Тёмный

Ngowi TV. "KILIMO KINANIPA JEURI, HATA UNIPE AJIRA NA MSHAHARA WA MILIONI MBILI, SITAIKUBALI" 

Ngowi TV
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 87 тыс.
50% 1

Tazama Makala hiya mjasiriamali na ujionee jinsi ambavyo mjasiriamali na mkulima wa Strwaberry Hasani Yakubu anavyotumia fursa ya ardhi yenye rutuba iliyopo katika milima ya uruguru kulima kilimo cha strwaberry na hatimae kutengeza fedha nyingi.

Опубликовано:

 

30 мар 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@goodluckmachangu5941
@goodluckmachangu5941 5 лет назад
Ngowi TV Hongera sana. Channel yako ni ya tofauti kabisa inaelimisha umma wa Watanzania. Channel nyingi za RU-vid ni udaku tuu ambao haubadilishi maisha yetu
@SaidiBakari-ms5fp
@SaidiBakari-ms5fp 2 месяца назад
Hongera sana
@samueljeremiah1176
@samueljeremiah1176 5 лет назад
Mie ni mkenya na nimenufaika na mawaidha yako ya ukuzaji stroberi,hongera kaka
@alltanzania
@alltanzania 5 лет назад
Hongera Ngowi TV. hivi ndio vitu vinavohitajika kwa Tanzania yetu mpya. Tumebarikiwa kuwa na nchi nzuri. Tuilime na kuijenga.
@ngowitv2169
@ngowitv2169 5 лет назад
Watazamaji wetu mnaweza kuwasiliana na mjasiriamali huyu Hasani Yakubu, kwa namba za simu +255716508848
@rubberbandman1213
@rubberbandman1213 5 лет назад
Shukran sana
@khamissnassor1462
@khamissnassor1462 4 года назад
big up brother naona ume target kwenye mazao yasiotiiliwa maanani na watu
@jamesmichael5799
@jamesmichael5799 4 года назад
Habari !! Hongera kwa kilimo cha kisasa ninaitaji mawasiliano yako . 0767279194
@planethakunamatata5254
@planethakunamatata5254 3 года назад
Ahsante kwa namba... Ntakutafuta
@omarjeylani9144
@omarjeylani9144 5 лет назад
Tanzania pana amani na wala sio kama Somalia. Watanzania mumshukuru Mola na hiyo neema ya amani.
@noelngowi2700
@noelngowi2700 5 лет назад
Hongera Sana Hassan Yakub
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
fresh food , hongera sana , ujuzi wa mali asili ni kipaji cha wengi TZ hasa wakulima
@bibukaelias2722
@bibukaelias2722 5 лет назад
You are soo creative brother congratulations brother
@eliahmwingwa8839
@eliahmwingwa8839 5 лет назад
Hongera sana jamaa, nimependa uthubutu wako.
@festongonyani152
@festongonyani152 5 лет назад
Hongera Kwa uthubutu kaka.. Naomba nijifunze mengi toka kwako
@mangalamlala3516
@mangalamlala3516 5 лет назад
Asante sana hizi ndizo habari nzuri
@michaelkolima1180
@michaelkolima1180 5 лет назад
safi
@mezani782
@mezani782 5 лет назад
Huyu jamaa hakukurupuka, alifanya utafiti kabla ya kuingia kwenye strawberries..mfano kuigwa. Vijana tuige hili.
@raphaelbruno2743
@raphaelbruno2743 4 года назад
Braza ur so briliant
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 4 года назад
Nakubali @hassanyakub
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Год назад
Mawasiliano bro
@monamzonge1398
@monamzonge1398 4 года назад
Nimekuelewa kaka naanza sasa hivi. Nimejifunza sana barikiwa na mungu
@faustatesha6333
@faustatesha6333 5 лет назад
Big up umekuja na vitu very productive
@neemakalumatwa9781
@neemakalumatwa9781 5 лет назад
Asanteni sana kwa kuanzisha channel hii mbarikiwe zaido
@mwitadevid7369
@mwitadevid7369 3 года назад
Nimekubali bro!
@mussajuma9044
@mussajuma9044 5 лет назад
Namba zako kaka
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 3 года назад
🔥🔥🔥🔥
@yaqoubsalim99
@yaqoubsalim99 5 лет назад
Ukitaka mali, utaipata shambani.
@ramafrica9016
@ramafrica9016 5 лет назад
Vizuri kiongozi
@njeshkaris8957
@njeshkaris8957 5 лет назад
Wow hongera sana kutuelimisha kazi ni kazi bora uwe una heshimu kazi hongera Hasan mungu akubariki na kazi ya mikono yako mtu anaeza pata shamba huko ya kukodisha nikuje huku tulime from 254
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 3 года назад
Unataka Tanzania sehem gan?mkoa au wilaya gan?
@raphaelbruno2743
@raphaelbruno2743 4 года назад
Braza ulishawahi kufikilia zile gar znapita kwenye kamba kutoka milimani
@fredrickmgongolwa7958
