kiukwel Simba walipooza wanaambiwa wasimame wamekaa tu hawana shangwe hata
@abubakarjuma443
@abubakarjuma443 2 месяца назад
Ataendaje uhuru kama kalipia lupaso
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 2 месяца назад
Si kachelewa
@maikoatufigwegemwakapoja8709
@maikoatufigwegemwakapoja8709 2 месяца назад
💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 2 месяца назад
Wp ww simba day ndio tumewafundisha ss mtajifunza mengi utupolo,subiri Manara akufukuze kazi
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Nyie wenyewe mmefundishwa toa kelele zako hapa vingapi mnafanya ambavyo wengine walishavifanya acha ushamba wewe hakun kipya mtachokifanya sasa wote tunakopi tu yalishatendeka
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 2 месяца назад
Bora umetusemea
@CHACKRYABDALA
@CHACKRYABDALA 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MohdAli-fl2ef
@MohdAli-fl2ef 2 месяца назад
Makafara FC mukimaliza kuchinja ng'ombe zenu musafishe
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 2 месяца назад
Sawa
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Sema tukimaliza kunywa supu maan siyo kuchinja tu na supu tunainywa
@asifiwemwailima8115
@asifiwemwailima8115 2 месяца назад
Tulishafanya haya hakunajipya
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Hata kama mlifanya kwetu pia hatukuon jipya kam uonavyo wewe
@abdallahsharif426
@abdallahsharif426 2 месяца назад
AFRIKA SUPER CUP ILEEEEE= YANGA VS SIMBA......2025❤❤❤
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 месяца назад
SIMBA AENDE WAPI???😂😂😂😂😂Acha kujitekenya kaka
@SuzanKameta
@SuzanKameta 2 месяца назад
Wewe mambo ya kuvunja milango yenu 😅😅😅😅
@IsmailMatumbi-w8b
@IsmailMatumbi-w8b 2 месяца назад
Kwahyo unakataa kua hamujavunja milango wakatu tumeona wote
@godfreywebiro4058
@godfreywebiro4058 2 месяца назад
kama vibwengo😂
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Kama wewe vile😂
@ZainabuHassani-fe8ur
@ZainabuHassani-fe8ur 2 месяца назад
Kumekucha
@bahatijuma6769
@bahatijuma6769 2 месяца назад
Pw pw
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 2 месяца назад
Uzuri nyuma mwiko lazima muizungumzie simba. Na kwa kufanya hivyo lazima simba iwe kubwa zaidi maana kila ukiingia mtandaoni ni simba tu. Kiufupi kila mtu anaipenda simba😂😂
@TashirfaHashim-w2w
@TashirfaHashim-w2w 2 месяца назад
Mhh ny jana mlizungumzia kmc tulien tunawasema na 5 tunawapiga😂😂
@yusufm1
@yusufm1 2 месяца назад
Hakuna Unyonge, ukianza tunamaliza... Kikubwa ulete timu 08/08/2024
@LameckMihambo
@LameckMihambo 2 месяца назад
Nyie wenzetu mnamzungumziaga nani sijui. Kolo ni kolo tu!
@StefanoMawe
@StefanoMawe 2 месяца назад
Kwani nyiee yanga hamuizungumzii we kolo vipi
@zabibucyprian1971
@zabibucyprian1971 2 месяца назад
Akil ndogo ina ukubwa gn simba
@tesherscot3706
@tesherscot3706 2 месяца назад
Yanga🫡
@MarthaNgusuli
@MarthaNgusuli 2 месяца назад
Achana na wale sanda burudani ziko huku
@SuzanKameta
@SuzanKameta 2 месяца назад
Mnajipa moyo 🐸🐸😬😬😬😬
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Hayo ya kwenu ya kujipa moyo Yanga siyo shida zetu
@NduwayezuGuyDarcy
@NduwayezuGuyDarcy 2 месяца назад
Manara atuachie timu yetu saii amelala zak vijana wako kazin
@rtp9010
@rtp9010 2 месяца назад
Mmmh
@RashidMkubwa
@RashidMkubwa 2 месяца назад
Kafirwe uko kolo mmoja ww​@@rtp9010
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 2 месяца назад
Wacha upumbavu wako uwo kolo mkubwa we. Manara anamajukumu mengi Jana hujamuona jangwani akihamasisha. Halafu manara anamke Ali kamwe bdo hanamke hajaowa kwahiyo usilinganishe Maisha ya hao watu wawili muhumu wote wanafanya majukum yao Kwa wakati tofauti. Yanga bingwa tena tena
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc 2 месяца назад
Nani anatak kushindan na wewe utopolo
@maimunaathumani9121
@maimunaathumani9121 2 месяца назад
Bureeeee
Далее
MECHI YA SIMBA NA YANGA FULL HIGHLIGHTS ( 1 - 0 )
11:57
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
Просмотров 710 тыс.
Zuchu - Antenna - (Dance Video)
3:17
Просмотров 5 тыс.