@@graffinamisi failure ni ww,nakuhurumia sana ady,nani amekwambia niko na aja na kazi..na kitu ingine na ya mwisho achana na comment yangu la sivyo utajua mm ni mkamba na siliagi macho mshezi ww ata auna maisha
Ooooh God thank you kwa baba karobo kuona .tapfazalie usioneshe uyo mama wa roho cafu Kama umeona 🙄paka uyajuwe yote 🗣️Asante enjoy mama karabo🙏 nawapenda sana .from Rwanda 🙏
Jamani hizi vitu twaeza amini kweli viko wakati mkeo kafa na ww uwe mngonjwa napiga mkeo aje kukutokezea up one kweli viko 🤔🤔mm nabaki kushangaa ila hii movie inanitia manjodzi saana aki wanawake kma mama karobo wa Sasa sio wanake wazuri🎉🎉❤❤ kazi nzuuri baba jone