@fredrickmgongolwa7958 5 лет назад
watu wengi wanaongelea faida bila gharama zake!!!je gharama ya heka moja kuanzia mwanzo mpaka unavuna ni kiasi gani?kilo moja ni Tshs 10,000/= je gharama ya hii Tshs 10,000/= ni shilingi ngapi?au faida kwa kilo moja baada ya gharama zote ni shilingi ngapi?
@amanistephano5208
@amanistephano5208 5 лет назад
Fredrick Mgongolwa ukipiga mahesab ni kama mil 7 mpaka 8 kwa heka 1
@abuusally4792
@abuusally4792 5 лет назад
Fredrick Mgongolwa
@msetyntorah804
@msetyntorah804 5 лет назад
😂 😂 hicho kinaitwa KILIMO CHA MAANDISHI bro... Ukiskia makadirio ya faida unaweza ukatamani uanze kesho kwenda shambani kulima.😂😂😂
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
@@msetyntorah804 katishaneni tamaa tuu.
@frankmagukuba2102
@frankmagukuba2102 5 лет назад
Bro uko vizur sana vijana atutaki kujishuulishaa na kilimo
@frankmagukuba2102
@frankmagukuba2102 5 лет назад
Wakat kilimo ndio kina tutoa
@user-qs9rn2je4c
@user-qs9rn2je4c 5 лет назад
nin kwel kaka watu tunasema maisha magumu kilimo kinalipa
@amanistephano5208
@amanistephano5208 5 лет назад
kuna mazao mengine kama vanila yenye pesa nyingi sana zaid ya strowbeey vanila 1kg ni dola $400 mpaka $600. ni sisi 2 vijana tuache kujieka mjini akat utajir upo shambani. kubali kuonekana mchafu lkn unajua unacho kifanya. big up sana bro me next year ntaekeza kweny strowbery.
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
Acha utani ww
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
Ni serious?
@jojolee382
@jojolee382 4 года назад
@amanistephano umeanza kulima? Uliahidi kuanza mwaka huu.
@joniajohn4716
@joniajohn4716 3 года назад
Ahsante kaka Aman
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 4 года назад
Huyu kijana ni mpambanaji akaze zaidi
@deniskaiza4306
@deniskaiza4306 5 лет назад
safii
@jeniferjohn6083
@jeniferjohn6083 5 лет назад
Brother umenigusa kwenye michaimichai naomba namba yako
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 5 лет назад
0716508848 namba ya muhusika wa strwaberry
@brotherjab7773
@brotherjab7773 5 лет назад
Naomba mawasiliano ya hasaan yakubu
@shebbyelphonce8514
@shebbyelphonce8514 3 года назад
Brother umenipa motisha sanaaaaaaaa kwel umeamua nko Arusha natafta mtaji ntakuja morogoro kulima maybe mwakani brother yanii
@jossecharles2810
@jossecharles2810 5 лет назад
mafuta ya mchaichai yanakuaje, naomba mnisaidie
@dorsandollah3384
@dorsandollah3384 5 лет назад
Ndoto nimejifunza
@tatyemmanuel1695
@tatyemmanuel1695 5 лет назад
Mkuu Hassan hongera saana. Mapambano yaendelee....
@lulushambazuri4861
@lulushambazuri4861 5 лет назад
Hongera hasani
@hendrylema5640
@hendrylema5640 5 лет назад
hongera kaka unachapa kaz vijana mjini kuna tudanganya
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 лет назад
safi
@franklinkessy586
@franklinkessy586 4 года назад
Tuongee kuhusu soko la mchai chai
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 лет назад
Daah hizo mbegu za strawberry zinapatikana wap Kwa DSM?
@jiongezehotnewstv7770
@jiongezehotnewstv7770 5 лет назад
Big up
@saidutoto7619
@saidutoto7619 5 лет назад
Hasan naomba namba ya cm pls
@mwitadevid7369
@mwitadevid7369 3 года назад
Kiukweli nilikuwa sifikirii kujisajili na na hii channel! Ila baada ya kusikiliza kwa kina nimejikuta na subscribe,Ni zaidi
@princehenry4196
@princehenry4196 5 лет назад
samahani kaka napenda kupata mawasiliano yako
@shanyfarham9062
@shanyfarham9062 5 лет назад
Mawasiliano yako kaka
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 5 лет назад
JAMAAA ANA AKILI SANA YA MAISHA 🙌 RESPECT
@allysultan5255
@allysultan5255 3 года назад
Naombeni mawasiliano na huyu hassani
@sumayabakar4848
@sumayabakar4848 5 лет назад
mashallah kaka mwenyezi mungu akubalikiye kazi zako mimi naitaji kilimo npo nje ya nchi narud nijiajili nakilimo umesema kilimo cha mchaichai nami naitaji kilimo kwa mawasiano no yg +968 97745907
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
1.Upo China sumaiya????. 2. Ulisomaga algebra islamic?
