Тёмный

ANGALIA JINSI MREMBO SADAH ALIVYOPAGAWA KWA KUCHAGULIWA NA MR RIGHT WAKE 

TV3 TANZANIA
Подписаться 314 тыс.
Просмотров 836 тыс.
50% 1

Kwa story Zaidi tufuatilie kupitia Mitandao :
►Twitter / tv3tanzania
►Instagram / tv3tanzania
►Facebook / tv3tanzania
►TikTok / tv3tanzania

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 426   
@AmosiJohn-r2p
@AmosiJohn-r2p 8 месяцев назад
Akii nimependa hiki kipindi nahsi mnapunguza ushoga na biashara ya kujiuza conguduration love it
@phaizmgandi6935
@phaizmgandi6935 2 года назад
Congratulations 🎉👏 my brother you have chosen the beauty one.....
@adelinafrancis7005
@adelinafrancis7005 2 года назад
Upendo keep it up my beloved,wish u all the best for ur new relationship baby girl👌👌👌💕
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 2 года назад
Watu mna siri sana 🤣🤣🤣 by the way, jamaa ana jicho la maisha
@theosaimon6933
@theosaimon6933 2 года назад
Alafu wamefanana sana pia congratulations 👏 sana watching from Switzerland
@coolvoices6608
@coolvoices6608 2 года назад
Jamani mmefika vipi huko wenzetu si mtupe michongo na sie 😂
@nanamohamed6525
@nanamohamed6525 2 года назад
Heeee Kwaiyo wapenzi
@richardmbeche8026
@richardmbeche8026 2 года назад
They make a very good couple and they look alike
@restkalemile5274
@restkalemile5274 2 года назад
Huyo pascal anaonekana msela sana..... Dolla wala usiumie hata huyo sada yatamshind😳💪😂😂😂😂
@benhanclove5997
@benhanclove5997 2 года назад
Au vp😂😂
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 года назад
Mbona Mademu wengi mnaombena mabaya Aki sii umfurahie mwenzako kapata
@digitalworld7451
@digitalworld7451 2 года назад
Wanaume ni wachache kumbe na hamniambiii 😹😹😹 sijapenda kwa kwel
@rehemakassim4445
@rehemakassim4445 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ndy ulikubwa ujui
@gracemohamed6865
@gracemohamed6865 2 года назад
Kaz yenu njema Sana ...natamani kufik siku moja...hapo bishop Grace ..
@Jayden-i1n
@Jayden-i1n 7 месяцев назад
this still the best ever i wish you bring back this beatiful couple ever
@musandiege2111
@musandiege2111 2 года назад
jamani mimi sijaelewa nikuwa hapo unatafuta mwenzi wa maisha au unatafuta mtu wakufanya nae uasherati mwenye maelezo naomba anisaidie
@ramlakimaro5409
@ramlakimaro5409 2 года назад
Kumbe 2po wengi ambao hatuelew
@ramlakimaro5409
@ramlakimaro5409 2 года назад
Kumbe hatuelew weng
@salomevenance9555
@salomevenance9555 2 года назад
Diva nakupenda sana upo vizuri dada
@jacquelinetairo1539
@jacquelinetairo1539 2 года назад
Watching from Switzerland, the show is superb 👌
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 Год назад
You're stupid! you're happy for ungodly program!
@alicecuttie8177
@alicecuttie8177 2 года назад
Woow wanapendezan san big up san 😍 🙌
@mkongomani4678
@mkongomani4678 Год назад
Watching from Congo 🇨🇩 dah!! Aisee noma wa Tanzania
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Год назад
laana ya Mungu iwe juu yenu kwa kuitangaza na kukusanya wazinzi katika zinaa
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
Usiwalaani bado wapo hai huenda watatubia kwa mola wao.Hata wewe uombe tu kwa mungu hatima njema bado upo hai. Hata mm nachukia hichi kipindi kwani dada zetu wanazalilishwa bila kujielewa alafu ni kama tu mtu akiondoka na mwanamke ni sawa amepata kibali cha kuendeleza zinaa.ILA TUSIWALANI NI KOSA KUBWA KUMLAANI ALIYEHAI.
