Hahahahahahhahahahaahahahahaha Eliza msimtoe please anawazidishia comment jamani na anapendezesha Mr Right yan msimtoe mkimtoa itapoa huo ndio ukweli hahahahaa
ila wanawake Kuna vitu hatuvielewi na hatujui in a man,ndo Mana tunaishia kusifia rangi kimo 😂a real man ambae ana lengo kuwa na future haez taka mwanamke asieelewa purpose as a wife