Тёмный

APPARMENT ZA BEI NAFUU JENGA HIVI UMILIKI KIJIJI CHAKO KWA BEI NAFUU  

Sanuka Media
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 4,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@newgeneration-et5to
@newgeneration-et5to 9 месяцев назад
Mr house mm Niko nje ya nchi nakufatilia sana 2024 Ninataka nifanye project na ww uko vzr sana
@hellenngana3882
@hellenngana3882 6 месяцев назад
Hi! Mr house decoration,kuhusiana na zile nyumba 4,single rooms,ni nzuri,lakini sehemu yakujenga karo la u have liko karibu sana na kisima cha maji hivyo jitahidi uchimbe septic tank mbali ,kwani maji ya kisima yatachanganyika chini kwa chini na maji machafu! Watu wakitumia yatakuwa na infection!
@Waitalamula-su4lv
@Waitalamula-su4lv 9 месяцев назад
Unaweza kupangisha laki moja...ila cjajua ni maoni tuu kaka nilio yaona ....nakukubali sana mzee nikiwa freshi
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 8 месяцев назад
Shukran xana bro❤❤❤❤❤
@heavenlight5084
@heavenlight5084 9 месяцев назад
Umenipa hasira ya kujenga walai
@saidsalum6101
@saidsalum6101 9 месяцев назад
Kwahuku kwetu lakimbili kwakila mwezi zahalaka halaka hizi mwanza
@mobadrymohammed9762
@mobadrymohammed9762 9 месяцев назад
Na Mimi nataka unifanyie savey Kiwanja changu kipo Kigamboni Kibugumo na unichoree ramani Lakini nataka nijuwe inakuwa kiasi gani
@leahmollel6589
@leahmollel6589 9 месяцев назад
Mm nina eneo kama hili na natamani hizo appartments ila ukuta angalau uwe mmoja!
@ZuwenaSoni
@ZuwenaSoni 8 месяцев назад
Safiyo
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 6 месяцев назад
Naomba namba yako nataka kujenga
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 9 месяцев назад
Eneo langu ni 46kwa48 mbona niko naeleo kubwa sana.
@FeliciaWilfredy
@FeliciaWilfredy 9 месяцев назад
Kufanya savei kwenye kiwanja ni pesa ngap?
@saeedahhenry711
@saeedahhenry711 9 месяцев назад
Utuambie unakwenda kufanya savey ni sh ngapi tujipange
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 9 месяцев назад
Mbona hakuna sitingroom
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 9 месяцев назад
kodi kwamwezi Lakimbili
@johnthesimba4764
@johnthesimba4764 9 месяцев назад
100,000 kwa huku kwetu
@GeorgeKasinga
@GeorgeKasinga 5 месяцев назад
hakika wewe ni mbunifu, unastahili kupongezwa
@obedyngavatula2106
@obedyngavatula2106 2 месяца назад
Hujibu Whatsapp messages
@naumikabila5880
@naumikabila5880 9 месяцев назад
Hv mita 14 ni sawa na hatua ngapi jamn😂, please msaada
@isaactweve2114
@isaactweve2114 9 месяцев назад
Mara 2 yake so 28
@SeciliaMadaha
@SeciliaMadaha 9 месяцев назад
Naomba no yako ya wattsap please
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 9 месяцев назад
Je choo ni pamoja na bafu
Далее
Cheese grater HACK
00:22
Просмотров 1,8 млн
ujenzi unaendelea
4:49
Просмотров 4,1 тыс.
NAGONGA KOKOTO
10:48
Просмотров 441 тыс.