Тёмный
No video :(

AWASHIWA TAA ZOTE | TAZAMA WAREMBO WALIVYOMGOMBANIA | ANA UZURI WA KIUME PESA IPO | HELLO MR RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 324 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 313   
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh 6 месяцев назад
Nyinyi mnaoendesha Mr Right nahao Wanawake wanaojiuza hadharani,mnamkera Allah nadalili zakiama, niwanawake kujaa masokoni.. Allah akbaru
@hermannicholaus
@hermannicholaus 6 месяцев назад
Ivi nyie mnawazaga dhambi na zinaa Hyo ni maigizo kama vichekesho tuu
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 6 месяцев назад
Kabisa
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 6 месяцев назад
Mcheni Mungu na kumtukuza,siku ya Bwana inakuja!
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 6 месяцев назад
Yalekebisheni mapito yenu,msienende namna ya ulimwengu huu!
@omanoman2044
@omanoman2044 6 месяцев назад
Hakika hujakosea.qiyam hakiko mbali tufanye ibada kumrudia mungu naumala unawasupuw
@user-du6ql2ev7p
@user-du6ql2ev7p 5 месяцев назад
Mwanaume anaejielewa hawezi kwenda sehem kama hizi kutafta hao makahaba
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 6 месяцев назад
Shetani Yuko kazini daaa saiz hawajiuzi vichochoroni wanakuja hadharani 😢😢😢😢😢😢
@user-wy5vj8cu1i
@user-wy5vj8cu1i 5 месяцев назад
Allah mstahamilivu sana ila kama si hvyo ana uwezo wa kutoa adhbu yoyote aitakayo muda wowote Allah tunusuru waja wako hakika ss ni wadhaifu
@user-pg2iq6wn8l
@user-pg2iq6wn8l 3 месяца назад
Wanawake wanapenda wanaume weusi wenye mng'aro,ambao hawana mambo mengi, smart kichwani,wasafi,wapambanaji na wakweli.ukiwa na sifa hizo hata kama masikini utapendwa na wengi
@gasperrobert7036
@gasperrobert7036 6 месяцев назад
Huyu Mr Right ni schoolmate wangu wa advance pale Bagamoyo Sec ,ama kweli miaka inaenda leo Oscar anatafta Mchumba apa 😂
@westcijosh
@westcijosh 6 месяцев назад
Hapana hatafuti ni scripted
@JastinaRuguma
@JastinaRuguma 5 месяцев назад
😂
@venacyibrahim5056
@venacyibrahim5056 5 месяцев назад
Yaani na yeye na elimu yake amekosa mtu huko anakuja hapa??!, kweli pesa zake na elim yake havimsaidiii chochote. Ebu fikilia hao warembo profile zao mbona hazitajwi????, ukijiuliza hilo swali na ukapata jibu. Utaona wanaume wanaoenda kutafuta wanawake hapo wanashida hawako sawa
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
Na osca kapendwa kwa umoja wa wadada😂😂😂😂❤
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
​@@venacyibrahim5056agiza soda I will pay it 👍
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 6 месяцев назад
Hiiioo nayo n aina ya umalaya tu😂😂😂
@SamwelOgonyo
@SamwelOgonyo 5 месяцев назад
Pia mm ntawatembelea am from Kenya 🇰🇪 warembo wapo
@lydiahkerubo4985
@lydiahkerubo4985 6 месяцев назад
Sa huko ni soko kweri😂😂😂 heri nitafute kwa strit😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 месяцев назад
Zalishi na eliza mina wanamidomo n niwakongwe hapo😂😂😂n hamjachaguliwa
@Happinesabella3654