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 года назад
Hii kapo inakubalika sana wako vizuri sana mungu ailinde ndoa yenu💞💞💞💞💞💞💞
@minamina4240
@minamina4240 2 года назад
Gift naomba kuliza na mm nataka mume je nawezaje kushiriki kunakulipa pesa au
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 года назад
@@minamina4240 waaaah mimi niko hata siko huko dadangu mimi hua naangalia tu but niko mbali sana niko Saudi Arabia imean Gulf tena natoka kenya but napenda sana kuangalia Mt right
@richardmbeche8026
@richardmbeche8026 2 года назад
Wanafanana,Mola awabariki.Betty Mbeche
@Paulomairo
@Paulomairo 2 месяца назад
Dah nimeipenda sana nawezaje kujiunga
@IanModric-dh1qz
@IanModric-dh1qz 11 месяцев назад
Much love ❤❤❤
@brightonngussa7830
@brightonngussa7830 2 года назад
mungu wangu raha sana duh watu had wanaria jaman inauma sana
@Zaburi-
@Zaburi- 2 года назад
Mungu/ MUNGU sio mungu
@mariamoman5057
@mariamoman5057 Год назад
Love from 🇴🇲 🇧🇮 💖 but nta kuja na mimi but Nataka Mme ame tulia
@danielbarasa3342
@danielbarasa3342 2 года назад
Eiiiish Sadah mali safi, bonge la shepuuu😋😋😋😋😋😍😍😍😍😍
@esterpaul3146
@esterpaul3146 2 года назад
Iki kpnd wanakuwa Kama watt kumlilia mdo mdo kwa Mara ya kwanza unamuona aujui atavundan wake😄😄
@restkalemile5274
@restkalemile5274 2 года назад
Kizazi hichi hakuna watu , yaan watu nature ilishateketzwa na madawa.... Yaan tupo tu, mtu humjui kiundai..... Unapalamia eti anamuonekano ngoja afike ndan sasa, utakimbia
@salmonsalvatory6361
@salmonsalvatory6361 Год назад
Kipindi cha kihuni hiki 😂
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 года назад
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Isaya 4:1
@jacklinebukaka4923
@jacklinebukaka4923 2 года назад
Ety hiyo live inapatikana wap
@favourfuraha
@favourfuraha Год назад
bro you've made the best choice
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Kweli dada umejipanga icho kinguo kilivyokubana chini adi kumevimba kitovu nje duh hatari kweli kweli
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
😁😁
@maryimai7370
@maryimai7370 2 года назад
Wow, I love this, it's not easy in deed,ingelikua mm, from Kenya
@joycesinkala225
@joycesinkala225 2 года назад
Sana dada lulu nakupenda unapendezesha sana shoo unaongea kwakujiamini sana🙏🙏🙏💕💕💕💞💞💞
@minamina4240
@minamina4240 2 года назад
Dada naomba kuliza hi mm nawezaje kushiriki
@joycesinkala225
@joycesinkala225 2 года назад
@@minamina4240 andika hello mrs lithy itakuja
@mbuyancholla2852
@mbuyancholla2852 2 года назад
Wajina hongera Sana Mpendwa kinasada huwaga wapele Sana ila hicho kivazi best 🙈
@phaizmgandi6935
@phaizmgandi6935 2 года назад
Am Phaiz from Kenya
@aynesshezron5588
@aynesshezron5588 2 года назад
Machozi yamemchanganya mweeeh!!!
@Jayden-i1n
@Jayden-i1n 7 месяцев назад
this is still the best episod
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 года назад
Mungu ana kazi Kweli kweli. Dalili hizi zote ni za kurudi kwa Yesu, tunapoyaona haya tujiandaeni ndg zangu. Kuna uwezekano wa siku moja kupata mchumba sahihi au mnataka kuchochea wimbi la wanawake kutumika na wapuuzi huku wakiwatelekeza na kuwaachia machungu yasiyosahaurika ktk maisha yao? Mwenye macho na aone pia mwenye masikio na asikie.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 2 года назад
,👏👏👏👏
@ziadaabdalah7706
@ziadaabdalah7706 2 года назад
Hakika hay Mambo Dunia sijui inaenda wap
@secretstriker2249
@secretstriker2249 2 года назад
Sasa huku unafanyaje😂😂😂😂😂
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 года назад
@@secretstriker2249 Huku ninawatafuta watu kama ww ili upate ufahamu usipotee( kiujumla namtafuta kondoo aliyepotea)
@secretstriker2249
@secretstriker2249 2 года назад
@@elishakayagwa9371 Yesu mwenyewe hajawahi shauri namna ya kupata wachumba..we ndo uliepotea huku😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Ehee sada kavurugwa 😂😂😂
@dainecwilson7827
@dainecwilson7827 Год назад
😅😅😅nimecheka kwakwer sa analia nin😅😅
@ivankipobota3162
@ivankipobota3162 2 года назад
Season 2 sio nzuri Sanaa Kama season 1 Na muda nao umebana
@BukuruIbrahim-o3m
@BukuruIbrahim-o3m Месяц назад
Ameniosha moyo
@lovenessfrank95
@lovenessfrank95 2 года назад
jaman mimi naona watangazaji hawako serious wako na talent sana ila hawako kama wamejiandaaa and pia vitu kama the way wanavaa the way wana mapoz fla mtu unazan kama yuko nyumban and concern ya kelele angekuepo dj awe anaziba izo kelel for me naona idea nzur ila hawajawa well composed kwakwel
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 2 года назад
Zamani kweli walikuwa wanachaguliwa wanawake ila wakuliwa wanachaguliwa wanawake wabichi vigoli asa aya yamekubuu yamedanga mpaka yamechoka😋😋😋 alafu kweli mtt wa kiume una hela zako una biashala zako unashindwa kupata dem mrembo mwenye heshima zake mpaka kujizalilisha halafu hawa wanao endesha kipindi naona kama wanachulia maboya hivi ni mtazamo tu.
