Kaka manager hongera kwa kumsupport Suzy Mungu Atakulipa nakushauri canceling angalau kwa week mara moja. Na km atakuwa anakukosea mvumilie tu jamani. Na hongera since una msimamia naye amegaa(KAPENDEZA) Mashalah Jamani Ana kipaji natural
Muachen suzy kashasema ukwel sio kwake mashaalaah😂na kasoma shule nzuri ni maisha tu ila kikubwa uhai...Zaidi suzy kama shoga wa kithailand 😂mtangazaji yeye ni msosi tu hajali hata sauti ni mbaya
Wewe hujamuelewa anasema amempigia simu bila kumpanga kuhusu kipindi. Hivyo amemuuliza alipo kamuelekeza sasa hawezi kuacha kurecord kipindi na wao wameshafika eneo la tukio na kipindi lazima kiruke