Тёмный
No video :(

ANGALIA MAKALA YA MENDE ANAPOGEUKA KUWA RASILIMALI NA UTAJIRI MKUBWA 

Ngowi TV
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Katika makala hii utajifunza kutoka kwa mjasiriamali Liula Daniel, mfugaji wa Mende ambaye anambadilisha mende kutoka kwenye mtazamo hasi wa kuwa mdudu mchafu zaidi na chanzo cha maradhi na kumfanya kuwa rasimali kubwa inayoingiza kipato na utajiri. Mjasiriamali huyu ametimiza nyingi kati ya sifa kubwa za mjasiriamali mzuri ambazo Prof: Ngowi amekuwa akizifundisha na kuzihubiri, ambayo ni kuthubutu, kutambua fursa na kuzitendea haki, lakini zaidi sana kufanya mambo ambayo wengine hawafikirii au hawawezi kuyafanya. jifunze kupitia makala hii inayo onekana hapa Ngowi TV pekee.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@ramadhanabas4455
@ramadhanabas4455 4 года назад
A great business idea is in most cases not understood by many people. Keep it up.
@shau78
@shau78 7 лет назад
namba ya simu ya huyu mtaalam wa ufugaji wa mende tafadhali. ninataka mafunzo. asante
@shau78
@shau78 7 лет назад
hongera sana mtaalam wa ufugaji wa mende. hongera sana kwa maono. njia pasipo na njia
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 5 лет назад
I have to drill deep on this investment.. quite amazing opportunity. Thank You Prof. Ngowi for these hints.
@levismakanta6423
@levismakanta6423 7 лет назад
amazing research to find the guy....and fantastic voice over.....
@richdaniel8936
@richdaniel8936 7 лет назад
Ni nzuri sana, na Safii sana Mr. Liula Daniel.
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 2 года назад
Keep it up
@ledithleonard3615
@ledithleonard3615 7 лет назад
Naomba nimuuliza kaka,sasa hao mende wanakula nn unapowafuga
@nehemiahbudi5753
@nehemiahbudi5753 5 лет назад
Mende wanahitajika wakaushwe na kuchanganywa na mapumba na kuwalisha kuku, haina tatizo lakini isiwe kiasi kikubwa
@denislamba3428
@denislamba3428 7 лет назад
soko la mende lipo wap
@yaqoubsalim99
@yaqoubsalim99 5 лет назад
Anawalisha mavi /"kinyesi cha binaadamu
@largomike2725
@largomike2725 5 лет назад
I need the price
@ednasonda2107
@ednasonda2107 5 лет назад
Naweza kupata namba yake. Nimebutiwa na fursa...napend kujifunza zaid na kufanya hii biashara...ya kufuga mende.
@rev.johnsonpokeaeli5871
@rev.johnsonpokeaeli5871 5 лет назад
Hongera sana
@jrutta331
@jrutta331 3 года назад
Mbona no ya cm mliyoitoa hapo ni ya mtu tofauti?? Pls nahitaji kuwasiliana na huyo jamaa nione namna ya kuanza hii biashara.
@oscarkibazohi1835
@oscarkibazohi1835 4 года назад
Hongera sana Bwana Daniel. Mimi niko kwenye utafiti wa kufuga funza. Nataka kujuwa hali ya ufugaji wa wadudu Tanzania ikoje. World Bank inahitaji kupata takwimu za wafugani wa wadudu nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Nitumie taarifa kupitia oscar.kibazohi@gmail.com
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 4 года назад
Mnavyomtangaza ndio anaendelea kuhsribu .To a mbali Hugo ni shida mamluki.basi tusitake kujua wala kununua aendelee kufugahhao mende.wazungu haohao wanakuletea Rungu Leo wanasema huyu mdudu ana manufaa.basi were sio mtafiti PUMBAVU
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 4 года назад
Nina hasira mpaka nakisea herufi .una kipimo cha hizo vitamin ambazo mende anazo.Umegundua we we au wamekupa hao walikumbandikiza usenge wao?
@marykessy7042
@marykessy7042 5 лет назад
Mm Nina fugaa mended ntapatajee sokoo
@elicegeorge9991
@elicegeorge9991 3 года назад
Kwa wachina dar es salaam
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 4 года назад
Mimi nasema siku zote elimu ni ujinga .Kama kuku anakula mende ndio imekufanya ufuge mende .basi fuga mavi,nyoka,nk kuku haachi kitu.We ni kama Tundu lissu mnaleta virus kwa watanzania
@facebornbigborn3399
@facebornbigborn3399 5 лет назад
Tunaomba namba yako kaka...unapatikana wapi
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 3 года назад
Uko wapi Husemi
@yaqoubsalim99
@yaqoubsalim99 5 лет назад
Mimi nafuga Mbu, pia nauza dawa ya malaria,
@mashakapeter4298
@mashakapeter4298 3 года назад
Upo wapi
@mashakapeter4298
@mashakapeter4298 3 года назад
Upo wapi
@rweyemamubarongo3520
@rweyemamubarongo3520 3 года назад
Big up Liula Daniel. Tupo watu 4 tunahitaji elimu tuwasiliane 0759804774
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 4 года назад
Kama we msomi kula mavi direct
@muhsinally5175
@muhsinally5175 5 лет назад
SHEK
@ashamputa6999
@ashamputa6999 5 лет назад
Nataka kujifunza nakupataje bro
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 5 лет назад
hayo ma mende ya kufuga yatakuwa hayana vitamin ni kama makuku ya kizungu tu, mende wazuri ni wale wa choon hao vitamine zote wanazo
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 лет назад
😷😷😷 najisikia kutapika kabisaa hata kwa mafimbo siwez kula mende😥😥
@shau78
@shau78 7 лет назад
app ya Ngowi tv please!!
@wilfredmichael1909
@wilfredmichael1909 5 лет назад
"Kwenye chemba za vyoo"
@drnickysarapion134
@drnickysarapion134 4 года назад
Kk Ngowi naomba namba yake niweze kuwasiliana nae. Au ya leak niweze kuwasiliana nae. Contact zangu ni Email: iluganyuma@gmail.com Contact: 0714445453 Instagram: Nicky Sarapion
@levismakanta6423
@levismakanta6423 7 лет назад
amazing research to find the guy....and fantastic voice over.....
Далее
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 25 млн
Новый фонарик в iPhone с iOS 18
00:49
Просмотров 566 тыс.
▼НОВЫЙ FNAF (мы в пицце) 🍕
29:32
Просмотров 581 тыс.
GADDAFI AWADH - MFUGAJI SAMAKI
10:31
Просмотров 81 тыс.
KUTENGENEZA MPANGO WA BIASHARA
31:38
Просмотров 6 тыс.
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 25 млн