@Happinesabella3654 6 месяцев назад
Niwasaidie wakongwe Kama Eliza na zarish na wengine watu wanawaona kila siku mpo na mna nyodo Sana ndo maana hamchaguliwi wanaotaka wapya nenden mkatafute wenza mtaan acheni kujianika
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 месяцев назад
Kwanza madem wenyewe wote wabaya 😂😂
@hus-keenwizer679
@hus-keenwizer679 6 месяцев назад
😂😂😂
@user-ly7ho2oo8y
@user-ly7ho2oo8y 5 месяцев назад
😂😂😂😂kbx
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
Wivu naweerr😂😂😂😂😂😂😅
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
Ila kama una point agiza ntalipa😂
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 месяца назад
@@user-ek7nu1qc8g 😂😂
@MegaNasri-bv7tc
@MegaNasri-bv7tc Месяц назад
Sasa nimegundua wanaume wa iringa wanapendwa nimetoka kulizwa juzi tu mwezenu 😢wako na iyo bahati ya kupendwa na wanawake😂❤
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 6 месяцев назад
Ndio mana ndoa hazidumu sikuizi hamuezi vumulia mashida kwasababu mmepatana katika mazingira ya kiuni uni😂
@bettykarume5619
@bettykarume5619 6 месяцев назад
Mkulima makini sana huyu af anajielewa mnooooo big up sanaaaaaa😊
@sospeterurassa9894
@sospeterurassa9894 6 месяцев назад
Uzuri wa mtu sio hela wala muonekano mzuri au kawaida, Wapo zuri wa sura umbo na kinyume chake wapo ,hapa ni kuomba Mungu tu kila mwandamu ana mazuri na mapungufu yake bila kuishi au kufahamiana japo kidogo huwezi kujua Yaani hapo mtu siku moja tu unatangaza maisha ya pamoja kabla ya kufahamiana ni hatari tupu,
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 6 месяцев назад
Tena ni ujinga mtupu...hujui historian yake japo kidogo jamaniiii😩
@Sakina-sk8rn
@Sakina-sk8rn 5 месяцев назад
Yaani bola nimuombe Mungu wa Kuhani musa anisaidie tu nipate wangu kuliko uko
@Sakina-sk8rn
@Sakina-sk8rn 5 месяцев назад
Ata kunusa kupo apo aya makubwa
@UstadhiMfinanga
@UstadhiMfinanga 6 месяцев назад
Sidhani kua unaweza kumpta mke hapo stara ya mke hapo ipo wpi
@agriparose3942
@agriparose3942 6 месяцев назад
Mr right Mrs right wako niko hapa acha kujichelewesha na zinaa hizo
@user-gq8zy3xh1k
@user-gq8zy3xh1k 6 месяцев назад
Duuuuu ila akina Lizzy Mungu atusaidie🏃
@mshewetv
@mshewetv 6 месяцев назад
Kiindi kifungiwe ni upuuzi tu hapa
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 6 месяцев назад
zinaaaaa matangazo
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 6 месяцев назад
fact
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 5 месяцев назад
NJE YA POINT,JE HIVI NDIVYO MLIVYOAMBIWA MVAE NA RAIS??? SHAME TO YOU.HATA HIKI KIPINDI HAMFUNDISHI KITU ILA KUPOTEZAA😢
@hawababy120
@hawababy120 6 месяцев назад
😂😂😂😂apokwanusa nimecheka san😂😂😂🇧🇮🔥🔥
@IssakaMisholo-wy7mf
@IssakaMisholo-wy7mf 2 месяца назад
So good job
@FATUMACHIPYANGU
@FATUMACHIPYANGU 6 месяцев назад
Awa wadada.wanajirahisisha mno kama makahABA DUUH😢😢
@renatuschina220
@renatuschina220 6 месяцев назад
Duuh nomaaa😀😀
@aziziiddi
@aziziiddi 6 месяцев назад
Afadhali LOLO kaondok maan nimempenda bure...