@firdausrajabu6822
@firdausrajabu6822 2 года назад
Aya bn
@atomphoton5000
@atomphoton5000 Год назад
aisee MUNILA nimemuelewa sana, namba yake inpatikanaje?
@lang6626
@lang6626 Год назад
😂😂I was rooting for her 🤞
@trillionairekid4256
@trillionairekid4256 2 года назад
So good🤗🤗🤗
@charlesyotham7977
@charlesyotham7977 Год назад
Hivi ni kweli au Sanaa jamani.ukishamchagua ndio anakuwa mke au Mme.
@pandmlekwajecha8765
@pandmlekwajecha8765 Год назад
Charles umeuliza kitu Kumbe mizigo inakuwepo Duuuh
@princessringo2879
@princessringo2879 2 года назад
Mimi naangalia ili kama nitamuona mpenzi wangu akienda kutafta mpenz wake😒
@samudakuz6897
@samudakuz6897 2 года назад
Hhahaa
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢
@witnessinary7807
@witnessinary7807 2 года назад
🤣🤣🤣
@fikirimsongamwanja895
@fikirimsongamwanja895 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@salumnsumyi-pk4vi
@salumnsumyi-pk4vi Год назад
Hahahaha
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Год назад
Kwani hao wadada wajiuza au wanapigwa mnada! Mm sijaelewa kiendeleacho hapo! Dunia imefika mwisho.
@salmacazzy1915
@salmacazzy1915 2 года назад
Naipend hii capple jamn sichoki kuangalia ❤️ sijui kama bado mpo pamoj mpak sasa 😜💞
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 года назад
Huyu mkaka ninavyo hisi alitendwa na mdada mweupe🤣🤣ndio mana hakumtaka Dora
@henriettebahati6710
@henriettebahati6710 2 года назад
So beautiful and wonderful
@BB-qp1ir
@BB-qp1ir 2 года назад
Sijawahi tazama hii show, ila inaonesha inafurahisha😅😅
@marymwalimu9539
@marymwalimu9539 Год назад
Nataka kujoin pia
@candiesalm8995
@candiesalm8995 2 года назад
Kwann asioe wote😆😆😆
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 2 года назад
Hahahahah
@saudakayera776
@saudakayera776 2 года назад
😂😂😂
@salumnsumyi-pk4vi
@salumnsumyi-pk4vi Год назад
Jamani
@anselmoonolius
@anselmoonolius Год назад
Kati ya ujinga na upumbafu umewah kutokea tz Basi ni huu😂😂😂😂😂😂😂
@nicksonthevet
@nicksonthevet 2 года назад
Hivi ninaangalia mchezo gani? Nini kinaendelea hapa?