@emmanuelluela9632
@emmanuelluela9632 4 года назад
Nmekubali na nmeshawishik nitaktafta bro unipe mwangaza katka hali y hewa ya huku kwetu
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 4 года назад
Insha allah utafika wajina hata mi natamani sana kuingia huko namba namba yako wajina
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 5 лет назад
fuga punda au ngombe wakusaidie kubeba hio mizigo
@mathiasbuyobe3512
@mathiasbuyobe3512 5 лет назад
Hahaaaaha!!! Utafanikiwa kwa zali la mentali. Duuuuuuuh
@LUCKDRE
@LUCKDRE 5 лет назад
Me nataka namba ya huyo kaka anielekeze na dawa za kuwatibu kuku
@nasrimchopa678
@nasrimchopa678 5 лет назад
Kwani hakuna wadada wanaotazama maana namskia brother tyu Kila akiongea
@Theprincipalmboya
@Theprincipalmboya 4 года назад
Mwandishi ndo alikuwa brother
@davidedison4450
@davidedison4450 3 года назад
Watanzania bhna
@kassimali1943
@kassimali1943 5 лет назад
Me naitaji shamba uko naomba namba zako
@kassimali1943
@kassimali1943 5 лет назад
Tuwasiane me nipo mbagala
@alexmakunga4484
@alexmakunga4484 4 года назад
Tuna mpataje
@twahirmjeda4580
@twahirmjeda4580 5 лет назад
mimi Natak kulima mchaichai nipo zanzibar soko lipo wapi?
@davidedison4450
@davidedison4450 3 года назад
Darajani
@sumayabakar4848
@sumayabakar4848 5 лет назад
no yg +96897745907 yoyote anaye mjuwa huyu kaka aniuganishe nae
@rahmakulwaguchibakulwaguch3313
Sumaya Bakar +255716508848Hassan Yakubu
@rahmakulwaguchibakulwaguch3313
Sumaya Bakar hujambo?
@sumayabakar4848
@sumayabakar4848 5 лет назад
@@rahmakulwaguchibakulwaguch3313 sijambo
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 лет назад
Black berry 🍇🍓 nazipenda jomon kumbe zinalimwa hapo moro tu tunazipataje wa mkoan broo tupen namba zake
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 5 лет назад
0716508884
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 5 лет назад
0716508848
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 лет назад
Sante sana ndugu Daud
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 5 лет назад
Karibu Mariam usijali
@juliusndalaba5636
@juliusndalaba5636 4 года назад
Mm Niko kigoma kasulu nilitaka kujiunga na ukulima wa mchai chai mawasiliano yangu ni 0764790265 naomba tuwasiliane ili niweze kuanza kilimo hicho Mara moja
@martinjulius3737
@martinjulius3737 4 года назад
heshima kaka nitakupataja na mm niingie kwenye kilimo hicho make kweme eneolangu ninalolima mahindi nikalibu na maji nilitaka nianze kulima ilozao nisaidie ushauli 0754336328
@magdalenayunia9102
@magdalenayunia9102 4 года назад
Naomba unitafute inbox tuongelee kilimo plz
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 3 года назад
@@magdalenayunia9102 namim 0713327782
@jofreymligo888
@jofreymligo888 3 года назад
Niombe namba yake 0713691929 nimejifunza kitu
@Salioization
@Salioization 5 лет назад
mbona sijaona hilo shamba la kusema aitwe king ,
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
Endelea kutoliona
@fatmaabdilahi1007
@fatmaabdilahi1007 5 лет назад
Abdulrazak Gwotta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
@@fatmaabdilahi1007 Hellow mambow.
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
@@fatmaabdilahi1007 wanazingua wabongo.
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
@@fatmaabdilahi1007 Naomba namba yako.
@innovationecosystemmapofta5516
@innovationecosystemmapofta5516 4 года назад
Je wewe ni mjasiliamali na ungependa upate soko kirahisi? Fungua link hiyo chini ...fursa hii ni bure kabisa kwa Watanzania wote docs.google.com/document/d/1ZMoFqxg8yhFD5Hn0-QKW3v2MeJvREu2i9PPFbjWQX7Y/edit
Далее
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
Просмотров 110 млн
MSIMU WA MAVUNO YA MAHINDI MPANDA
8:41
Просмотров 7 тыс.
Kilimo cha Uyoga kinavyompa mafaniko mama huyu
19:12
Просмотров 17 тыс.
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
Просмотров 902 тыс.
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
Просмотров 110 млн