@aziziiddi
@aziziiddi 6 месяцев назад
Yani hapa najifunza muonekano ndy chakwanz mwanamke anaangalia😊❤😂
@ahmedhamis
@ahmedhamis 6 месяцев назад
Hatarii na nusu
@user-ey5vz8sz9u
@user-ey5vz8sz9u 6 месяцев назад
Wahehe eanajia kupenda pia wanawifu sana ukimsariti kukutoa roho sioshidazake
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 месяцев назад
Hiii inadhaminiwa na freemason
@faustinemillanzi2899
@faustinemillanzi2899 6 месяцев назад
Bila shaka
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 6 месяцев назад
Please naomba no ya huyo kaka ili anifanye nione dunia ni mahali salama pakuishi❤❤🎉🎉😂😂😂nyie wakaka huwa wanamaneno yakutuaminisha😅😅😅
@noellahgervas90
@noellahgervas90 6 месяцев назад
😂😂😂
@mcback4384
@mcback4384 6 месяцев назад
Unaweza kuta mfukoni hata nauli hana, simu imeharibika charging system mwezi wa 3 sasa
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 6 месяцев назад
@@mcback4384 ila ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niache kdgo🙌🙌🙌🙌😂😂😂
@oshaimuafrica8398
@oshaimuafrica8398 4 месяца назад
Fire
@user-zm7if2wi4l
@user-zm7if2wi4l 4 месяца назад
Allah tusamehe maana pesa inasababisha tunafanya kila tu Cha kumfurahisha shetani ila nakuomba usimsamehe yoyote anaekuza zinaa allahu akbar allahu akbar allahu akbar
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 6 месяцев назад
Mwanaume kama mimi siwezi kutafuta mwanamke hapo😂😂
@musajackison5965
@musajackison5965 6 месяцев назад
Ww jamaa usiogope kachukue vyuma hivyo
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 6 месяцев назад
@@musajackison5965 🤣🤣🤣🤣
@tausimohammedy
@tausimohammedy 6 месяцев назад
kwan unanini bwana weeh 😅😅 kwenda
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
Njooo mkuuu untie Niko hapa😂😂😂😂
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 4 месяца назад
@@tausimohammedy Nina hela na nina nguvu. za kiume
@musondolirobert3922
@musondolirobert3922 6 месяцев назад
Aliya leo nimevutwa na mivalio yako leo❤
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 месяцев назад
Eliza kaumbuliwa et asogee aibu khaaa 😂😂😂😂
@user-tr5ld8sv8i
@user-tr5ld8sv8i 5 месяцев назад
Yaan etu amnuse ili chiz lawapi hhhhh
@faudhiaramadhani2308
@faudhiaramadhani2308 4 месяца назад
😂😂 nikikumbuka ya Ciara na yule kaka Sina Hali nabakigi kucheka tuu
@restypeter1141
@restypeter1141 6 месяцев назад
Elizaaaaa sahiv kila mwanaume anampenda😂
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 6 месяцев назад
Baada ya kuchunda😂😂😂 ukiringa sn haya ndo madhara
@salomevenance9555
@salomevenance9555 6 месяцев назад
😄😄😄😄😄😄😄😄jmn
@irenemacha5661
@irenemacha5661 6 месяцев назад
Kishangazi😂😂😂
@imanibakili8028
@imanibakili8028 6 месяцев назад
😄
@user-oe7kc1jm3q
@user-oe7kc1jm3q 3 месяца назад
🤣🤣Anajikutaga malkia saiv kachunda mwenyewe
@sethjohnson7266
@sethjohnson7266 4 месяца назад
Wanaume wanaopenda hapo ni domo zege. Kwamba wanakosa jinsi ya kutafuta wadada na kuwashawishi mpaka waende kujiuza hapo!! Eti Mr Right, 😄😄😄 uhuni mtupu
@user-pg2iq6wn8l
@user-pg2iq6wn8l 3 месяца назад
Maigizo haya
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 6 месяцев назад
Wooow huyu mr right ni fire💥💥💥
@kamkubwa
@kamkubwa 3 месяца назад
Haujaniona mie
@johndavid7318
@johndavid7318 6 месяцев назад
Jamaa yuko straight sana afu anajibu kama anasoma sehem hiv skia hilo jibu apo kwenye zabibu apo baba wachache tu watamuelewa Aseeh mpeni pepsi baridi apo