@latifartygh4828
@latifartygh4828 2 года назад
Mm mwenyewe sielewi
@anjelaerick3206
@anjelaerick3206 2 года назад
Hiii inahusu wale wenye uhitaji wa kuoa na kuolewa ndo ukipata wa kupendana naye maisha yanaendelea
@nicksonthevet
@nicksonthevet 2 года назад
@@anjelaerick3206 Itakuwa bongo movie uhalisia haupo
@roseathumani9256
@roseathumani9256 2 года назад
Duuuh hii nayo n changamoto mtu humjui tabia zake wala nn halaf unamlilia kwel wanawake tunatia aibu😓
@nicksonthevet
@nicksonthevet 2 года назад
@@roseathumani9256 hahahaha
@gasper7585
@gasper7585 2 года назад
It right to choose one you love ❤ from heart
@bernardmukunze9594
@bernardmukunze9594 2 года назад
Doo huu ni mzaa mke hachaguliwi studio baana
@bernardmukunze9594
@bernardmukunze9594 2 года назад
Hizi ni stori za Alfa olela olela stori zakupitisha wakati
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 года назад
Ila Ni Kama alimpenda Dora na kumuonea huruma kwa kuwa Ana mtoto lakin kajikuta tu amempenda sada
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Sn uyu kaka alimpenda yule Dada mweupe sio sada Sema kakubali kwakuwa alikuwa analia sn
@badruathumani7213
@badruathumani7213 Год назад
Me naona kamuonea huruma sada
@benhanclove5997
@benhanclove5997 Год назад
Daah!! Kweli
@mwanalimasaid2368
@mwanalimasaid2368 Год назад
Amemuonea huruma uyu dda Amelia snaaa ila hajampnda
@marygyumi1037
@marygyumi1037 2 года назад
Show yenu ni nzuri, ila warembo wapewe muda wa kukaa hapo ili na wengine waweze kushiriki, sio MTU anakuwa kisiki mpaka anaboa.
@abrittohpuertoricopappito
@abrittohpuertoricopappito Год назад
Mungu awasimamieni
@RayElieza
@RayElieza 8 месяцев назад
Shangaaaa unamulilia alafu yeye hajakwelewa😅😅😅
@Gmama264
@Gmama264 2 года назад
Mmh yn kuchagulia ndo ulie kama vile upo bss Mana uko bss kwenyew unapew hela Yan mm nilie et nmechaguliw na boy niwe dem wake hapana kwakwel uwiiiii mungu niepushe na kikombe hiki kibooooo😜😜😜😜
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Год назад
Sawa
@rechonjogo228
@rechonjogo228 2 года назад
Hi sho iko wapi pia mimi nije nichague
@shijaselemansamwelshijasel5487
👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@jamesmlekuta315
@jamesmlekuta315 2 года назад
Yes
@graceleonard6228
@graceleonard6228 2 года назад
Kwani wanapatikana wapi tukaone live 😂😂
@elizaburetta9377
@elizaburetta9377 2 года назад
Uyu kaka ni mzur jaman😊
@vancappi2796
@vancappi2796 2 года назад
Nataka ni comment ujinga... Au basi acha ukahaba uhamie mitandaoni
@ningekuwambunge820
@ningekuwambunge820 2 года назад
Binafsi nimefanikiwa kukiangalia hiki kipindi mara mbili au tatu lakini ninaona kinachoendelea hapa ni unyanyasaji wa kijinsia "sexual harassment" Mwanamke mwenye akili timamu/anayejielewa hawezi kushiriki.. Ni maoni yangu tu.🙏🙏🙏
@happytz
@happytz 2 года назад
Kweli Kabisa Sasa utamwonaje mtu hapo na kumpenda hapo hapoa
@hafsahussein505
@hafsahussein505 2 года назад
Mwanmke mwema na mwanaume mwema hawapikani sehemu kama hz, hapo wote ni magumegume
@happytz
@happytz 2 года назад
@@hafsahussein505 ni kwel nakubaliana na wew kabisa
@hafsahussein505
@hafsahussein505 2 года назад
@@happytz km huyo sada amevaa crop top hadi kitovu kinaonekana ndo wife material huyo
@happytz
@happytz 2 года назад
@@hafsahussein505 🤣🤣🤣🤣ni shida tupu tunadanganywa tu
@RechoBakar
@RechoBakar 7 месяцев назад
Uyo kaka itakuwa alitaka kubadili maamuzi
@RechoBakar
@RechoBakar 7 месяцев назад
Uyo kaka itakuwa alitaka kubadili maamuzi bora kapolwa maik
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 года назад
🤣🤣huu Ni mchezo gani jmn mbona unafurahisha jamn nataman kuucheza na Mimi nilie 🤣🤣
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Kwakweli
@willywaves9069
@willywaves9069 2 года назад
Unachagua mwanamke kama nyanya 😂😂.. kuna shida hapo🤔🤔
@MaryamMaryam-sr8zp
@MaryamMaryam-sr8zp Год назад
Atar🤣🤣🤣
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 года назад
Je mnakumbuka kuwapima lkn?????
