Тёмный
No video :(

ALLY KAMWE: NIMEZAWADIWA SIMU YA GHARAMA/ MTU KACHEZA DK 30 TU KASUSA/HAKUNA MAISHA YA SHIDA NA RAHA 

Mpenja TV
Подписаться 532 тыс.
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe akitamba Kumiliki Gari la Gharama kubwa pamoja na Simu Kali aliyopewa Zawadi na Rais wa Yanga SC,Eng Hersi Said kwa Utendaji wake Mzuri wa Kazi.
Ameongeza kusema kwamba Simu anayotumia Sasa kwa Tanzania hii Wanayo Watu Wanne tu,Yeye,Eng Hersi Said,GSM pamoja na Diamond Platnumz.

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@juliussuleiman3999
@juliussuleiman3999 Год назад
Huyu mtoto ana hatari kweli, anafurahisha anatoa watu stres, Barikiwa sana
@IssaMbwile
@IssaMbwile 11 месяцев назад
Uu see my by u by u.
@awadhiomari5172
@awadhiomari5172 Год назад
Mpenja tv mkifanya interview na ally kamwe mnapata watazamaji wengi sana kwasababu wananchi tunampenda
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 Год назад
Ally bwana hahahahah upo vzr sana💚🔰💛
@carrenlaizer5808
@carrenlaizer5808 Год назад
Uko vizuri sana semeja letu
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 Год назад
Aliy kamwe my borthet uko vizuri
@mustaphatibaijuka6995
@mustaphatibaijuka6995 Год назад
Unajua kuukosha moyo wangu sichoshwi na interview zako Ally
@yaoundehusseinbarilulakamigwe
Mwanzo kabisa nilijua ally hutoweza ku promo team kubwa kutokana na ufupi wako basi nilijua akili yako itakua hivo kumbe unaakili inazidi mwili wako hongera sana kaka ally kamwe nakukubali sana
@patsonsimpito8638
@patsonsimpito8638 Год назад
Ani huyu bongee semaji huyu ni semaji la dunia ani
@cosimasedward
@cosimasedward Год назад
Wajinga wawil wanakubaliama
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
Anaupigaaa mwingii
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Год назад
Haaaaahaaaaa
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 Год назад
Mimi Ana nifarahisha anavyo pangiliya maneno yake ni tofauti na awa wengine wana piga kelele sanaa
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Год назад
Alhamndulilah
@TeddyPeter98
@TeddyPeter98 2 месяца назад
Allah akuongoze inshaallh
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 Год назад
Naona Kama hata waandishi wanapenda Sana kumhoji Ally kamwe.wanajisikia raaaaaaaha.
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Год назад
Semaji la wananchi lililokamilika 💚💛💚💛😂😂😂😂 Bilinenga na Nandy Zingatieni Ombi la Msemaji wetu 😀😀😀
@robertsalum1968
@robertsalum1968 Год назад
Semaji lamabingwa katika ubola wake nakubali sana
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Год назад
Duh Nimecheka sana huyu Dogo noma sana Ukienda Kwa ukuda unajibiwa kikudakuda Ukienda kitaaluma utapelekwa hukohuko. Well done.
@halimamnavi3208
@halimamnavi3208 Год назад
Wowh semaji la ukweli ndani ya Yanga wape salaam makolokolo fc wenye vijiba vya roho
@TeddyPeter98
@TeddyPeter98 2 месяца назад
@zubedahamis2346
@zubedahamis2346 Год назад
😃😃😃😃😃😃Ali kamwe😃😃😃😃hvi ni kweli
@michaelselis8531
@michaelselis8531 Год назад
Jen kishai 😘😘
@evvajlumila7898
@evvajlumila7898 Год назад
Aiseeee
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 Год назад
Ally Kamwe mara ya kwanza umechemsha hasi na chanya hakutakuwa na shot ..hasi na hasi au chanya na chanya ndo shot bwana mdogo
@MponjoliEmmanuelSamuelMw-tx9sf
Jamaa alikuwaga smart sana aisee... dah!! Utopolo Mungu anawaona...
