Kumbe hawa watu bado hawajapowa minlizan washapowa ndowapo kila mtu kivyake kumbe bado hahhhhhhhhh hahhhhhhhhh alofurahiya hii TUJUANE kwakugonga like pls
Dah hii Duo ilikuwa ni matatizo sana. Hamna kama Ze Comedy show kama hii...Kipindi pekee ambacho hata wazee wetu waliwahi nyumbani saa12 kuangalia Ze Comedy!