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 6 месяцев назад
Hatari 😅
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec 6 месяцев назад
Uyu Eliza sijampenda kwa kweli anawenge sanaa
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂kwani Bado achapata mchumba anakiherehere sana
@queensalema5262
@queensalema5262 6 месяцев назад
Najua mwanaume mref mweus Kwa nn anapendwa na wadad weng😂
@user-uw6jm2rg5w
@user-uw6jm2rg5w 6 месяцев назад
Tuna nini kwani🙄
@user-hb2nn3nf8p
@user-hb2nn3nf8p 4 месяца назад
Wazurii
@David-if6nk
@David-if6nk 4 месяца назад
Kimo chake Mbona cha kawaida
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
Ebu niambie
@bantu573
@bantu573 6 месяцев назад
Lemme preserve my comment
@grolykimario26
@grolykimario26 6 месяцев назад
Mmmmm eliza bwana aibu naona mm😂😂
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
Anakera Hadi basi tuko sote
@SalhaKhalidi
@SalhaKhalidi Месяц назад
@rahmamusa8548
@rahmamusa8548 4 месяца назад
Eliza kanywa soda. Sana kwenye stage atamaliza cret😮😮
@user-qe5sk4gd6e
@user-qe5sk4gd6e 6 месяцев назад
Eliza bado yupo😅😅😅😅
@Edwinminjajr
@Edwinminjajr 2 месяца назад
Huyu Jack alishapataga mtu jamani?kama hakupata mwenye contact yake pliz
@ibrahimpengele6362
@ibrahimpengele6362 15 дней назад
Kongole kwako mnyalu mwenzangu
@samsed-media9911
@samsed-media9911 6 месяцев назад
Namuona Manara pale mbele na kofiaaa😅
@hanifaalhanif6392
@hanifaalhanif6392 6 месяцев назад
mashallah i like this gays
@elianeradius
@elianeradius 6 месяцев назад
Tumia tu kiswahili ndugu😅.
@inno5044
@inno5044 5 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@regen5458
@regen5458 5 месяцев назад
Haki wewe 🤣🤣​@@elianeradius
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 6 месяцев назад
madanguro yamefungwa yamehamia mtandaoni wanake nawanaume wanatafutwa kwa staili hii kweli
@JacqDaniels-hu5xj
@JacqDaniels-hu5xj 5 месяцев назад
Ila huyu kaka jmn❤
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 месяцев назад
Huyo eliza leo kaangukia pua vile alivyowaza alijua atachaguliwa yy
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 6 месяцев назад
Halafu si mmama kabisa hata sauti yake inaonyesha 😂😂huyo mkaka atakuwa ni mdogo kwake
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 6 месяцев назад
Mr right na kipara chake cha jua kali
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 niuwe
@hus-keenwizer679
@hus-keenwizer679 6 месяцев назад
Itanibidi ninyoe na mmi pia😂
@AdmiringFlowerBouquet-ls7wi
@AdmiringFlowerBouquet-ls7wi 4 месяца назад
😅😅😅
@user-ui6ut2qg4n
@user-ui6ut2qg4n 5 месяцев назад
Eliza anataka harufuu yakee😅😅
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@user-pb6do4fg6x
@user-pb6do4fg6x 6 месяцев назад
Dada umepata huyo kaka tulia mambo ya pesa sogeza pemben tanguliza upendo dunia itakuwa mahala salama pako wew kuishi
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 6 месяцев назад
Wow beautiful girls I'm wishing to be here in Tanzania.
@user-pb6do4fg6x
@user-pb6do4fg6x 6 месяцев назад
Guys mim huwa ni mkaxi sana akn daaah dis man duuuh "Dunia sehem salaama ya kuish" one day yes ntasema na mm mwanaume wangu aone dunia sehem salama ya kuishi kwa kuwa na mm tu Jaman Ana maneno matan sana sana an Mim namuunga mkono kwangu mwanaume ni boss Wang nahitaji kumtii na kufanyia kila kitu a enjoy...