@ernesttesha3615
@ernesttesha3615 Год назад
Nandi umesikia hiyooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@navanjkiba2439
@navanjkiba2439 Год назад
Ali Kamweeeeee ur very funny
@suzanakameta9973
@suzanakameta9973 Год назад
😂😂😂😂😂 duuuh hii ni hatari
@barakasule2649
@barakasule2649 Год назад
huyu dada anampenda sana @Ally kamwe
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps Год назад
😀😀😀😀
@Jijuw
@Jijuw 9 месяцев назад
Sanaaaa
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Год назад
Ama kweli,kutoka kwenye usemaji hadi kwenye uropokajii,kisa cm mpya,kweli washamba wapo hadi mjinii
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
Wakereeee Babaaa 😅😅😅
@revocatusdarius4499
@revocatusdarius4499 Год назад
huyu ndo Ali ninaye mjua kwa swala la kuwashauri vijana namkubali sana
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 4 месяца назад
Hakika
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Daaah semaji unaniuaaa huku🤣🤣🤣😂😂
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Год назад
hizi ni zama za mkapa ukweli na uwazi japokuwa tunayo hapa kazi tu mwambie tu semaji eeeh mie ktk vile vigezo vyako ninavyo pia uone Ally hataruka kule kwa bill nenga Ombi lake bado alijafanyiwa kazi kwahyo na wewe hikae 🏆💛💚💪🇹🇿🇦🇪
@nasirkilapo6041
@nasirkilapo6041 Год назад
Kamwe nakukuli sana unanito strees zangu🤣🤣🤣
@faustinematiku249
@faustinematiku249 Год назад
Semaji kubwa
@sospeterkaponoke3789
@sospeterkaponoke3789 Год назад
Semaji la taifa uko vzr sana nimefurahi sana 🤣🤣🤣
@abdybanda759
@abdybanda759 Год назад
ally no yako tafadhaliii
@salimmpili8573
@salimmpili8573 Год назад
Ahahaha Ally Kamwe umeniharibia ratiba nilikuwa sitakii kucheka leo
@abdullambarak5425
@abdullambarak5425 Год назад
Unajuwaa afisa habar
@maliadii4829
@maliadii4829 Год назад
Tafuta mcha mungu huko utapigwa shoti Kama unavosema
@dboy9293
@dboy9293 Год назад
😂😂😂😂 sawa semaj la chan
@nirdinkishky5343
@nirdinkishky5343 Год назад
Yani uo uongo ndo umeufanya ni km ibada
@nasirkilapo6041
@nasirkilapo6041 Год назад
Eti nime,nunukazu mpya bado bibiarus🤣🤣🤣
@johnjonathan7502
@johnjonathan7502 Год назад
Kwaiyo na hii yangu ni kifaa
@sirjecki
@sirjecki Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@suleimansuleiman1127
@suleimansuleiman1127 Год назад
Tafuta kila kitu ili km hkupendi apende vit vyako 😂😂😂
@ashaselema1923
@ashaselema1923 Год назад
Ila we jeny kishayo na Ally kamwe munatuua na vicheko
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Ally ww
@sarahjoseph5411
@sarahjoseph5411 Год назад
Et unapigisha shoti🤣🤣🤣🤣🤣
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 Год назад
Naam semaji letu uko vyema San inshallah tuta fik mbali
@winchislausrweyongeza8184
@winchislausrweyongeza8184 Год назад
Bwanamdogo unatisha sana
@jumampili7187
@jumampili7187 Год назад
Simu wanaongwa wanawake
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
Acha hasira wew
@everlynkimaro40
@everlynkimaro40 Год назад
Acha makasiriko, tafuta hela👌👌👌👌
@bisulaabdallah1635
@bisulaabdallah1635 Год назад
Binge LA msemaji wa point hapaukipauki kam Ahmed ali
@kulwapaul2379
@kulwapaul2379 Год назад
Bas we kahongwe
@meddyroshan74
@meddyroshan74 Год назад
Ana hashuo uyu
@tanzaniakwanzamaadili5083
@tanzaniakwanzamaadili5083 Год назад
Aly ni rofa wa mwisho, ongelea juu ya yule.mchezaji wa.lebanon ,usizuge
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
Unaweza kuwa na kila kit lkn usiwe na furah chungz half tohowa manen
@hussenhussen3210
@hussenhussen3210 Год назад
Ashura ma UTI amaehongwa simu amekuhonga bwana wako saidoo
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Год назад
Semaji hatari
@happynesskisamo6418
@happynesskisamo6418 Год назад
Jamani amah kweli unachekesha sana i love this💖💖💖
@mosesjacksonkarashani2642
@mosesjacksonkarashani2642 Год назад
Jamaa amekuwa mchekeshaji 😂
@paulboniface2422
@paulboniface2422 Год назад
Hahahahahahahahaha
@PeterEmmanuelMtemi-ih9xp
@PeterEmmanuelMtemi-ih9xp Год назад
Vita akili lazima ujue end state🤣
@khairatkhamis5845
@khairatkhamis5845 Год назад
Sisi watanzania tumekaa kama wachina tunachukua wachezaji wazee waje kul mafao yao
@bestrecipes7357
@bestrecipes7357 Год назад
Jmn 😂😂
@tinradon4618
@tinradon4618 Год назад
Ally mali hiyo hapo inakuhoji
@murshidarajabu3456
@murshidarajabu3456 Год назад
Anayehoji mshamba na anayehojiwa
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@simbamchunga2750
@simbamchunga2750 Год назад
Amekuwa na taarabu sana sikuiz....
