Sisi tuliozaliwa 80’s tunaelewa mchezo. Aliyetoa gari yuko na mkewe na watoto anachek on behalf. Ila bongo mtajaa misikitini na makanisani ila dhambi Ya uongo ina wacost sn😢.
Mm rafiki yangu sara ni ze best hata asiponipa hata Mia faraja yake nikitu nakiheshimu na kukipenda ahsante mungu kwa kunipa sara hata kama hana kitu ipo siku atakuwa navyo vingi