@user-qk6me2lx1s
@user-qk6me2lx1s 5 дней назад
Lolo mzuri
@Bizmind472
@Bizmind472 5 месяцев назад
I like mr right ya kibongo si kama ya kwetu
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
Ya kwetu inaboo ata siwatchingi simi fun
@Bizmind472
@Bizmind472 4 месяца назад
@@fatumomatano9752 kweli
@user-pg2iq6wn8l
@user-pg2iq6wn8l 3 месяца назад
Ya bongo hata na watoto unaangalia
@user-jr5cu5gh1k
@user-jr5cu5gh1k 3 месяца назад
Mbona iko wazi tumekataa kutafutiwa wake na wazazi sasa tunachukua makahaba jukwaani mwanamke kweli mwenye maadili ya kua mk huwezi mkuta akijitangaza apo tunaomba rekodi zao hau mlio wapa wanawake wamewai kuoana kweli ama wana duu tu nakupitishana uku kweli unaweza mtambua mtu kwa kumtazama. MUOGOPENI MUNGU.
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 4 месяца назад
Eliza mimi nakapendaga bureeee😂😂😂
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 месяцев назад
Mturushie na ndoa zao
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 6 месяцев назад
😂😂😂sidhan kama waga Kuna mdoa apo
@saraissa9327
@saraissa9327 6 месяцев назад
Oscar jamaniii..wife materials tupo hku tumekaa tunawasubiri 😢😂😂😂
@brunoh_bx
@brunoh_bx 6 месяцев назад
Na husband material tupo huku tunawatak nyie wife materials😢😂
@Esters-zr6nl
@Esters-zr6nl 6 месяцев назад
😂😂😂
@saraissa9327
@saraissa9327 6 месяцев назад
@@brunoh_bx au sio 😂😂😂
@brunoh_bx
@brunoh_bx 6 месяцев назад
@@saraissa9327 Ndiooo😅
@shakiramshule342
@shakiramshule342 5 месяцев назад
Uyu Eliza ana zarau sana
@user-cu3dg8xd7q
@user-cu3dg8xd7q 6 месяцев назад
Bro unaenda less sanaa 😅ila i asur you hapo sijui mr right utaangukia pua
@Damz240
@Damz240 6 месяцев назад
Atakae chaguliwa asije umiza moyo wa kijana maana hawachelewi kujinyonga hawa
@user-wl6ci4ew2k
@user-wl6ci4ew2k 5 месяцев назад
Mhehe mmoja tegule umwana umwelu uyo
@user-is6yf8hg7z
@user-is6yf8hg7z 5 месяцев назад
Wajina huyo mhehe mwenzangu
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m 6 месяцев назад
He kunusana tena 😂😂😂😂
@frankthegreat2427
@frankthegreat2427 5 месяцев назад
Mbona profile za mademu zenyewe hatuzijui how is it
@sergioramoel9704
@sergioramoel9704 6 месяцев назад
Nc
@ProspertRubura
@ProspertRubura 6 месяцев назад
Mimi ni Prosper kutoka Bujumbura Burundi je awo wanawake wana tafuta mapenzi wala wanataka hela
@user-boss_ledy
@user-boss_ledy 6 месяцев назад
Mbn wabay ndo wanajishaua😂😂😂
@zeddyshindika9502
@zeddyshindika9502 6 месяцев назад
Nimeskia ze way alivyo ama vip bana 😂😂
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 6 месяцев назад
Naye anarembua macho kama nini Mr
@florahfrancis1613
@florahfrancis1613 6 месяцев назад
SSAalma nngubarooo jjammaann neiiir
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 23 дня назад
Mwanaume kusimama mbele ya wanawake ukaanza kujiuza nayo nisawa na kutangaza ushoga tumbafu, tangu lin mwanaume akaanza kujiuza
@chulelubella2819
@chulelubella2819 6 месяцев назад
Wanalipa sifa hili jamaa halina mvuto wowote wamepita mahandsome wa maana mmewakataa makahaba sokoni
@David-if6nk
@David-if6nk 4 месяца назад
Hahahaaa hata mimi nimejiuliza sana
@ZabibuMkeleka
@ZabibuMkeleka Месяц назад
Angalia huu ulimwengu cjui mnaenda wapi,kuchaguliwa kwenye ukumbi na mitandaoni ,bint mwenye maadili yawazazhawez kufanya hivyo,pia ni kujishusha hadhi. Wanawake wameweka mbalele pesa ,kuliko kuanz tabu na mwenza,pia wanaume huwa wanawadharau wale walioanza nao tabu, wakifanikiwa wanamtafuta mwanamke mwingine kuja kutumbua nae maokoto.ndo maana wasichana wajiuza mitandaoni.