@seifmsabah4384
@seifmsabah4384 Год назад
Imekuchoma????
@mucksinbambali492
@mucksinbambali492 Год назад
Mwanaume unajisifia kupewa zawadi😂😂😂 Zawadi waachie akina dada
@janejoel2465
@janejoel2465 Год назад
Kwan yule buki alivyopewa zawad na kocha alikuwa mdada
@rashidimkongewa3927
@rashidimkongewa3927 Год назад
Wewe sema huns
@lightnessmbunda1862
@lightnessmbunda1862 Год назад
🤣🤣🤣mbona kma unaleta makasiriko hivi
@maulidimlanzi7780
@maulidimlanzi7780 Год назад
Mwanaume kuptewa cm namwanaume mwenzako
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
Hasira hizoooo
@everlynkimaro40
@everlynkimaro40 Год назад
Acha makasiriko wewe, tafuta hela👌👌👌
@othmanali7408
@othmanali7408 Год назад
wivu utakuuwa
@stellasheba842
@stellasheba842 Год назад
Huyoo n afisa habari.kapewa kwaajili ya kazi yake cm yenye kiwango kikubwa .mbona mnakua hamna akili.?
@josephchristopher1887
@josephchristopher1887 Год назад
Boss wako hajawahi kukupa zawadi tuliza mshono kupewa zawadi na boss ni kitu kikubwa sana
@teddymhagama611
@teddymhagama611 Год назад
🤣🤣🤣naona unaelekea Mombasa sasa
@murshidarajabu3456
@murshidarajabu3456 Год назад
Ushamba bwana
@alexmollel4431
@alexmollel4431 Год назад
Amesha mwanaume huyo ashura mfirwaji
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 Год назад
😂😂😂
@maulidimlanzi7780
@maulidimlanzi7780 Год назад
Bdio msgamba
@reginaldmakene5987
@reginaldmakene5987 Год назад
Usipende vizawadi zawadi utaolewa
@yakobontigwambukwa
@yakobontigwambukwa Год назад
Kama ni bagger mbona hunenepi🤣🤣🤣🤣🤣
@fundiissa5226
@fundiissa5226 Год назад
Utakuja liwa penda tu vya bure
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
Hasira hizooo
@othmanali7408
@othmanali7408 Год назад
wivu utakuuwa
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Год назад
Duuh mambo mengine utayasikia 2hapa ukienda huko ambako mmeenda kupata uzoefu *Spain lk huwezi ya sikia haya , let's talk about football
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Год назад
Na gari anayoendesha Fei toto ?? Mbona huitaji
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Aca ushamba ww
@esterkomba4072
@esterkomba4072 Год назад
Unazawadi wewe nimwanamke
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Год назад
Aka nako mdomo kama uchi wa nguruwe ,sasa simu ndo yakujitapa saana kajinga Sana hamnazo ashura cheupe ,saido kakivua nguo
@romanmwaisela
@romanmwaisela Год назад
Vumilia mgendi,,,,mbona unatukana sana ww mcha Mungu kweli,,,,,,tubu aisee
@kaskoboychawa620
@kaskoboychawa620 Год назад
Uyo kamwe anamlaga uyo dada mtangazaji sio kwapozi hilo
@AbuuAbdilRahmaan
@AbuuAbdilRahmaan Год назад
Nina wasiwasi walikuwa wote kwenye gari...
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 Год назад
Mwanaume anakupa zawadi duuhh namashaka
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 Год назад
Mshamba wa simu upo kama demu
@irenedavid952
@irenedavid952 Год назад
Una akili mbwa wew kwa in unapenda mambo ya jirani yako yanakushinda
@dainangei6608
@dainangei6608 Год назад
Unaumia ukiwa wapi?
@rekeyamuscat5459
@rekeyamuscat5459 Год назад
Irene david acha matusi jiheshime watu wakuheshimu kimekuleta nn?
@faustinematiku249
@faustinematiku249 Год назад
Mbona makasiriko dunduka kwan ulilazimishwa ku comment alafu wakike wew ujue
@josephyamba9618
@josephyamba9618 Год назад
Tatizo ukiwa kolo kila mda una mattress tyu
@imatisatv9239
@imatisatv9239 Год назад
Wewe itakuwa msagaji siyo hivi hivi,
Далее
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Просмотров 128 тыс.
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Просмотров 128 тыс.