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 года назад
Hahahahaha haya bana
@hassankifumbe9998
@hassankifumbe9998 2 года назад
Umependezana sanaaa
@mumymullah1293
@mumymullah1293 2 года назад
hivi hawa wanaume wamekua shida kupatika mpaka mtoto mzuri ajilize hivyooo....
@alimbarouk9353
@alimbarouk9353 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Jamaa Kaona Kalio Apo
@Silyvesta
@Silyvesta 2 года назад
Huko ni kuwatumikisha wanawake na manyanyaso mnaona kama utani Ila watu wanaumia Sana Hilo silo la kufumbia macho serikali walichunguze hili Kwa kina.
@meaningoflife651
@meaningoflife651 2 года назад
Jmn uyu sada analia ivo😂😂😂😂😂
@amanichidyboy2900
@amanichidyboy2900 2 года назад
Hio sehemu ipo wapi?
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 года назад
Masaki
@nazymarthamusah5354
@nazymarthamusah5354 2 года назад
Jamnai sada
@rehemashinsi
@rehemashinsi Год назад
neema ukiwa stegini nafurahi sana uko poa sana yaani naenjoy sana
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 2 года назад
Ila hawa wadada wanatafuta Waume alafu wanavaa ovyooo 😥😥😥 hapo tu kama wanajiuza
@sumunistebo8493
@sumunistebo8493 2 года назад
Yani huyu SADA kavaa ovyoo
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 2 года назад
Kwani Nikitu Gani Jaman Apa Mbona Sielew
@thomasdonald4663
@thomasdonald4663 2 года назад
Jamani eeeh nimeangalia lakini sijaelewa nn mchezo au ndo kajipatia jiko
@yunyun799
@yunyun799 2 года назад
😂😂😂😂
@babytausi9669
@babytausi9669 2 года назад
Sasa ndio nini me hata sielew
@ayebarealexander8778
@ayebarealexander8778 2 года назад
Sadah alicatch mafeeling.
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 2 года назад
Hapa ndio kujizalilisha kwa wanawake duu,,,dunia imeisha,,,,ndio mana tukaambiwa wanawake akili zao kama watoto wadogo,,,,
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Unajuwa mm uwa nilikuwa najuwaga ni kuigiza tu kumbe wnachukuwa kweli kina pemapenzi
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 2 года назад
Hawo sio wake
@qeenemmah8325
@qeenemmah8325 2 года назад
Hii show ya Kenya n moto😂😂😂😂
@kelvinvitalis2965
@kelvinvitalis2965 2 года назад
Hii ni kweli au sijawahi ona ishu Kama hii
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Год назад
Nguo mnazovaa😢😢😢😢 jiheshimuni
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 года назад
Unaweza kuzimia hapa
@mercymutheu688
@mercymutheu688 2 года назад
Mapenzi ni ujinga kweli 🤣🤣Sasa wanalia nn
@violethuronu6925
@violethuronu6925 2 года назад
Ooo
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 года назад
Kama umepata anayekupenda shukuru MUNGU maana siku kikiumana utatamani kuuwa dunia nzima
@mercymutheu688
@mercymutheu688 2 года назад
@@Mnyamas apna
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 Год назад
Cha muhimu wadumu, kuanzisha ni rahisi sana
@sesiliasalleko2013
@sesiliasalleko2013 2 года назад
Aiseeee hivi kweli Kuna wanawake wamejikatia tamaa kiasi hiki 😭😭😭daaaah
@rahmasuleimanomar1505
@rahmasuleimanomar1505 2 года назад
Naon
@rosefredy5398
@rosefredy5398 2 года назад
Hahahahahahahaha no comment maan sielew
@sarahmatupila6728
@sarahmatupila6728 2 года назад
❤❤
@jackjoshua3666
@jackjoshua3666 2 года назад
Aki Hadi mmeniliza♥️♥️
@danielpaul84
@danielpaul84 2 года назад
Wasichana wenyewe wanavaa Nguo gani hizo
@happytz
@happytz 2 года назад
😂😂
@anselmoonolius
@anselmoonolius Год назад
Hii kitu inafundisha nn jamii????
Далее
HUYU JAMAA MBONA MTATA SANA AISE!!
9:54
Просмотров 636 тыс.
STORY YA MAPENZI ILIYOLIZA WATU KWENYE MR RIGHT SHOW
5:38