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 6 месяцев назад
Gara b alikua kwa bongo star Sasa hapa Tena vipi au kipndi kimerek0diwa kabla??
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 месяцев назад
Mbona yupo huku mda tu
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 6 месяцев назад
Huna wanarekodi ndio maana wanatuma sub clip za kipindi kijacho
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 6 месяцев назад
Oooh sawa
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 месяцев назад
Nouma sanaaaaaaa
@AngelLulambo
@AngelLulambo Месяц назад
Kazi ipo
@HamiduNumbi
@HamiduNumbi 3 месяца назад
Eliza anamdomo uyo dada😅
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 6 месяцев назад
Hivi haya hua ni ya kweli au ni maigizo tu
@UJENZIUBUNIFU.
@UJENZIUBUNIFU. 6 месяцев назад
Haa! Nimependa the way vile mnavotimiza unabii paspo Dada, uliaga vipi kwa baba ulipotaka kuja hapo kutimiza unabii wa dunia ya mwisho?
@user-nh9vf9vm1w
@user-nh9vf9vm1w 6 месяцев назад
Jamani me nataka kuja hapo nipate mchumba nakujaje
@DorcasAmos-mv8cy
@DorcasAmos-mv8cy 3 месяца назад
Mr right Ana akili sana
@Gabonfreeman
@Gabonfreeman 6 месяцев назад
Hivi hao madada mbele ya kuingia Hapo ua mnawapima?? HIV, UTI, gono hoyeeeeeee 😂
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
hawapimwi na ni wale machangu walovunjiwa mageto
@MwaniPh
@MwaniPh 6 месяцев назад
mnyalu katisha
@dreamleague-uq2gx
@dreamleague-uq2gx 6 месяцев назад
😂😂😂
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 6 месяцев назад
Hivi ni kweli au maigizo? Mi siamini kama mume/ mke bora anachaguliwa kama nyanya sokoni! 🥺🥺 Wanaangalia muonekano wa nje!!! Kama ni kweli basi dunia ina mambo na bado tutaona mengi...
@dianerditto
@dianerditto 6 месяцев назад
Kaka zangu wa iringa mawifi ni msululu lazima muelewe kakazangu hawakai kiboya
@ZabibuMkeleka
@ZabibuMkeleka Месяц назад
Mila destur zimekiukwa wazaz wamedharailiwa badalayake mitandao inageuko wazaz, laana kuum,jamani tunaenda wapi. Hata MUNGU tunamkiuka.
@chulelubella2819
@chulelubella2819 6 месяцев назад
Wahaya baada ya kuvunjiwa vibanda vyao wamehamia huku
@danielndei5420
@danielndei5420 4 месяца назад
ufala ya hii show ni mziki kua so loud kushinda sauti ya watu ,..mziki background music inaboa sana na its too loud,.. ila LOLO mzuri
@yusuphgisunte6491
@yusuphgisunte6491 6 месяцев назад
Lulu diva nampend jamani
@nasriboe8974
@nasriboe8974 6 месяцев назад
😂
@BrayanMakyao
@BrayanMakyao 2 месяца назад
Kwan ao wanawake awawez kupat wanaume njee
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 месяцев назад
Wewe luludiva atokee mtt wa mtu c ulimkataa yule mkaka hapo mbele z watu ww mwenyewe unachagua😂
Далее
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 2 млн
HUYU JAMAA MBONA MTATA SANA AISE!!
9:54
Просмотров 628 тыс.